- 182
- 29 493
POETIC SISTERS OFFICIAL
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 29 ต.ค. 2023
This channel is all about Learning of Poems,Mashairi,Dramas and Games,Dancing and Singing for Education,Entertainment, and Evergilization.
1 Wakorintho 12:4-11 | Somo la pili, Jumapili ya pili Mwaka C | Mshairi Vyone
1 Wakorintho 12:4-11
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
1.Karama sio tu moja, mejaa kweli ni nyingi.
Lakini Roho mmoja, husimama huko kwingi.
Huduma pia si moja, ni kadhaa tena nyingi.
Bwana ni yule mmoja, na ndiye wetu msingi.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
2.Mwenyezi ni yeye Mungu, kazi anatufanyia.
Kwa neema yake Mungu, upendo twashuhudia.
Roho liyekuwa tangu, Mungu alitushushia.
Ili wote kwa undungu, tuweze kufaidia.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
3.Kwa kila mtu mmoja, hekima hupitishiwa.
Na kwa mwingine mmoja, maarifa hutimizwa.
Mwingine pia mmoja, imani kuu hujengwa.
Na kwa mwingine mmoja, uponyaji hupatiwa.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
4.Miujiza kutendea, kwa mwingine hutolewa.
Nao unabii pia, mwaminifu atapewa.
Roho wa kupambanua, yule mwingine tapewa.
Roho taelekezea, lugha kufafanuliwa.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
5.Tafsiri za lugha hizi, mwingine atapokea.
Nazo kazi zote hizi, Roho tawasaidia.
Wote watafanya kazi, Roho navyopendelea.
Kwa kusudi kazi hizi, ziwe za kuridhishia.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
6.Kwa hiyo ndungu mkristo, tushikane na karama.
Tuishini kwa ukristo, imani pate simama.
Tujenge mwili wa Kristo, kwa upendo kutazama.
Roho ule wa ukristo, daima atutazama.
Roho ni yule mmoja, kazize zote hutenda.
Na
Malenga Ibura
Bokeny Ochigo
17/1/2025

มุมมอง: 153
วีดีโอ
Isaya. 62:1-5 | Somo la kwanza Jumapili ya pili Mwaka C | Tarehe 19/1/2025
มุมมอง 27512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Isaya. 62:1-5 Kweli haki itang'aa, na wokovu kuangaza. 1.Kwa ajili ya Sayuni, mimi sitanyamazia Yerusalemu mjini, kamwe sitaitulia. Uso wa mwanga jamani, haki itaangazia. Na kama taa gizani, wokovu utatujia. Kweli haki itang'aa, na wokovu kuangaza. 2.Mataifa wataona, kweli ile haki yako. Utukufu tauona, wafalme wote wako. Jipya utaitwa jina, kwa heshima ile yako. Alilolitaja jina, kwa kinywa ch...
Yohana. 2:1-12 | Injili ya Jumapili ya pili ya Mwaka C | Tarehe 19/1/2025
มุมมอง 32614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Yohana. 2:1-12 Miujiza pale Kana, Maria kamwomba Yesu. 1.Harusi ilikuwepo, huko mji wa kanani. Yesu pia likuwepo, na wafwasi arusini. Alialikwa awepo, na wafwasi shereheni. Miujiza pale Kana, Maria kamwomba Yesu. 2.Divai liwaishia, mamake akamjia. Kipole akamwambia, vinywaji metindikia. Yesu akamjibia, saa haijawadia. Miujiza pale Kana, Maria kamwomba Yesu. 3.Kwa watumishi lisema, magizo kiwapa...
Zaburi. 95:1-3, 7-10 (K-3) ya Dominika ya pili ya mwaka C | Tarehe 19/1/2025
มุมมอง 27519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DOMINIKA YA 2 YA MWAKA C Zaburi. 95:1-3, 7-10 (K-3) K. Hubirini mataifa, habari za 'tukufuwe. 1.Wimbo mpya mumwimbie, huyu Bwana wa mabwana. Nchi na ishangilie, sifa na apewe Bwana. Nyimbo na mumutungie, barikini lake jina. Hubirini mataifa, habari za 'tukufuwe. 2.Tangaza wokovu wake, wokovu wa siku zote. Hubiri tukufu wake, kwenye mataifa yote. Nena maajabu yake, habari zifike kote. Hubirini m...
Luka 3:15-16, 21-22 | Injili Jumapili ya Ubatizo Wa Yesu | Mshairi Vyone
มุมมอง 224วันที่ผ่านมา
INJILI. Jumapili tarehe 12/1/2025 Luka 3:15-16, 21-22 K; Nawabatiza kwa maji, yuaja mwenye maguvu. 1.Nyakati lipotimia, maswali lijaa miji. Watu waliulizia, kuhusu mbatizaji. Ni huyu ndiye masia? Wengine walijihoji. Nawabatiza kwa maji, yuaja mwenye maguvu. 2.Yohane liwaeleza, kijasiri akisema. Kwa maji nawabatiza, yuaja mwenye neema. Ana nguvu na uweza, anishinda hata wema. Nawabatiza kwa maji...
