STEAM MEDIA
STEAM MEDIA
  • 634
  • 274 336
SIMBA WANAWAZA UBINGWA FOUNTANE GATE WANAPASWA KUCHEZA KWA TAHADHALI......
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi ya ligi kuu Tanzania bara kati ya Simba sc.dhidi ya Singida fountane gate . Karibu kutazama uchambuzi huu makini ndani ya Steam tv pia tunakuomba uweze ku SUBSCRIBE ili uweze kupata taarifa mbalimbali za mchezo hapa hapa Steam tv.
มุมมอง: 383

วีดีโอ

VITA YA UBINGWA!YANGA KUENDELEZA DOZI KWA KENGOLD ILIYOBORESHWA?
มุมมอง 15212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi inayotaraji kuchezwa muda mchache kutoka sasa Yanga sc dhidi ya Kengold kutokea mbeya. Mchezo huu unapokelewa kwa hisia tofauti kutokana na duru ya pili ligi kuu kuanza kwa kasi ya juu huku mabingwa watetezi Yanga sc wakiwa na presha kutokana na hasimu wake kuwa kinara katika msimamo kwa alama 1 zaidi. Pia kitu kinachochagiza mechi hii kuvuta hisia za wengi ni...
UNSTOPABLE!! SIMBA SC HAWACHEKI NA WOWOTE KWENYE MBIO ZA UBINGWA/TABORA UNITED WAKUBALI YAISHEE.....
มุมมอง 15514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi ya ligi kuu Tanzania bara kati ya Tabora utd dhidi ya Simba sc. Mchezo uliyomalizika kwa Simba sc kushinda kwa goli 3 bila. Karibu kutazama uchambuzi huu makini ndani ya Steam tv pia tunakuomba uweze ku SUBSCRIBE ili uweze kupata taarifa mbalimbali za mchezo hapa hapa Steam tv.
DUH! SIMBA SC ILISTAHILI KUMWADHIBU TABORA UNITED/FADLU KIKOSI AMEKIPATA HESABU ZA UBINGWA.......
มุมมอง 20716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi ya Tabora united dhidi ya Simba sc ambapo mnyama ameibuka na ushindi wa goli 3 kwa bila akiwa ugenini. Fadlu Davis kwa sasa kikosi kimepatikana ni mwendo wa dozi tu kuelekea kampeni ya kuusaka ubingwa ulipotea msimbazi kwa miaka 3. Tabora United wamekubali kuwachangia simba points 6 na magoli 6 katika kampeni za kusaka ubingwa.
YANGA LEO WAMEPIGA GUSA ACHIA TWENDE KILELENI!!...KAGERA KUFA CHUMA 4 SIYO BAHATI MBAYA.....
มุมมอง 20919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Yanga wanapanda kileleni mwa msimamo wa ligi kuu baada ya kumfunga goli 4 bila Kagera sugar. Karibu kutazama uchambuzi wa mechi hiyo iliyomalizika hivi punde uwanja KMC complex. Usiache ku SUBSCRIBE ili uweze kupata updates mbalimbali za kimichezo hapa hapa STEAM TV.
UBAYA UBWELA! TABORA UNITED WANATAKIWA KUINGIA KWA NIDHAMU DHIDI YA SIMBA SC......
มุมมอง 10519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mechi ya ligi kuu bara Tabora united wanawakaribisha Simba sc katika duru ya pili ligi kuu Tanzania bara. Karibu kutazama uchambuzi wa mechi hii kati ya miamba hii. Ikumbukwe katika mechi ya awali Simba sc alishinda goli 3 kwa sifuri .Huku Tabora united akiandika historia msimu huu kwa kumfunga Yanga sc na Azam fc je wataweza kufanya hivyo kwa kinara wa ligi kuu? Nikuombe uweze ku subscribe cha...
