- 52
- 413 097
Kwaya Mt. Fransisko Ksaveri, Chang'ombe Parish DSM
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 29 พ.ค. 2022
Mpeni Yesu Nafasi, Atawale Maisha Yenu
Ninakuabudu Mungu Wangu - St. Thomas Aquinas
Karibu kusikiliza wimbo wa Mt. Thomas wa Aquino, wimbo bora sana wa kuabudu.
มุมมอง: 26 690
วีดีโอ
Tujenge Jumuiya Ndogo Ndogo - Charles C. Saasita
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Wakristo tunaitwa, tujenge jumuiya ndogo ndogo za kikristo, ili kanisa lipate kujitegemeza kiuchumi na katika utumishi. Ni wimbo mzuri unaotutaka sisi waamini kujitoa kwa jumuiya zetu maana Jumuiya zetu ni umoja wa wabatizwa, ambao wamezaliwa kama watoto wa Mungu Baba, kwa njia ya Mwanae Yesu Kristo, na kumiminiwa Roho Mtakatifu. Utunzi wake Marehemu Charles Crispin Saasita
Salamu Mama Bikira Maria - Dr. D. S. Kacholi
มุมมอง 17Kปีที่แล้ว
Wimbo maalum wa kumwomba Mama Bikira Maria atuombee amani. Karibu kutusikiliza na pia uweze ku-subscribe kwa channele yetu pendwa.
EE MWENYEZI MUNGU NITAKUSHUKURU - Charles Saasita
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Ee Mwenyezi Mungu nitakushukuru, Ee Bwana, Nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa, NItakuimbia zaburi kati ya Mataifa.
Uzinduzi wa Albamu ya Video Toleo la 4 iitwayo Mshukuruni Mungu
มุมมอง 759ปีที่แล้ว
Karibuni sana kushiriki nasi katika uzinduzi wa video yetu toleo la 4 inayoitwa Mshukuruni Mungu. Uzinduzi utafanyika Julai 2, 2023 katika ukumbi wa Parokia ya Chang'ombe, Jimbo Kuu Katoliki la Da es Salaam. Karibuni wote Kutuunga Mkono. Uzinduzi huu unalenga kuendeleza juhudi za kwaya kiuinjilishaji, kuitegemeza kwaya kiuchumi na sehemu ya fedha itakwenda kusaidia ukarabati wa ofisi parokia.
NINAKUSHUKURU EE MUNGU WANGU KISSO SHIJA
มุมมอง 12Kปีที่แล้ว
NINAKUSHUKURU EE MUNGU WANGU KISSO SHIJA
MTAKATIFU YOSEFU - Casmir Gilishi
มุมมอง 2.8Kปีที่แล้ว
Wimbo unaelezea sifa za Mtakatifu Yosefu, Baba Mlishi wa Yesu ambaye ni mpole na asiyeaibisha. Yoesu ni mfano mzuri ambao akina Baba wa leo tunatakiwa kuishi.
On the workers day Baba Askofu Mkuu akitoa maelekezo yake
มุมมอง 279ปีที่แล้ว
On the workers day Baba Askofu Mkuu akitoa maelekezo yake
Wosia wa Baba Askofu Kwa Waimbaji Jimbo kuu la DSM
มุมมอง 284ปีที่แล้ว
Baba Askofu Yuda-Thadei Ruwaichi akiwahasa wanakwaya Jimbo kuu la DSM kutokuwa watumbuizaji
Maelekezo ya Baba Askofu wetu
มุมมอง 177ปีที่แล้ว
Baba Askofu Yuda-Thadei Ruwaichi akielezea wanakwaya wa Jimbonla DSM namna Bora ya kuimba na kumtukukuza Mungu, siku ya 10.04.2023 Jumatatu ya Pasaka
Furahini watu wote - F. A Nyundo
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Waimbaji wa Kwaya ya Mt. Fransisko Ksaveri Parokia ya Chang'ombe Jimbo kuu la Dar es Salaam wakiimba wimbo wa Furahini watu wote - F.A Nyundo siku ya Pasaka April 9, 2023. Hakika walipendeza sana siku hiyo.
BWANA YESU AMEFUFUKA - Casmir Gilishi
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
Bwana Yesu Amefufuka, Bwana Yesu Amefufuka Kweli Kweli Aleluya. Tumekokombolewa watu wote tufurahi, Aleluya.
