Richard Hananja
Richard Hananja
  • 38
  • 23 028
Kama Huna Sadaka toa Hata DAMU, Tumeumbwa kwaajili ya Wengine. Amen.
Rev Hananja na Dr Rhose LasVegas U.S kwa Mama Yusufu. #hananja Mazungumzo ya Familia, kueleza Habari ya Huduma na maendeleo yake kwa Jamii. Hoja juu ya mitazamo mbali mbali.
#changiaDamuSalama
#Hananja
มุมมอง: 20

วีดีโอ

Maisha ya kufurahi ni hapa hapa duniani, Mbinguni hatukujui. ~ Mch Hananja akiwasalimia vijana
มุมมอง 31หลายเดือนก่อน
Mchungaji Hananja akiwasalimia vijana tar 26/5 mtoni kijichi #kijichiAllstars na kupata chakula pamoja wakati akienda kwenye Tamasha la jambo la wanawake #mokeneHall #subscribe #HananjaTz
Rev Hananja Anaeleza Umuhimu wa Kuwajali Wajane // Ndio Dini
มุมมอง 5452 หลายเดือนก่อน
Dini ingekua Yatima na Wajane. Msikilize Mch Hananja Akiwa Dalax Texax kwa Mr Mayunga na Mrs Mayunga (Dynance GLOBAL) Akitoa VIFUNGU KUHUSU YATIMA NA WAJANE NA MENGI KUHUSU muungano wa Kutiana Moyo na kusonga Mbele na Dini. PIA AMEONGEZA KWA KUSEMA DINI NI YATIMA NA WAJANE. #subscribe #Hananja #DallaxTx
Amen, @Hananja.r Upendo Wa wengi Utapoa, Haijasema Upendo Wako Utapoa. Wako Usipoe.
มุมมอง 1253 หลายเดือนก่อน
Kwasababu ya Maasi Upendo wa Wengi Utapoa Wako Usipoe. Muwe na Upendo,Pendaneni Ninyi kwa Ninyi #Hananja #sikiliza
@Hananja.r ~ Marehemu watatu,/Alieoa ,Alieolewa na Mchungaji Wao.
มุมมอง 1753 หลายเดือนก่อน
Mch Hananja Akijibu swali -Ilitokea Mtu Kamuacha mwenzi wake ispokua kwa zinaa. Basi Anaweza akafa kwasababu Mungu Anachukia Kuachana. Malaki 2:16 . Amesema siyo wale walioachana tu bila sababu ya zinaa bali hata Yule mchungaji aliewapokea Ni marehemu Tayari. Maana bila Kutubu na kukataa anaweza kufa Pia.
Maana ya Kumkufuru Roho Mtakatifu, Kwa Ufupi ~@Hananja.r
มุมมอง 1563 หลายเดือนก่อน
Rev Hananja Ameelekeza maana Halisi ya Kumkufuru Roho mtakatifu kua Ni Kuukataa Wokovu. #Hananja #Sikiliza
Rev Hananja Na Rev George Chilewa ~ HOUSTON #USA #AgapeTv @Hananja.r
มุมมอง 3053 หลายเดือนก่อน
Mahojiano ya moja kwa moja Kutoka Houston #USA Rev Hananja Kutoka Tanzania na Rev George Shilewa. #Sikiliza #Subscribe
Amen, @Hananja.r Kanisa Bado Lipo Marekani.
มุมมอง 1053 หลายเดือนก่อน
Mchungaji Hananja Akizungumza mara baada ya Kurudi kwenye mikutano Ya injili Marekani Alipo alikwa, 2023. October. #sikiliza #Hananja #Subscribe
Mwanamke anakaa kwa wazazi Mkubwa tu\\\\ Anataka kuzalishwa Tu. Hawa hua wanakoma
มุมมอง 1353 หลายเดือนก่อน
Rev Hananja anataja moja ya Sababu ambayo inapelekea kua na shida kwenye ndoa. Wanawake wadogo hudhani Ndoa ni Jambo la Mahusiano tu. #Sikikiza #Hananja
Amen... Rev Hananja ~ Ajikwezae Atashushwa,/Kutoona Uwepo Wa Mungu. @Hananja.r
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
Rev Hananja anajibu , Je ni mbaya mtu Kujisifia kwa mafanikio yake mwenyewe ? Je kujekweza ni kupi ? #Hananja
