Afrika Imara
Afrika Imara
  • 103
  • 42 519
Maandamano ya Gen Z- Mtazamo Wangu
Heko kwa wanarika wanaojitahidi kukosoa serikali ambayo imezembea katika utenda kazi wako na yenye kutunga sheria za kuhujumu raia. Hata hivyo, vita hivi ni mwanzo tu.
มุมมอง: 75

วีดีโอ

ChatGPT na Masomo ya CBC
มุมมอง 392 หลายเดือนก่อน
Video hii nimetayarisha kwa sababu ya wazazi wenye watoto wanaosoma chini ya mtalaa wa CBC.
Starship 4 Launch
มุมมอง 323 หลายเดือนก่อน
Usikose kutazama urushaji wa Starship utakao fanyika tarehe 6 Juni mwaka huu. @SpaceX
ChatGPT 4o Swahili
มุมมอง 813 หลายเดือนก่อน
Akili Bandia, yaani AI, inazidi kukua bora kila kuchao. Sasa, mtu yeyote wenye ako na simu ya aina ya smartphone ako na uwezo wa kufanya mazungumzo kamilifu na ChatGPT. Tazama video hii ujifunze mengi. Asante.
James Webb Space Telescope in Swahili
มุมมอง 656 หลายเดือนก่อน
Fahamu kuhusiana na darubini ya James Webb Space Telescope iliotumwa kueleka anga za juu ili kutafuta majibu kuhusiana na chimbuko la ulimwengu.
Artemis
มุมมอง 556 หลายเดือนก่อน
Maisha ya mwanadamu hayajazuiliwa kwenye dunia hii tunayoishi pekee, bali tunauwezo wa kujenga makao yetu kokote ulimwenguni. Tazama video hii ujionee juhudi za NASA kupitia mradi wa Artemis unaonuia kupeleka wanadamu mwezini na hata zaidi. Asante.
OpenAI Sora
มุมมอง 546 หลายเดือนก่อน
OpenAI Sora
Neuralink in Swahili #elonmusk #cyborg #neuralink #kenya #tanzania #rwanda
มุมมอง 1156 หลายเดือนก่อน
Neuralink in Swahili #elonmusk #cyborg #neuralink #kenya #tanzania #rwanda
MAGARI YA UMEME - FAIDA ZAO
มุมมอง 266 หลายเดือนก่อน
MAGARI YA UMEME - FAIDA ZAO
Fruits in Swahili | Matunda
มุมมอง 697 หลายเดือนก่อน
Fruits in Swahili | Matunda
Misamiati ya madini
มุมมอง 287 หลายเดือนก่อน
Misamiati ya madini
AI ni nini?
มุมมอง 667 หลายเดือนก่อน
AI ni nini?
Colors - Rangi
มุมมอง 478 หลายเดือนก่อน
Colors - Rangi
Optimus Gen 2 in Swahili
มุมมอง 1388 หลายเดือนก่อน
Optimus Gen 2 in Swahili
Misamiati teknolojia
มุมมอง 828 หลายเดือนก่อน
Misamiati teknolojia
Advanced Talking Robot
มุมมอง 2568 หลายเดือนก่อน
Advanced Talking Robot
Google Gemini AI Swahili
มุมมอง 1588 หลายเดือนก่อน
Google Gemini AI Swahili
AI in Swahili
มุมมอง 21K9 หลายเดือนก่อน
AI in Swahili
Kurushwa Kwa Starship Ya Pili (Starship Launch 2)
มุมมอง 1409 หลายเดือนก่อน
Kurushwa Kwa Starship Ya Pili (Starship Launch 2)
Starlink yafika Kenya
มุมมอง 688ปีที่แล้ว
Starlink yafika Kenya
Prepare outstanding presentations in 15 seconds using AI (A presentation hack) - Tome AI tool
มุมมอง 97ปีที่แล้ว
Prepare outstanding presentations in 15 seconds using AI (A presentation hack) - Tome AI tool
Google Kwisha!!
มุมมอง 71ปีที่แล้ว
Google Kwisha!!
ChatGPT Kwa ufupi. #shorts #chatgpt #chat #openai #artificialintelligence
มุมมอง 27ปีที่แล้ว
ChatGPT Kwa ufupi. #shorts #chatgpt #chat #openai #artificialintelligence
ChatGPT yaandika hadithi yakufana ya mapenzi
มุมมอง 111ปีที่แล้ว
ChatGPT yaandika hadithi yakufana ya mapenzi
Kufungua akaunti ya ChatGPT na kuitumia
มุมมอง 162ปีที่แล้ว
Kufungua akaunti ya ChatGPT na kuitumia
ChatGPT ndio nini? (Kipindi - 2)
มุมมอง 129ปีที่แล้ว
ChatGPT ndio nini? (Kipindi - 2)
Kipindi Cha Kwanza - Utangulizi
มุมมอง 147ปีที่แล้ว
Kipindi Cha Kwanza - Utangulizi

