Focus News Tanzania Tv 1
Focus News Tanzania Tv 1
  • 164
  • 211 472
WAZIRI MKUU WA INDIA MODI "AMCHANA" RAIS PUTIN WA URUSI.
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#india ,#usa ,#ukraine ,#israel ,#palestine ,#yanga ,#simba
Tukielekea huko nchini Urusi tunafahamishwa ya kwamba, Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemwambia Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba amani ni "ya umuhimu mkubwa" na suluhisho la vita vya Ukraine "haliwezi kupatikana kwenye uwanja wa vita".
มุมมอง: 53

วีดีโอ

BIDEN ALAANI “UKATILI WA URUSI” BAADA YA MASHAMBULIZI HATARI DHIDI YA UKRAINE.
มุมมอง 3094 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#usa ,#russia ,#ukraine ,#israel ,#palestine ,#simba ,#yanga Rais wa Marekani Joe Biden amelaani wimbi la mashambulio ya makombora ya Urusi yaliyoua takriban watu 38 nchini Ukraine kama "ukumbusho wa kutisha wa ukatili wa Urusi", huku akiapa kuimarisha ulinzi wa anga wa Kyiv. Takriban 190 walijeruhiwa kote nchini, miongoni mwao wagonjwa katika hospitali ya watoto katika m...
KENYA: VIONGOZI WA UPINZANI WAUNGANA NA RUTO KUIDHINISHA MSWADA WA IEBC.
มุมมอง 1485 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#usa ,#russia ,#ukraine ,#israel ,#palestine ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Kenya tunafahamishwa ya kwamba, viongozi wa Azimio Raila Odinga na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ni miongoni mwa viongozi ambao wameungana na Rais William Ruto akiidhinisha Mswada wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
VIKOSI VYA ISRAEL VYASHAMBULIA MJI WA GAZA HUKU VIFARU VIKIINGIA TENA KATIKATI YA MJI.
มุมมอง 22022 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#israel ,#palestine ,#russia ,#usa ,#iran ,#simba ,#yanga Tukielekea huko katika ukanda wa Gaza tunafahamishwa ya kwamba, Wapalestina katika mji wa Gaza wanasema wamepitia moja ya mashambulizi makali zaidi ya Israel tangu ilipoanzisha vita vyake dhidi ya Hamas baada ya kundi hilo kufanya shambulizi la Oktoba 7. Vifaru vya Israel vinaripotiwa kukaribia katikati ya mji kuto...
BIDEN NI KAMA KAKALIA KUTI KAVU, VIGOGO WA CHAMA CHAKE WAMTAKA KUTOWANIA URAIS.
มุมมอง 1352 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#usa ,#russia ,#ukraine ,#palestine ,#simba ,#yanga ,#kenyanews Tukielekea huko nchini Marekani tunafahamishwa ya kwamba, Wabunge wengine kadhaa waandamizi wa chama cha Rais Joe Biden cha Democratic wamejiunga na wito wa kumtaka akabidhi ugombea wake katika uchaguzi wa Novemba kwa mgombea mwingine, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Wakati wa mazungumzo na Kiongoz...
URUSI YAFANYA MAUAJI UKRAINE, 24 WAUAWA, MAKOMBORA YARINDIMA KATIKA MIJI MBALIMBALI.
มุมมอง 7842 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#russia ,#ukraine ,#usa ,#palestine ,#israel ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Ukraine tunafahamishwa ya kwamba, takriban watu 20 wameuawa baada ya Urusi kufanya shambulizi kubwa la kombora dhidi ya miji kote Ukraine, kulingana na maafisa. Katika mji mkuu, Kyiv, takriban watu saba waliuawa katika shambulio la nadra la mchana. Meya wa jiji hilo alisema hospitali ya wa...
URUSI YAENDELEZA OPERESHENI ZA KUKERA, YATEKA KIJIJI KINGINE UKRAINE,PUTIN AELEZWA KUWA NA MATUMAINI
