CUF ONLINE TV TZ
CUF ONLINE TV TZ
  • 200
  • 207 183
KUMEKUCHA BI HAMIDA ATOA AHADI MWEZI WA NNE MTAFURAHI
KWA HABARI ZA KISIASA NA KAMPENI ZA CHAMA CHA CUF TUFUATILIE KUPITIA CHANNEL YETU YA CUF ONLINE BILA KUSAHAU TOA MAONI NA USHAURI SUBSCRIBE NA SHARE NA WENGINE KUPITIA CHANNEL YAKO YA CUF ONLINE TV
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
#Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
#Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
#muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k
มุมมอง: 196

วีดีโอ

MAZRUI ATANGAZA KUSTAAFU SIASA ASEMA AMECHOSHWA NA MAGUMU ANAYOPITIA
มุมมอง 45K21 วันที่ผ่านมา
MAZRUI ATANGAZA KUSTAAFU SIASA ASEMA AMECHOSHWA NA MAGUMU ANAYOPITIA
NG'OMBE WA KIKWETE WANAISHI GOROFANI
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
NG'OMBE WA KIKWETE WANAISHI GOROFANI
PROF. LIPUMBA ATOBOA SIRI ALIYOPEWA NA DUNGA WALIPOKUTANA KWENYE MAZISHI YA MAGUFULI
มุมมอง 2473 หลายเดือนก่อน
PROF. LIPUMBA ATOBOA SIRI ALIYOPEWA NA DUNGA WALIPOKUTANA KWENYE MAZISHI YA MAGUFULI
PROF. LIPUMBA "WANYAMA TANZANIA WANA THAMANI KULIKO WATU"
มุมมอง 4383 หลายเดือนก่อน
PROF. LIPUMBA "WANYAMA TANZANIA WANA THAMANI KULIKO WATU"
DUNGA "2019 TULIIBA UCHAGUZI"
มุมมอง 2353 หลายเดือนก่อน
DUNGA "2019 TULIIBA UCHAGUZI"
DUNGA AKASIRISHWA NA JESHI LA POLISI ACHARUKA NA KUSEMA CCM HAINA LOLOTE
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
DUNGA AKASIRISHWA NA JESHI LA POLISI ACHARUKA NA KUSEMA CCM HAINA LOLOTE
HATA MALAIKA AKIINGIA CCM ATABADILIKA KUA SHETANI
มุมมอง 2.7K3 หลายเดือนก่อน
HATA MALAIKA AKIINGIA CCM ATABADILIKA KUA SHETANI
DUNGA AREJEA CUF KWA KISHINDO ASEMA CCM NI WASHAMBA TU
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
DUNGA AREJEA CUF KWA KISHINDO ASEMA CCM NI WASHAMBA TU
IMEVUJA! CHANZO CHA MGOGORO WA MAZRUI NA ACT-WAZALENDO HIKI HAPA
มุมมอง 15K3 หลายเดือนก่อน
IMEVUJA! CHANZO CHA MGOGORO WA MAZRUI NA ACT-WAZALENDO HIKI HAPA
RAIS MWINYI KUONGOZA MIAKA 7 NI NDOTO YA MCHANA
มุมมอง 5944 หลายเดือนก่อน
RAIS MWINYI KUONGOZA MIAKA 7 NI NDOTO YA MCHANA
HAMAD MASOUD AWAFTARISHA VIJANA HAWA NYUMBANI KWAKE MBWENI ZANZIBAR
มุมมอง 3156 หลายเดือนก่อน
HAMAD MASOUD AWAFTARISHA VIJANA HAWA NYUMBANI KWAKE MBWENI ZANZIBAR
MASHEKHE NA WALIMU PEMBA WAMFUATA HAMAD MASOUD
มุมมอง 2866 หลายเดือนก่อน
MASHEKHE NA WALIMU PEMBA WAMFUATA HAMAD MASOUD
HAMAD MASOUD AWAOMBA WAFANYA BIASHARA KUPUNGUZA BEI