ความคิดเห็น

  • @JosephinePaul-f8k
    @JosephinePaul-f8k 19 วันที่ผ่านมา

    Movie tamuu

  • @deebwoy578
    @deebwoy578 หลายเดือนก่อน

    This is awesome I like it

  • @deebwoy578
    @deebwoy578 หลายเดือนก่อน

    This is awesome I like it

  • @mathewkibagendi3157
    @mathewkibagendi3157 2 หลายเดือนก่อน

    Vivaa.."A journey of a thousand miles starts with a single step" Hii ni hatua ya kwanza katika kuleta mabadiliko. Mwanzo huu utaleta mwamko mpya kwa wananchi wote.

  • @augustinenjengwa7515
    @augustinenjengwa7515 3 หลายเดือนก่อน

    Very interesting and informative...but the voice iko chini kiasi

  • @magdalenemumbua6711
    @magdalenemumbua6711 3 หลายเดือนก่อน

    Very interesting and informative interview.

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi karibuni Akili bandia ndio itakua ikialikwa kwenye mijadala ya kitaifa

  • @godfrycunio3404
    @godfrycunio3404 6 หลายเดือนก่อน

    'Promo SM' 😃

  • @augustinenjengwa7515
    @augustinenjengwa7515 6 หลายเดือนก่อน

    waaah hii ni ya ajabu

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 6 หลายเดือนก่อน

      Akili bandia sio jambo la kupuuzilia

  • @josephmatto7793
    @josephmatto7793 6 หลายเดือนก่อน

    Ukibase na hizi content zinazotokea dunian na nchi mbalimbali na ukazibadilisha katika lugha ya kiswahili utapiga hatua sana. NB zingatia matumizi sahii ya lugha katika masimulizi. Ahsante

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa maoni yako. Lengo langu ni kujaribu sana kueneza na kukuza lugha ya kiswahili na pia kusaidia wazungumzaji wa kiswahili kuelewa maneno ambayo yanaendelea duniani ambayo sio rahisi wayaskie. Hata hivyo, nitatilia maanani pendekezo lako. Shiriki video hizi kama uko na uwezo. Asante

  • @augustinenjengwa7515
    @augustinenjengwa7515 6 หลายเดือนก่อน

    Hiii itasaidia sana

  • @moxiyz
    @moxiyz 6 หลายเดือนก่อน

    Itakuwa kwa msaada mkubwa sana kwa binadamu kwanza wale ambao wana matatizo ya kimwili

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo ni kweli kabisa. Hii inatupatia matumaini haswa sisi wenye jamaa wenye matatizo ya kusonga.

  • @moxiyz
    @moxiyz 6 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili kitukuzwe sanifu

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kaka. Na tuzidi kukitukuza kiswahili chetu

  • @augustinenjengwa7515
    @augustinenjengwa7515 6 หลายเดือนก่อน

  • @InnocentNgare
    @InnocentNgare 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa umenichanganya

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 7 หลายเดือนก่อน

      😹Kiswahili kina mengi kaka

  • @rahimfaraji6916
    @rahimfaraji6916 7 หลายเดือนก่อน

    Kubadilisha maneno au majina kwenye technology si sahihi ni Bora yatamkwe kwa lugha yake ya asili,

