jane misso Nimekukimbilia

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 17

  • @justus6995
    @justus6995 4 ปีที่แล้ว

    Aman na neema na Upendo wa Kristo uwe kwako Mtumishi wa Mungu.
    Asante kwa wimbo mzuri. Mungu akubaliki sana na azid kukuinua.
    Wimbo huu umenibariki sana na kunitia tumain upya.
    Oh Haleluuuyaa.

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mama... Yesu akuinue zaidi na zaidi🙏

  • @rebeccaebenezermagaba
    @rebeccaebenezermagaba 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mtumishi nyimbo Nzuri

    • @janemisso9722
      @janemisso9722  4 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa Sana mtu wa Mungu

  • @Mwakihongo6578
    @Mwakihongo6578 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mtumishi Nimebarikiwa sana na huu wimbo wako Mungu azidi kukutianguvu katika kuitangaza injiri kupitia huduma hii Amen

    • @janemisso9722
      @janemisso9722  4 ปีที่แล้ว

      Asante Sana mpendwa nimefurahi sana

  • @elizabethmwenyaofficial
    @elizabethmwenyaofficial 4 ปีที่แล้ว

    Amen. Barikiwa mtumishi wa bwana. ZABURI 31:1 🙏

  • @manasejoaeph6059
    @manasejoaeph6059 5 ปีที่แล้ว +1

    good song barikiwa sana mama

  • @leonedady2772
    @leonedady2772 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mpaka ushangaye

  • @agathadenis3207
    @agathadenis3207 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana 2020

    • @janemisso9722
      @janemisso9722  4 ปีที่แล้ว

      Agatha Denis napokea kabisaa

    • @agathadenis3207
      @agathadenis3207 4 ปีที่แล้ว

      @@janemisso9722 amen😘😘😘😘😘

    • @agathadenis3207
      @agathadenis3207 4 ปีที่แล้ว

      @@janemisso9722 napenda kaz zako kama ile usikumbuke yani daah mungu azidi kukubariki ulete vitu vizur vyakumpendeza mungu na vyakututia moyo sisi

    • @janemisso9722
      @janemisso9722  4 ปีที่แล้ว +1

      @@agathadenis3207 Agatha nilikua kimya kidogo lakini Sasa kuna nyimbo nzuri Sana zinakuja sio mda mrefu nitawawekea Zina nguvu kabisaa naona hata Mimi zinanihudumia Sana barikiwa Sana mtu wa Mungu

    • @agathadenis3207
      @agathadenis3207 4 ปีที่แล้ว

      @@janemisso9722 amen 🙏🙏🙏🙏