Peter Mwangangi
Peter Mwangangi
  • 33
  • 258 167
From Swahili to Pashto! My BBC News story translated to audiences
From Kiswahili to Pashto. My story in Kenya watched by audiences in Afghanistan, Pakistan, and Iran. That’s the beauty of the BBC. Watch it here.
มุมมอง: 236

วีดีโอ

From Swahili to Hindi! My BBC News story translated to audiences
มุมมอง 1732 หลายเดือนก่อน
From Kiswahili to Hindi! My original story in Kiswahili travelled across the world to Hindi audiences. That’s the beauty of the BBC. Watch it here.
Ramadan affected by Red Sea boat attacks: BBC News
มุมมอง 7082 หลายเดือนก่อน
Ongoing attacks on cargo ships in the Red Sea are delaying the arrival of goods to the Kenyan port of Mombasa - and pushing up prices of consumables, like dates, which are customarily used to break fast in the Holy Month of Ramadan. It could be that for many Muslims in the region the sweet fruits are just out of financial reach for the festivities. The BBC’s Peter Mwangangi has been to Kenya’s ...
Ziara ya Mfalme Charles na Malkia Camilla nchini Kenya
มุมมอง 1187 หลายเดือนก่อน
Mfalme Charles wa tatu na Malkia Camilla wako nchini Kenya kwa ziara rasmi ya siku nne, ambapo wanazuru maeneo kadhaa mijini Nairobi na Mombasa. Taarifa ya Peter Mwangangi kutoka ikulu ya Nairobi #MfalmeCharles #MalkiaCamilla #WilliamRuto #RachelRuto #BBCSwahiliLeo #BBCSwahili #KingCharles #Queen Camilla #BBCNews #News #Kenya #UnitedKingdom #Uingereza #QueenElizabeth #Nairobi #Mombasa Peter Mwa...
Kenya Opposition leader Raila Odinga speaks on planned demos
มุมมอง 6K10 หลายเดือนก่อน
Kenya’s opposition leader Raila Odinga speaks to the BBC’s Peter Mwangangi about why they are holding demonstrations. In this interview recorded on 10th July 2023, Raila also reacted to the court ruling that temporarily halted the implementation of new taxes under the Finance Act 2023. #Raila #RailaOdinga #Maandamano #BBC #PeterMwangangi #KenyaDemos #Demonstrations #Sondu #WilliamRuto #Ruto
Punda amechoka: Raila Odinga azungumzia maandamano Kenya
มุมมอง 91K10 หลายเดือนก่อน
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga azungumza na Peter Mwangangi wa BBC kuhusu kiini cha maandamano yanayoendelea nchini humo. Katika mahojiano haya yaliyorekodiwa mnamo tarehe 10 Julai 2023, Raila alizungumzia hatua ya mahakama kusimamisha kwa muda kutekelezwa kwa kodi mpya kupitia sheria ya fedha ya mwaka 2023. #Raila #RailaOdinga #Maandamano #BBC #PeterMwangangi #KenyaDemos #Demon...
Dodoma: Ujenzi wa mji mkuu mpya wa Tanzania
มุมมอง 25Kปีที่แล้ว
Serikali ya Tanzania iliuchagua mji wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi hiyo mnamo mwaka 1973. Mji huu ulizingatiwa kuwa eneo sahihi katika kusukuma maendeleo ya nchi kwa sababu ya faida yake ya kijiografia kama makutano ya usafiri. Mwanahabari wa BBC Peter Mwangangi alitembelea mji huo kutathmini ujenzi unaoendelea kuleta hadhi ya mji mkuu wa nchi. #Dodoma #Tanzania #DarEsSalaam #MjiWaSerikali ...
How Tanzania's new capital Dodoma is changing
มุมมอง 106Kปีที่แล้ว
In just about 40 years, the city of Dodoma has grown from just a small town in the middle of nowhere to Tanzania’s capital. Tanzania is not the first country to shift its capital. Malawi moved its capital from Zomba to Lilongwe in 1975, while Nigeria effected a similar change from Lagos to Abuja in 1991. BBC Africa Senior Business Reporter Peter Mwangangi went to Dodoma to find out how the city...
BBC: Underwater Seaweed Farming in Namibia
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
#Seaweed #KelpBlue #Namibia Frequent droughts and floods in recent years have reduced Namibia’s agricultural output and threatened its sustainable economic growth. Now the driest country in sub-Saharan Africa is exploring seaweed as a potential solution to climate change. The BBC's Peter Mwangangi visited the coastal town of Luderitz to find out how. #PeterMwangangi #Luderitz #bbcnews #Kamutjon...
Biashara ya vyuma chakavu Kenya
มุมมอง 415ปีที่แล้ว
Uganda imekuwa ikipambana na uharibifu wa miradi muhimu ya miundombinu inayosababishwa na kuongezeka kwa biashara ya vyuma chakavu. Sasa jirani yake Kenya pia inakumbwa na tatizo sawa na hilo, na miezi michache iliyopita iliondoa marufuku iliyokuwa imeweka kwa biashara hiyo. Sasa nchi hiyo imeanza kutekeleza kodi mpya ya 20% kwa uuzaji wa vyuma chakavu nje ya nchi ili kujaribu kupunguza usafiri...
