Mlimani Park Orchestra SIKINDE NGOMA YA UKAE
Mlimani Park Orchestra SIKINDE NGOMA YA UKAE
  • 28
  • 276 525
Benno Villa Anthony akiimba wimbo wa "Maneno Maneno" na Mlimani Park Orchestra "Sikinde"
Mwanamuziki Mwimbaji na Msomi Benno Villa Anthony akiimba wimbo wa "Maneno Maneno" na Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
Hii ni Jumamosi ya tarehe 23-Dec-2023 katika ukumbi Kisuma Pub ulio Temeke Mwembeyanga siku ambayo mwanamuziki Benno Villa Anthony alitambulishwa kurudi rasmi Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
Siku hii pia ilikuwa ni ya tukio maalum la uzinduzi album mpya ya "Maadili"
มุมมอง: 6 043

วีดีโอ

List ya Wanamuziki Wote wa Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 4.7Kปีที่แล้ว
𝗟𝗜𝗦𝗧 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗨𝗭𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗣𝗔𝗥𝗞 𝗢𝗥𝗖𝗛𝗘𝗦𝗧𝗥𝗔 "𝗦𝗜𝗞𝗜𝗡 𝗘 𝗡𝗚𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗘 01. Hassan Rehani Bitchuka (Mwimbaji) 02. Hassan Kunyata (Mwimbaji) 03. Musemba wa Minyugu (Mwimbaji) 04. Said Mussa Msakala (Mwimbaji) 05. Erick James Katto (Mwimbaji) 06. MacKay Fanta (Mwimbaji) 07. Ramadhan Mapesa “Solo Dollar” (Solo) 08. Steven Kaingilila Maufi (Solo, 2nd Solo, Rhythm) 09. Shehe Kombo (Solo, 2nd Solo, Rhy...
Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" ikitambua Wanamuziki 36 waliotangulia mbele ya haki
มุมมอง 852ปีที่แล้ว
𝗟𝗜𝗦𝗧 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗨𝗭𝗜𝗞𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗟𝗜𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗣𝗔𝗥𝗞 𝗢𝗥𝗖𝗛𝗘𝗦𝗧𝗥𝗔 "𝗦𝗜𝗞𝗜𝗡 𝗘 𝗡𝗚𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗘" 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗞𝗜 •Ikisomwa na Hassan Msumari (Mkurugenzi wa Mipango na Matukio) Jumamosi tarehe 30-Sep-2023 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa kwenye sherehe ya miaka 45 ya bendi 1. Abdallah Dogodogo 2. Abel Baltazar (2004) 3. Adam Bakari (2003) 4. Ally Makunguru 5. Charles Ngosha (2011) 6. Chipembele Said “Bob ...
Fresh Jumbe na Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" Wimbo wa "Matatizo ya Ukewenza"
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki Fresh Jumbe akiimba wimbo wa "Matatizo ya Ukewenza" Ni Jumamosi ya tarehe 30-Sep-2023 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa kwenye maadhimisho ya miaka 45 ya bendi ya Mlimani Park Orchestra sambamba na uzinduzi wa album ya "Maadili"
LIVE :Mlimani Park Orchestra-"Matatizo ya Ukewenza". Saxophonist Shaaban Lendi akionyesha ufundi
มุมมอง 13Kปีที่แล้ว
Mpiga saxophone Shaaban Lendi akionyesha ufundi wake kwenye wimbo wa "Matatizo ya Ukewenza" siku ya Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub Temeke Mwembeyanga siku alipotambulishwa kurudi rasmi bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" Wimbo huu ni wa mwaka 1986 na ulitungwa na mwanamuziki Benno Villa Antony
LIVE: Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" wimbo wa "Mtoto Akililia Wembe"
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Mwimbaji McKay Fanta Shaaban Lendi akisalimia kisanii na akiimba wimbo wa "Mtoto Akililia Wembe" wa Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" Hii ilikuwa Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni wa mwaka 1987 na ulitungwa na mwanamuziki Cosmas Thobias Chidumule
LIVE: Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" wimbo wa "Pata Potea"
มุมมอง 17Kปีที่แล้ว
Bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" wimbo wa "Pata Potea" wakitumbuiza na wimbo wa "Pata Potea" siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga
LIVE: Bitchuka akiimba wimbo "Unanisengenya Bure" na Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 29Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki Hassan Rehani Bitchuka, akiimba wimbo wa "Unanisengenya Bure" sambamba na bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae" Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni utunzi wake "Hassan Rehani Bitchuka" uliotungwa mwaka 1984
LIVE: "Nawashukuru Wazazi" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki mwimbaji, kijana kabisa Eric James akiimba wimbo ”Nawashukuru Wazazi Wangu” wa Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae". Hapa akiimba sauti ya mkongwe Hassan Rehani Bitchuka Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 1980 utunzi wake mwanamuziki Abdallah Gama
