@@vico2544 si suala la roho chafu Marioo hachangamki kwenye stage na afanye mazoezi ya kuperform live vile vile. ni msanii mzuti sana na ana nyimbo nzuri sana tena wala sio za hivi karibuni tu tangu zile za zamani. Lkn ukweli ni kwamba ni studio akija stage anaweka mikono mfukoni km hataki vile. Inabidi afanye show mara kwa mara apate mazoezi vyenginevyo mtawaona watu wana roho chafu kumbe wasanii wanashauriwa tu
Kam mvivu kitandani mpelekeee huon mwenyew 😂😂
mashallah nandy wanisisimua yani naskiliza kila wakaty kwakwelii🔥🔥🔥🔥
Nandy i love you so much my love ❤❤🎉🎉
Baby nandy umeua🔥🔥🔥
Mario live bdo sana..... Zile beat za Amapiano na uandsh ndy unambeba
Hatariiii
Lovely and so sweet
Marioo changamka bana
Marioo ni mvivu sana akiwa kwa stage sijui nini tatizo . Nyimbo zake ni nzuri sana lkn mh
We peleka roho chafu uko🙄
@@vico2544 si suala la roho chafu Marioo hachangamki kwenye stage na afanye mazoezi ya kuperform live vile vile. ni msanii mzuti sana na ana nyimbo nzuri sana tena wala sio za hivi karibuni tu tangu zile za zamani. Lkn ukweli ni kwamba ni studio akija stage anaweka mikono mfukoni km hataki vile. Inabidi afanye show mara kwa mara apate mazoezi vyenginevyo mtawaona watu wana roho chafu kumbe wasanii wanashauriwa tu
kaka mvivu sana hata kitandan huyu mbn mvivu hiv hee😂
Umeacha nimepaliw na chai haya ssa njoo uniuguze 🤣🤣🤣nimvivu kitandan ndoman anaachw
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umejua kunifurahisha
❤❤❤❤❤
Mungu akupi vyote
Kweli
Woooow
Badi vp
Mbona amja changa mka