MARIOO AONESHA KUFURU KWA PAULA, AMMWAGIA PESA NDANI ya BOTI WAKILISHANA KEKI....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • MARIOO AONESHA KUFURU KWA PAULA, AMMWAGIA PESA NDANI ya BOTI WAKILISHANA KEKI....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 71

  • @user-iv9wq4mw1d
    @user-iv9wq4mw1d 4 หลายเดือนก่อน

    i really love how genuine marioo is❤ Mungu awape maskizano msije achana kwa vitu vya kipuzi....mahusiano yana panda shuka mvumiliane

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 ปีที่แล้ว +1

    Tia mimba mapema broo kbl awajageuza kibao

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +11

    Saivi raha sana had unaona km dunia yte na vilivyomo ndan yake ni vyenu lkn weeeee usiombee upepo ugeuke balaa lake sio poa

    • @santinamalale3245
      @santinamalale3245 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +1

      Uo ndio ukwer

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 ปีที่แล้ว

      @@zainabwage4658 tunajua dadangu tumepitia humor na hakuna rang utaacha ona

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki ปีที่แล้ว +1

      Kila kitu na wakati wake,saa hii ni muda wao wakula raha

    • @AshaMakame-zg9xi
      @AshaMakame-zg9xi ปีที่แล้ว

      🚣

  • @ephrasiaephraim
    @ephrasiaephraim ปีที่แล้ว +3

    Huyu si wa elf mbilii sasa hiyo 21 ni vipii

  • @masturasudi7394
    @masturasudi7394 ปีที่แล้ว +2

    Pesa watafute wao muanze kuwawekea masharti yakutumia pesa zao

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +2

    Wallah sijui ikiwa ndo mwanangu anazimwaga hivi nitapata presha labda awe ananipaga zaidi ya hizo

  • @glorymchomba642
    @glorymchomba642 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂Duh paula 700.kitu 😂😂mama mkwe....Alooo

  • @bazzamiya8470
    @bazzamiya8470 ปีที่แล้ว +5

    Dogo home kwenu wote wako poa kama wewe invest na ndugu zako acha michezo ya kishamba kumbuka kuna ndugu zako mlo wa siku ni mtihani mjini hapa akili mkichwa big up

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 ปีที่แล้ว +1

      Hizo pesa nizake nandugu zake watafute zao, acha wivu wakishamba

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    😂😂😂Diva linataniwa na kina marioo

  • @neemapraigory8832
    @neemapraigory8832 ปีที่แล้ว +1

    Nyota jaman paula

  • @user-vq1qx1dr4e
    @user-vq1qx1dr4e ปีที่แล้ว

    Huyo marioo anavyohangaika utafikili ataka avishwe pete jamani

  • @user-rq9kl6hh9t
    @user-rq9kl6hh9t ปีที่แล้ว +2

    Hata kwa ray alimwagiwa nyingi kuliko hizo mloona birthday ya pau ya mwKa jana mwakan sijuw atafanyiwa na mwanamzik ganii au sjuw baba levo au jux 😂😅😅

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 ปีที่แล้ว

      Umeona enheeeeee so tusubili ya Mwakani

    • @SaadaKiyungi-uz6jn
      @SaadaKiyungi-uz6jn 11 หลายเดือนก่อน

      Hahaha, ninecheka kwa sauti jamanii

  • @madinaissa7160
    @madinaissa7160 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉 ila paula unamimba

  • @AstonyMathayo-hn9th
    @AstonyMathayo-hn9th ปีที่แล้ว

    Ivi jamani P fank hayaoni aya matukio ya mtoto wake 😂😂😂😂

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว

      Mama yake yupo hapo hapo ujinga una fanyika ha! Huyu kajala

  • @user-ok8en9ev2b
    @user-ok8en9ev2b 6 หลายเดือนก่อน

    Nawakbl n mnaendna san

  • @mohdvuai
    @mohdvuai ปีที่แล้ว

    Hyu Paulo anawadh pesa tu

  • @mussamc641
    @mussamc641 ปีที่แล้ว

    Yanamdaaaa

  • @mussamc641
    @mussamc641 ปีที่แล้ว

    mara paaaa wamezagamuliwa wote

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 ปีที่แล้ว

    0:59 1:00 1:01 1:02 1:03

  • @mariamosaideabdo9953
    @mariamosaideabdo9953 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤ muito amor involvito 🤭💕💕💕🔥

