Mati Products
Mati Products
  • 30
  • 165 133
MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS APELEKA WAFANYAKAZI WAKE CHINA
UNFORGETTABLE CHINA EXPERIENCE 🇨🇳 🇹🇿
Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Mati Super Brands Ltd na Mati Group of companies Ltd David Mulokozi amedhamiria kufanya makubwa katika mapinduzi ya teknolojia za viwandani na mapinduzi ya viwanda kwa ujumla.
Ikiwa ni mwanzo tu wa kuitimiza adhma hiyo, David Mulokozi amefanya ziara ya kimafunzo akiongozana na management ya kampuni hizo katika nchi mbalimbali ulimwenguni zilizopiga hatua kubwa kiteknolojia akianza na taifa la China 🇨🇳 ambapo wametembelea maeneo mbalimbali ya viwanda na teknolojia.
Safari hiyo ya china inatarajiwa kuleta mabadiliko chanya katika ubora wa bidhaa zinazozalishwa na Mati Super Brands Ltd na Mati Group of Companies pamoja na kulinufaisha taifa kwa ujumla kufuatia bidhaa hizo kuendelea kuipeperusha vyema Bendera ya nchi kimataifa 🇹🇿.
Endelea kufrahia Bidhaa zetu bora za Strong Dry Gin, Strong Cofee, Sed Pineapple flavoured gin, Tanzanite Premium Vodka, Tai Original PAA KIBABE, Mati Gin na Tanzanite Royal Gin 🍹🥃
#MatiNiPana
มุมมอง: 3 990

