🥕Nyau Kitchen🥕
🥕Nyau Kitchen🥕
  • 70
  • 1 214 928

วีดีโอ

Jinsi ya kupika tambi iriki na maini (spaghetti & liver recipe)
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
#Tambi#Maini#soy souce#peanutbutter#Bilinganya#Hoho#carrot#Iriki#Ndimu#pilipili#
Jinsi ya kutengeneza juice ya parachichi kwa kutumia maziwa fresh
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
Jinsi ya kutengeneza juice ya parachichi kwa kutumia maziwa fresh
Jinsi ya kuandaa na kuunga samaki aina ya sato(Fish roast recipe)
มุมมอง 849ปีที่แล้ว
# Royco#Jinger# lemon#masala ya mchuzi
Jinsi ya kupika njegere,Nyama na viazi(peas,meat,potato, recipe)
มุมมอง 2.3Kปีที่แล้ว
#Njegere#Nyama#Viazi#soy souce#mama sita#kiungo cha pilau#nazi#karanga#
Jinsi ya kupika pilau la nyama(colored rice recipe)
มุมมอง 2.9Kปีที่แล้ว
#Nyama#soy souce#mama sita
Jinsi ya kupika mayai na kuku(eggs & chicken recipe)
มุมมอง 533ปีที่แล้ว
#Kuku#mayai#soy souce#mama sita#hoho#carrot#nyanya#kitunguu
Jinsi ya kupika Kuku wa kienyeji na chips (fries chicken recipe)
มุมมอง 6462 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika Kuku wa kienyeji na chips (fries chicken recipe)
Jinsi ya kupika makange ya chips kuku (fries chicken recipe)
มุมมอง 1.4K2 ปีที่แล้ว
#kuku#chips#maziwa#nazi#soy souce#Royco mix
Jinsi ya kupika makande ya mahindi mabichi na njugu mawe (maize&nuts stone recipe)
มุมมอง 4.7K2 ปีที่แล้ว
#maindi#njugu mawe#Hoho#carrot#tangawiz na kitunguu swaumu
Jinsi ya kupika dagaa wa Mwanza wenye biringanya(omena recipe)
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika dagaa wa Mwanza wenye biringanya(omena recipe)
Jinsi ya kupika kuku wa kienyeji kwa viungo mbali mbali na kazi zake kiafya(local chicken)
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
#kuku#soy souce#Ginger powder#Galic powder#Tumeric powder#Lemon#capsicum
Jinsi ya kupika supu ya ngo’mbe (Beef soup )
มุมมอง 618K2 ปีที่แล้ว
#Meat#potato#Ginger#Galic#carrot#capsicum#Black pepper
Jinsi ya kuandaa Samaki wa nazi aina ya Magege part 02 (Tilapia fish recipe)
มุมมอง 1322 ปีที่แล้ว
#Samaki#Nazi#Viazi#Tangawizi#Kitunguu swaumu#Ndimu
Jinsi ya kukaanga na kuunga samaki aina ya Magege part 01 (Tilapia Fish)
มุมมอง 1482 ปีที่แล้ว
#Samaki#Nazi#Viazi#Tangawizi#Kitunguu swaumu#Ndimu
Maandazi ya nazi, Laini yenye Iriki part 02 (Bans recipe)
มุมมอง 1452 ปีที่แล้ว
Maandazi ya nazi, Laini yenye Iriki part 02 (Bans recipe)
Maandazi ya nazi, Laini yenye Iriki part 01 (Bans recipe)
มุมมอง 2202 ปีที่แล้ว
Maandazi ya nazi, Laini yenye Iriki part 01 (Bans recipe)
Breakfast na lunch kwa sikukuu ya Furaha choir by Nyaukitchen
มุมมอง 782 ปีที่แล้ว
Breakfast na lunch kwa sikukuu ya Furaha choir by Nyaukitchen
Maandazi matamu laini na yaliyo chambuka
มุมมอง 1792 ปีที่แล้ว
Maandazi matamu laini na yaliyo chambuka
Cabbage, wali, maharage yenye rojo nzito na adha tamu
มุมมอง 2092 ปีที่แล้ว
Cabbage, wali, maharage yenye rojo nzito na adha tamu
Wali, Cabbage na Maharage kwa events Furaha choir Uhuru Moravian
มุมมอง 3452 ปีที่แล้ว
Wali, Cabbage na Maharage kwa events Furaha choir Uhuru Moravian
Coconut Beans recipe part 02(Maharage ya nazi)
มุมมอง 1002 ปีที่แล้ว
Coconut Beans recipe part 02(Maharage ya nazi)
Maharage makavu yenye nazi kutumia gasi (Beans recipe )
มุมมอง 1682 ปีที่แล้ว
Maharage makavu yenye nazi kutumia gasi (Beans recipe )
Eggs with tomato recipe part 02 (mayai ya nyanya kwaajili ya lunch)
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
Eggs with tomato recipe part 02 (mayai ya nyanya kwaajili ya lunch)
Mayai ya nyanya kwa lunch part 01 (Egg with Tomato recipe)
มุมมอง 7K2 ปีที่แล้ว
Mayai ya nyanya kwa lunch part 01 (Egg with Tomato recipe)
Mchicha ,mnafu, na Spinachi (Vegetable recipe)
มุมมอง 1.1K2 ปีที่แล้ว
Mchicha ,mnafu, na Spinachi (Vegetable recipe)
Jinsi ya kupika makande ya nazi(Maize and beans recipe)
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika makande ya nazi(Maize and beans recipe)
Jinsi ya kupika nyama ya ng’ombe(meat stew recipe)
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika nyama ya ng’ombe(meat stew recipe)
Tambi nyama (Sphaghetti with Meat) S01.E04
มุมมอง 5102 ปีที่แล้ว
Tambi nyama (Sphaghetti with Meat) S01.E04
Jinsi ya kupika tambi nyama (Sphagetti with meat)S01.E03
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika tambi nyama (Sphagetti with meat)S01.E03