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 ปีที่แล้ว

    Kisa demu mwanangu

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 ปีที่แล้ว

      Ndo kazi yahera brother Kama hunapesa zamawazo huwezi fanya haya yote

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn 11 หลายเดือนก่อน

    Pesa za mashetani hizo / Freemason

  • @chantalmwavita7402
    @chantalmwavita7402 ปีที่แล้ว +2

    Paulakajala ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ happy birthday 🎉🎉 Nagupenda Sana

  • @user-xl7tb9xr9t
    @user-xl7tb9xr9t ปีที่แล้ว

    C'est beau l'amour

  • @mboga7
    @mboga7 ปีที่แล้ว +1

    Mama na mtoto wakionaga pesa wanachaganyikiwa

  • @faridampota-jh9rx
    @faridampota-jh9rx ปีที่แล้ว

    Kajala sijui ni mama wa aina gani jamani

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

    Haaa!! Haaa!! Omari utatoa hela mpaka utakoma apo😂😂😂paula na mamake so watu wa mchezo mchezo apo ni kumwaga manoti tuu utabloo

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Cha Ajabu Wasanii Wanabaki Kwenye Nyumba Za Kupanga Sijui Wako Vipi Awa Maisha Yao Ya Michongo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +1

    Huyo anayetangaza si kajala au

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว

      Saut ni yake ndio yupo kzn kupromote penz 😂😂😂

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki ปีที่แล้ว

      ​@@zainabwage4658😂😂😂😂

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 ปีที่แล้ว +2

    Hili janamke na mama yake wezi huyo sura mbaya marioo kaingiliwa

  • @zarizariboss4529
    @zarizariboss4529 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @kubwalaodancers
    @kubwalaodancers ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @omanmct135
    @omanmct135 ปีที่แล้ว

    Naomba alone ntafurahi alafu atuliye

  • @tomamadila8798
    @tomamadila8798 ปีที่แล้ว

    Mhhhhhhhhhhhh

  • @MwarabJeyy-no4uq
    @MwarabJeyy-no4uq ปีที่แล้ว

    Mama na mtoto hufatan kama mabata ukot mam notI izo

  • @DianaCiza-zc7or
    @DianaCiza-zc7or ปีที่แล้ว

    ❤❤🎉🎉

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

    Hivi utamuoa??najee yuko tayari kubadili DINI?mario swali lako tafadhali nijibu

  • @neemapraigory8832
    @neemapraigory8832 ปีที่แล้ว

    Wananuna wafup

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 ปีที่แล้ว

    Duuuu

  • @user-ss1bk5lo9j
    @user-ss1bk5lo9j ปีที่แล้ว

    Kaka fungua nacho halafu soma tabia zao mama na mtoto utapata jibu kabla ya kuitwa falaaaaz

  • @user-nk3ei2vb5i
    @user-nk3ei2vb5i ปีที่แล้ว

    💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 ปีที่แล้ว

    Ushamba mtupu

  • @rukiawambo715
    @rukiawambo715 ปีที่แล้ว

    Happy birthday paula omari

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 ปีที่แล้ว +2

    Na mama yake yuko pembeni anajiangalia movie ya mwanae na mkwe

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      Ndio mwalimu wake anamuangalia mwanafunzi wake kama kafaulu

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว

      Mtihan kwakwer huu ni upuuz km upuuz mwengne alaf atakuja Lia uku mitandaon

    • @consokeic1472
      @consokeic1472 ปีที่แล้ว

      ​@@sabihaibrahim143😂😂😂😂

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +2

    Hukute akili za matope Za kibantu huyu zuzu hata mama yake mzazi hajamjengea nyumba ya kisasa mama yake mzazi au ndugu zake wa Karibu ila hela anaenda kutumia na malaya, na hawa wakiumwa mabusha matende na minyoo nk wanatia huruma wanataka tuwachangie hela Za Matibabu

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      😂😂😂Wala SI uongo voo, maneno Yako sadaktaaa❤❤❤

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 ปีที่แล้ว

      Tafuta Hela uache makasiriko na maisha ya watu 😎😏😏

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 ปีที่แล้ว

      ​@@rehemaomary3493mwambie mawivu2

  • @shabandamas1759
    @shabandamas1759 ปีที่แล้ว

    Kisa madem mwanangu