มุมมอง 1067 หลายเดือนก่อน
KWA HABARI ZA KISIASA NA KAMPENI ZA CHAMA CHA CUF TUFUATILIE KUPITIA CHANNEL YETU YA CUF ONLINE BILA KUSAHAU TOA MAONI NA USHAURI SUBSCRIBE NA SHARE NA WENGINE KUPITIA CHANNEL YAKO YA CUF ONLINE TV
MTU WA KWANZA KUPEPERUSHA BENDERA YA ACT-WAZALENDO PEMBA AJIUNGA NA CUF
มุมมอง 2.6K7 หลายเดือนก่อน
MTU WA KWANZA KUPEPERUSHA BENDERA YA ACT-WAZALENDO PEMBA AJIUNGA NA CUF
HAMAD MASOUD AZUNGUMZIA ACT-WAZALENDO KUJITOA KWENYE GNU
มุมมอง 4.9K7 หลายเดือนก่อน
HAMAD MASOUD AZUNGUMZIA ACT-WAZALENDO KUJITOA KWENYE GNU
YALIYOTOKEA 2001 TUSINGEPENDA KUYASHUHUDIA TENA ZANZIBAR
มุมมอง 1149 หลายเดือนก่อน
YALIYOTOKEA 2001 TUSINGEPENDA KUYASHUHUDIA TENA ZANZIBAR
CUF WASOMA DUA KUWAKUMBUKA WALIOFARIKI JANUARY 26 - 27, 2001
มุมมอง 4749 หลายเดือนก่อน
CUF WASOMA DUA KUWAKUMBUKA WALIOFARIKI JANUARY 26 - 27, 2001
CUF WAWAKUMBUKA MAREHEMU
มุมมอง 1199 หลายเดือนก่อน
CUF WAWAKUMBUKA MAREHEMU
OMAR MRISHO ANAHAMIA CUF PEMBA ALIKUWA ACT
มุมมอง 22310 หลายเดือนก่อน
OMAR MRISHO ANAHAMIA CUF PEMBA ALIKUWA ACT
angali CUF Wanavoliamsha Mchangamdogo Pemba
มุมมอง 43410 หลายเดือนก่อน
angali CUF Wanavoliamsha Mchangamdogo Pemba
CUF yawataka Vinaja kutolaghaiwa na Vyama Vyengine
มุมมอง 13410 หลายเดือนก่อน
CUF yawataka Vinaja kutolaghaiwa na Vyama Vyengine
JUMLA YA VIJANA 160 WANACHAMA 210 WACHUKUA KADI NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI-CUF KOJANI PEMBA
มุมมอง 629ปีที่แล้ว
JUMLA YA VIJANA 160 WANACHAMA 210 WACHUKUA KADI NA KUJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI-CUF KOJANI PEMBA
CUF WAHAMA NA KIJIJI CHA ACT PEMBA
มุมมอง 805ปีที่แล้ว
CUF WAHAMA NA KIJIJI CHA ACT PEMBA
CUF YATOA MSIMAMO TUME YA UCHAGUZI YA RAIS MWINYI
มุมมอง 281ปีที่แล้ว
CUF YATOA MSIMAMO TUME YA UCHAGUZI YA RAIS MWINYI
HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA JUVICUF TAIFA
มุมมอง 192ปีที่แล้ว
HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA JUVICUF TAIFA
JUVICUF WAPEWA JUKUMU HILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
มุมมอง 293ปีที่แล้ว
JUVICUF WAPEWA JUKUMU HILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
HAMAD MASOUD AITETEA ZANZIBAR MJADALA WA TCD, ATAKA SHERIA NA UTAYARI WA KISIASA KUPEWA KIPAOMBELE
มุมมอง 665ปีที่แล้ว
HAMAD MASOUD AITETEA ZANZIBAR MJADALA WA TCD, ATAKA SHERIA NA UTAYARI WA KISIASA KUPEWA KIPAOMBELE
CCM WANAJUA
มุมมอง 411ปีที่แล้ว
CCM WANAJUA
HII NDIO PEMBA
มุมมอง 445ปีที่แล้ว
HII NDIO PEMBA