LIVE: "King Fish" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 4Kปีที่แล้ว
Bendi bingwa ya Mlimani Park Orchestra wakiimba wimbo wa “King Fish” Shuhudia uwezo mkubwa wa kupiga solo wa mpiga solo Steven kaingilila Maufi Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 2008 utunzi wake mwanamuziki Abdallah Gama
LIVE: "Nachechemea" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 15Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki mwimbaji,Hussein Jumbe aka “Mzee wa Dodo” aka “Mtumishi” akiimba wimbo wa “Nachechemea” sambamba na bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae". Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 2000 utunzi wake mwenyewe Hussein Jumbe
LIVE: "Kauli Yako Nimeisikia" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
Bendi bingwa ya Mlimani Park Orchestra wakiimba wimbo wa “Kauli Yako Nimeisikia” Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 1983 utunzi wake mwanamuziki marehemu Shaaban Dede
LIVE: "Isaya Mrithi Wangu" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 14Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki mwimbaji,Hussein Jumbe aka “Mzee wa Dodo” aka “Mtumishi” akiimba wimbo wa “Isaya Mrithi Wangu” sambamba na bendi ya Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae". Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 2002 katika album ya “Onyo (Warning)” utunzi wake mwenyewe Hussein Jumbe
LIVE: Mwimbaji Eric James akiimba wimbo Classic na Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
Mwanamuziki mwimbaji, kijana kabisa Eric James akiimba wimbo Classical wa Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae". Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga
LIVE: Mlimani Park "Pole Mkuu Mwenzangu" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Bendi bingwa ya Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” wakiimba wimbo wa “Pole Mkuu Mwenzangu” Hii ilikuwa siku ya Jumamosi ya tarehe 05-Nov-2022 katika ukumbi wa Kisuma Pub, Temeke Mwembeyanga Wimbo huu ni mwaka 1994 utunzi wake mwanamuziki Muharami Said
LIVE: "Ubaya" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 3.5Kปีที่แล้ว
LIVE: "Ubaya" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
LIVE: "Maadili" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
LIVE: "Maadili" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
Rajabu Zomboko akiwasherehesha Bitchuka, Maufi, Mpokigwa, Cecy Mwasi Kitoko na Steven Mhina wa Uhuru
มุมมอง 20Kปีที่แล้ว
Rajabu Zomboko akiwasherehesha Bitchuka, Maufi, Mpokigwa, Cecy Mwasi Kitoko na Steven Mhina wa Uhuru
LIVE: "Diana" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
LIVE: "Diana" of Mlimani Park Orchestra "Sikinde Ngoma ya Ukae"
Rajabu Zomboko akielezea Sikinde Imara. Akimkaribisha mtangazaji Mwinyiami Maftah “Stazo”
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Rajabu Zomboko akielezea Sikinde Imara. Akimkaribisha mtangazaji Mwinyiami Maftah “Stazo”
Rajabu Zomboko akigusia kuhusu Mpambano wa Msondo na Sikinde
มุมมอง 796ปีที่แล้ว
Rajabu Zomboko akigusia kuhusu Mpambano wa Msondo na Sikinde
LIVE: "Hasama" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 3.3Kปีที่แล้ว
LIVE: "Hasama" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
Mlimani Park Fikiri Nisamehe
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Mlimani Park Fikiri Nisamehe
LIVE: "Dua la Kuku" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 2.6Kปีที่แล้ว
LIVE: "Dua la Kuku" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
LIVE: "Pendo ni Pendo" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
LIVE: "Pendo ni Pendo" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
LIVE: "Femia" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
มุมมอง 4.6Kปีที่แล้ว
LIVE: "Femia" of Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae”
LIVE: Bitchuka akiimba wimbo wa "Kelele za Paka" Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 ndani ya Kisuma Pub
มุมมอง 23Kปีที่แล้ว
LIVE: Bitchuka akiimba wimbo wa "Kelele za Paka" Jumamosi tarehe 05-Nov-2022 ndani ya Kisuma Pub
LIVE: Hussein Jumbe, Kisuma Pub, Jumamosi 05-Nov-2022, Wimbo wa 'Pombe Nimeikosea Heshima"
มุมมอง 45Kปีที่แล้ว
LIVE: Hussein Jumbe, Kisuma Pub, Jumamosi 05-Nov-2022, Wimbo wa 'Pombe Nimeikosea Heshima"