GUSA ACHIA .....YANGA DHIDI YA KAGERA SUGAR:-KAGERA SUGAR WANAPASWA KUWA NA TAHADHARI KUBWA
มุมมอง 24421 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Klabu ya Yanga wanawakaribisha Kagera sugar katika mchezo wa ligi kuu mkondo wa pili. Karibu kutazama uchambuzi wa mechi hiyo ndani ya Steam tv. Usisahau ku SUBSCRIBE channel hii kupata updates mbalimbali za kimichezo ndani ya steam tv.
EVORD KATIBU WA YANGA TAWI LA KIMARA STOP OVER ATEMA CHECHE BAADA YA TIMU YAKE KUONDOSHWA KIMATAIFA
มุมมอง 8314 วันที่ผ่านมา
Katibu tawi la Yanga kimara Stop over amefunguka mengi kuhusu kutoa ushirikiano kwa wachezaji na viongozi wa klabu ya Yanga bila kujali matokeo mabaya ya timu kimataifa. Atoa wito kwa wanachama kuendelea kulipia ada ya uanachama ili kuweza kuweka nguvu kubwa kwa klabu katika uendeshaji wake. Usiache ku SUBSCRIBE chanel hii ili uweze kupata updates mbalimbali zinazotumwa katika chanel hii.
SIMBA SC WALISTAHILI KUONGOZA KUNDI NA USHINDI DHIDI YA CS CONSTANTINE SIYO BAHATI MBAYA.......
มุมมอง 15114 วันที่ผ่านมา
Simba sc kuongoza kundi lake kombe shirikisho barani Afrika haijaja kwa bahati mbaya. Ukiangalia katika kundi lake Simba sc ndiyo timu iliyokuwa na mafanikio makubwa kuzidi timu zote katika kundi lake tunapoongelea mafanikio ya soka la Afrika. Karibu kutazama uchambuzi wa mechi ya Simba vs cs constatine ambapo simba sc wameibuka na ushindi mnono wa goli mbili na kupelekea kuongoza kundi lake. N...
JUMA ABDULY:- SIMBA SC INGAWA WANAWAKOSA MASHABIKI WAKE LAKINI USHINDI KWAO NI LAZIMA ILI WAONGOZE..
มุมมอง 54921 วันที่ผ่านมา
Simba sc leo wanatupa karata yao ya mwisho katika hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika ambapo watawakaribisha CS CONSTATINE yeyote atayekaye ibuka na ushindi ndiye atakuwa kinara wa kundi ambapo atapata faida ya kuanzia ugenini katika mchezo wa kwanza wa robo fainali. Nikuombe uweze Ku SUBSCRIBE chanel hii kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE ikifuatiwa na alama ya kengele ili uweze kupat...
CHANDE YANGA ATAMBA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA LEO HII
มุมมอง 12921 วันที่ผ่านมา
Mashabiki wa Yanga tawi la kimara stop ova wamekinukisha muda huuu kuelekea mchezo wa makundi kufuzu hatua ya robo fainali dhidi ya Mc Alger. Mashabiki hao wanatamba kummaliza mwarabu Benjamini Mkapa. Nikuombe uweze ku SUBSCRIBE chanel kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE kisha alama ya kengele uweze kupata updates mbalimbali hapa hapa steam media.
MASHABIKI WA YANGA TAWI KIMARA STOP OVA WANAKINUKISHA KUELEKEA MCHEZO DHIDI MC ALGER