มุมมอง 1.3K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#ukraine ,#russia ,#palestine ,#iran ,#yanga ,#simba ,#kenya Tukielekea huko nchini Urusi tunafahamishwa ya kwamba, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema Jumapili kwamba wanajeshi wa Urusi wamechukua udhibiti wa mji wa Chihari katika mkoa wa Donetsk, hatua nyingine iliyopigwa na vikosi vyake kwenye sehemu hiyo ya vita.
ISRAEL YAENDELEZA UNYAMA WAKE GAZA, YAUWA 16 KATIKA SHAMBULIZI LA ANGA.
มุมมอง 1974 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#israel ,#palestine ,#ukraine ,#russia ,#iran ,#yanga ,#simba Tukiangazia mzozo wa wa Israel na Palestina tunafahamishwa ya kwamba, takriban watu 16 wameuawa katika shambulizi la anga dhidi ya shule moja katika Ukanda wa Gaza, maafisa wa Palestina wamesema.
NANI ANAYEWEZA KUCHUKUA NAFASI YA BIDEN NDANI YA CHAMA CHA DEMOCRATIC?
มุมมอง 1.3K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#usa ,#russia ,#ukraine ,#israel ,#palestine ,#simba ,#yanga Kubabaika kwa Rais wa Marekani Joe Biden wiki iliyopita katika mdahalo na Donald Tarump, kulileta mshtuko katika chama cha Democratic, na kuibua maswali kuhusu nani anaweza kuchukua nafasi yake katika tiketi ya urais iwapo ataamua kujiuzulu.
UCHAGUZI UINGEREZA, WAZIRI MKUU WA ZAMANI SUNAK APIGWA CHINI, CHAMA CHA LABOUR CHASHINDA.
มุมมอง 2439 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#england ,#russia ,#israel ,#palestine ,#lebanon ,#yanga ,#simba Tukielekea huko nchini Uingereza tunafahamishwa ya kwamba, Chama cha Labour kimeshinda rasmi uchaguzi mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 326 vinavyohitajika.
HEZBOLLAH YAIPELEKEA MOTO ISRAEL, YARUSHA ROKETI 200 NA NDEGE ZISIZO NA RUBANI.
มุมมอง 1.7K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#hezbollah ,#israel ,#palestine ,#ukraine ,#russia ,#yanga ,#simba Kundi la Hezbollah kutoka nchini Lebanon limerusha zaidi ya roketi 200 na ndege zisizo na rubani kaskazini mwa Israel, kujibu mauaji ya mmoja wa makamanda wake wakuu. Jeshi la Israel limesema kuwa afisa wake mmoja aliuawa katika shambulio hilo ambalo lilizua mioto kadhaa.
METACHA NA MAUYA WAPEWA MKONO WA KWAKHERI YANGA, GIFT NA GUEDE KUTEMWA?
มุมมอง 1519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#yanga ,#simba ,#israel ,#russia ,#ukraine ,#palestine ,#kenya ,#kenyanews Yanga yaanza na 'Thank You' mbili kimyakimya
"SIONDOKI", BIDEN ASEMA, HUKU SHINIKIZO LA KUMTAKA ASIWANIE URAIS LIKIONGEZEKA.
มุมมอง 34012 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#usa ,#ukraine ,#ukraine ,#palestine ,#iran ,#israel ,#simba ,#yanga Tukielekea huko nchini Marekani tunafahamishwa ya kwamba, Rais wa Marekani Joe Biden alifanya kazi ya kuwatuliza Wanademocrats na wafanyakazi wakuu kwenye kampeni yake siku ya Jumatano, kwani ripoti zilidokeza kwamba alikuwa akiangazia mustakabali wake baada ya mjadala wake mbaya na Donald Trump wiki ili...
HEZBOLLAH YARUSHA MSURURU WA MAROKETI HUKO ISRAEL BAADA YA KAMANDA MKUU KUUAWA.
มุมมอง 1.8K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#focusnewstanzaniatv1 ,#hezbollah ,#israel ,#russia ,#ukraine ,#palestine ,#iran ,#simba ,#yanga Hezbollah inasema kamanda mkuu ameuawa katika shambulio la Israel kusini mwa Lebanon, angalau afisa wa tatu wa ngazi ya juu katika kundi hilo kuuawa katika takriban miezi tisa ya mapigano ya kuvuka mpaka ambayo yameongezeka na kuzua hofu katika eneo hilo. Kundi lenye silaha la Lebanon siku ya Jumata...