ความคิดเห็น

  • @aishakhamis-kr7ed
    @aishakhamis-kr7ed 12 วันที่ผ่านมา

    Hmmm vtuko vitupu hii inch bana

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 13 วันที่ผ่านมา

    Siasa ya ukweli na uwazi kaondoka nayo Hayat Maalim Seif Allah amrehemu

  • @abdallasaid3067
    @abdallasaid3067 13 วันที่ผ่านมา

    Good Boss wangu WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 14 วันที่ผ่านมา

    Usijidanganye kuwa wewe ni mbadala wa Maalim. Kama huamini toka nenda leo CCM uone. Hutubabaishi. Wacha USALITI

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 17 วันที่ผ่านมา

    HUYU MZEE KAMA LENGO LAKE NI KUTAKA KUITUMIKIA DINI SASA NA KUJIANDAA NA KIFO ITAKUA ANA AKILI SANA MAANA SIASA ZA SAA HIZI KWA KWELI NI MTIHANI MTUPU NDANI YAKE

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 18 วันที่ผ่านมา

    Maslahi yote ya kibiashara lazima usimame kwenye upande wa serikali. Ili biashara yako iende lazima ukae upande huo. Wengine hujaribu upinzani ili mambo yawe poa.

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 18 วันที่ผ่านมา

    Mwanasiasa mwengine ni Mansour,

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio mwanasiasa huyu ni mfanyabiashara. Kwenye siasa ya zanzibar wafanyabiashara wengi wameingia sio ccm sio cuf sio atc. Hata matapeli wameingia kwenye siasa. Mwanasiasa ni jusa, othman kidogo nimeona.

  • @king-uw8ju
    @king-uw8ju 18 วันที่ผ่านมา

    Dume zima lina simama nimetongozwa mtianihani sasa kama siasa basi huna chama nahumo kenye serekali yetu😅

  • @hikmanalkanan9365
    @hikmanalkanan9365 18 วันที่ผ่านมา

    Hikman bin kanaan nakusapoti hii siasa nzuri asante nipo pamoja

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 19 วันที่ผ่านมา

    Kama unastafuu siasa bs na huyo uwazir wacha

  • @kafanananae5773
    @kafanananae5773 20 วันที่ผ่านมา

    Anajisifu kwa kazi

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 20 วันที่ผ่านมา

    Huwez kumsifu mtu aloua roho 21 kwababu yakutaka madaraka. Ww ni muislam kweli??

  • @dullahfar7775
    @dullahfar7775 20 วันที่ผ่านมา

    walio shituka ni baadhi tu sio wote act sisi wengine tulikuelewa

  • @alihamad7731
    @alihamad7731 20 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉 Big up

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 23 วันที่ผ่านมา

    Mazurui nakukubali sana acha siasa fuata uisilamu wako allah atakupa kilicho Bora zaid

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 23 วันที่ผ่านมา

    Acheni siasa mbaya nyinyi watu wa siasa nilazima kiongizi asifiwe kwasifa zake nzuri mm pia sipo kwenye chama chochote lkn mm namsifia rais Hussein mwinyi kwa kazi yake nzur Allah amfanyie wepesi Zaid aendelee kuikumbuka Pemba kiuchumi kimaendeleo

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 22 วันที่ผ่านมา

      Ww ni chawa huna chama ila ni muongo mzanzibari aso mpinzani ujue ni ccm hasa nyinyi mnajipendekeza kwa ccm Hali ,ccm haiwapendi kwa rangi zenu

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 21 วันที่ผ่านมา

      Umeongea kielimu zaid kwanza sisi wananchi tuna haki ya kumtii kiongozi

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 21 วันที่ผ่านมา

      @@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm mtihani kwa ndugu zetu wasio jielewa Yani wanatumika tu bila wao kutambua

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 16 วันที่ผ่านมา

      @@omarissamashaallahpresiden2920 nyinyi mnatumika hamjitambui

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 16 วันที่ผ่านมา

      @@omarissamashaallahpresiden2920 acheni ujinga Zanzibar kwa upande wa viongozi hawana ubaguzi rangi zote zinaingia nawala hakuna ubaguzi

  • @KhalfanSaid-u9y
    @KhalfanSaid-u9y 24 วันที่ผ่านมา

    Huna ulichokifanya ami yangu umeingia apo kwa maslahi yako umechaguliwa waziri una lip ulichokifanya familia yako umeshindwa kuisaidia uje usaidie wananchi

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa tangu afe maalim seif naona amekua haeleweki

  • @w4058
    @w4058 24 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu wewe faizanassor Wazanzibar kama nyie wanoko Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @w4058
    @w4058 24 วันที่ผ่านมา

    Wanafiki nyie wezi wa fadhila na Ihsan wajinga wakubwa loo mahasidi wa roho zenu na ndio mnaosababisha kutokupata nchi kwa roho mbaya

