ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nakubalii sana, oya ile freestyle ya Kilanga maishani mwangu hatuiskii wala hatuioni youtube , tufanyie mpango tuicheki youtube🔥
Baba nyuziii
Nakubaliiiiiii mwaba shafiii yaani kama omary omary
Yah! Haina ubishi hiyo mwamba wangu.
Nakubal sana hii Atomic tokea enzi za ommaryommary nimemic kulisikia jerry jerry
Naam! Vitu adimu hivyo. Tungo zenye akili zenye uwezo wa kudumu kwa miaka mingi.
Tungo zenye akili.
@@shafyfella1102oya utawalaaaa
Daaa mwaka 1997.uraibu
Mwaka 1997 uraibu
Omari Omari tmk mikoroshini kitambo sana
Kitambo sana hii kitu
Kitambo sana hii daah
shafy wew unajua wakirsha 2pamoja mtoni aziz ali
Babazile Mdoda Ahsante sana mdau.
uko poa shafi p
oyooooooo
Zitafute mwanangu au nikukumbushe nyingine
MUDDY KASSIM NYAMUNGUMI Nikumbushe.
zamani raha
Hakuna cha raha nimatatizo hayo
Ninanda kinaita hapo hatari mwaka 1993 hyo😂😂😂😂😂😂
Aisee umenikumbush mbali san
Halima Yusuf tuache na matatizo yetu 😎