มุมมอง 6221 วันที่ผ่านมา
Mashabiki wa Yanga tawi la kimara stop ova wamekinukisha muda huuu kuelekea mchezo wa makundi kufuzu hatua ya robo fainali dhidi ya Mc Alger. Mashabiki hao wanatamba kummaliza mwarabu Benjamini Mkapa. Nikuombe uweze ku SUBSCRIBE chanel kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE kisha alama ya kengele uweze kupata updates mbalimbali hapa hapa steam media.
JUMA ABDULY; YANGA KUIMALIZA KAZI KWA MKAPA MAPEMA SANA MC ALGER LAZIMA AFE/RAMOVIC KIBOKO....
มุมมอง 23921 วันที่ผ่านมา
Karibu kutazama video ya uchambuzi mechi ya Yanga vs Mc Alger ya nchini Algeria ambapo mchezo wa mwisho kufuzu hatua robo fainali klabu bingwa Afrika. Juma Abduly amekuja na uchambuzi makini huku akiipa nafasi kubwa Yanga kufanya vizuri katika mchezo huo. Tunakuomba usiache ku subscribe chanel hii kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE kisha alama ya kengele ili uweze kupata updates mbalimbali kupitia ha...
SIMBA SC KUENDELEZA UBAYA UBWELA KWA KAGERA SUGAR LEO?
มุมมอง 246หลายเดือนก่อน
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi ya Simba sc dhidi ya Kagera sugar mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara ambapo itakumbukwa kuwa Simba ametoka kupata ushindi wa goli 2 bila katika mchezo wa mwisho dhidi Kengold. Leo tutarajie ni mechi ya namna gani? karibu kutazama uchambuzi makini ndani Steam tv na mchambuzi nguli kabisa wa masuala ya soka Munil Duma. Usiache ku subscribe kwa kubonyeza neno SUBSC...
UNSTOPABLE!! YANGA DHIDI YA PRISONS GUSA ACHIA TWENDE KWAO ITAMALIZA MCHEZO MAPEMAA....
มุมมอง 252หลายเดือนก่อน
Karibu kutazama uchambuzi wa mechi Yanga vs Tanzania Prisons ambapo mabingwa watetezi klabu ya wananchi Yanga sc watakuwa mwenyeji kumkaribisha Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC. Ikumbukwe mchezo wa mwisho Yanga ilifanikiwa kushinda dhidi ya Mashujaa ya Kigoma. Je tutegemee ni mchezo wa aina gani karibu kutazama uchambuzi wa kina sana ndani STEAM TV pia usiache KU subscribe chanel hii kwa k...
UNSTOPABLE!! YANGA HII YA MOTO/RAMOVIC NA BENCHI LAKE WAMEANZA KUREJESHA MAKALI/DIARA TUOMBE DUA...
มุมมอง 93หลายเดือนก่อน
UNSTOPABLE!! YANGA HII YA MOTO/RAMOVIC NA BENCHI LAKE WAMEANZA KUREJESHA MAKALI/DIARA TUOMBE DUA...
JUMA ABDULY:-KWA KINACHOFANYWA NA VILABU VYETU NCHINI SIMBA NA YANGA NI ISHARA SOKA LETU KUKUA.....
มุมมอง 222หลายเดือนก่อน
JUMA ABDULY:-KWA KINACHOFANYWA NA VILABU VYETU NCHINI SIMBA NA YANGA NI ISHARA SOKA LETU KUKUA.....
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA! SIMBA KWA MKAPA LAZIMA AMLE NYAMA MTUNISIA/FADLU DAVIDS KUMALIZA KAZI..
มุมมอง 611หลายเดือนก่อน
