- 24
- 9 516
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
เข้าร่วมเมื่อ 6 ส.ค. 2020
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ni idara huru ya Serikali, nchini Tanzania.
ilianzishwa chini ya Ibara ya 129(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 3 ya mwaka 2000.
Tume ilianza kazi Julai 1, 2001 baada ya kuanza kutumika kwa Sheria ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Sura ya 391 na Tangazo la Serikali Na. 311 la Juni 8, 2001. Tume ilizinduliwa rasmi Machi 15, 2002 baada ya kuteuliwa na kuapishwa kwa Makamishna wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Eneo la Utoaji Huduma
THBUB inatoa huduma zake katika mikoa yote 26 ya Tanzania Bara na mitano (5) ya Zanzibar kupitia ofisi yake kuu iliyoko Dodoma na Unguja; vile vile kupitia ofisi zake za kanda zilizoko Dar es Salaam, Mwanza, Lindi na Pemba.
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,
Kitalu Na. 339 Mtaa wa Nyerere/Kilimani,
S.L.P 1049, DODOMA,
Simu: +255 734 047 775; 734 119 978,
Barua Pepe: info@chragg.go.tz,
Tovuti: www.chragg.go.tz

Ijue Tume ya haki za binadamu na utawala bora majukumu yake.
Ijue Tume ya haki za binadamu na utawala bora majukumu yake.
มุมมอง: 32
วีดีโอ
Haki za Binadamu zinaendelea kuimarika nchini
มุมมอง 6414 วันที่ผ่านมา
Haki za Binadamu zinaendelea kuimarika nchini
Jukumu kubwa THBUB ni kukuza haki za binadamu nchin
มุมมอง 314 วันที่ผ่านมา
Jukumu kubwa THBUB ni kukuza haki za binadamu nchin
TUME 4
มุมมอง 62 หลายเดือนก่อน
Mapitio ya Nyaraka kwaajili ya kuandaa Mpango kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara
TUME 1
มุมมอง 12 หลายเดือนก่อน
Mapitio ya Nyaraka kwaajili ya kuandaa Mpango kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara
WAZAZI WATAKIWA KUTOKIMBIA WAJIBU WA KUWALEA WATOTO WAO
มุมมอง 234 หลายเดือนก่อน
WAZAZI WATAKIWA KUTOKIMBIA WAJIBU WA KUWALEA WATOTO WAO
TAMKO KULAANI MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA
มุมมอง 8K4 หลายเดือนก่อน
TAMKO KULAANI MAUAJI KIONGOZI WA CHADEMA
TUME YA HAKI ZA BINADAMU DOC HD 1
มุมมอง 996 หลายเดือนก่อน
Mapitio ya Nyaraka mbalimbali katika kuandaa Mpango kazi wa Kitaifa wa Haki za Binadamu na Biashara
Namna yakutufikia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
มุมมอง 20ปีที่แล้ว
Namna yakutufikia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Namna ya kutufikia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
มุมมอง 178ปีที่แล้ว
Namna ya kutufikia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
HAKI CLIP
มุมมอง 20ปีที่แล้ว
Hotuba ya Mhe.Mathew Mwaimu Mwenyekiti wa THBUB katika Kikao cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA 1
มุมมอง 452 ปีที่แล้ว
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA 1
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Siku ya Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika.
มุมมอง 3092 ปีที่แล้ว
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Siku ya Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika.
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu matukio ya Loliondo.
มุมมอง 332 ปีที่แล้ว
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu matukio ya Loliondo.
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAZINDUA SIKU 10 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MTOTO
มุมมอง 232 ปีที่แล้ว
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAZINDUA SIKU 10 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MTOTO
Uzinduzi wa Klabu ya Haki za Binadamu katika chuo cha Mipango Dodoma.
มุมมอง 392 ปีที่แล้ว
Uzinduzi wa Klabu ya Haki za Binadamu katika chuo cha Mipango Dodoma.
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Yatahadharisha Wanasiasa kutumia Watoto
มุมมอง 774 ปีที่แล้ว
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Yatahadharisha Wanasiasa kutumia Watoto
KATIBU TAWALA LINDI AFUNGUA MAFUNZO YA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HAKI
มุมมอง 564 ปีที่แล้ว
KATIBU TAWALA LINDI AFUNGUA MAFUNZO YA KUBORESHA UPATIKANAJI WA HAKI
Uchunguzi ataufanya mungu mwenyewe maana binadamu hawajaweza mpaka leo
Asante.tume.mungu.awabariki.tume.tupo.pamoja.maombi.wapatikani
Namba zenu hazipatikani
Mmechukua hatua gani hakuna lolote
Tume hii inapaswa kupewa meno ya kung'ata maana kwa sasa haina meno kwakuwa inapotokea waliokosea ni mamlaka ambayo tume inawajibika kwa serikali haiwezi kuwa huru
Yaani ni kulaani tuu😢😢😢
Nyinyi watu tume hivi mnakuwaga wapi yanapo tokea mauwaji kwa wàslam kama vile mauwaji ya mwembe chai mauwaji hivi karibuni kule kibiti
Haya nawengine wanatekwa sihui taalifa izi zina maama gani?
Hivi bado hawajapatikana waliomteka na kumuua Ally Kibao?
Jamani! Sati
Mbona MTU akivamiwa na majambazi,akauawa mbona hatujaona mnalaani mauaji hayo Wala hata t kukemea ?? Acheni unafiki wenu
Ushirikiano tena... Wengi tunaogopa
Wananchi watachoka kutoa Ushirikiano kwa hii Tume ambayo inaishia kutoa matamko tu bila Wananchi kuona Matokeo. Kuna Kila dalili kua anayetoa maagizo kwa Vyombo vya Usalama kua apelekewe Taarifa yawezekana yeye ndo muhusika Mkuu. Toka ametoa maagizo mpaka sasa ni kipi kimefanyika? Kama hakuna kilichofanyika mpaka sasa ni nani amewajibishwa kwa uzembe wa kutokuwajibika? Wananchi mioyo inavuja Damu, wana Hasira. Kama na nyie mnaishia kutoa matamko tu yasiyo na suluhisho mnawazidishia hasira Wananchi ni Bora na nyie make kimya tu tujue Moja tumechoka na matamko yasiyo na tija.
Tume ya haki za binadamu mlikuwa wapi siku zote toka ali kibao auwawe!! Tume ya haki ya binadamu mnasrma watu wasubiri uchunguzi wapolisi wkt polisi wenyewe ndio watuhumiwa?? tume ya haki ya binadamu mko wapi watu wanatekwa na kutupwa maporini wafe? tume ya haki za binadamu mumewaoji lini wale waliopotea na kupatikana akiwemo Sativa? haki za binadamu mko wapi wkt polisi wanapiga risasi watuhumiwa na nyie mko kimya??
Tuimarishe ulinzi wa mtoto, komesha ukatili dhidi yake🇹🇿🇹🇿