วีดีโอ

UTACHEKA BALAA LA MC PILIPILI KWENYE STAGE YA MISS SED 2024
มุมมอง 4309 หลายเดือนก่อน
MC Pilipili alivyo wavunja mbavu waliohudhuria usiku wa shindano la Miss Sed 2024 huku utani wake kwa mkurugenzi mtendaji wa Mati Super Brands ltd Bw. David Mulokozi ukiwaacha watu hoi zaidi.
MATI SUPER BRANDS LTD KUTINGA 2024 KIBABE, MKURUGENZI AFUNGUKA.
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
Mkurugenzi wa Mati Super Brands Ltd amefanya mahojiano maalum na mtangazaji wa kituo cha redio cha Smile Fm ambapo ameeleza masuala mbalimbali yahusuyo Kampuni, jamii na binafsi kuelekea kuumaliza mwaka 2023. #MatiNiPana
MAONESHO YA TANZANITE MANYARA 2023 TAA YA KIJANI KUWAKA HIVI KARIBUNI
มุมมอง 587ปีที่แล้ว
#tanzanite #manyara #mati
STRONG COFFEE
มุมมอง 257ปีที่แล้ว
Awaken Your Senses in a Serene Oasis of Flavor. Fueling Vacation Vibes with Every Sip 🍹✈️ Embrace the Bold Awakening of Strong Coffee to Kickstart Your Adventurous Escape! 🌴🌊 #VacationModeActivated #StrongCoffee #TastesSooooGoooood #OasisOfFlavour
MATI SUPER BRANDS LTD FUNZO SAHIHI LA NAMNA YA KUWA BINGWA
มุมมอง 385ปีที่แล้ว
MATI SUPER BRANDS LTD FUNZO SAHIHI LA NAMNA YA KUWA BINGWA
MATI KIBOKO YAO, TAZAMA MAAJABU YA BANDA LA MATI SUPER BRANDS LTD KWENYE MEI MOSI 2023
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
MATI KIBOKO YAO, TAZAMA MAAJABU YA BANDA LA MATI SUPER BRANDS LTD KWENYE MEI MOSI 2023
BOB JULIE - MEI MOSI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
มุมมอง 230ปีที่แล้ว
BOB JULIE - MEI MOSI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
MSAFARA WA MAGARI YA MATI SUPER BRANDS LTD KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2023.
มุมมอง 2.6Kปีที่แล้ว
MSAFARA WA MAGARI YA MATI SUPER BRANDS LTD KATIKA MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2023.
DC HANANG' AIPAKULIA MINYAMA MATI SUPER BRANDS LTD
มุมมอง 109ปีที่แล้ว
Mkuu wa wilaya ya hanang' Mhe. Janeth Mayanja ameisifu kampuni ya Mati Super Brands Ltd kufuatia namna kampuni hiyo inavyojitolea kuwezesha matukio mbalimbali ya kijamii nchini. Ameyasema hayo wakati akizindua kampeni ya upandaji miti ya matunda wilayani humo ambapo uzinduzi huo pia umewezeshwa na kampuni ya Mati Super Brands Ltd. #Mati #hanang' #miti #Janeth #Mayanja #manyara
Happy Valentine's Day!
มุมมอง 49ปีที่แล้ว
#mati #valentine's
TUPO TAYARI KULIKOMBOA ZIWA BABATI! MATI SUPER BRANDS LTD
มุมมอง 567ปีที่แล้ว
#mati #ZIWABABATI #MISSJUNGLE #MITI
TUNAILETA DUNIA BABATI!!, WAGENI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAITEMBELEA MATI SUPER BRANDS LTD.
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
#mati #Sweden #sodertorn
DAKIKA 30 NZITO ZA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA FM MANYARA.
มุมมอง 67Kปีที่แล้ว
DAKIKA 30 NZITO ZA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA FM MANYARA.
MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD KIBINGWA ZAIDI. "DECEMBER TO REMEMBER"
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD KIBINGWA ZAIDI. "DECEMBER TO REMEMBER"
MATI SUPER BRANDS LTD KUUFUNGA 2022 KIBABE
มุมมอง 494ปีที่แล้ว
MATI SUPER BRANDS LTD KUUFUNGA 2022 KIBABE
MANYARA IPO TAYARI NA IMEFUNGUKA KIBIASHARA
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
MANYARA IPO TAYARI NA IMEFUNGUKA KIBIASHARA
STRONG DRY GIN COCTAIL B-ROLL
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
STRONG DRY GIN COCTAIL B-ROLL
KAMPUNI YA MATI IMETOA MSAADA WA MAGODORO, BLANKETS, SABUNI NA TAULO ZA KIKE KATIKA GEREZA LA BABATI
มุมมอง 2552 ปีที่แล้ว
KAMPUNI YA MATI IMETOA MSAADA WA MAGODORO, BLANKETS, SABUNI NA TAULO ZA KIKE KATIKA GEREZA LA BABATI
STRONG DRY GIN
มุมมอง 33K2 ปีที่แล้ว
STRONG DRY GIN
IJUE MATI / MAHOJIANO YA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA SMILE FM
มุมมอง 4.5K2 ปีที่แล้ว
IJUE MATI / MAHOJIANO YA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA SMILE FM
MAKALA MAALUM YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI MANYARA NA STRONG DRY GIN "STRONG MISSION"
มุมมอง 1432 ปีที่แล้ว
MAKALA MAALUM YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI MANYARA NA STRONG DRY GIN "STRONG MISSION"
STRONG COFFEE FLAVOURED
มุมมอง 3.6K2 ปีที่แล้ว
STRONG COFFEE FLAVOURED
MATI MEI MOSI 2022
มุมมอง 3612 ปีที่แล้ว
MATI MEI MOSI 2022
MATI DIVINE DAY (Uzinduzi wa Jengo Jipya la MATI na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka)
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
MATI DIVINE DAY (Uzinduzi wa Jengo Jipya la MATI na Kinywaji cha Tanzanite Premium Vodka)
Tonight's forecast? 99.9% chance of Tanzanite Premium Vodka Cocktails
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Tonight's forecast? 99.9% chance of Tanzanite Premium Vodka Cocktails
TANZANITE PREMIUM VODKA COMMERCIAL
มุมมอง 10K3 ปีที่แล้ว
TANZANITE PREMIUM VODKA COMMERCIAL