Isaya 40:1-5,9-11 | Jumapili ya Ubatizo wa Yesu | Mshairi Pendo
มุมมอง 247วันที่ผ่านมา
Tarehe 12/1/2025 Somo la kwanza Isaya 40:1-5,9-11 Bwana atafunuliwa, tuone tukufu wake. 1.Asema Mungu wa kweli, tulizo muwapeeni. Yerusalemu musali, kimoyo moyo semeni. Huduma ngumu na kali, sasa mefika mwishoni. Bwana atafunuliwa, tuone tukufu wake. 2.Dhambi imeondolewa, adhabu pia melipwa. Hakika taokolewa, maovu taondolewa. Amani sasa mewashwa, metamalaki mejawa. Bwana atafunuliwa, tuone tuk...
Tito 2:11-14; 3:4 | Jumapili ya Ubatizo Wa Yesu | Mshairi Pendo
มุมมอง 192วันที่ผ่านมา
Somo la pili Tatehe 12/1/2025 Tito 2:11-14; 3:4 Kwa uchaji na upendo, twamtukuza Mwokozi. 1.Neema imetokea, na watu kuwafikia. Ya kuokoa dunia, nafsi zilizopotea. Yesu kweli ndiye njia, haki ahakikishia. Kwa uchaji na upendo, twamtukuza mwokozi . 2.Tusikubali tamaa, mambo yake kidunia. Tukesheni kwa kufaa, kunyenyekea kwa dua. Mungu wetu atufaa, kwa uchaji haki pia. Kwa uchaji na upendo, twamtu...
Zaburi 104:1b-2,3-4, 24-25, 27-28, 29-30 (K. 1) Jumapili ya Ubatizo wa Yesu | Mshairi Vyone
มุมมอง 299วันที่ผ่านมา
Tarehe 12/1/2025 Zaburi 104:1b-2,3-4, 24-25, 27-28, 29-30 (K. 1) K. Siku zote roho yangu, inamsifia Bwana. 1.Nyimbo kuu taimbika, 'kuu wako kisifia. Fahari umejivika, na adhama yote pia. Mwanga pia mejivika, vazi latuangazia. Anga limetandazika, ni hema metuundia. Siku zote roho yangu, inamsifia Bwana. 2.Nguzo nazo mewekea, ghorofa lojengwa kwako. Mawingu mejifanyia, yawe kama gari lako. Mbawa ...
Mathayo 2:1-12 | Epiphany Sunday | 5/1/2025 | Mshairi Pendo
มุมมอง 17714 วันที่ผ่านมา
Mathayo 2:1-12 Yuko wapi huyu yesu? Tumekuja kumwabudu. 1.Bethlehemu ya yudea,Yesu alipozaliwa. Mamajusi litokea, mashariki lipokuwa. Yerusalem' liingia, kwa herode swali 'kawa; Yuko wapi huyu yesu? Tumekuja kumwabudu. 2.Nyota yake tuliona, mashariki huko kwetu. Tumekuja kumuona, na kwabudu mfalme wetu. Mezaliwa wa maana, kwa wayahudi na kwetu. Yuko wapi huyu yesu? Tumekuja kumwabudu. 3.Herode ...
Zaburi 72: 2, 7-8, 10-11, 12-13(K. 11) | Wimbo wa Katikati | Epiphany Sunday | Mshairi Vyone
มุมมอง 14314 วันที่ผ่านมา
Tarehe 5/1/2025 Zaburi 72: 2, 7-8, 10-11, 12-13(K. 11) Mataifa ya dunia, takusujudia Bwana. 1.E Mungu mpe mfalme, hukumu kutoka kwako. Naye mwana wa mfalme, pia mpe haki yako. Pitia kwake utume, haki kwa taifa lako. Mataifa ya dunia, takusujudia Bwana. 2.Siku za mtume wako, haki iwe wimbo wetu. Na amani toka kwako, izidi sa yote kwetu. Atawale huyo wako, kote kote hata kwetu. Mataifa ya dunia, ...
Mungu Atatengeneza Njia | Mwaka Mpya huu atatenda | Mshairi Vyone
มุมมอง 25314 วันที่ผ่านมา
Mungu Atatengeneza Njia Mungu anafanya njia, pasipokuwa na njia. 1.Maisha kijaa giza, bila hata tumaini. Kwa upole tasikiza, sauti yake Manani. Mungu atatengeneza, nafasi kwako njiani. Mungu anafanya njia, pasipokuwa na njia. 2.Jangwani ukipitia, ukose vyote muhimu. Milima ukipandia, pia bondeni magumu. Mungu takushikilia, upate yako muhimu. Mungu anafanya njia, pasipokuwa na njia. 3.Ikifungwa ...