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA! SIMBA KWA MKAPA LAZIMA AMLE NYAMA MTUNISIA/FADLU DAVIDS KUMALIZA KAZI..
UN BELIEVABLE! YANGA KUWASHANGAZA WENGI MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE/USHINDI NI LAZIMA ILI KUFUZU....
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
UN BELIEVABLE! YANGA KUWASHANGAZA WENGI MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE/USHINDI NI LAZIMA ILI KUFUZU....
MWENDA MBAVU YA KULIA/SHABIKI YANGA ANAPASWA KUMPOKEA NA KUMPA IMANI ISRAEL MWENDA ATAFANYA MAKUBWA
มุมมอง 65หลายเดือนก่อน
MWENDA MBAVU YA KULIA/SHABIKI YANGA ANAPASWA KUMPOKEA NA KUMPA IMANI ISRAEL MWENDA ATAFANYA MAKUBWA
🔴KOCHA MPYA WA YANGA ANAPASWA KUPEWA UTULIVU KULIKO KUONGEZEWA PRESHA 🔥🔥🔥
มุมมอง 892 หลายเดือนก่อน
🔴KOCHA MPYA WA YANGA ANAPASWA KUPEWA UTULIVU KULIKO KUONGEZEWA PRESHA 🔥🔥🔥
🔴IWE ISIWE TAIFA STARS ANATAKIWA KUSHINDA MECHI DHIDI YA ETHIOPIA .......
มุมมอง 602 หลายเดือนก่อน
🔴IWE ISIWE TAIFA STARS ANATAKIWA KUSHINDA MECHI DHIDI YA ETHIOPIA .......
🔴SIMBA WAMEJIPATA KIKOSI KIMEUNGANIKA KWA SASA NI HUMU TU 🔥🔥🔥
มุมมอง 183 หลายเดือนก่อน
🔴SIMBA WAMEJIPATA KIKOSI KIMEUNGANIKA KWA SASA NI HUMU TU 🔥🔥🔥
TOBAA! HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA YANGA KUFUNGWA NA TABORA UNITED IDADI KUBWA YA MAGOLI....
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
TOBAA! HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA YANGA KUFUNGWA NA TABORA UNITED IDADI KUBWA YA MAGOLI....
🔴TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAKICHARUANA BAADA YA YANGA KUFUNGWA NA TABORA UNITED...
มุมมอง 1133 หลายเดือนก่อน
🔴TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAKICHARUANA BAADA YA YANGA KUFUNGWA NA TABORA UNITED...
MUNIL DUMA:-SIMBA HII IMEJIPATA KMC KUKIONA CHA MOTO.....
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
MUNIL DUMA:-SIMBA HII IMEJIPATA KMC KUKIONA CHA MOTO.....
🛑STEVEN MAPUNDA:-UN PREDICTABLE/DEBY YA MZIZIMA YANGA KUUMALIZA MFUPA MGUMU WA AZAM FC?.....
มุมมอง 843 หลายเดือนก่อน
🛑STEVEN MAPUNDA:-UN PREDICTABLE/DEBY YA MZIZIMA YANGA KUUMALIZA MFUPA MGUMU WA AZAM FC?.....
STEVEN MAPUNDA:-FANTASTIC GAME/SIMBA SC KUINGIA NA KISASI LAKE TANGANYIKA DHIDI YA MASHUJAA FC?...
มุมมอง 913 หลายเดือนก่อน
STEVEN MAPUNDA:-FANTASTIC GAME/SIMBA SC KUINGIA NA KISASI LAKE TANGANYIKA DHIDI YA MASHUJAA FC?...
🛑WAZEE WA SIMBA SC KUMBE HATA ENZI YA UJANA WAO WAMEWAHI KUFUNGWA NA YANGA MARA 6 MFULULIZO...
มุมมอง 1653 หลายเดือนก่อน
🛑WAZEE WA SIMBA SC KUMBE HATA ENZI YA UJANA WAO WAMEWAHI KUFUNGWA NA YANGA MARA 6 MFULULIZO...
🛑STEVEN MAPUNDA/YANGA KUIFUNGA JKT TANZANIA NI KUTOKANA NA UBORA ULIOPO KATIKA KIKOSI CHA YANGA.....
มุมมอง 363 หลายเดือนก่อน
🛑STEVEN MAPUNDA/YANGA KUIFUNGA JKT TANZANIA NI KUTOKANA NA UBORA ULIOPO KATIKA KIKOSI CHA YANGA.....