BBC Report: Vandalism and Scrap Metal trade in Kenya
มุมมอง 502ปีที่แล้ว
Like in many other African countries, Kenya is fighting vandalism of its key infrastructure projects due to the rise of scrap metal trade. In January the government banned scrap metal trade altogether in an effort to stop vandalism, but partially lifted it in May after an outcry from traders. Now the country has imposed a 20% export tax on scrap metal as it seeks to discourage this trade. The B...
BBC: What William Ruto's win means for Kenya economy
มุมมอง 185ปีที่แล้ว
Deputy President William Ruto has been declared the winner of Kenya's Presidential election amid dramatic scenes. He narrowly beat his rival, Raila Odinga, taking 50.5% of the vote, according to the official results. This was the first time Mr Ruto, 55, had run for president. He has served as Deputy President for 10 years, but fell out with President Uhuru Kenyatta, who backed Mr Odinga to succ...
Somalia renews appeal to join the East African Community (EAC)
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
Somalia renews appeal to join the East African Community, as leaders call for establishment of a Single East African Air Transport Market to ease travel and reduce costs. My reporting on the ongoing #EACHeadsOfStateSummit in Arusha, Tanzania #BBCDiraYaDuniaTv #PeterMwangangi
Financial Inclusion for People with Disabilities Tanzania
มุมมอง 1642 ปีที่แล้ว
Mobile money and other financial services have the power to transform the experience of persons with disabilities for financial inclusion, however persons with special needs continue to face barriers in accessing financial services. Tanzania has about 4.5 million people living with disabilities, according to the country’s Federation of Disabled People’s Organizations (SHIVYAWATA). One third of ...
Miamala ya fedha kwa watu wenye ulemavu Tanzania
มุมมอง 652 ปีที่แล้ว
Tanzania ina takribani watu 4.5m wanaoishi na ulemavu, kwa mujibu wa Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA). Hata hivyo 33% ya watu hao hawapati huduma za kifedha. Kulingana na Benki ya Dunia, asilimia 80% ya watu walio na ulemavu wanaishi katika nchi ambazo zinaendelea, na watu hao wako katika hatari kubwa zaidi ya kukosa huduma za kifedha, elimu, afya, ajira miongoni...
Biashara ya Vyuma Chakavu Uganda
มุมมอง 1892 ปีที่แล้ว
Biashara ya Vyuma Chakavu Uganda
Scrap Metal Trade Uganda
มุมมอง 4632 ปีที่แล้ว
Scrap Metal Trade Uganda
DRC joins the East African Community: What traders stand to gain
มุมมอง 1232 ปีที่แล้ว
DRC joins the East African Community: What traders stand to gain
Valedictorian Speech Aga Khan University 2022
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
Valedictorian Speech Aga Khan University 2022
Ndege ya Boeing 737 MAX yarejea tena kazini Ethiopia
มุมมอง 1022 ปีที่แล้ว
Ndege ya Boeing 737 MAX yarejea tena kazini Ethiopia
Farmers in Tanzania turn to vanilla to boost their fortunes
มุมมอง 15K2 ปีที่แล้ว
Farmers in Tanzania turn to vanilla to boost their fortunes
FACEBOOK DOWN! LESSONS FOR SMALL BUSINESSES IN AFRICA
มุมมอง 722 ปีที่แล้ว
FACEBOOK DOWN! LESSONS FOR SMALL BUSINESSES IN AFRICA
Kenya, Uganda and Tanzania Budget Highlights: BBC Swahili
มุมมอง 3112 ปีที่แล้ว
Kenya, Uganda and Tanzania Budget Highlights: BBC Swahili
Ziara ya rais Samia Suluhu nchini Kenya imekuwa ya manufaa gani?
มุมมอง 2233 ปีที่แล้ว
Ziara ya rais Samia Suluhu nchini Kenya imekuwa ya manufaa gani?
Taxing Africa’s Digital Economy
มุมมอง 4463 ปีที่แล้ว
Taxing Africa’s Digital Economy
Mkataba wa biashara wa Kenya-UK unahusisha nini?
มุมมอง 1113 ปีที่แล้ว
Mkataba wa biashara wa Kenya-UK unahusisha nini?
Meet the entrepreneurs digitizing Kenya’s flower industry
มุมมอง 3.8K3 ปีที่แล้ว
Meet the entrepreneurs digitizing Kenya’s flower industry
The day Governors Joho, Sonko clashed in Mombasa
มุมมอง 303 ปีที่แล้ว
The day Governors Joho, Sonko clashed in Mombasa
Peter Mwangangi hosts BBC Africa LIVE Facebook discussion
มุมมอง 1243 ปีที่แล้ว
Peter Mwangangi hosts BBC Africa LIVE Facebook discussion
'Cape to Nairo' Artificial Intelligence Hackathon
มุมมอง 564 ปีที่แล้ว
'Cape to Nairo' Artificial Intelligence Hackathon