Shuhuda yangu | Mungu ametenda | Happy new year | Mwaka mpya wa Baraka | Mshairi Vyone
มุมมอง 14521 วันที่ผ่านมา
Shuhuda yangu Hakika meshuhudia, mkono wa Bwana wangu 1.Kweli mi nashuhudia, Bwana wangu metendaa. Majaribu meshindia, maisha nuru mejaa. Gizani meangazia, nuru yake inang'aa Hakika meshuhudia, mkono wa Bwana wangu. 2.Nililia kwa Manani, aponye ugonjwa wangu. Kazi pia kutamani, niwalishe watu wangu. Dua kamfikiani, ninamshukuru Mungu. Hakika meshuhudia, mkono wa Bwana wangu. 3.Sasa mimi nanyony...
Siku kuu ya Mama Maria, mama wa Mungu | 1st January | Happy New Year | Mwaka mpya | Mshairi Pendo
มุมมอง 23221 วันที่ผ่านมา
Siku kuu ya Mama Maria, mama wa Mungu | 1st January | Happy New Year | Mwaka mpya | Mshairi Pendo
poem:God Will Make A Way | Mwaka Huu Mpya | by Hawi
มุมมอง 3221 วันที่ผ่านมา
poem:God Will Make A Way | Mwaka Huu Mpya | by Hawi
Shukrani ya Mwaka | Happy New Year 2025 | Heri njema Mwaka Mpya | Mshairi Vyone
มุมมอง 1.7K21 วันที่ผ่านมา
Shukrani ya Mwaka | Happy New Year 2025 | Heri njema Mwaka Mpya | Mshairi Vyone
Luka. 2: 22-40 | Kutakasika kwa Yesu | Familia takatifu | Yesu Maria Yosefu | Mshairi Pendo
มุมมอง 19521 วันที่ผ่านมา
Luka. 2: 22-40 | Kutakasika kwa Yesu | Familia takatifu | Yesu Maria Yosefu | Mshairi Pendo
Zaburi 128: 1-5 | Heri na Baraka | Jumapili 29/12/2024 | Mshairi Vyone
มุมมอง 19921 วันที่ผ่านมา
Zaburi 128: 1-5 | Heri na Baraka | Jumapili 29/12/2024 | Mshairi Vyone
Zaburi:96:1-2,2-3,11-12,13 (K-Luka:2:11) Merry Christmas | 25/12/2024 | Mshairi Pendo
มุมมอง 15328 วันที่ผ่านมา
Zaburi:96:1-2,2-3,11-12,13 (K-Luka:2:11) Merry Christmas | 25/12/2024 | Mshairi Pendo
Luka 2:15-20 | Injili ya Tarehe 25/12/2024 | Merry Christmas | Mshairi Pendo
มุมมอง 14228 วันที่ผ่านมา
Luka 2:15-20 | Injili ya Tarehe 25/12/2024 | Merry Christmas | Mshairi Pendo
Zaburi 97:1, 6, 11-12 | Wimbo wa katikati | Misa ya Usiku 24/12/2024 Mshairi Vyone
มุมมอง 9228 วันที่ผ่านมา
Zaburi 97:1, 6, 11-12 | Wimbo wa katikati | Misa ya Usiku 24/12/2024 Mshairi Vyone
Shairi: Shuhuda ya Elizabeth | Injili ya Luka. 1:39-45
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
Shairi: Shuhuda ya Elizabeth | Injili ya Luka. 1:39-45
Zaburi. 80:1-2, 14-15, 17-18 | Wimbo wa katikati | Jumapili ya nne ya Majilio | Mshairi Vyone
มุมมอง 77หลายเดือนก่อน
Zaburi. 80:1-2, 14-15, 17-18 | Wimbo wa katikati | Jumapili ya nne ya Majilio | Mshairi Vyone
Zaburi 89:1-4, 27, 29 | Wimbo wa katikati | 24/12/2024 | Mshairi Vyone
มุมมอง 104หลายเดือนก่อน
Zaburi 89:1-4, 27, 29 | Wimbo wa katikati | 24/12/2024 | Mshairi Vyone
Luka.1:39-45 | Shuhuda ya Elizabeti | Jumapili ya nne ya Majilio | Mshairi Pendo
มุมมอง 79หลายเดือนก่อน
Luka.1:39-45 | Shuhuda ya Elizabeti | Jumapili ya nne ya Majilio | Mshairi Pendo
SAUTI YA YOHANA | Luka 3: 10-18 | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Pendo | Tarehe 15/12/2024
มุมมอง 276หลายเดือนก่อน
SAUTI YA YOHANA | Luka 3: 10-18 | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Pendo | Tarehe 15/12/2024
Isaiah 12:2-6 | Wimbo wa Katikati | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Pendo | Tarehe 15/12/2024
มุมมอง 341หลายเดือนก่อน
Isaiah 12:2-6 | Wimbo wa Katikati | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Pendo | Tarehe 15/12/2024
Furaha ya Binti Sayuni | Zefania 3:14-18 | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Vyone
มุมมอง 251หลายเดือนก่อน
Furaha ya Binti Sayuni | Zefania 3:14-18 | Jumapili ya tatu ya Majilio | Mshairi Vyone
Jamhuri day 12th Dec 2024 | Kisumu County | Mshairi Pendo | Kenya yapendeza sana.