SIMBA KICHEKO, MRITHI WA CHAMA HUYU HAPA, NI BALAA, ASHIKIKI, ATOKEA STELLA ADJAME.
มุมมอง 32712 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIMBA KICHEKO, MRITHI WA CHAMA HUYU HAPA, NI BALAA, ASHIKIKI, ATOKEA STELLA ADJAME.
POLISI KENYA WACHAPISHA PICHA ZA WANAOSAKWA KWA UHALIFU WAKATI WA MAANDAMANO.
มุมมอง 76114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
POLISI KENYA WACHAPISHA PICHA ZA WANAOSAKWA KWA UHALIFU WAKATI WA MAANDAMANO.
BREAKING NEWS:RAIS SAMIA AMUONDOA BOSI TRA.
มุมมอง 66614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BREAKING NEWS:RAIS SAMIA AMUONDOA BOSI TRA.
WATU 100 WAUAWA KWENYE MKUSANYIKO WA KIDINI INDIA.
มุมมอง 10514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WATU 100 WAUAWA KWENYE MKUSANYIKO WA KIDINI INDIA.
KENYA HAISHIKIKI, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA MTAANI KUWATAWANYA WANDAMANAJI.
มุมมอง 39116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KENYA HAISHIKIKI, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA MTAANI KUWATAWANYA WANDAMANAJI.
URUSI YAIONYA ISRAEL, NI KUHUSU KUITUMIA UKRAINE MAKOMBORA YA M901 PAC-2.
มุมมอง 3.6K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
URUSI YAIONYA ISRAEL, NI KUHUSU KUITUMIA UKRAINE MAKOMBORA YA M901 PAC-2.
KENYA:IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA MAANDAMANO YAFIKIA 39 - TUME YA HAKI ZA KIBINADAMU.
มุมมอง 51216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KENYA:IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA MAANDAMANO YAFIKIA 39 - TUME YA HAKI ZA KIBINADAMU.
WASIWASI WATANDA MAREKANI KUHUSU AFYA YA AKILI YA JOE BIDEN KUWANIA URAIS.
มุมมอง 1.3K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WASIWASI WATANDA MAREKANI KUHUSU AFYA YA AKILI YA JOE BIDEN KUWANIA URAIS.
CHAMA ATUA YANGA, DILI LAKE LIKO HIVI, AZIZ KI KUONDOKA YANGA?
มุมมอง 78019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHAMA ATUA YANGA, DILI LAKE LIKO HIVI, AZIZ KI KUONDOKA YANGA?
CHADEMA YAPASUKA, WINGU ZITO LATANDA, MSIGWA ATIMKIA CCM, APOKELEWA NA SAMIA.
มุมมอง 20721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CHADEMA YAPASUKA, WINGU ZITO LATANDA, MSIGWA ATIMKIA CCM, APOKELEWA NA SAMIA.
ZELENSKY ATOA WITO UPYA WA KUTAKA APEWE SILAHA ZA MASAFA MAREFU BAADA YA SHAMBULIO.
มุมมอง 1.8K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ZELENSKY ATOA WITO UPYA WA KUTAKA APEWE SILAHA ZA MASAFA MAREFU BAADA YA SHAMBULIO.
USAJILI SIMBA:JE, HUU NI MTIHANI KWA TSHABALALA? ALETEWA MASHINE.
มุมมอง 85221 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USAJILI SIMBA:JE, HUU NI MTIHANI KWA TSHABALALA? ALETEWA MASHINE.
"TATIZO LA JOE BIDEN SIO UMRI WAKE,NI UWEZO WAKE, HANA UWEZO KABISA.” - TRUMP.
มุมมอง 86721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"TATIZO LA JOE BIDEN SIO UMRI WAKE,NI UWEZO WAKE, HANA UWEZO KABISA.” - TRUMP.
KENYA YAAPA WANAJESHI KUENDELEA KUSHIKA DORIA, MANDAMANO KUENDELEA WIKI IJAYO.
มุมมอง 968วันที่ผ่านมา
KENYA YAAPA WANAJESHI KUENDELEA KUSHIKA DORIA, MANDAMANO KUENDELEA WIKI IJAYO.
TRUMP “AMCHOMOLEA” PUTIN, ASEMA MASHARTI YAKE YA KUMALIZA VITA HAYAKUBALIKI.
มุมมอง 2.7Kวันที่ผ่านมา
TRUMP “AMCHOMOLEA” PUTIN, ASEMA MASHARTI YAKE YA KUMALIZA VITA HAYAKUBALIKI.
POLISI WAPIGWA MARUFUKU MATUMIZI YA MABOMU YA MACHOZI, RISASI ZA MOTO KWA WANDAMANAJI.
มุมมอง 1.5Kวันที่ผ่านมา
POLISI WAPIGWA MARUFUKU MATUMIZI YA MABOMU YA MACHOZI, RISASI ZA MOTO KWA WANDAMANAJI.