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 7 หลายเดือนก่อน

      Asante @rahimfaraji6916 kwa maoni yako. Umuhimu wa kutafsiri ni kusaidia mtu ambaye haelewi kitu kinachozungumziwa kwa lugha fulani aweze kuielewa kutumia lugha ambayo anijua na kuizungumza. Zaidi ya hayo, lugha ndio njia tunayotumia kuzungumza na kuelewana. Hivyo basi, kutafsiri majina ya kiteknolojia ni kwa hiyari yetu kwani itatusaidia katika mazungumzo na mijadala. Lugha ya kiswahili ni yetu na ni wajibu wetu kuiboresha na kuitajirisha. Hamna hatia yoyote ya kutafsiri majina ya kiteknolojia kutoka kwa lugha ya kimombo kuja kwa kiswahili. Pia wazungu hutafsiri majina hayo hayo kutoka lugha zingine kama vile kijerumani au kifaransa. Je, unajua Albert Einstein alikua mjerumani? Mbona hatusomi vumbuzi zake kwa lugha ya kijerumani? Tafakari.

    • @rahimfaraji6916
      @rahimfaraji6916 7 หลายเดือนก่อน

      @@afrikaimara kutafsiri ni kitu tofauti na kubadilisha jina la kitu, (mf. Laptop = kompyuta mpakato) hii si tafsiri ni kubadilisha jina la kitu, haya majina mengine ni kifupi Cha maneno flani hivyo kubadilisha jina utaondoa maana halisi ya mfululizo wa ubunifu wa hilo jina, hivyo tafsiri itolewe kwa lugha yetu na tafsiri kieleza maana ya kitu na kazi zake hii ndio tafsiri, (mf. Computer hii neno Kila herufi ina kirefu chake kubadilisha jina ama namba ya uandishi utaliondoa kwenye uhalisia wake) ndio maana Kuna kitu kinaitwa kutohoa,

    • @rahimfaraji6916
      @rahimfaraji6916 7 หลายเดือนก่อน

      @@afrikaimara Asili ya majina kwenye technology ni kifupi cha maneno flani mf. computer ni kifupi cha maneno hinyo kubadilisha jina liwe kwa lugha nyingine au kuandika maandishi tofauti na asili yake ni kupoteza maana ya kitu husika, ndio maana kuna neno kutohoa, kinachohitajika ni kutafsiri maana, kazi yake na malengo ya kitu husika.

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 7 หลายเดือนก่อน

      @@rahimfaraji6916 Natumai nimeelewa unachokizungumzia, lakini nadhania mtazamo wako unwezanyima nafasi watu ambao hawajui lugha nyingine kuelewa kinchozungumziwa na wenye hio lugha. Pia ni wazo langu kua ni juhudi ya kila watumizi wa lugha kujaribu kutafuta njia za kurahisisha mawasiliano kati yao. Unapofanya tafsiri, si vyema kutopoteza maana ya neno linalotafsiriwa, lakini mara nyingi hatuwezi kukua wakamilifu. Majina ya vumbuzi za kitecknolojia ni majina mageni na mara mingi ni majina yanyo tokana na majina mengine tofauti. Mfano ulionipa ni ule wa 'computer' ambayo inapata jina lake kutoka kwa jina 'compute'. Ikiwa tunaweza tafsiri neno 'compute', mbona tusitafsiri pia computer? Natumai unaona hakuna kasoro inatokana na kufanya tafsiri ya majina ya kiteknolojia.

    • @rahimfaraji6916
      @rahimfaraji6916 7 หลายเดือนก่อน

      @@afrikaimara COMPUTER Full Form: COMPUTER Stands for Common Operating Machine Purposely Used for Technological and Educational Hata hili neno lina mfululizo katika uvumbuzi, NB. kitendo cha kubadilisha majina ya gun duzi katika technology kunasababisha fani kuwa ngumu kueleweka, sababu mtu saa ingine atalazimika kukariri majina tofauti ya kitu kimoja, Elewa hata sisi tukigundua tutakiita kwa lugha yetu pendwa aka KISWAHILI

  • @KyleKitty030
    @KyleKitty030 8 หลายเดือนก่อน

    A Ameca é perfeita como uma robô humanóide❤👏👏👏👏

    • @afrikaimara
      @afrikaimara 8 หลายเดือนก่อน

      Claro, é incrível ver como o robô imita bem os humanos

  • @victorkiprop574
    @victorkiprop574 8 หลายเดือนก่อน

    Video yenye taarifa zaidi

  • @victorkiprop574
    @victorkiprop574 8 หลายเดือนก่อน

    Swadaka👌

  • @kizitoomukaga2011
    @kizitoomukaga2011 9 หลายเดือนก่อน

    Nchi zilizoendelea zinaendelea kuendelea mbele kitekinologia. Nchi maskini zinafaa kujikakamua.