ความคิดเห็น

  • @KarimuAbdallah-e6h
    @KarimuAbdallah-e6h 6 วันที่ผ่านมา

    Kweli kaka simba sasa ni moto wa kuotoa mbali 🔥🔥🔥

  • @FaridAbdallah-pn3kw
    @FaridAbdallah-pn3kw 6 วันที่ผ่านมา

    KIRAKA

  • @MnyamaniJuma-cb6fz
    @MnyamaniJuma-cb6fz 6 วันที่ผ่านมา

    Inapendeza sana unyama mwingi

  • @MwayaDenis
    @MwayaDenis 7 วันที่ผ่านมา

    R I p

  • @FaridAbdallah-pn3kw
    @FaridAbdallah-pn3kw 8 วันที่ผ่านมา

    Ligi ya moto kweli kweli

    • @steamtvtz
      @steamtvtz 8 วันที่ผ่านมา

      KWELI KABISAA

  • @DottoShabani-v6f
    @DottoShabani-v6f 9 วันที่ผ่านมา

    Nakubali

    • @steamtvtz
      @steamtvtz 9 วันที่ผ่านมา

      karibu sana

  • @zuberimovich2421
    @zuberimovich2421 16 วันที่ผ่านมา

    Gusa achia twende .....

  • @fredymakombe-h3x
    @fredymakombe-h3x 19 วันที่ผ่านมา

    atali sanaa

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s 21 วันที่ผ่านมา

    Simba sports i😂🎉

  • @mgogstv
    @mgogstv 22 วันที่ผ่านมา

    Baba lazima tuichape

  • @mgogstv
    @mgogstv 22 วันที่ผ่านมา

    Tunajiamini sana naushindi lazima🎉

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s 22 วันที่ผ่านมา

    Yanga ikijipanga 🎉🎉.

  • @FaridAbdallah-pn3kw
    @FaridAbdallah-pn3kw 22 วันที่ผ่านมา

    Dua kwao yanga wakaliheshimishe taifa

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s 22 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @Giannahkessy
    @Giannahkessy 28 วันที่ผ่านมา

    Nc job

  • @Giannahkessy
    @Giannahkessy 28 วันที่ผ่านมา

    Saf

  • @pastordeusfecki
    @pastordeusfecki หลายเดือนก่อน

    Nataka kuwambia kwamba live sedi ubongo dar es Salaam kuna kiwanda cha kuzalisha kuzalisha ma super site kalbu nitafte mda wowte nikuelekeze njoo dm

  • @SaidaRamadhan-j7m
    @SaidaRamadhan-j7m หลายเดือนก่อน

    mama 😢😢😢😢😢

  • @CheniMmela
    @CheniMmela หลายเดือนก่อน

    saf

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Uyu spider Kamara mtu sanaa iyo anajua mnooo

  • @AslatuHaji
    @AslatuHaji หลายเดือนก่อน

    Npnd kuigiza na najifunza kupitiy ww

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      karibu sana hivi punde tutakuwa na masomo ya ana kwa ana kwa watu wa mkoa dsm kwahiyo endelea kufuatilia chanel hiii

  • @muusikatv
    @muusikatv หลายเดือนก่อน

    nice bro I lik it

  • @muusikatv
    @muusikatv หลายเดือนก่อน

    nice bro I lik it

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Uyo dube atafunga sana msimu huu 😂😂maombi yanafanya kazi

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Mpira wetu umekua sana wakati huu ila bado vilabu vyetu tunavidai mafanikio makubwa zaidi katika michuano wanayoshiriki

  • @nandzondzee
    @nandzondzee หลายเดือนก่อน

    mnachambua vizuri sana polepole ndiyo mwendo soon mtaeleweka

  • @nandzondzee
    @nandzondzee หลายเดือนก่อน

    Mko poa sana katika uchambuzi

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Uyo msuva mtu sana uyooo

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      Lulu ya Taifa letu

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 หลายเดือนก่อน

    YANGA ushindi lazima!

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      Anashinda goli mbili leo

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Mwenda ni azina kwa taifa

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      Kabisa aiseee

  • @DamianDastan-x5s
    @DamianDastan-x5s หลายเดือนก่อน

    Yanga kwa maslahi ya taifa afanye kweli kule congo na APA kwa mkapa

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      Haswaaaa

  • @FaridAbdallah-pn3kw
    @FaridAbdallah-pn3kw หลายเดือนก่อน

    Lazima tp atoe tu utamu

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      SAWA MWANAMICHEZO

  • @mgogstv
    @mgogstv หลายเดือนก่อน

    🎉umetixha baba

    • @steamtvtz
      @steamtvtz หลายเดือนก่อน

      shukrani sana kk

  • @mpdirector
    @mpdirector 2 หลายเดือนก่อน

    kweli kbsa

  • @simuliziarena
    @simuliziarena 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @mgogstv
    @mgogstv 3 หลายเดือนก่อน

    Simba bado hawana viwango vyakutufunga wanayanga

  • @BahatiKomba-v5e
    @BahatiKomba-v5e 3 หลายเดือนก่อน

    Sg

  • @haradalimedia
    @haradalimedia 3 หลายเดือนก่อน

    Moto kuwaka leo Tanganyika 😂😂😂😂😂