ความคิดเห็น

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jinga kabisaa .vp kuusu kule Palestinian wao sioo watuu..vivaa Russia

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wale wa gaza sio watu islael inaua kila siku

  • @allybetese6201
    @allybetese6201 วันที่ผ่านมา

    😂😂zere boy vp mbona unaliyaliya siautak mazungumzo wew kila siku unalia upewe sirah mwana kultafta mwana kulipata

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk วันที่ผ่านมา

    HONGERA URUSI. HAO PIA NI WATU KAMA WANAOUWAWA PALESTINA. NA NDIO HAOHAO. KIPIGO KIENDELEE. SI MLIDHANI NI MCHEZO AKIDANGANYWA NA MWANAHARAM MU AMERICA. NA BADO.

  • @pauleranga2621
    @pauleranga2621 วันที่ผ่านมา

    Bravo Putin aluta continua

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g วันที่ผ่านมา

    Na watakeleka Sana

  • @MelktsedekRimoy-yr7bd
    @MelktsedekRimoy-yr7bd 2 วันที่ผ่านมา

    Nisawa kabisa kupeleka huko meli za kivita sababu marekani nieachokozi sana

  • @YahyaAbdi-xw4rn
    @YahyaAbdi-xw4rn 2 วันที่ผ่านมา

    uko poa taarifa zako za uhakika kaka

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 วันที่ผ่านมา

    Moto kwa moto

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 4 วันที่ผ่านมา

    Hesebolla hawana mipango, wao wanauliwa2😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi wao kauliwa

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 วันที่ผ่านมา

    Zatunguliwa

  • @michaelkavavila7371
    @michaelkavavila7371 4 วันที่ผ่านมา

    Mgunduzi wa hizo dron..ni misrael mwenyewe......akianza kujibu...watasema anaangamiza raia

  • @joshuamutambuki6643
    @joshuamutambuki6643 4 วันที่ผ่านมา

    na bado Hezbollah mtakuwa watu kulipiza tu,

  • @user-is4xx1nz8k
    @user-is4xx1nz8k 4 วันที่ผ่านมา

    Israel anawajuaje walipo?

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 5 วันที่ผ่านมา

    Ilud tu enz za mawe

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 5 วันที่ผ่านมา

    Maliza wote

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 5 วันที่ผ่านมา

    Wakome

  • @user-xo9we4yx1c
    @user-xo9we4yx1c 5 วันที่ผ่านมา

    Mda wao umefika hao watakufa wote

  • @user-xo9we4yx1c
    @user-xo9we4yx1c 5 วันที่ผ่านมา

    Kumbe hao mashoga ndio taifa teule upuuzi mtupu

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 5 วันที่ผ่านมา

      Upuuzi upi sasa mbona mnapukutishwa

  • @user-bv4qw9qm4g
    @user-bv4qw9qm4g 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu ibariki Israel ishinde vita hii pia Kwa utukufu wa jina lako mama Israel ni wato wako na taifa lako teule .

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k 5 วันที่ผ่านมา

    Upuuzi wawarabu.watamalizwa.wt.

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 7 วันที่ผ่านมา

    You have warned all of you Israelis, but your military leadership, Ben Yamin Netanyahu, insists on aggression against Palestine, Gaza, Rafah, and all the Palestinian territories. Therefore, Israel and its people have been sentenced to be burned entirely. Did I not tell you not to distort its meaning, Ben Yamin Netanyahu, but you insist on sticking to your decision to attack Palestine, Gaza, Rafah, and the Palestinian people against Israel? Entirely, and the Zionists bear the decision of Bin Yamin Netanyahu, a tragedy will happen to Israel. God is victorious and has no victory. God is great, God is great, God is great, God is great, God is great, God is great, God is great. Victory from God and conquest is near. And prepare against them whatever strength you are able and of the rigging of horses, with which to frighten the enemy of God Your enemy and others Among them, you do not know them, God knows them They are those who spent their love, and among them is the one who is waiting for them and what they have changed. And it was crammed with Suleiman His soldiers are from the jinn, mankind, and birds, and they are distributed. And for Solomon, he collected his soldiers from the jinn, mankind, and birds, meaning: He rode among them with great pomp and magnificence among the humans, and they were the ones who followed him, and the jinn, who were after them, would be in the position, and the birds and their position were above his head, so if he was free, they would shade him from him with their wings, and they would not be gathered together. Monsters of every form, this is the command of God, and there is no turning away from it. Oh God, by the right of Your generosity and honor with which you have exalted Your beloved and Prophet Muhammad, may God’s prayers and peace be upon him and all his family and companions, and to You, the righteous and righteous, O God, show me the wonders of Your ability, strength, oppression, and might. The oppressor, the tyrant, and the tyrant, Ben Yamin, Netanyahu, and his allies from all Arab or Western countries, and his army and soldiers, and the commander of his army, one by one, and not one of them remains. Oh God, Amen, Lord of the Worlds.☝☝🤲🤲☝☝