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 24 วันที่ผ่านมา

    Mwana ukombozi ana staafu. Wa zanzibar hawapambani siasa wanapambania inchi yao. Huyu kapata ela na anaona akiwemo kwenye mapambano atatumia ela zake pia ana jiwekea miundo mbinu apewe kazi za tenda za ujenzi serekalini. Ukimsoma kahisi kutoka chama na kuingia ccm..roho inamsuta but escape root nikusema najiuzulu siasa nibora kimtizamo wake na maccm

    • @Mammymuhamed
      @Mammymuhamed 21 วันที่ผ่านมา

      Huwezi jua nafsi ya mtu, tutapata Dhabi bure kwa dhana. Siasa ni mchezo mchafu

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mnafiki toka apate uwaziri anajipendekeza kwa ccm ili aendelee na uwa,iri

    • @imranijuma6955
      @imranijuma6955 23 วันที่ผ่านมา

      Ajipendekeze wapi Sasa 😅😅😅😅😅😅

  • @fightermshamu2466
    @fightermshamu2466 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mzee ame risk sana utajiri wake kwa cuf ambayo baadae ikawa act kwa znz Hana baya

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 24 วันที่ผ่านมา

    Ongea kiswahili pekee na sio lazima uongeze kiingereza ili uonekane kuwa umesoma

    • @mahnalamry
      @mahnalamry 19 วันที่ผ่านมา

      Kake mie seambulia kitu

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 25 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa wengine wa vyama vya Upinzani wajifunze toka kwa huyu mzee kusema ukweli.Pale panapo bidi kusifia mambo mazuri yanayofanywa na serikali wasifie na kukosoa mabaya yanayofanywa kinyume.

  • @FahmiAbdallah-x9w
    @FahmiAbdallah-x9w 25 วันที่ผ่านมา

    THANKS(KWA UFASAHA MH MAZRUI)INSHAA ALLA KHEIR

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 20 วันที่ผ่านมา

      Ufasaha upo apo? Hamna kitu apo kimsingi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 25 วันที่ผ่านมา

    Heading mbovu kabisa kwakweli daaah wacheni kupotosha umma nyie bhana

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 25 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo

  • @mbaroukhamza8508
    @mbaroukhamza8508 25 วันที่ผ่านมา

    vizazi ivi vya kikoloni c vyakushirikiana nao.

    • @moa4122
      @moa4122 21 วันที่ผ่านมา

      Mkoloni yupi? Wacha ujinga wako ndio nyinyi munaleta ubaguzi. Watu kama nyinyi ni hatari katika jamii. Mtu mbaguzi yoyote yule duniani ni hatari katika jamii

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 25 วันที่ผ่านมา

    Inaonyesha hupendi tafrani.

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 25 วันที่ผ่านมา

    Dk mwinyi anafanya vizuri sana. Sasa mazrui kumsifu ni sawa na maneno yake ni ya kweli kwani .SEIF SHARIFU ALISEMA KWELI KUWA ZANZIBAR ANGEWEZA KUIBADILISHA KWA SIKU 100 .NI MKWELI NA DR MWINYI AMETHIBITISHA HILO.. MUNGU AMUWEKE MWINYI.ameen Mazrui u are RIGHT.

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 25 วันที่ผ่านมา

    Tuwe waungwana tuwache tabia za kuwakashfu wati na kutoa maneno yasiyo milla zetu wazanzibar tujitafakari sana inasikitisha tunaeleiwa wapi imekuwa sasa ni matusi kashfa midamu mtu hukupenda mtu alichoongea hata kama ni ukweli.ushauri wangu kwa wote wanaopenda kuchangia tuwe waungwana kama huna la kusema usiseme.tumuogope Alllah sasa imekuwa hatumuogopi Alllah .kila mtu ana uhuru ktk maisha yake kujiamulia anataka nini.hata wewe unaetowa comment lkn usimbeze mzee ea mwenziwo.sio Silka zetu .shukran .

