- 158
- 85 848
Benjamin William Mkapa Foundation.
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 4 เม.ย. 2016
The Registered Trustees of Benjamin William Mkapa Foundation (the “Trust”) was established by the former President of the United Republic of Tanzania H. E. Benjamin William Mkapa in 2006.
Our Vision is to achieve healthy lives and well-being for all, in Tanzania and the rest of Africa. Our mission to attain this is through our contribution towards the attainment of better health outcomes through innovative health and related system solutions.
We are guided by Excellency, Innovation, Integrity, Equity and Collaboration as our core values.
Our Vision is to achieve healthy lives and well-being for all, in Tanzania and the rest of Africa. Our mission to attain this is through our contribution towards the attainment of better health outcomes through innovative health and related system solutions.
We are guided by Excellency, Innovation, Integrity, Equity and Collaboration as our core values.
Chemba Inavyovuna Matunda ya Mkapa Fellows III Katika Sekta ya Afya
Haya ni mabadiliko makubwa ya uboreshwaji wa huduma za afya ya uzazi na mtoto (RCH) katika kituo cha afya Mrijo kilichop wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma. Hii ni baada ya kuajiriwa kwa Bw. Yuda Tarimo kama Muguzi Mkunga kupitia Mradi wa Mkapa Fellows III. Yuda, ambaye ni mmoja wa wanufaika wa mradi huu, ameongeza nguvu kubwa katika huduma hizi.
Zamani, kituo hiki kilikuwa na upungufu wa wafanyakazi, na watoa huduma walilazimika kuweka ratiba ya huduma kwa siku maalum. Hali hii ilisababisha huduma za RCH kutolewa kwa vipindi maalum na siyo kila siku. Hata hivyo, baada ya Yuda kujiunga na kituo hiki Pamoja na wahdumu wengine walio chini ya mradi huu, huduma hizo zimeboreshwa na sasa zinatolewa kila siku kwa ufanisi mkubwa.
Zamani, kituo hiki kilikuwa na upungufu wa wafanyakazi, na watoa huduma walilazimika kuweka ratiba ya huduma kwa siku maalum. Hali hii ilisababisha huduma za RCH kutolewa kwa vipindi maalum na siyo kila siku. Hata hivyo, baada ya Yuda kujiunga na kituo hiki Pamoja na wahdumu wengine walio chini ya mradi huu, huduma hizo zimeboreshwa na sasa zinatolewa kila siku kwa ufanisi mkubwa.
มุมมอง: 40
วีดีโอ
Katibu wa Afya Songwe Azungumzia Maboresho ya Huduma za Afya na Mchango wa Mkapa Foundation
มุมมอง 332 หลายเดือนก่อน
Katibu wa Afya wa Mkoa wa Songwe anaelezea maboresho ya utoaji huduma za afya mkoani Songwe, ikiwemo ongezeko la hospitali na vituo vya huduma za afya . Pia, anazungumzia mchango mkubwa wa Benjamin Mkapa Foundation katika kusaidia rasilimali watu kwenye vitengo vya Kliniki ya Huduma na Mtaunzo (CTC), Wataalamu wa Data, na watumishi wengine wa sekta ya afya. Mahojiano haya yalifanyika katika Kon...
Safari ya Kuboresha Huduma za Afya Chemba Kupitia Mkapa Fellows Program
มุมมอง 472 หลายเดือนก่อน
Lameck, muajiriwa mpya kupitia programu ya Mkapa Fellows inayoendeshwa na Benjamin Mkapa Foundation, anafanya kazi katika Hospitali ya Wilaya ya Chemba. Kupitia programu hii, lengo ni kuboresha huduma za afya ya uzazi, mama, mtoto mchanga, na vijana (RAHMNC). Lameck anaongoza jitihada za kuhakikisha kina mama wanapata huduma bora, watoto wanapata chanjo, na vijana wanapata elimu ya afya ya uzaz...
Abdulmalik Mollel: Tanzania Sasa Inatoa Huduma za Matibabu ya Kibingwa kwa Nchi Nyingine
มุมมอง 693 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi wa Global Link, Bw. Abdulmalik Mollel, ameeleza jinsi Tanzania imepiga hatua kubwa katika huduma za matibabu ya kibingwa kupitia teknolojia ya kisasa na madaktari bingwa wenye sifa. Katika mahojiano na Salim Kikeke wa Crown Media, Bw. Mollel alieleza kuwa zamani Watanzania walikuwa wakisafiri nje ya nchi kwa matibabu, lakini sasa Tanzania imekuwa kituo cha kutoa huduma za kibingwa kw...