ความคิดเห็น

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 27 วันที่ผ่านมา

    😢💞💞💔💔

  • @mashashpastory7467
    @mashashpastory7467 27 วันที่ผ่านมา

    R.I.P MAGUFULI

  • @nakaweesisafina7100
    @nakaweesisafina7100 หลายเดือนก่อน

    Thx bro am watching from uganda

  • @fredeokolo8717
    @fredeokolo8717 หลายเดือนก่อน

    If Tanzanians will choose to speak English in public forums their GDP will double in no time. Excessive Speaking of Vernacular is hindering the development of Tanzania.

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kakazia apo rais wa zaman...anajua neno zaman

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 2 หลายเดือนก่อน

    Chonde chonde serikali ya Tanzania fanya mfanyalo jiji la Dodoma lijengwe vizuri majengo yake yawe bora na mazuri kuzidi yaliyo Nairobi na dar.Dodoma ndiyo image ya uzuri wa Tanzania.Tafuta wajapani,wakorea wachina waje wajenge magorofa marefu yanayo jengwe kwenye guides kuhimili matetemeko ya ardhi kwani Dodoma iko bonde la ufa.pia pale katikati ya mji majengo taka yote yabomolewe magorofa mazuri na fly overs zijengwe Tanzania ya Nyerere izidi kupendeza.

  • @daviddavis7959
    @daviddavis7959 10 หลายเดือนก่อน

    So what is Kenya doing? Do they have a kelp program. kelp seems to be one plant that does well in salt water and has many benefits. A thought came to mind what if we also did Kelp farming besides in the ocean but in Lake turkana would it work? Kenya has a well established maine dept located in Mombasa do they think of such things exploring different alternatives of the blue economy like kelp farming?

  • @maksumzaifudin5859
    @maksumzaifudin5859 10 หลายเดือนก่อน

    The Indonesian capital also moved from Jakarta on the island of Java to Nusantara on the island of Kalimantan. For now, the construction of the presidential palace, ministry offices, ministerial houses, toll roads and wharves is still under construction. Next year in August 2024 the Indonesian capital will officially move to the Nusantara. The relocation of the Indonesian capital there is also for equitable distribution of development, especially in eastern Indonesia and Jakarta which are already densely populated.