ความคิดเห็น

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 19 วันที่ผ่านมา

    Mwamba huyo Fresh Jumbe ❤❤❤

  • @alfredmambo5834
    @alfredmambo5834 27 วันที่ผ่านมา

    MAPESA AJENGEWE SANAMU....KHAAA...

  • @lazamwa1
    @lazamwa1 2 หลายเดือนก่อน

    Ila ni aibu sana, Tanzania kila sherehe, muziki wa live lazima kubadirishana vipaza sauti. ifike wakati watu wa sound waanze kukatwa hela ktk makubaliano ya bei kuondoa tatizo hili. mnazoeaje aibu kama hii wanamuziki wakubwa kama hawa vipaza sauti kimeo?? hata mbele ya rais ni hivyo hivyo

  • @StesKim
    @StesKim 2 หลายเดือนก่อน

    "Unalia nini na we ulisema umempata bwana atayekufaa maishani mwako"...the 🎸 rhythms after tht true..real vybes

  • @dotosule8046
    @dotosule8046 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo Mwenye Mjezi Wa Simba Alitakiwa Ashushwe Hapo Anaharibu Concetration Ya Watazamaji Kwenye Band

  • @dotosule8046
    @dotosule8046 3 หลายเดือนก่อน

    Sikinde Hamna Watu Wa Usalama?, Usalama Wawanamziki Kwenye Hiyo Stage Ni Mdogo Sana , Na Ni Hatari Watu Wanafika Kiurahisi Sana Kwa Muimbaji

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 3 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo ulipangiliwa vema kuanzia gitaa zote 4 yaani sloo min solo,rythim na bass,waimbaji drum,tumba hadi sax ya lendi

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 3 หลายเดือนก่อน

    Bitchuka The legendary

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 5 หลายเดือนก่อน

    Aaa solo dolaaa Ramadhani Mapesa wa kukaya😅

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 5 หลายเดือนก่อน

    Mapesa ni baraaa

  • @NdiyoChisunga-pe1se
    @NdiyoChisunga-pe1se 5 หลายเดือนก่อน

    Wimbo kibao uliovuma miaka ya 2003 tukiwa vijana

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 หลายเดือนก่อน

    Mapesa anatisha. Kumkopi Mulenga huu wimbo sio kitu rahisi maana huu wimbo ulipigwa kwa speed kubwa na vitu vya maana mnoo

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 6 หลายเดือนก่อน

    Bitchuka muziki anaufanya anavyotaka Super Stereo kashindikana....Kunta...Kinte.

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 6 หลายเดือนก่อน

    Buriani Hussein Jumbe Mtumishi'....Kunta...Kinte.

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 หลายเดือนก่อน

    Mapesa yuko vizuri

  • @leonardmanyanza5121
    @leonardmanyanza5121 6 หลายเดือนก่อน

    Kila nikiangalia hii show nakuwa kwenye majonzi fundi wa muziki wa dance ilibaki ww tu wadau wa muziki walishindwa kutunza hiki kipaji na kukiendeleza saiv hatunacho Tena endelea kupumzika Kwa aman

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 8 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace jumbe

  • @pazimazongera4934
    @pazimazongera4934 8 หลายเดือนก่อน

    Stereo

  • @MohamedKinega-jt4vi
    @MohamedKinega-jt4vi 8 หลายเดือนก่อน

    Kaingilila Maufi,A.K.A Mponda Junior. Ahsante Kaingilila

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo ni nzuri ila hawakuipatia.Sauti ya Benovilla imepatiwa vyema

