Idrisa Makupula
Idrisa Makupula
  • 3
  • 102 310
#UniversityCorner #Theclassicefm
#UniversityCorner #Theclassicefm
มุมมอง: 297

วีดีโอ

UVC-tshirt na Jeans
มุมมอง 102K6 ปีที่แล้ว
Wimbo uliobeba jina la album ya university corner-uvc,iliotoka mwaka 2003,ambayo ilikua na jumla ya nyimbo nane.

ความคิดเห็น

  • @HamadiNamwenda
    @HamadiNamwenda 9 วันที่ผ่านมา

    2025🎉🎉🎉 Ndani ya MJ Record na Midundo ya G-Unit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephmalebo8387
    @josephmalebo8387 20 วันที่ผ่านมา

    2025 ndani ya bongo. T shirt na jeans 👖 👇👇 Wahenga bado tunashi nayoo

  • @jamilthani2639
    @jamilthani2639 หลายเดือนก่อน

    Eti Jeans haifuliwi jamaa hapo alitupiga

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 หลายเดือนก่อน

    Kitambo kabisa

  • @HassanAlly-h2e
    @HassanAlly-h2e 2 หลายเดือนก่อน

    Da ase nakumbuka 2004 mpaka leo 2024 bado naiskiliza ngoma kali sana hii haichuji

  • @Citymedia25
    @Citymedia25 5 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @jovialphiri5555
    @jovialphiri5555 5 หลายเดือนก่อน

    Before diamond platnazm wow.. amazing

  • @RaiderTube
    @RaiderTube 5 หลายเดือนก่อน

    Master Jay

  • @BarakaKakomeye-hm1pz
    @BarakaKakomeye-hm1pz 6 หลายเดือนก่อน

    Kitambo sana,,, kijijini tulikua tunaenda kuangalia video kiingilio sh. 50

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅 Acha mwanangu umenikumbusha mbalii

  • @athumanabubakary5930
    @athumanabubakary5930 7 หลายเดือนก่อน

    2003 nilkua class 4😅😅 14 years

  • @b_cheune
    @b_cheune 8 หลายเดือนก่อน

    Phat Farm, Dada, Fubu na Sean John! Our labels growing up! Nostalgic song.

  • @WaheedHamad-d5g
    @WaheedHamad-d5g 8 หลายเดือนก่อน

    Nina miaka3 hii nyimbo😅😅😅😅lkn kuna watu walikua na miaka 20+lkn tunakoment pamoja😅😅😅

  • @davidernestemmanuel701
    @davidernestemmanuel701 9 หลายเดือนก่อน

    Wa 90's tu ndo tunaelewa hizi drums Emmanuel Majivuno d47

  • @AmisseSumail-x9j
    @AmisseSumail-x9j 9 หลายเดือนก่อน

    T-SHIRT na JEANS..tutavaa hadi UZEENI..God akibles

  • @bensonthobias6765
    @bensonthobias6765 11 หลายเดือนก่อน

    UVC..IDRISA NA HASHIM MTU NA BINAM YAKE WALIUA SANA HUMU NA ILE WAKO NA FERUZ

  • @MOHAMEDSAID-vs6jt
    @MOHAMEDSAID-vs6jt 11 หลายเดือนก่อน

    Dah Niko elimu ya awali 2003

  • @fulgencebeno2969
    @fulgencebeno2969 11 หลายเดือนก่อน

    Kipindi hicho ulanzi na power zipo kichwani alafu juu Nina Sean John jeans ya zeezle ya Kaki chini Nina And1 alafu nazama disco 😂😂😂😂

  • @deomarwa6583
    @deomarwa6583 11 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @Sokomoko13
    @Sokomoko13 ปีที่แล้ว