Dkt. Grace Magembe Azungumzia Ufadhili wa Huduma za Afya na Bima ya Afya kwa Wote
มุมมอง 1953 หลายเดือนก่อน
Dkt. Grace Magembe Azungumzia Ufadhili wa Huduma za Afya na Bima ya Afya kwa Wote
Balozi Dkt. Mpoki : Tanzania Inaweza Kujifunza Nini Kutoka Canada Kuhusu Bima ya Afya kwa Wote?
มุมมอง 2543 หลายเดือนก่อน
Katika mahojiano ya moja kwa moja na mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media, Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya amezungumzia ni jinsi Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwa Canada kuhusu Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote. Mahojiano haya yalifanyika wakati wa Mkutano wa Kumbukizi ya Urithi wa Mkapa uliotanguliwa na Kongamano la Rasilimali watu wa Sekta ya Afya tarehe 29 Julai 2024, jijini Dar es Salaam. ...
Benjamin Mkapa Foundation na Serikali ya Ireland Waimarisha Sekta ya Afya Chemba Kupitia CHW
มุมมอง 2574 หลายเดือนก่อน
Benjamin Mkapa Foundation (BMF), kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Kamati ya Afya ya Mkoa wa Dodoma, na Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, imeshuhudia zoezi la uchaguzi wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii (CHW) katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Chemba. Zoezi hili linalenga kuhakikisha kila kitongoji kinapata wahudumu wawili wa afya, mmoja mwanamke na mmoja mwanaume, ambao watapatiwa mafunzo...
𝑾𝒂𝒏𝒖𝒇𝒂𝒊𝒌𝒂 49 𝒘𝒂 𝑴𝒌𝒂𝒑𝒂 𝑭𝒆𝒍𝒍𝒐𝒘s 𝑺𝒄𝒉𝒐𝒍𝒂𝒓𝒔𝒉𝒊𝒑 𝑾𝒂𝒉𝒊𝒕𝒊𝒎𝒖 𝑴𝒂𝒇𝒖𝒏𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝑺𝒕𝒂𝒔𝒉𝒂𝒉𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝑼𝒖𝒈𝒖𝒛𝒊 𝑼𝒌𝒖𝒏𝒈𝒂 - 𝑴𝒐𝒓𝒐𝒈𝒐𝒓𝒐
มุมมอง 654 หลายเดือนก่อน
Wauguzi 49 wamehitimu mafunzo ya Diploma ya Uuguzi Ukunga katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Morogoro kupitia Mradi wa Mkapa Fellow Scholarship, unaotekelezwa na Mkapa Foundation kwa ufadhili wa Benki ya NBC. Mafunzo haya yalitolewa ili kuboresha ujuzi na maarifa kwa wauguzi walio kwenye ajira (in-service) katika kukabiliana na changamoto za uzazi kwenye vituo vya huduma za afya wanavyo...
Benki ya NBC yaungana na Mkapa Foundation kutoa Scholarship kwa Wakunga
มุมมอง 364 หลายเดือนก่อน
Kutokana na ongezeko la vifo vya akina mama wajawazito, benki ya NBC imeungana na Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation kutoa ufadhili wa masomo kwa wauguzi wakunga ili kuwajengea uwezo zaidi na kuboresha huduma za afya kwa mama na mtoto.
Mhe. Nassor Mazrui,Waziri wa Afya Zanzibar kuhusu Changamoto za Watumishi wa Afya
มุมมอง 914 หลายเดือนก่อน
Kupitia mahojiano rasmi wakati wa Kongamano la tatu la Kumbukizi ya hayati Mheshimiwa Benjamin William Mkapa (Mkapa Legacy Summit 2024), Waziri Mazrui alitumia wasaa huu kueleza jinsi wanavyokabiliana na Changamoto ya Upungufu wa Watumishi wa Afya, Zanzibar. Zanzibar ina upungufu wa takribani asilimia 40 ya watumishi wa afya katika vituo vya afya. Fuatilia zaidi kuhusu kazi zinazofanywa na Mkap...
Mkapa Fellows Program Phase 4: Driving Change in Zanzibar
มุมมอง 354 หลายเดือนก่อน
Mkapa Fellows Program funded by Irish Aid focuses on enhancing national capacities to sustain community-based programs aligned with the established national level sustainability strategies for community-based programs - known as national community road map. This focus will enhance sustainability and scalability of the program supported interventions and generated best practices that will ultima...