Amri Inasema Ikumbuke Siku Ya Bwana na Kuitakasa . Siku hiyo ni Ipi ? Jibu ~ Rev Hananja
มุมมอง 453 หลายเดือนก่อน
Mch Hananja Anajibu Swali Kuhusu Siku Ya Bwana, Amri na Ukweli Juu ya Chaguzi za siku za Kuabudu. #Hananja
Amen, Rev Hananja akizungumza NENO// Tamasha Kubwa la Kuimarisha Huduma za Kiroho na Jamii..
มุมมอง 483 หลายเดือนก่อน
Amen, Rev Hananja akizungumza NENO// Tamasha Kubwa la Kuimarisha Huduma za Kiroho na Jamii..
Mungu sio Mume wa Wajane //Rev Hananja,, Wajane Kiroho
มุมมอง 1533 หลายเดือนก่อน
Mungu sio Mume wa Wajane //Rev Hananja,, Wajane Kiroho
Rev Hananja - Wajibu wa Mkristo// YESU Kwanza.
มุมมอง 734 หลายเดือนก่อน
Rev Hananja - Wajibu wa Mkristo// YESU Kwanza.
Hananja.r Tatizo Hakuna mafundisho ya Familia, //Hata Mbuzi anawatoto.// !!Tusiwaache Vijana
มุมมอง 1365 หลายเดือนก่อน
Hananja.r Tatizo Hakuna mafundisho ya Familia, //Hata Mbuzi anawatoto.// !!Tusiwaache Vijana
@Hananja.r Uchungaji/Injili Siyo Roho Tu, Bali Akili/Elimu. “Unahubiria Watu”
มุมมอง 8756 หลายเดือนก่อน
@Hananja.r Uchungaji/Injili Siyo Roho Tu, Bali Akili/Elimu. “Unahubiria Watu”
Maoni Ya Mchungaji Hananja, Juu ya Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT
มุมมอง 10K8 หลายเดือนก่อน
Maoni Ya Mchungaji Hananja, Juu ya Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT
Amen, karibu- Usikose. NITAKUWEPO , Barikiwa.
มุมมอง 4810 หลายเดือนก่อน
Amen, karibu- Usikose. NITAKUWEPO , Barikiwa.
Rev Hananja - Nini kilimkuta Eva !!! Akala na aliambiwa - /tamaa /pupa ~utii.
มุมมอง 239ปีที่แล้ว
Rev Hananja - Nini kilimkuta Eva !!! Akala na aliambiwa - /tamaa /pupa ~utii.
Rev Hananja akihojiwa bada ya mahafali ya Ukanda wa Afrika ~ Umoja International Bible College.
มุมมอง 130ปีที่แล้ว
Rev Hananja akihojiwa bada ya mahafali ya Ukanda wa Afrika ~ Umoja International Bible College.
Ndoa ina vipindi vya mpito , Taratibu..,, Mwenzi/Mke
มุมมอง 158ปีที่แล้ว
Ndoa ina vipindi vya mpito , Taratibu..,, Mwenzi/Mke
Rev Hananja ~ Ahitimisha kumtaja aliekua anatafutwa,KKKT .
มุมมอง 148ปีที่แล้ว
Rev Hananja ~ Ahitimisha kumtaja aliekua anatafutwa,KKKT .
Rev Hananja - Aliekua Anatafutwa, Mapya !! Waliotumwa waache ...
มุมมอง 590ปีที่แล้ว
Rev Hananja - Aliekua Anatafutwa, Mapya !! Waliotumwa waache ...
Rev Hananja, Atoa Kauli ya Hitimisho ~ Kwa wengine kusamehewa.
มุมมอง 143ปีที่แล้ว
Rev Hananja, Atoa Kauli ya Hitimisho ~ Kwa wengine kusamehewa.
Rev Hananja, Dr Kimaro kusamehewa (picha) "nilitabiri"
มุมมอง 588ปีที่แล้ว
Rev Hananja, Dr Kimaro kusamehewa (picha) "nilitabiri"
Ukristo, unafiki.... Ni Neema Tuh.
มุมมอง 290ปีที่แล้ว
Ukristo, unafiki.... Ni Neema Tuh.
Safari ya MAISHA na Vituo, Upo Kituo gani ?
มุมมอง 166ปีที่แล้ว
Safari ya MAISHA na Vituo, Upo Kituo gani ?
TUNAKATAA MAUTI, USILIE...
มุมมอง 99ปีที่แล้ว
TUNAKATAA MAUTI, USILIE...
Msamaha.
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
Msamaha.