ความคิดเห็น

  • @vickyadam8211
    @vickyadam8211 2 วันที่ผ่านมา

    Supu hiyo sio viazi vinakorogwa sana pili supu aiwekwi hoho wala karoti

  • @doricemisigaro337
    @doricemisigaro337 3 วันที่ผ่านมา

    Kande zako ni nzuri sana

  • @MariamIbrahim-e3x
    @MariamIbrahim-e3x 4 วันที่ผ่านมา

    Supu ni nzuri Kwa macho ila hiriki imenitoa nje.Naomba kujua inasaidia nn? Mama Ibu Namt.

  • @bethngugi-z1f
    @bethngugi-z1f 11 วันที่ผ่านมา

    Viungo ni vingi sana

  • @wivinasweetbert7166
    @wivinasweetbert7166 14 วันที่ผ่านมา

    Tangawizi nyingi sna

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 17 วันที่ผ่านมา

    Mchemsho umeenda shule

  • @FelisterNampoka
    @FelisterNampoka 21 วันที่ผ่านมา

    Lete pishi la biliani Dada

  • @IMELDAMLIGO-z6x
    @IMELDAMLIGO-z6x หลายเดือนก่อน

    We unatudanganya

  • @graani-ry
    @graani-ry หลายเดือนก่อน

    Supu bila vitafunio, vitafunio Nyama.😮😮

  • @HellenRaimond
    @HellenRaimond หลายเดือนก่อน

    Congratulations ❤❤❤

  • @SarafinaMagani
    @SarafinaMagani หลายเดือนก่อน

    Nimependa pishi la tambi asante

  • @AluteAthumani
    @AluteAthumani หลายเดือนก่อน

    Je ukitumia rise Cooke

  • @NuruSwaleh-m8j
    @NuruSwaleh-m8j หลายเดือนก่อน

    Hizo vegetables zilizo zidi c lazima mtu azile kama hapendi....hizo pia zinaleta ladha kwa supu na kama zimechemkia vzuri ladha itakuwa ishaingia kwa supu so zitoe kama huezi kula na unywe supu😍🥰🥰🥰

  • @HossanaMsemwa
    @HossanaMsemwa หลายเดือนก่อน

    Nimependa

  • @edwardlucas168
    @edwardlucas168 หลายเดือนก่อน

    Mmmh cjui lkin hiyo sio supu tena kale na ugali au wali tu hapo

  • @Chau_beauty_tz
    @Chau_beauty_tz หลายเดือนก่อน

    😊😊😊

  • @MaisaraMajariwa
    @MaisaraMajariwa หลายเดือนก่อน

    Nzur

  • @FatmaKhamis-l8x
    @FatmaKhamis-l8x หลายเดือนก่อน

    Supu gani hiyo

  • @EsqueenEsu
    @EsqueenEsu หลายเดือนก่อน

    Waooo nice

  • @JazaghmaIbrahim
    @JazaghmaIbrahim หลายเดือนก่อน

    Waooooh nice

  • @AminaSulle-x9t
    @AminaSulle-x9t 2 หลายเดือนก่อน

    Huo ni mchuzi mchemsho wa ugali na wali au chapati supu haipikwi hivo

  • @Sarahkibona-y1r
    @Sarahkibona-y1r 2 หลายเดือนก่อน

    Bado nyanyatu

  • @joycembago5934
    @joycembago5934 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani ukiweka nyama kwenye friji uoshi?