Honorable Ummy Mwalimu's Keynote Address at the Mkapa Legacy Summit HRH Conference on 29th July 2024
มุมมอง 1094 หลายเดือนก่อน
Honorable Ummy Mwalimu's Keynote Address at the Mkapa Legacy Summit HRH Conference on 29th July 2024
Mafanikio ya kada ya afya na mapendekezo ya Dkt. Ndugulile kwenye Kongamano la Rasilimali Watu
มุมมอง 2.6K4 หลายเดือนก่อน
Katika hotuba yake kwenye Kongamano la Kitaifa la Rasilimaliwatu wa Sekta ya Afya lililofanyika tarehe 29-30 Julai 2024, Dkt. Faustine Ndugulile alisisitiza mafanikio yaliyopatikana katika kada ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii, ambao wamekuwa kiunganishi muhimu kati ya jamii na vituo vya huduma za afya. Pia, alihimiza wazo la kuanzisha kada mpya kama "Family Medicine," akibainisha kuwa ni muh...
Prof. Janabi Apongeza Mkakati wa BMF wa Kusambaza Wahudumu wa Afya Vijijini na Kuboresha Miundombinu
มุมมอง 2314 หลายเดือนก่อน
Profesa Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amepongeza mbinu zinazotumiwa na Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation, ambapo wahudumu wa afya wanaajiriwa na kupelekwa vijijini au kwenye maeneo yenye changamoto kubwa za upatikanaji wa huduma za afya. Ameeleza kuwa hii ni moja ya mbinu za kuigwa kwa sababu inajenga msingi imara kwa maendeleo ya afya. Ameongeza kuwa ni muhimu...
Hon. Nassor Mazrui Speech at Human Resource for Health Conference 2024
มุมมอง 184 หลายเดือนก่อน
Hon. Nassor Mazrui, speaking at the National HRH Conference 2024, commended the Benjamin Mkapa Foundation (BMF) for its pivotal role in advancing healthcare across Tanzania Mainland and Zanzibar, in line with the vision of the Late President Mkapa.
Falsafa ya Benjamin MKapa Foundation inavyobeba maono ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
มุมมอง 794 หลายเดือนก่อน
Falsafa ya Benjamin MKapa Foundation inavyobeba maono ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Speech of Ambassador of the United States to Tanzania | National HRH Conference 2024 | Dar es Salaam
มุมมอง 1064 หลายเดือนก่อน
Speech of Ambassador of the United States to Tanzania | National HRH Conference 2024 | Dar es Salaam
HRH Conference 2024 - Accelerating Human Capital Development Through Strategic Health Partnerships
มุมมอง 434 หลายเดือนก่อน
HRH Conference 2024 - Accelerating Human Capital Development Through Strategic Health Partnerships
Human Resource for Health as a solution for maternal and child health
มุมมอง 235 หลายเดือนก่อน
Human Resource for Health as a solution for maternal and child health
Digitization of Health Services- a Case of Mkapa Foundation in Mtwara
มุมมอง 625 หลายเดือนก่อน
Digitization of Health Services- a Case of Mkapa Foundation in Mtwara
Human Resource for Health solutions through the Mkapa Fellows Programme
มุมมอง 365 หลายเดือนก่อน
Human Resource for Health solutions through the Mkapa Fellows Programme
Health Systems Strengthening: Expert Panel at The 2nd National Human Resource for Health Conference
มุมมอง 605 หลายเดือนก่อน
Health Systems Strengthening: Expert Panel at The 2nd National Human Resource for Health Conference
Volunteerism for a Sustainable Health Sector-Mkapa Foundation
มุมมอง 325 หลายเดือนก่อน
Volunteerism for a Sustainable Health Sector-Mkapa Foundation
Adolescent Sexual Reproductive Health Documentary
มุมมอง 835 หลายเดือนก่อน
Adolescent Sexual Reproductive Health Documentary
Speech by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan at the Mkapa Legacy Summit 2024
มุมมอง 3795 หลายเดือนก่อน
Speech by H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan at the Mkapa Legacy Summit 2024
Awards presentation at the Mkapa Legacy Summit 2024
มุมมอง 1505 หลายเดือนก่อน
Awards presentation at the Mkapa Legacy Summit 2024
Remarks by Dr. Ellen Mkondya-Senkoro at the Mkapa Legacy Summit 2024
มุมมอง 465 หลายเดือนก่อน
Remarks by Dr. Ellen Mkondya-Senkoro at the Mkapa Legacy Summit 2024
Remarks by H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi at the Mkapa Legacy Summit 2024
มุมมอง 395 หลายเดือนก่อน
Remarks by H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi at the Mkapa Legacy Summit 2024
Opening Remarks by Hon. Kasim Majaliwa Majaliwa at the National HRH Conference 2024
มุมมอง 1115 หลายเดือนก่อน
Opening Remarks by Hon. Kasim Majaliwa Majaliwa at the National HRH Conference 2024
Asalamu Alaikum
Mashallah kwa ubora wake
Africa need locel sayantist to do research on Africa medicine not outside medicine it won't work in Africa population why because weekiness of gavment works on medicine and hospital let pablic medicine found on privet clinic can pablic hospitals works it won't work
Hutuba zako zimekwenda shule huna haraka katika hutubazako tunakuelewa jembe. Allah akulinde na shari.Aamin
Doctar mwinyi ni Raisi mwenye huruma na upendo kwa wazanzibari hanaubaguzi Wala chuki ni msikivu na mtekelezaji wa maendeleo alotuahidi.Allah akupe maisha marefu.aamiin
Yaa Allah mlinde doctar husein Raisi mpendwa na husda na balaa na mpe afya njema na nguvu ya kututumikia wazanzibar .Aamiin
Muheshimiwa rais doctar husein Ali jembe la wa Zanzibari,Allah akulinde na maadui na akutie nguvu zaidi tupate matunda wazanzibar.