KRISTO AMEFUFUKA - Charles Saasita
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
Krisyo amefufuka limbuko lao waliolala, Kristo amefufuka katika wafu aleluya.
HEKIMA NA UTAJIRI Hillary B Bwagidi
มุมมอง 16Kปีที่แล้ว
Warumi 11:33 Utajiri, hekima na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu
Msikishughulikie Chakula Kiharibikacho - C. Saasita
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
Msikishughulikie Chakula Kiharibikacho - C. Saasita
Karibu AMECEA - C. Saasita (Waimbaji UKWAKATA DSM)
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
Karibu AMECEA - C. Saasita (Waimbaji UKWAKATA DSM)
Kutabarukiwa kwa Parokia ya Ununio, Mt. Yohane Paulo II
มุมมอง 2.3K2 ปีที่แล้ว
Kutabarukiwa kwa Parokia ya Ununio, Mt. Yohane Paulo II
Kutabaruku Parokia ya Ununio, Mt. Yohane Paulo II
มุมมอง 6902 ปีที่แล้ว
Kutabaruku Parokia ya Ununio, Mt. Yohane Paulo II
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana MUNGU NI MWEMA TUTAREJEA KWA UBORA ZAIDI KTK MAPITO NA HEKIMA YA MUNGU ILIYO KUU MNO
Pongezi Kwa wimbo Bora.Mola Awabariki.
Swadakta
Wimbo mzuro sana
Hongereni sana wimbo mzuri hongera nyingi kwake mtunzi mwl Fidelis Kashumba
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Mziki mzuri na uliotukuka kwa kweli mungu anawapenda wale wanaomtumikia kwa dhat yo moyo ❤
Imani yangu ni wapi ? Eeee yesu wangu
hongereni sana kwa wimbo mzuri kwa baba mrishi Yosefu
Beautiful ❤️🙏
Naomba nota ya wimbo huuu
Kongole kwenu wana chang'ombe
Tunaomba video
Hongereni wapendwa Kwa wimbo mzuri sana mtunzi Maua kwako pokea
Mungu azidi kuwazidishia kwa uimbaji wenu
Wimbo mzuri sana, sana
Muziki umeshiba vizuri to, Mungu awabariki na utume huo wa kuimba
I just love the devotion the choir members have and the love. It's amazing!
Asanteni, MUNGU awabariki yaani raha.
Naweza pata nota za wimbo huu
AIikiba
Safi❤❤
eeh, huyu daktari kacholi, amefanya kazi mzuri sana kwa huu wimbo. tafadhali daktari, weka nota
Wimbo mzuri Sana naomba copy yake yaani nota za wimbo huo
Wimbo nimeupenda San lakini mziki wake siupati
Kwa kweli mbarikiwe na BWANA mmepiga wimbo mkali na mabeti ya Kigregorian yenye tafakari ya uhuisho usikilizapo.
One of my best adoration song. To God be all the glory. Hallelujah
Amen
A nice piece, God bless you, good job
Wimbo mzuri sana hongereni sana
Asante mama alors je cherche sa partition
Hongera sana mtunzi na wanakwaya mbarikiwe sana
Hongereni sana! Mko vizuri Mungu awatunze na awabariki
Amina Amina Amina
God bless Mr saasita to rest at peace,,,,,
Hongereni sana, sauti zimejaa hadi raha, Mungu aendelee kuwatumia
Mziki umetulia unagusa roho yangu kisha mzheza kinanda kacheza jinsi inavyotakiwa hamna mbwembwe hongera Kaka
Hongerani wapendwa kaI nzuri kisha naomba nota zate
❤hongereni kwa Utume wa uimbaji
Mbarikiwe kwa uimbaji uliotukuka mmeimba kwa unyenyekevu
Kazi nzuri sana hii, nawaombea mto nzuri zaidi!
Aleluya amefuka kama alivyosema Aleluya
This song draws me closer to God when ever I listen to it,,,oh God I love you,and am sorry that I keep forgetting what you did on cross for me..mbele ya malaika nitakuimbia zaburi
Amen Amen Amen. We love you too
❤❤❤
Excellent
Naomba nota zake
Blessed 🎉
Hongereni sana kwa wimbo huu mzuri... mmeukosha moyo wangu
Amina Amina Amina
Nawapenda Sana vipenzi ❤❤❤
Hongereni sana
🙏🙏🙏❤️
My favorite song ❤❤