  • @HadijaChambuso
    @HadijaChambuso 2 หลายเดือนก่อน

    Supu yng pendwa siyo mimaji umesahau kabinzari chembamba🎉❤

  • @salomemwakapeje8996
    @salomemwakapeje8996 2 หลายเดือนก่อน

    Supu inaandaliwa kwa nyama freshi isiyogandishwa, na kama imeganda hakikisha unailoweka inayuka mabarafu ioshe visuri kisha ipike, usipike na mabarafu.

  • @salomemwakapeje8996
    @salomemwakapeje8996 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mchuzi kabisa tusiopenda nyanya tutakula na ugali.

  • @joshuamollel5760
    @joshuamollel5760 2 หลายเดือนก่อน

    Haiongei n nn unaweka

  • @sosman9171
    @sosman9171 2 หลายเดือนก่อน

    Supu inafaa chuvi pekee yake

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 3 หลายเดือนก่อน

    Leo nmepata mpya pilipil na ndimu kwenye pilau duh😂😂

  • @Farida-t5q4v
    @Farida-t5q4v 3 หลายเดือนก่อน

    Jmn mbn iko vzr tu

  • @YusuphAbedi
    @YusuphAbedi 3 หลายเดือนก่อน

    That is good

  • @AshaOmary-cg8ds
    @AshaOmary-cg8ds 3 หลายเดือนก่อน

    Nimependa umepika vizuri

  • @HussnaAssan
    @HussnaAssan 3 หลายเดือนก่อน

    wow😂😂

  • @EmmanuelVenance-s4p
    @EmmanuelVenance-s4p 3 หลายเดือนก่อน

    Unafanyavizurjaman

  • @Gunnar1208
    @Gunnar1208 3 หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri sana lakini naomba punguza tangawizi make utapika chai siku nyingine

  • @D1ragebait
    @D1ragebait 3 หลายเดือนก่อน

    ina ka tamu, asante sana for this rescipie

  • @HussnaAssan
    @HussnaAssan 3 หลายเดือนก่อน

    very foods😅😅😅😅

  • @AhmedMkubwa
    @AhmedMkubwa 3 หลายเดือนก่อน

    Nzuri

  • @JumaaKibungo
    @JumaaKibungo 3 หลายเดือนก่อน

    Nyau naerewa sana mapish Yako miaka ming nyau

  • @NasmaLule
    @NasmaLule 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kuonja tuu upo juuu😂

  • @SalmaSwai-k2x
    @SalmaSwai-k2x 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo bado ngogwe 4 na bamia 4 ni mchemsho tosha....hongera lakini umeweza

  • @SalmaSwai-k2x
    @SalmaSwai-k2x 4 หลายเดือนก่อน

    Unge funika nywele ingekuw pow zaid

  • @FammaMaboko
    @FammaMaboko 4 หลายเดือนก่อน

    Asante🎉

  • @vincentmanyili1207
    @vincentmanyili1207 4 หลายเดือนก่อน

    Hila nimeupenda mchemsho wako

  • @vincentmanyili1207
    @vincentmanyili1207 4 หลายเดือนก่อน

    Umetupiga ya kichwa

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 4 หลายเดือนก่อน

    Sili nyama ya mnyama aliye kufa au kuuliwa

  • @tausmamboleo7092
    @tausmamboleo7092 4 หลายเดือนก่อน

    Wow litakuwa Tamu hilo pilau ❤

  • @felicianachuwa3848
    @felicianachuwa3848 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana

  • @Jenipha-ib1ci
    @Jenipha-ib1ci 4 หลายเดือนก่อน

    Awee hapo pika tu na pilau tulie maana kula na chapati imegoma😅 sio supu hiyo ni mboga

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 4 หลายเดือนก่อน

    🙏