- 7
- 66 540
Shafy Fella
เข้าร่วมเมื่อ 22 ธ.ค. 2015
วีดีโอ
Mchiriku for Life - Mtulia Mnongane {s} Striker Mhina
มุมมอง 4.7K4 ปีที่แล้ว
Muimbaji - Striker Mhina Kinanda - Muddy Black Misondo - Division Haji Dumbaki - TP Matemelela Chekeche - Dingi Dagasoo Tyming - Masoud Nkonde Rapa - Sponser Lebo
Mchiriku for Life - Sambe Nangai {s} Dullah Mbaba
มุมมอง 1.9K4 ปีที่แล้ว
Atomic Advantage
มุมมอง 20K8 ปีที่แล้ว
Omari Omari tmk mikoroshini kitambo sana
Hii nyimbo nikiituma sehem hela nyingi inapatokana hapo
Wapi huko?
Baba nyuziii
Utawala
Alafu wajinga wanakosa Raza wakiamini uhu mziki niwawauni kumbe niwajuaji wamziki arisisa
😁 kweli wajinga wanakosa burudani.
Mwaka 1997 uraibu
Daaa mwaka 1997.uraibu
Daaa izingoma we achatu daa
Zinagusa ndani kabisa ya moyo🔥
@@shafyfella1102 vipi akuna mpya bro uzitupie
@@rashidnganga8730 Mpya bado kaka lkn wakat wowote tutaachia zingine..
Poa poa bro 👊nyie ndio mlio baki ivi captain cholo boy bado yupo
@@rashidnganga8730 Yeah! Yupo na afya njema kabisa.
oyooooooo
Nakubal sana hii Atomic tokea enzi za ommaryommary nimemic kulisikia jerry jerry
Naam! Vitu adimu hivyo. Tungo zenye akili zenye uwezo wa kudumu kwa miaka mingi.
Tungo zenye akili.
@@shafyfella1102oya utawalaaaa
𝐓𝐮𝐩𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐢𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐧𝐚
Ok nitaiweka..
𝐒𝐚𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮
𝙌𝙖𝙡𝙞𝙞𝙞𝙞𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖𝙖
Ahsante kwa kuwa nasi🙏
Nakubaliiiiiii mwaba shafiii yaani kama omary omary
Yah! Haina ubishi hiyo mwamba wangu.
Mnajua kuburudisha
Noma sana wanangu
Noma sana
Mpiga kinanda ana balaa sio dogo😃
Kipofu uyo
Nakubalii sana, oya ile freestyle ya Kilanga maishani mwangu hatuiskii wala hatuioni youtube , tufanyie mpango tuicheki youtube🔥
Duh mnanda huu ndio ulikuwa mziki wetu wa asili
Bado upo wadau munatakiwa kuupa support tu..
@@shafyfella1102 pamoja sn tutaendelea kuupa saport tupo pamoja sn
@@abdalahmohamedi1806 Poa poa
Mimi napenda sana kuupa support mziki wa mchiriku hasa kuwa kutanisha na watu tofauti hasa wa makampuni kwaajili ya kusponsor matamasha makubwa ya mchiriku pia kuwatoa nje ya nchi
Kitambo sana hii kitu
Mzee nilikuja siku moja mbagala kuchua hizi lazi
Ulizipata?
@@shafyfella1102 kaka tulionana
@@othumanlorenzo260Tulionana wp?
Nakubali muina rudi kwenye gemu mwanangu
Sawa mdau tupo pamoja🙏
Striker striker imetulia hyo wapi zamkwezi
@@kibaikiramadhani1475 Kazi kazi, Zamkwezi yupo.
Rudi kwenye gemu babu bado tunawahitaji
@@adamngao6016 Mbona tupo kwenye game na nyimbo mpya ndo kama hizo.
Mmh!!! Atomic Avatage"🔥🔥
Idrissa Mohamed Hatari hatarini🔥
Zitafute mwanangu au nikukumbushe nyingine
MUDDY KASSIM NYAMUNGUMI Nikumbushe.
Sarute respect
Kitambo sana hii daah
bro mnajua
uko poa shafi p
shafy wew unajua wakirsha 2pamoja mtoni aziz ali
Babazile Mdoda Ahsante sana mdau.
Mentali
saluti kama zoteeeeee broooo
Hakuna cha raha nimatatizo hayo
Ninanda kinaita hapo hatari mwaka 1993 hyo😂😂😂😂😂😂
Aisee umenikumbush mbali san
Halima Yusuf tuache na matatizo yetu 😎
Mpiga taiming
Naukubali sana mnanda mie
zamani raha
Salute