ความคิดเห็น

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 วันที่ผ่านมา

    Uyu sawaa

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze Mulokozi

  • @martinshoo5866
    @martinshoo5866 18 วันที่ผ่านมา

    Love the ideas na moyo wako boss

  • @ramadhanmohamedi2496
    @ramadhanmohamedi2496 18 วันที่ผ่านมา

    Jamali moja ya watangazaji wenye ubunifu mkubwa sanaaa kwenye nchi hii hajawahi tokea

  • @RoseKondrad
    @RoseKondrad 18 วันที่ผ่านมา

    Hapa babati wamama hatupati kazi hapo kwako jamani

  • @frankgidion7161
    @frankgidion7161 18 วันที่ผ่านมา

    Leo nimeamkia kanisani na majukumu mengne... Ndio nawasha data jioni hiii... Niseme tuu Mungu azidi kukuinua zaidi na kukupa maarifa mengne yakuwaleta watanzania pamoja

  • @jaliwasonjasson8456
    @jaliwasonjasson8456 18 วันที่ผ่านมา

    Ni kampuni inayotengeneza vinywaji changamshi

  • @jaliwasonjasson8456
    @jaliwasonjasson8456 18 วันที่ผ่านมา

    Kaka hongera kwa kazi unayoifanya

  • @DIGO-23W
    @DIGO-23W 18 วันที่ผ่านมา

    24:33 ni kampuni inayojiusisha na kuzalisha vinywaji changamshi

  • @DIGO-23W
    @DIGO-23W 18 วันที่ผ่านมา

    23:07 23:07 is the tanzanian company that produces tanzanite vodka,strong dry gin,tai portable spirit,tanzanite royal gin

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 18 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Ndg. David

  • @DIGO-23W
    @DIGO-23W 18 วันที่ผ่านมา

    22:19 magari mawili

  • @kelvingreyson6650
    @kelvingreyson6650 18 วันที่ผ่านมา

    Magari 100

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 18 วันที่ผ่านมา

    Mimi nahamasika sana nikiona mafanikio makubwa ya kaka zetu wapambanaji.

  • @haidaryashock3442
    @haidaryashock3442 18 วันที่ผ่านมา

    Vile ambavo una solve matatizo yako ndivyo unavokaribia mafanikio yako💪💪

  • @peterblass5450
    @peterblass5450 18 วันที่ผ่านมา

    Nikampuni inayotengeneza na kusambaza vinywaji changamshi

  • @safnosmosha
    @safnosmosha 18 วันที่ผ่านมา

    Nimepata ,, big up Mulokozi

  • @jamesnzige7548
    @jamesnzige7548 18 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana Mat hakika umefanya kazi kubwa

  • @TinnaJohn-s6r
    @TinnaJohn-s6r 18 วันที่ผ่านมา

    Kenya, Congo,, South Africa, Urusi, Zimbabwe, Zambia, Burundi

  • @gladnessmallya126
    @gladnessmallya126 18 วันที่ผ่านมา

    Kwani muhaya na mpare mnanini jamani

  • @emakulatapeter9806
    @emakulatapeter9806 18 วันที่ผ่านมา

    kilimanjaro,arusha,mwanza,na kigoma

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 18 วันที่ผ่านมา

    Namba yangu ni sifuri saba nane tatu,miasita thelasini na moja miamoja na saba JINA RASHID RASHID

  • @TinnaJohn-s6r
    @TinnaJohn-s6r 18 วันที่ผ่านมา

    Dar salam, Arusha,mbeya, Manyara

  • @TinnaJohn-s6r
    @TinnaJohn-s6r 18 วันที่ผ่านมา

    Milion 13

  • @iddymsuya8747
    @iddymsuya8747 18 วันที่ผ่านมา

    Manyara, Kilimanjaro,Mbeya na Arusha

  • @TinnaJohn-s6r
    @TinnaJohn-s6r 18 วันที่ผ่านมา

    Mati super brands Ltd ni wauzaji na wasambazaji wa vinywaji changamshi kampun ipo Babati Mkoani Manyara

  • @TinnaJohn-s6r
    @TinnaJohn-s6r 18 วันที่ผ่านมา

    Mati super brands Ltd ni wauzaji na wasambazaji wa vinywaji changamshi

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 18 วันที่ผ่านมา

    Pesa hatujapata na simu imezimwa dahh

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 18 วันที่ผ่านมา

    Jaman tajiri katoa maswali tupate zawad tumepata bt why hamtupi pesa. Zetu sasa..?