    • @afrikaimaraproduction
      @afrikaimaraproduction 9 หลายเดือนก่อน

      Nchi maskini zitakwama kwa umaskini kwa sababu pengo ya nchi tajiri na maskini inazidi kukua kubwa

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 ปีที่แล้ว

    Hivi ni dedicated internet or shared?

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Kwa sasa Starlink inatoa shared internet pekee. Ata hivyo, kasi ya internet hii kuchezea 100mbps au zaidi mahali popote ulipo

  • @mlionea
    @mlionea ปีที่แล้ว

    Once sanctions hit kenya it's over they will leave a hole. build your own star link

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Naamini kwamba kampuni ya SpaceX imeshafanya upembuzi akinifu na utafiti kuhakikisha uwekezaji wao hapa Kenya sio wa hasara. Acha tuwape fursa tuone jinisi watakavyo tangamana na soko ya Kenya.

    • @mlionea
      @mlionea ปีที่แล้ว

      @@afrikaimara hawa wazungu ni shida tupu.

  • @kizitoomukaga2011
    @kizitoomukaga2011 ปีที่แล้ว

    Noted

  • @denisnduko
    @denisnduko ปีที่แล้ว

    Safi kabsa

  • @ambrosemomanyi6964
    @ambrosemomanyi6964 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @magdalenemumbua6711
    @magdalenemumbua6711 ปีที่แล้ว

    Good job

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Asante kwa support yako

  • @OptivenRegistry
    @OptivenRegistry ปีที่แล้ว

    Wow!

  • @annittnah6154
    @annittnah6154 ปีที่แล้ว

    Good job.👏👏

  • @divinkadume4461
    @divinkadume4461 ปีที่แล้ว

    Asantee

  • @kizitoomukaga2011
    @kizitoomukaga2011 ปีที่แล้ว

    Wonderful introduction! Now I have a clue of what to expect in the subsequent videos.

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana kwa feedback yako

  • @fimchizykennito7969
    @fimchizykennito7969 ปีที่แล้ว

    Prof nakuona

  • @weshdaentertainments5242
    @weshdaentertainments5242 ปีที่แล้ว

    Great......

  • @yogocarol9440
    @yogocarol9440 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏

  • @mwelumutuku7502
    @mwelumutuku7502 ปีที่แล้ว

    👏👏👏

  • @weshdaentertainments5242
    @weshdaentertainments5242 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana......endelea vivo hivo..,

  • @weshdaentertainments5242
    @weshdaentertainments5242 ปีที่แล้ว

    Wonderful job bro....keep it up.....

  • @sammygitau2093
    @sammygitau2093 ปีที่แล้ว

    Kudos mkuu.... Tunafuata mafunzo yako

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Asante kaka, natumai inasaidia

  • @urbanusmutua3497
    @urbanusmutua3497 ปีที่แล้ว

    Kazi safi. Keep up

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      Asante sana. Niunge mkono kwa kushiriki hii video na ndugu na marafiki

  • @denisnduko
    @denisnduko ปีที่แล้ว

    Very informative boss keep it up

    • @afrikaimara
      @afrikaimara ปีที่แล้ว

      HIo ndio mwendo sasa

  • @howitscrafted-v9j
    @howitscrafted-v9j ปีที่แล้ว

    👍

  • @graymoh2937
    @graymoh2937 ปีที่แล้ว

    Great job 👏👏

  • @atimagalleries
    @atimagalleries ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @howitscrafted-v9j
    @howitscrafted-v9j ปีที่แล้ว

    #Swahili & #Africa to the world.✊