UTPC
UTPC
  • 14
  • 181 540
HALI YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
Maoni ya wakuu wa taasisi na vyombo vya habari nchini kuhusu Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania.
Maadhimisho haya ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa mwaka 2024 yalifanyika kitaifa mkoani Dodoma na kufunguliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa.
มุมมอง: 33

วีดีโอ

PRESIDENT DEO NSOKOLO ADDRESSING THE MEDIA STAKEHOLDERS
มุมมอง 267 หลายเดือนก่อน
GOVERNMENT AND MEDIA STAKEHOLDERS UNITE TO BOLSTER MEDIA SECTOR IN TANZANIA For the 1st time in Arusha today, a ground-breaking meeting was convened to assess the state of the media sector, marking a significant milestone in the collaboration between the Ministry of Information, Communications, and Information Technology and key media stakeholders. During this historic gathering, various strate...
UTPC CHAMPIONS CHANGE: LEADING THE CONVERSATION ON EARLY CHILDHOOD CARE AND DEVELOPMENT
มุมมอง 267 หลายเดือนก่อน
The four-day International Conference on Early Childhood Care and Development for the East African region was inaugurated yesterday, March 11, 2024, in Dar es Salaam, with the Minister of Community Development, Gender, Women, and Children, Dr. Dorothy Gwajima, representing President Dr. Samia Suluhu Hassan. The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), through its leading journalists from 26 Press ...
PRESS CLUBS EXHIBITION, GENERAL MEETINGS AND DAUDI MWANGOSI AWARD
มุมมอง 458 หลายเดือนก่อน
PRESS CLUBS EXHIBITION, GENERAL MEETINGS AND DAUDI MWANGOSI AWARD
Balozi wa Sweden Mh. Anders Sjöberg
มุมมอง 715 ปีที่แล้ว
Speech ya Balozi wa Sweden, Anders Sjöberg kwenye Tuzo ya Daudi Mwangosi, Mjini Unguja Zanzibar Tarehe 6/9/2019
TUJADILIANE NA KATIBU MKUU CCM Dk Bashiru Ally (SEHEMU 1)
มุมมอง 7175 ปีที่แล้ว
TUJADILIANE TANZANIA 2019 Karibu katika kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Kwa Neema Fm, Sengerema Fm, City Fm, Gazeti la Mwananchi, Gazeti la Habari leo, na Daily News) kwaku s...
TUJADILIANE - NAIBU WAZIRI WA NCHI OFISI YA M/ RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA Mussa Sima 2019
มุมมอง 2695 ปีที่แล้ว
TUJADILIANE TANZANIA 2019 Karibu katika kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Naibu Waziri Wa Nchi Ofisi ya M/Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Kwa Neema Fm, Sengerema Fm, City Fm, Gazeti la Mwananchi, Gazeti la Habari leo, na Daily N...
TUJADILIANE TANZANIA NA MAALIM SEIF
มุมมอง 24K6 ปีที่แล้ว
TUJADILIANE TANZANIA MAY 2018 Karibu katika kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tumemualika Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalm Seif Sharifu Hamad. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Mkombozi Fm, Radio Afya, Kwa Neema Fm, Living water Fm, HHC Alive, Sengerema Fm, City Fm, Iqra...
Tujadiliane Tanzania Dr Hassan Abbasi
มุมมอง 1.7K6 ปีที่แล้ว
Tujadiliane Tanzania Dr Hassan Abbasi
Tujadiliane Tanzania na Zitto Kabwe
มุมมอง 149K6 ปีที่แล้ว
TUJADILIANE TANZANIA 2018 Karibu katika sehemu ya nne ya kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Mbunge wa jimbo la Kigoma mjini na Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Mkombozi Fm, Radio Afya, Kwa Neema Fm, Living water Fm, HHC...
Tujadiliane Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo
มุมมอง 2.8K6 ปีที่แล้ว
TUJADILIANE TANZANIA 6 DEC 2017 Karibu katika sehemu ya nne ya kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Waziri wa Tawala za Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI) Selemani Jafo. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Mkombozi Fm, Radio Afya, Kwa Neema Fm, Living water Fm, HHC Aliv...
TUJADILIANE PRODUCTION 003
มุมมอง 7066 ปีที่แล้ว
Karibu katika sehemu ya tatu ya kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Madaraka Nyerere. Katika kipindi Madaraka ameeleza kwa kina mambo kadhaa usiyo ya jua juu ya historia ya Mwalimu J.K Nyerere namna alivyo ishi na familia yake wakati akiwa kiongozi mkubwa wa taifa. Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye m...
TUJADILIANE TANZANIA - NAIBU WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
มุมมอง 6217 ปีที่แล้ว
Karibu katika sehemu ya pili ya kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Naibu Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabula. Katika kipindi hiki Naibu Waziri Mabula ametoa majawabu kutoka kwa maswali ya waandishi wa habari, ikiwamo mpango wa serikali kuja na Kitengo kitakacho shugulika na kupanga kodi hili kuweka usawa kati ya wapangaji na wenye nyumba. Aidha amepa...
TUJADILIANE Tanzania
มุมมอง 8657 ปีที่แล้ว
Tujadiliane, ni kipindi kinacho kukutanisha na viongozi wa serikali, wakuu wa mashirika ya umma na serikali, asasi na taasisi za kiraia, lengo ni kufanya tafakuri tunduzi na maswali chokonozi kutoka kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mwanza. Ufunguzi wa kipindi hiki una mkutanisha mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela na waandishi wahabari wa mkoa huo. kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radi...