    If your here 2024 let's gather here haha😂🎉

    • @abangaabanga4677
      @abangaabanga4677 หลายเดือนก่อน

      Am here 28th Dec 2024 mate 👌🏿

  • @BarakaKakomeye-hm1pz
    @BarakaKakomeye-hm1pz ปีที่แล้ว

    Enzi hizo kijijini disco linapigwa hakuna kulala vumbi vumbi mwanzo mwisho

  • @ramadhanseif4564
    @ramadhanseif4564 ปีที่แล้ว

    Nimefurah dah za kale dhahabu

  • @ZamoMartin-i2e
    @ZamoMartin-i2e ปีที่แล้ว

    sana2😢😢 mahom boy

  • @timothymikola2317
    @timothymikola2317 ปีที่แล้ว

    Belinda hiyo White sand mbezi beach African

  • @arizonajerad4624
    @arizonajerad4624 ปีที่แล้ว

    HAAAH WAP HARCORE TEAM

  • @francismunyambo-ij8cw
    @francismunyambo-ij8cw ปีที่แล้ว

    Hiyo ngoma enzi zake wacha tu

  • @frankmbise6698
    @frankmbise6698 ปีที่แล้ว

    Ndugu Idrisa ngoma zenu zote za kitambo nazitaka na mimi ni mtoto wa Survey nazipataje

  • @awadhtamla6989
    @awadhtamla6989 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa darasa la tatu Turiani primary school Magomeni Dsm

  • @umeedkassam6974
    @umeedkassam6974 ปีที่แล้ว

    Damn am old

  • @HassanAbdu-pq4rh
    @HassanAbdu-pq4rh ปีที่แล้ว

    😥😥😥 those days

  • @sammymiano1495
    @sammymiano1495 ปีที่แล้ว

    Walai old is gold.when bongo was real💪🏼

  • @Gchodahitman
    @Gchodahitman ปีที่แล้ว

    2023 AND BEYOND T SHIRT NA JEANS 😜🙌🕺🔥🔥🔥🔥

  • @lucymgina8093
    @lucymgina8093 2 ปีที่แล้ว

    jeans haishuki thamani

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 2 ปีที่แล้ว

    Duuh siku hizi Kuna Wabana pua Wanyoa viduku Wazee wa scandal Watengeneza attention ya watu na kukuza tu brand kupata mihela WASANII WENYE UWEZO KWA SASA HAKUNA

  • @Kbaya86
    @Kbaya86 2 ปีที่แล้ว

    Machozi I really miss this old times uzee jameni

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 2 ปีที่แล้ว

    Aaaghhh m’menipereka mbali sana teenage years ❤️

  • @anuarymzee9898
    @anuarymzee9898 2 ปีที่แล้ว

    2022🙏💯🔥

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 2 ปีที่แล้ว

    Tupo na nyie km team mandonga

  • @elyvileelema4985
    @elyvileelema4985 2 ปีที่แล้ว

    golden era.golden singers

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว

    Enzi hizo 2003 nilikuwa darasa la 5 😀 Am here Tuesday, August 2, 2022 ✌🏼🇹🇿❤❤❤

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 5 หลายเดือนก่อน

      Na 2024 profile ina Jeans 😂

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 5 หลายเดือนก่อน

      @@RaiderTube 😂😂😂😂

  • @teddykioko1721
    @teddykioko1721 2 ปีที่แล้ว

    20222 t-shirt na 👖Bado ni🔥🔥🔥

  • @mcdadedady7777
    @mcdadedady7777 2 ปีที่แล้ว

    2022🎤

  • @hamimuadisababa5471
    @hamimuadisababa5471 2 ปีที่แล้ว

    It's 2022, still enjoying hili goma

  • @akili9yechuman221
    @akili9yechuman221 2 ปีที่แล้ว

    2022🇹🇿🇹🇿

  • @SampleKiller99
    @SampleKiller99 3 ปีที่แล้ว

    Jay kama Master kwenye beat.

  • @mrutusimonshundi628
    @mrutusimonshundi628 3 ปีที่แล้ว

    2022

  • @engcyprianfuime2049
    @engcyprianfuime2049 3 ปีที่แล้ว

    Timeless, age mates tujuane hapa enzi izo

  • @ashaahmadinasoro8571
    @ashaahmadinasoro8571 3 ปีที่แล้ว

    Wow🤩 2021 cpo pekeangu naeitazama hii ngoma

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 ปีที่แล้ว

    bado nawakumbuka hadi leo 2021 🔥

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 3 ปีที่แล้ว

    The shirts na Jeans

  • @geofreynjanga6794
    @geofreynjanga6794 3 ปีที่แล้ว

    La sita upendo view sumbawanga disco toto mtoto wa kotas za NMC karbu polisi line dah kitambo sana