มุมมอง 275หลายเดือนก่อน
Jamhuri day 12th Dec 2024 | Kisumu County | Mshairi Pendo | Kenya yapendeza sana.
Furahi Katika Bwana | Wafilipi 4: 4-7 | Jumapili ya Tatu ya Majilio | Mshairi Vyone
มุมมอง 267หลายเดือนก่อน
Furahi Katika Bwana | Wafilipi 4: 4-7 | Jumapili ya Tatu ya Majilio | Mshairi Vyone
Asante Mungu, asante Yesu, asante Roho mtakatifu. Kwa kipaji na wafusi wote wa chaneli hii Amina
Roho mtakatifu tenda KAZI yako ,maishani mwangu
Thanks be to God
Na hilo ndilo neno la Mungu
Tumuite kila wakati Kwa Imani atatufanyia muujiza kwenye hitaji letu
Mama Maria atazidi kutuombea sisi wana wake. Ukipungukiwa chochote iwe ni kwa ndoa,kielimu, tumbo lako halijafanikiwa kupata mtoto, kiuchumi: Leo mwambie mama wa Yesu akuombee ishara ya miujiza kwa mwanaye Yesu. Sisi tu wanyonge na wakosefu,hatuna budi kuomba msaada kwa mama
Asante sana mama Maria kwa kutuombea kwa mwanao. Ingawa sisi ni wakosefu watuombea hauchoki
Tangazeni habari yake ulimwenguni kote.amina
Kweli kabisa bigwa wa mashairi
Karibu sana malenga❤
Asabte sana mpenzi wa mashairi kwa kutusapoti kwa safari hii yetu ya ulimwengu wa mashairi. Shukrani ❤
Amina
Naomba mi mnisaidi kwenye biblia ya mumgu zabri b ndo nini
Zaburi,kitabu cha agano la kale.Lililoandikwa na Mfalme Suleimani
Nifanye kiumbe kipya Kwa ubatizo bwana.amina
Karibu kwa Zaburi ya Jumapili ya Ubatiso wa Yesu.
Nafsi yangu Itamsifu bwana kila wakati.amina
Swadakta
Masomo muhimu sana
Safi sana
Kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho
Tumepewa mtoto yesu
Wewe ni mungu kila wakati
Yesu nyota yetu iangaze katika Hali yote maishani mwetu
Unastahili kuabudiwa Bwana mkombozi wangu
Bwana anijalie haja za moyo wangu.amina
Amina
Mwaka huu mpya Mungu atakufanyia njia nyororo. Sifa kwake Maulana daima
Happy new year
Shuhudia mema alokutendea Mungu
Na bado atatenda Bwana wangu
Mama maria katika safari hii nishike mkono na uniongoze.amina
Nashuhudia wema wake
Yale ametenda bwana siwezi hesabu nashuhudia
Happy new year🎉
Heri njema wa mwaka mpya. Na sherehe ya mama Maria mama wa Mungu ambaye ni mamangu. Haniachi nipotee anapenda niwe na mwanaye Yesu.milele.
Let's keep our hope alive
Amen
Gege mit dunga beach
Mema mengi umenijalia asante kwa mwaka huu
Happy new year too❤
Yesu sadaka safi
Happy New year
Salamu za heri njema ya mwaka wa 2025. Shukrani kuu kwa Mungu mwenye majina yote mazuri.Kwa ulinzi wake mwaka 2024.
Sherehe ya kupelekwa kwa mtoto Yesu hekaluni Tuiige familia takatifu ya Yesu Maria na Yosefu.
Merry Christmas 🎉
Baraka na heri njema ya mwaka ujao 2025 kwako mfuasi wetu. Shukrani kwako mpenzi wa mashairi kwa kutusapoti mwaka wa 2024.
Baraka za mwaka mzima nimepata nashukuru
Asante Mungu kwa baraka yako ya mwaka 2024.
Merry Christmas
Merry Christmas