  • @samwelisaya5755
    @samwelisaya5755 10 หลายเดือนก่อน

    Tonga rest first

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 10 หลายเดือนก่อน

    Katika Nchi za Maendeleo kama Uchaguzi haukubali na Wananchi lazima Uchaguzi ufanyike kwa mara ya pili

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 10 หลายเดือนก่อน

    Wajaluo wanashida sana

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 10 หลายเดือนก่อน

    Kwani madamano ndosaihii watu wanakufa kwasababu yaujiga wako maisha nimagumu kilamaali nasiyo kenya pekeake

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe baba wacha ujiga maisha nimagumu klamahali atauku ichi za kialabu vitu viko juu sana

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 10 หลายเดือนก่อน

    Control money or education dasnt let you undermine who have got no money or education becouse on life there are 3 things the money education saycokoge but cicret is on saycokoge capacity you can have money Rong use you can have education Rong use but saycokoge capacity in sense of how can be sense in different ways of resech through voice of understand your proquetion Mack Laila odnga has money but he want more money and leadership that all when your ask about Kenya fiucher l don't think has right channel like William ruto plan

  • @PeterMuli-fb3pt
    @PeterMuli-fb3pt 10 หลายเดือนก่อน

    Mandamano iyendelee

  • @annkaithi6742
    @annkaithi6742 10 หลายเดือนก่อน

    Kwani ruto anauza unga?think twice to have peace ruto alikuta kenya in poor condition.Ole wenu wasumbufu

  • @user-pe2po2mk2q
    @user-pe2po2mk2q 10 หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga raila watu wanakufa bure uwa ruto ndye makosa

  • @FaxiBeelo-de9oy
    @FaxiBeelo-de9oy 10 หลายเดือนก่อน

    😳😳😳😷

  • @lucyngunju8810
    @lucyngunju8810 10 หลายเดือนก่อน

    Punda ime choka ipumzike kila kitu ime panda mbona hukuongea na kulete maandamano wakati wa handshake 🤝mulipo pandishbei ya kila kitu unga kutoka 90 mpaka 230????pure personal selfish interest yako na wala sio kwa wakenya tume choka na wewe

  • @JedidaLilian-gx5cf
    @JedidaLilian-gx5cf 10 หลายเดือนก่อน

    Ayiego baba adenyo

  • @aishajuma468
    @aishajuma468 10 หลายเดือนก่อน

    Kwenda falavwewe

  • @elizabethjohn6060
    @elizabethjohn6060 10 หลายเดือนก่อน

    My president is growing younger daily,pamoja🤝

  • @phil5689
    @phil5689 10 หลายเดือนก่อน

    Hypocrate Raila, very useless man.

  • @NashonOmari-to2yb
    @NashonOmari-to2yb 10 หลายเดือนก่อน

    We are ready for tomorrow is event.

  • @joymwendwa5613
    @joymwendwa5613 10 หลายเดือนก่อน

    Raila ukona ujinga sana life everywhere ni ngumu adi uku Lebanon so stop destroying young people,,,we need peace, how i wish ungekufa wewe watu wa breath

  • @lucywanjiru8289
    @lucywanjiru8289 10 หลายเดือนก่อน

    raila was in the goverment last term he think maisha haikuwa ngumu coz saa hii he is not in the goverment maisha imekuwa ngumu hio pesa anatumia kufanya maandamano saidia masikini

  • @jav856
    @jav856 10 หลายเดือนก่อน

    The lord of demonstration and thouble marke

  • @HesbonOtieno-ug3oh
    @HesbonOtieno-ug3oh 10 หลายเดือนก่อน

    My president ❤

  • @waruindegwa7270
    @waruindegwa7270 10 หลายเดือนก่อน

    Na usituite punda nugu hii.