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 25 วันที่ผ่านมา

    Aslm wapenzi wote walllah cha kusikitisha sana sanaaa Mh mazrui kahojiwa vizuri sanaaa na kajibu vizuri sana kwa imani ya msimamo wake ndani ya moyo wake na ukweli ndio Alivyo.Mh mazrui na influence alonayo.ni mtu wa haki.kinachoshangaza sasa tumekuwa watu wa ajabu kubwa sio milla zetu wala silka zetu wazanzibar kutowa maneno yasoridhisha

    • @w4058
      @w4058 24 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu inataka watu wenye akili timamu tunakushukuru sana kwa kuliona hilo hai wanavyo andika tuachane nao maana washajipiga mihuri ya uziwi vipofu wa ndani ya nyoyo zao hata aseme vipi mijitu mengine tuachane nao wapumbavu maana wajinga wakierevusha huerevuka

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 25 วันที่ผ่านมา

    kesha hamna tena kitu

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b 25 วันที่ผ่านมา

    Haiwezekani kukisifia kile chama ambacho kinawatowa roho wazanzibari kila kunapokuja kipindi cha uchaguzi ,,mazuruwi una jambo lako tunahisi usharambishwa asali ,,MAZURUWI UMEWAGEUKA VIONGOZI NA WANANCHI WA ZANZIBAR,

    • @mkadammkadam
      @mkadammkadam 25 วันที่ผ่านมา

      Wazanzibar wepi aliowageuka?

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 21 วันที่ผ่านมา

      Mbona kiongozi wetu maalim alimsifia mwinyi na akatushauri tumuunge mkono

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 20 วันที่ผ่านมา

      Utamsifia vipi muuwaji! Mtu Amekaa madarakan kwa njia ya mauaji ksha eti unasifia uongozi wake!! Maana yake unasaport mauaji yalofanywa kwababu yake. Acha porojo, zulma itabak kua zulma. Huwez kumsifu mtu aloua raoho 21!! Ujinga tu

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kaaaq bench nimeipenda walllah raha mtu wa jokes

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo ndio mazrui original..❤.kama me arehem babake.Alllah amraham.lkn huyo ndio Mazrui ❤.waziri wa afya mchapa kazi imara hodari kililah afya ni wizara top znz .hongeraaaaa Sanaaa mdogo wangu kpe it up.

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 25 วันที่ผ่านมา

      ALLAH na sio Alllah

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 25 วันที่ผ่านมา

    Saiv bora mbuzi anafaida kuliko hyu saga tonge

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 25 วันที่ผ่านมา

    Hawa toka afariki maalim seif bas hawana tena lao maana alipokuwa hai maalim huyu alikua hana unafiki huu alonao sasa wakusifia viongozi wa ccm lkn wp Allah amraham maalim seif

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 25 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu hapo domo tu hyo

  • @AbdulysuleimanShemashilu
    @AbdulysuleimanShemashilu 25 วันที่ผ่านมา

    Umefanya vuzur mzee wangu mm nakushauli rudi kwenye dini ya Allah huku ndiko utapata utlivu wakwel

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani kakwambia karitad

    • @AbdulysuleimanShemashilu
      @AbdulysuleimanShemashilu 25 วันที่ผ่านมา

      @@MdNasr-jm8pj ungeielwa sms usingeuliza swali la kizushi

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 24 วันที่ผ่านมา

      Kwani ameritadi

    • @saidsalum1419
      @saidsalum1419 24 วันที่ผ่านมา

      Hajaritadi lkn uamuzi wake ni sawa. Siasa za znz maadamu hatufuati uongozi wa Quran na mtume na tunamtumikia Allah na Shetani ni hasara.

  • @fakizubeir
    @fakizubeir 25 วันที่ผ่านมา

    umeifanyia vizuri wizara ya afya

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 25 วันที่ผ่านมา

    hapa wasikilizaji wanatakiwa kusikiza mahojiano au kusikimza muziki, mbona ujinga umeharubu..

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 25 วันที่ผ่านมา

    Kumbe muheshimwa ulikua unafata shangwe tu sio mpambanaji wa zanzibar kupata mamlaka yake kamili

  • @ibrahimmakame5304
    @ibrahimmakame5304 26 วันที่ผ่านมา

    viojaa alivyoviachaa malim seif hivyoo

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 26 วันที่ผ่านมา

    Wanalia kumbe

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 26 วันที่ผ่านมา

    Ingefaa Mazruia ukajieleza kwa lugha ya Kiswahili,ambayo waliowengi ndio wanayoitumia

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 26 วันที่ผ่านมา

    Sauti ya mziki inaharibu usikivu, rekebisheni hilo

    • @harounramadhan9771
      @harounramadhan9771 26 วันที่ผ่านมา

      Can use bu in very low Volume

    • @hassanmitayo1875
      @hassanmitayo1875 25 วันที่ผ่านมา

      @@harounramadhan9771 kwani kuna tatizo gani ukieleza kwa lugha ya kiswahili?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 26 วันที่ผ่านมา

    Good leader!!