- 13
- 142 470
LUSEKELO MWALYAJE
เข้าร่วมเมื่อ 31 ม.ค. 2019
LUSEKELO MWALYAJE - MAJUNGU YA NINI (OFFICIAL VIDEO)
LUSEKELO MWALYAJE - MAJUNGU YA NINI (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง: 116
วีดีโอ
LUSEKELO MWALYAJE - SEMA NA MOYO WANGU (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 226หลายเดือนก่อน
LUSEKELO MWALYAJE - SEMA NA MOYO WANGU (OFFICIAL VIDEO)
LUSEKELO MWALYAJE - MTETEZI WANGU (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 147หลายเดือนก่อน
LUSEKELO MWALYAJE - MTETEZI WANGU (OFFICIAL VIDEO)
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
มุมมอง 32K7 หลายเดือนก่อน
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 1
มุมมอง 14K7 หลายเดือนก่อน
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 1
MWALYAJE Ft. HAPPY KAMILI - NIMWABUDU NANI (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
Arts; Lusekelo Mwalyaje Ft. Happy Kamili Song ; Nimabudu nani ? Tell: 0753728668
MR & MRS LUSEKELO MWALYAJE - KILA LENYE MWANZO (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 10K3 ปีที่แล้ว
MR & MRS MWALYAJE SONG; KILA LENYEMWANZO TELL; 0652333380.
LUSEKELO MWALYAJE - MOYO WA TOBA (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
Song: Moyo wa toba Artst: Mr. & Mrs Lusekelo mwalyaje Cont: 0652 33 33 80
UMETUKUZWA BWANA WANGU - LUSEKELO MWALYAJE (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 61K5 ปีที่แล้ว
UMETUKUZWA BWANA WANGU - LUSEKELO MWALYAJE (OFFICIAL AUDIO)
LUSEKELO MWALYAJE TUFANYIE KICHEKO BWANA OFFICIAL AUDIO
มุมมอง 12K5 ปีที่แล้ว
LUSEKELO MWALYAJE TUFANYIE KICHEKO BWANA OFFICIAL AUDIO
Mtangazaji shida miswali isiyonamana unamtoa mtu kwenye mtiririko
Haleluya
Hkweli tuwe makini
Barikiwa mtumishi
Amen
Chiting only
Mda mwingine mwache oengee mpe direct swal lakini muache aelezee si kuingilia kati ya mazungumzo
Kusoma comment yangu tu kuandika ya kwako aaaah😂😂
Mtagazaj kasome
Anakamuliwa NGAMA.
safi kwa yesu kuna furaha
Kweli niki kusikia hayo unayosema, bai ni kweli wachungaji wengine ni waganga.
😂😂😂😂😂😂 ah! Stori za majini,
Mzee namwandishe wotewaongo watupu
Mtangazaji ulifanya uzembe mkubwa sana,, story ni nzur ,,MUNGU amesema nawew ulekodi shuhuda yake,,wew ukafanya uzembe matokeo yake umerekod shuhuda mbili tuu..
Mm sijui lkn maongeo yake tu ni uongo mzee wa ovyo tu
Amen tena Asante sana. Basi tunaomba part 3 na zifuatazo ❤
Umekua muongeaji kuliko unae mhoji.
Yaaan ningelikuwa karibu na uyo kaka ningemnyang'anya maike maana hajui kazi yake
Hujapata hio nafasi kwa kuwa unachodhani wewe uko sahihi kumbe uko 0
Yaaan uyo mtangazaji ni fake 😏😏😏
Kabisaa awape watu na fani zao
Hujitambui wewe
Wewe unashida ya Afya ya Akili
Ushuhuda ni mzuri japo kidogo muuliza maswali ana haraka ya maneno yake
Lusekelo umezingua yan kwanza kitendo cha kuweka nyimbo katikati ya mahojiano unazani watu wanasikiliza nikupeleka tu mbele
Jaman kueni makini na hawa wachungaji wanao sema walikua wabaya ila wameokoka.
Sijaelewa maana yako
Huyu Power Mwasekaga namfahamu vizuri tangu akiwa mwanajeshi hadi kustaafu JWTZ Tabora, ushuhuda wake ni uongo asilimia 90. Hata yeye anajua (nasikia alishafariki) kwamba anaongea uongo mtupu. Anayoyasema hakuyaishi.
Ww uliloga na yy
Hujaelewa alicho maanisha@@JoelMoshi
Wewe ni mwanga
Ana kimuhemuhe kama nn huyuu litangazaji
Mtangazaji ana kiherehere kama nn yaan
Yaaani unamfanya Mzee ashindwe ku flow ungemwachaa aelezee Kisha maswalii yaje mwisho
Daaaah, mtangazaji Mungu anakuona! Tafuta wenye taaluma hiyo wewe unasababisha tuichoke stori wakati ni nzuri....
We kichwani unaupungufu
Ungemuacha mzee aongee tu maswali yako yanakera maana tayar tulishamuelewa wew unarudia
Ndiyo afande
Anaye hoji anakatisha history ina kuwa haina maana
Dunia inamambo
Wewe mtangazaji wewe
huyu mchungaji babu yetu amefariki hivo ushuhuda hauwezi kupatikana
bahati mbaya amefariki tuvumilie tu
Huyu alitakiwa awapate PROMOVER TV ndo tutapata huyo ushuhuda vizuri. Nia ya Mchungaji ni nzuri ila sio kila mtu ana kipawa cha Ku Interview...... Uandishi wa habari ni kipawa na ni Profesion. Anamkatisha hakuna muendelezo wa story moja iishe. Huyu mzee unaweza kupata hata series 20 za saa moja kila moja.
kabisaa
Au Davistar Mata TV
Mtangazaji Mara nyingi maswali yako yanaharibu mwendelezo wa ushuhuda.
Acha uwongo, hadaa, na ghiliba ili kuwarubuni wana wa Mungu mwanafiale.
Naomba namba ya Mchungaji Mwasekaga
Huyu babu kama umesikia Mtumishi wa Mungu amesema alifariki
Sikiliza kwa makini maelekezo part 1
Muuliza maswali daaa achaaa
Story nzuri sana muuliza maswali anauliza maswali ya honyo hovyo
Mwendelezo haupo
Nilimwona mara ya kwanza pale Makalala Chuo cha Makatekista, siku ya mahafali, akaonyesha michezo kama kuzuia gari kwa mkanda kwa meno yake; kuushinda umati wote wa watu KWA kuvuta kamba; Landrover kupita kifuani n.k.
Ndo imeisha au
Mbona uweki sehemu ya tatu
Mtangazi wewe unaharibu wachana ajielezee mwenyewe au pia wewe umewai kua mchawi 😂
Angalia selikari ilifikili ni mtu wa kawaida wanamlipa hela nyingi kweli dunia ni upepo
Ila we unayehoji unaharibu ushuhuda uu
Mung akubarik 2:07
Elshamah washira
❤❤❤❤