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 8 วันที่ผ่านมา

    Ukraine ikubali kushindwa

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 8 วันที่ผ่านมา

    Urusi hataki tena vita ashachoka lkn ukraine ndio anataka vita iendelee

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 8 วันที่ผ่านมา

    Ye ttzo hayupo vitani

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 8 วันที่ผ่านมา

    Ttzo anataka suonekane mdhaifu

  • @jumahassan5683
    @jumahassan5683 9 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kushinda vita zele kaa na jirani yako muyamalize

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 9 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu wewe badala ya kumqliza vita unataka silaha ukomi tu

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 9 วันที่ผ่านมา

    Alipenda vita

  • @GilbertMsangi
    @GilbertMsangi 9 วันที่ผ่านมา

    Wok

  • @GilbertMsangi
    @GilbertMsangi 9 วันที่ผ่านมา

    Wok

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 9 วันที่ผ่านมา

    No 2 mmepata rais anayeshaurika ingekuwa huku kwingine mngepigwa risasi au kufungwa jela hivyo shukruni Mungu hata TU kwa kuwapatia rais mwenye hofu ya Mungu

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 9 วันที่ผ่านมา

    Kenya mnajua mmebarikiwa sana na Mungu kwanza Mungu amewainulia mtumishi wa kweli Ezekiel odero why msiungane naye ktk kuombea Taifa lenu Mungu ndiyo atoe maamuzi mnapofanya vurugu wanaoumia ni wamama wajawazito na watoto na kama hivyo wengine wamepoteza maisha nashauri tumieni njia nyingine salama ambayo Haina madhara kwa yeyote

  • @user-rr2nt1dd7o
    @user-rr2nt1dd7o 9 วันที่ผ่านมา

    mungu wewe wajua ukweli, tuhurumie sisi hatujui tulitendalo

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 9 วันที่ผ่านมา

    Kifo kwa putin

  • @eddynaeem6708
    @eddynaeem6708 9 วันที่ผ่านมา

    ni sawa kwa sababu munapoomba mamlaka huwa munaomba utumishi sio ubwana dhidi ya wengine mara hafula mtu akageuka akawa mungu mtu akapinda katiba kwa sababu yeye amiri jeshi ujinga huu wanao viongozi wa Tanzania kwa sababu vyombo vya ulizi na usalama hawajui wajibu wao wanamuona Rais kama mungu wakati yeye ni mtumishi tu wawananchi ati halafu Raisi hashitakiwi kumamamazenu mbona wananchi wanashitakiwa basi na kwa mungu musishitakiwe katiba zenu zitakulindeni

  • @justaalphonce9183
    @justaalphonce9183 10 วันที่ผ่านมา

    Ni siku za mwisho tukeshe tukiomba

  • @user-ui2gs7fo4m
    @user-ui2gs7fo4m 10 วันที่ผ่านมา

    Hadha zinatakiwa kuosha tz

  • @user-hi8go7pk4t
    @user-hi8go7pk4t 10 วันที่ผ่านมา

    Xiyo.vizuli

  • @DaudiChidawali
    @DaudiChidawali 10 วันที่ผ่านมา

    I Mike to year that.

  • @AndrewFilemon
    @AndrewFilemon 10 วันที่ผ่านมา

    Anyongwe

  • @Ufahamu-01
    @Ufahamu-01 12 วันที่ผ่านมา

    Duuh! Diplomasia sahihi zinahitajika sana Africa

  • @SaidshariffShariff
    @SaidshariffShariff 12 วันที่ผ่านมา

    Putin daima husimamia anachokiongea

  • @morohanmwashiuya
    @morohanmwashiuya 12 วันที่ผ่านมา

    Kwanini urus yenyewe isipige marekani nayo iwavulumishie wa marekan

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 13 วันที่ผ่านมา

    Piga putua hilo uwa kabisa

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 13 วันที่ผ่านมา

    Waanze na bb netanyahu

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 13 วันที่ผ่านมา

    Biden wa kwanza akamatwe yy yahud wa kunyonga watoto wanawake na wazee gaza na usitoshe anachochea vita

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 13 วันที่ผ่านมา

    ICC ifutwe

  • @OmaryJuma-vr7vl
    @OmaryJuma-vr7vl 13 วันที่ผ่านมา

    ICC niwasege waanze na nato