  • @AsinaSaid
    @AsinaSaid 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Fresh Jumbe

  • @zainabumaridad
    @zainabumaridad 9 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana mambo motooo

  • @kennethbahebenginilla1657
    @kennethbahebenginilla1657 9 หลายเดือนก่อน

    Usijisumbue kwa kuwaza sana,ingawa kukataliwa ni kuchungu,kunamfanya mtu awe na donge moyoni,utafanyaje naye amekukataa,pa1 na hasara ulizopata juu yake,ni tukio la kawaida kwa yoyote,ndugu yangu elewa dawa ya pendo ni pendo.

  • @fulgencekomanya857
    @fulgencekomanya857 9 หลายเดือนก่อน

    Terms and conditions?

  • @MaulidiAthumani-br1xg
    @MaulidiAthumani-br1xg 9 หลายเดือนก่อน

    Kama ameludi safi sana

  • @issangozi3364
    @issangozi3364 10 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ❤❤

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 10 หลายเดือนก่อน

    Kama 2003 tu wakati inatoka huo wimbo

  • @SaidMkapa
    @SaidMkapa 10 หลายเดือนก่อน

    Midomo inanuka kibudu

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 หลายเดือนก่อน

    Masikini Jumbe anaonekana afya yake iko dhaif. AFTER Six months alifariki

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Shaban Lendi

  • @kalalatoniez8777
    @kalalatoniez8777 10 หลายเดือนก่อน

    wapi mzee Tobias Chidumule??

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 11 หลายเดือนก่อน

    Dah safi sana

  • @jafarimatima6821
    @jafarimatima6821 11 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo nahitaji naipata wap msaada

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @NdigaWilkinson-rm4pq
    @NdigaWilkinson-rm4pq 11 หลายเดือนก่อน

    Namkumbuka Bitchuka akiiimba Fikirini nisamehe

  • @NdigaWilkinson-rm4pq
    @NdigaWilkinson-rm4pq 11 หลายเดือนก่อน

    Ngoma hizi zanifanya kububujikwa na machozi nikiwawaza wanasikinde original

  • @NdigaWilkinson-rm4pq
    @NdigaWilkinson-rm4pq 11 หลายเดือนก่อน

    Utatamani sama kuwaona Gurumo Kinyasi na Bitchuka wakipishana uimbaji katika wimbo pata potea

  • @jumannemwakalinga2586
    @jumannemwakalinga2586 11 หลายเดือนก่อน

    Kizazi kipya kinapaswa kufuata nyayo za watangulizi kwa kujifunza muziki na siyo kuiga na ku copy muziki

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @amrirajab5853
    @amrirajab5853 ปีที่แล้ว

    Ilipendeza sana

  • @AlexKing-yg2cc
    @AlexKing-yg2cc ปีที่แล้ว

    Mmemsahau marehemu Hussein Jumbe na Tino Masenge,

  • @wilsonmalias3122
    @wilsonmalias3122 ปีที่แล้ว

    The great ddc mlimani park

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 ปีที่แล้ว

    Watu kama hawa ndiyo rasilimali ya taifa sema nchi inaendeshwa kizembe tu

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 ปีที่แล้ว

    Watz wanapenda vya bure sana yaani kuwatuza hao wanamuziki wameshindwa kabisa? Aibu

  • @robertotto9427
    @robertotto9427 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @AdamMatmbwa-pf7gw
    @AdamMatmbwa-pf7gw ปีที่แล้ว

    Najiskiya raha sana nakumbuka mbali 1999 ukumbi wa musoma bar tandika❤❤😂😂

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shufaamtangi5802
    @shufaamtangi5802 ปีที่แล้ว

    Raha Sana mwamba uyo

  • @SadicKrisala
    @SadicKrisala ปีที่แล้ว

    Mziki mkubwa ulioenda shule nginde Ngoma ya ukaye

  • @guidoliusmichaelhulilo3886
    @guidoliusmichaelhulilo3886 ปีที่แล้ว

    Wote wapumzike kwa amani, Amen 🙏🙏🙏