- 133
- 829
Chemo Alex Mutani
เข้าร่วมเมื่อ 24 ก.ย. 2013
วีดีโอ
52 Nafasi na Mamlaka
มุมมอง 3วันที่ผ่านมา
Ewe mpendwa, zingatia nafasi na mamlaka aliyokupa Mungu kila siku, kila saa. Kumbuka kuwa wewe si mtu wa jinsi ya kawaida tu. Wewe si mtu wa mwilini tu. Bali ni mtu mwenye mamlaka. Ukitamka neno lako, utamke ukiwa unategemea matokeo. Maana katika hierarchy ya Ufalme wa Mungu, wewe unayo nafasi na mamlaka ya kusababisha matokeo.
51 Ustahimilivu
มุมมอง 6วันที่ผ่านมา
Ustahimilivu ni uvumilivu endelevu. Mwanamke Mkananayo alikomaa na Yesu mpaka Yesu mwenyewe akamponya mtoto wake. Imani inataka kukomaa na kile unachokiamini. Si lele mama. Unapokomaa bila kubadilikabadilika, ulimwengu unalegea na kukuruhusu kushinda.
49 Mashaka Yanaambukizwa
มุมมอง 11วันที่ผ่านมา
Doubts are transmissible. A person with doubts can cause those around him or her to learn to doubt.
Amen, asante sana Mtumishi wa Mungu...