Ila inamilikiwa na mkewe.,...
P
Dear Senators, The Question of intermarriages also rose between a Soul eating Family and a Non-Soul eating Family. It was decided to do like in olden Times, their Graves were killed before they were buried dubbed "Killing the Spots". Done with Gutteres Head and Suluhu Hassan Head dressed up with the Eyes of Guteress Voice of Ruto. This was done in order to stop future Beggings from the Soul eating Family. Thank You Senators Olwal Ochieng
Dear Senators and good Morning, This is how the Pastor Oyakhilome did it;--- Also Pastor Oyakhilomes Family was dressed up with Gutteres Eyes and Rutos Voice in closing with Zanzibari and Kitengela, you close with Mwinyis body, the line of Mwinyis Father and Mother in Graves and an Animal in Zanzibari (the body) closing with also the Male and Female lines of that Animal, then off to the Coastline taping the Water once and up going back to School Lost Kingdoms!!! Olwal Ochieng
Dear Senators, The Threat in all of what is happening is, that Virus Grave!!! That Virus Grave that is in England to be found has done These Seven Religions Three Times and is doing it again for the Fourth Time!!! Having been woken FROM (something happened in Hasen Heide Park Voices- as I took a Walk There I said that either All of You are Woken from Up and Down, I was corrected immediately that it's not from Up and Down, "From Üri Geller"), so, FROM Üri Geller,,,,, and England answered, "What was Üri Geller doing in England"??? I had to Boycott the United Nations Meetings!!! Thank You Olwal Ochieng
Dear Senators, Animals have taken over the Heads of President Paul Biya and President Suluhu Hassan dressed up with the Eyes of the Secretary General Antonio Gutteres and the Tongue of President Ruto. Then Up off the Coastline of Zanzibari tapping the Water the two Heads surrounded with a Ring of Male Lion Heads following by a Second Ring which is my Head only, of course, searching for Referenced Work! Those Heads are carried by a Carpet of Insects, here they found Spiders and carried Them using a Spiders Carpet and left saying it's Time for Words and not Spiders anymore. Up they left, off the Coastline of Zanzibari while President Mwinyis Family watched to be set above the Sky with the Heads of Men and Women separated and going back to School. Thank You Olwal Ochieng
I Registered a Business with the help from Obama (former American President) and Doug Saga et all Cote D'Ivoire. The business is Solar System Developer, this was done in Merhrimgdamm Finance Office. Even a Tax Number was given. Pharaoh!!! Thank You President Obama (also for the Children Ship Competition), and thank You Doug Saga et. al Pharaoh. All those Planets together with the Planted waiting to be cultivated Line, the Red, Orange and Yellow Sun Systems together with Humans and what was Registered as Business,,, belong to the Animals from this Planet Represented by the Lion. Pharaoh!!!
This one is for President Mwinyi for Mkwawa to see and Karume..... I Registered a Business with the help from Obama (former American President) and Doug Saga et all Cote D'Ivoire. The business is Solar System Developer, this was done in Merhrimgdamm Finance Office. Even a Tax Number was given. Pharaoh!!! Thank You President Obama (also for the Children Ship Competition), and thank You Doug Saga et. al Pharaoh.
LET US COMMUNICATE BRO
mafunzo mazuri hapa
Wow! Nice move. I like the idea as whole!
JK baba lao
Spendi ht kukuskiliza criminals
Huyu ndiyo alipaswa awazie uRais 2015 siyo yule Janwary
Safi sana Kabika
poa
i want to know where is mkapa foundation head quoter?
habari, naomba kujua makao makuu ya BMF kwa dar es salaam yapo sehemu gan?
naomba kufahamu makao makuu ya mkapa foundation yapo dar sehem gan?