  • @paulopareso9858
    @paulopareso9858 18 วันที่ผ่านมา

    Gari moja aina ya landcruiser

  • @KellyMshana
    @KellyMshana 18 วันที่ผ่านมา

    Milioni 10

  • @paulopareso9858
    @paulopareso9858 18 วันที่ผ่านมา

    Kampuni ilianzishwa mwezi wa kumi 2017

  • @EdmundTarimo-l6t
    @EdmundTarimo-l6t 18 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mati super brand mpo live tunawaona

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 18 วันที่ผ่านมา

    Bora weee mimo nimeshinda maswali mawili 150k mpaka sasa sijatumiwa chochote

    • @safnosmosha
      @safnosmosha 18 วันที่ผ่านมา

      Hadi mimi asee😢

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 18 วันที่ผ่านมา

    Sijapata zawadi yangu mpaka sasa

  • @KellyMshana
    @KellyMshana 18 วันที่ผ่านมา

    Nikampuni ya vinywaji vikali nchini

  • @tegemeamwasomola1576
    @tegemeamwasomola1576 18 วันที่ผ่านมา

    Mim naomba nisaidie kazi kwenye kiwanda chako Cha hapa mbeya nakaa nacho jirani na MSD nisaidie mkuu.

    • @Johnanthony_50
      @Johnanthony_50 18 วันที่ผ่านมา

      Niliambiwa niandike barua nipeleke nilipeleka nilipigiwa simu nikaambiwa nijiongeze mkono mtupu haulambwi 😢

  • @charlesunganiunjuu920
    @charlesunganiunjuu920 18 วันที่ผ่านมา

    Nikampuni ya kutengeneza na kusambaza vinywaji changamshi

  • @nickbaro9971
    @nickbaro9971 18 วันที่ผ่านมา

    Mkuu kiukweli Maswali nimejaribu nimeona sitoboi, Tatizo nina Kiu tu 😂

  • @charlesunganiunjuu920
    @charlesunganiunjuu920 18 วันที่ผ่านมา

    Ilikua na gari moja to tena aina ya Noah ndio mkurugenz ulikua unatumia kusamabazia mzigo ukirudi unatumia tena

  • @GodfreyMakoba-g1o
    @GodfreyMakoba-g1o 19 วันที่ผ่านมา

    Sio vizur nimeshnd 150000 mmetuma 50000

  • @GodfreyMakoba-g1o
    @GodfreyMakoba-g1o 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona mnTuma Hela nusu

  • @selemansapeck5476
    @selemansapeck5476 19 วันที่ผ่านมา

    Nimekosa na nimeamk na kwenda dukani kufata vocha 😅😅😅😅😅😅

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 19 วันที่ผ่านมา

    Nimetuma namba na jina ni RASHID RASHID

  • @Rutashobyakyaruzi
    @Rutashobyakyaruzi 19 วันที่ผ่านมา

    Ndiyo tajir

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    Mati 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇦🇼⭐⭐⭐⭐⭐💎💎💎💎

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    Mati super brand ltd ❤❤❤❤❤❤❤

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    Mati super brand ltd nikapuni ina mchago mkubwa sana watanzania wana saidi watu wengi sana kwami saada mbalimbali na pia viongozi wa mati super brand ltd wasikivu na wenye kushilikiana vema nawatu ote mati 🤴🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇦🇼⭐⭐⭐⭐💎💎💎💎💎

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi hana upendo na watu sana sibaguzi ndoma hana kila siku mungu ana mubariki sana devid mulokozi mungu hamulinde ❤❤❤❤❤

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 หลายเดือนก่อน

    Mati super brand ltd kapuni namba moja sasa kwa hubora Tanzania zima mati na sisi sisi na mati paka tunaipenda mati ndeye mshindi wamisimuyote 🇹🇿❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