ความคิดเห็น

  • @lewincieforever
    @lewincieforever 26 วันที่ผ่านมา

    True

  • @emedimtheodor5249
    @emedimtheodor5249 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @rehemamwandemani5182
    @rehemamwandemani5182 2 หลายเดือนก่อน

    Nipo na mimi mjane

  • @haidar438
    @haidar438 2 หลายเดือนก่อน

  • @leonardinnocent9638
    @leonardinnocent9638 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-qs5ev4mi1c
    @user-qs5ev4mi1c 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 3 หลายเดือนก่อน

    Ukweli utaiponya Nchi na waikaayo.Bali Habari mbaya huvunja Moyo.

  • @silasgerrychannel225
    @silasgerrychannel225 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni Elimu kubwa sana, ubarikiwe sana MCHUNGAJI HANANJA.

  • @paull8659
    @paull8659 4 หลายเดือนก่อน

    Malasusa ni chawa wa Watawala haram, hafai kabisa. Bangoza ndiye alitakiwa awe askof wetu.

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @kiilumwanthi8709
    @kiilumwanthi8709 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika heshima ya kanisa yafaa kurudishwa na khifadhiwa.Viongozi mcheni Mungu na muache kiki

  • @tusiimeroy3157
    @tusiimeroy3157 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli Mfano sadaka za kwenye jumuhiya kwanini Zipelekwe jimboni? Tukiwa na shida kwenye jumuhiya mf:ugonjwa au msiba Tunachanga tena

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 6 หลายเดือนก่อน

    Lazima unene kwa lugha 😂😂😂

  • @user-ri8ch2hs3m
    @user-ri8ch2hs3m 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anaona mbali saana!

  • @user-ue8ez9qn6r
    @user-ue8ez9qn6r 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @justinlyelu2658
    @justinlyelu2658 7 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu!!!!!

  • @user-jq5di9tv9e
    @user-jq5di9tv9e 7 หลายเดือนก่อน

    Usalama barabarani😂😂😂

  • @user-jq5di9tv9e
    @user-jq5di9tv9e 8 หลายเดือนก่อน

    You speak the words babaa

  • @user-tk8bh1le8g
    @user-tk8bh1le8g 8 หลายเดือนก่อน

    Sema ukweli

  • @evancemakundi8544
    @evancemakundi8544 8 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @fadhilphone2515
    @fadhilphone2515 ปีที่แล้ว

    Kwel kabisa

  • @teddymdee4899
    @teddymdee4899 ปีที่แล้ว

    ila jaman

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @gsanga2996
    @gsanga2996 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi nitakuwepo mapema

  • @negromc9636
    @negromc9636 ปีที่แล้ว

    Haya mambo yanatokea kanisani?

  • @samwesupa6906
    @samwesupa6906 ปีที่แล้ว

    Kweli kbs

  • @moseshp8273
    @moseshp8273 ปีที่แล้ว

    Wewe ulishapigwa utulie tu

  • @kimzytvchannel2413
    @kimzytvchannel2413 ปีที่แล้ว

    Kweli bab

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @kimzytvchannel2413
    @kimzytvchannel2413 ปีที่แล้ว

    From kenya mombasa Baba nakushika vizuri

  • @petronilamlowe6558
    @petronilamlowe6558 ปีที่แล้ว

    Amen, powerful....Asante Yesu.

  • @juddyndesanjo6571
    @juddyndesanjo6571 ปีที่แล้ว

    Amen napokea

  • @barnabazawadi5686
    @barnabazawadi5686 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante mchungaji kwa neno la msamaha

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 3 ปีที่แล้ว

    Amen pastor