52 Nafasi na Mamlaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
  • Ewe mpendwa, zingatia nafasi na mamlaka aliyokupa Mungu kila siku, kila saa. Kumbuka kuwa wewe si mtu wa jinsi ya kawaida tu. Wewe si mtu wa mwilini tu. Bali ni mtu mwenye mamlaka. Ukitamka neno lako, utamke ukiwa unategemea matokeo. Maana katika hierarchy ya Ufalme wa Mungu, wewe unayo nafasi na mamlaka ya kusababisha matokeo.

ความคิดเห็น •