  • @abrahammochache3558
    @abrahammochache3558 10 หลายเดือนก่อน

    Baba may God bless and protect you 🙏🙏🙏

  • @lucymacharia4134
    @lucymacharia4134 10 หลายเดือนก่อน

    Kila mahali garama ya maisha Iko juu ata gulf life in ngumu so acheni ujinga

    • @paulowuor2475
      @paulowuor2475 10 หลายเดือนก่อน

      shut the hell up wewe kaa huko gulf ukiteseka mbwa hii

  • @MikeWere-ko7ee
    @MikeWere-ko7ee 10 หลายเดือนก่อน

    Strong #kkmustfalltumechoka

  • @nesbitmiriti4366
    @nesbitmiriti4366 10 หลายเดือนก่อน

    Punda zitakubeba mpaka kwa handshake hio ndio nia yako.

  • @sugarcandy3895
    @sugarcandy3895 10 หลายเดือนก่อน

    This man is dangerous only dreaming of statehse nothing else

  • @sugarcandy3895
    @sugarcandy3895 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu. Msee anaota statehouse no other agenda….coup master

  • @elizabethmurage5067
    @elizabethmurage5067 10 หลายเดือนก่อน

    Saa hii ndio umeona punda nimechoka? Kwani alikua amepumuzika before the elections ? Nonsence

  • @alexmuyu9747
    @alexmuyu9747 10 หลายเดือนก่อน

    Ruto atoke

  • @alexmuyu9747
    @alexmuyu9747 10 หลายเดือนก่อน

    Raila tumechoka !

  • @user-kk5sg9ze1g
    @user-kk5sg9ze1g 10 หลายเดือนก่อน

    Baba fanyajuchini uyojama hatoke atutaumia kwainchi yetu baba tukonawewe mpakamwisho

  • @MAKAVELLI207
    @MAKAVELLI207 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu awache kubweka kama mbwa.

  • @healinghumanity1782
    @healinghumanity1782 10 หลายเดือนก่อน

    Why do young people accept politicians & other ambitious power-seekers to divide them into absurd fragments such as Jubilee, KANU, Kenya Kwanza, Azimio, UDA & others?

  • @ireneandia9006
    @ireneandia9006 10 หลายเดือนก่อน

    Baba one love jacom ❤❤❤❤ my president ❤️❤️

  • @angash8071
    @angash8071 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni punda mzee, na wewe tu ndio umechoka. sisi bado. Na usiwe ikutuita punda!

  • @saidishayo1974
    @saidishayo1974 10 หลายเดือนก่อน

    Baba jinga sana lazima garama ipande kwani lazima ule ugali nenda shamba kalime

  • @sagybub4109
    @sagybub4109 10 หลายเดือนก่อน

    Evil selfish Oldman 😢

  • @vincentotieno6506
    @vincentotieno6506 10 หลายเดือนก่อน

    Punda ni nani wewe?????

    • @Connesvvvvnjebc4440
      @Connesvvvvnjebc4440 10 หลายเดือนก่อน

      PUNDA ni nyinyi wa Azimio,ujeelewa Baba akiwaita, so tunamwambia Baba ongesa volume,

  • @aliwario8240
    @aliwario8240 10 หลายเดือนก่อน

    Punda amechoka

  • @carolinesaru7386
    @carolinesaru7386 10 หลายเดือนก่อน

    STOP LYING.

  • @eyaswardeh9554
    @eyaswardeh9554 10 หลายเดือนก่อน

    Did the food come from the street or in the farm tell us the truth stop lies

  • @eyaswardeh9554
    @eyaswardeh9554 10 หลายเดือนก่อน

    Talking nonsense shame on you you have been in government with uhuru what have you done life was very expensive and no one was complaining about

    • @nicholaskyalo8752
      @nicholaskyalo8752 10 หลายเดือนก่อน

      Think of lock down and how many businesses were affected by COVID-19 and the tax relief, uhuru didn't borrow recklessly but there wasn't option

    • @eyaswardeh9554
      @eyaswardeh9554 10 หลายเดือนก่อน

      @@nicholaskyalo8752 you can imagine how people we have safe to stay in the house without food and someone come to destroy others business because of maandano and nothing will change they will become tied with those nonsense of there's