Muziki ule ule ila wimbo umeimbwa na Salome Mwampeta-Heri kung'ang'ania imani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa, kheri kung'ang'ania Kwa YESU KRISTO

  • @kesiawailes1223
    @kesiawailes1223 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki Mr $mrs Mwakipesile,nyimbo zenu zinanibariki sana

  • @GraceMichael-ev9dr
    @GraceMichael-ev9dr ปีที่แล้ว

    Bwana yesu nenda katende jambo katika maombi yetu uctuwache bure bwana yesu, mtakase kwa damu na nyama baba yetu mbarikiwa, huko gerezani

  • @GraceMichael-ev9dr
    @GraceMichael-ev9dr ปีที่แล้ว

    Mama salome kaza mwendo kwakila mitihani unayo pitiya sema ndiyo bwana, yesu hawezi kutuwacha

  • @veronicaaron4880
    @veronicaaron4880 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa mnoooo na nyimbo zako babaaa🙏🙏🙏🙏

    • @annahkanini8842
      @annahkanini8842 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana pamoja na mama nyimbo zenu na zipenda sn njuu hamuhimbi tu bali mamaa nishaa kumtukuza mungu na hakika hakuna hakuna kibaya kitawapata munaye mungu ndiye mtetezi wenu na mtashinda

  • @ruthayoti9321
    @ruthayoti9321 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana barikiwa sana unavyo bariki wengi na huu ujumbe

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 2 ปีที่แล้ว

    Asante yesu mmenibariki Sana mungu awabariki 🙏🏻

  • @zakiambepera2965
    @zakiambepera2965 3 ปีที่แล้ว

    Niheri kung'ang'ana na maombi tu. Na si vinginevyo amen barikiwa Sana🙏🙏🙏

  • @renaldahinjehu2445
    @renaldahinjehu2445 2 ปีที่แล้ว

    Go go go mama, God is with you.

  • @christinesofia3359
    @christinesofia3359 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏 am blessed with your songs may God bless you.ya dunia ni mengi ya faa you stand strong with God but not with friends God is everything to my Life

  • @GraceMichael-ev9dr
    @GraceMichael-ev9dr ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama salome mpeta,SALMA wa mama beda,kiukweli nilikuwa cjui maana ya wokovu bwana yesu asifiwe sana

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  ปีที่แล้ว

      Salma amefanyaje sasa, mbona nakuta unamzungumzia Salma hapa??

    • @GraceMichael-ev9dr
      @GraceMichael-ev9dr ปีที่แล้ว

      Nilikuwa cjui nini maana ya wokovu mtumishi, nawashukuru kanisa la kikosi kazi mtumishi robati,helbeth mlelwa,mama beda,herena,yusto, kwa kunipa mwongozo wa wokovu na mpaka sasa naomba yesu anirehemu amina

  • @bedaliyowela958
    @bedaliyowela958 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumwa wa BWNA
    Wimbo mzuri sana.

  • @carolineanyango7042
    @carolineanyango7042 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen God bless you

  • @sporahjacob6924
    @sporahjacob6924 4 ปีที่แล้ว +1

    Yes her kung'ang'ania kwa Yesu,..wimbo mzur unagusa mioyo yetu...

  • @annacambaango6434
    @annacambaango6434 2 ปีที่แล้ว

    Shalom Shalom Sharon Bien Salome Bibi WA Mutumishi Mutumua na Unabi

    • @saladuma6469
      @saladuma6469 2 ปีที่แล้ว

      Out pouàndages d was eà

  • @okindajackline6425
    @okindajackline6425 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen Love The song powerful word of God

  • @roseslaa3363
    @roseslaa3363 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri unanifariji sana blessing man of God

  • @esterlwesya4952
    @esterlwesya4952 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kung'ang'ania

  • @pascalsabula5043
    @pascalsabula5043 4 ปีที่แล้ว +1

    Yeah it better to cling to salvation no matter the life you going through it be blessed my sister for good song for sure touch my feeling and don’t look what people said

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeen

  • @lincyluseno5964
    @lincyluseno5964 3 ปีที่แล้ว

    The songs it's just stong god bless you at all 🙏🙏 amen

  • @Mjakazisara55
    @Mjakazisara55 3 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏 kazi nzuri sana

  • @annacambaango6434
    @annacambaango6434 2 ปีที่แล้ว

    Ile Kweli th na tesua Juu ya I mani Dunks yote families Fasi yote Ma Pahali yote mums Campany mu ma Kanisa Chuki Heeee! YESU? Ah acsenti na sisi hattuta Choka Amen amen KUNGAGANIA TU KUA YESU

  • @peacemakersplus37
    @peacemakersplus37 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo wanitia nguvu ninganganie wokovu bila kuangalia nyuma maana tunaishi duniani lakini kwetu ni mbinguni

  • @zihalirwmushi8498
    @zihalirwmushi8498 3 ปีที่แล้ว

    Nimeokolewa by Samuel

  • @sheltimadebe4797
    @sheltimadebe4797 ปีที่แล้ว

    Video ya hii nyimbo ipo wap mbn haipatikan

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  ปีที่แล้ว

      Ninayo ya wimbo huu hapa th-cam.com/video/Na6BpmcXvcg/w-d-xo.html

  • @phaniceshirakita8763
    @phaniceshirakita8763 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 3 ปีที่แล้ว

    Hah ndio Ile ni kueli kabisa Mubarikiwa Nili pitiya yote Île Unasema Haaa Hatari Dunia ni Haramu Kuanjilia Familliya ku Fukuziwa Tokeya ku bu Toto sasa Leo njo ba n’a. Elewa Lakini Ha I kuwa Rahisi Shalom acsenti Da Salome Mubarikiwa Mungu Amibarikie Kamwe Amen And Amen Amen

  • @rocksilva1943
    @rocksilva1943 3 ปีที่แล้ว +1

    Fala seu nome em português

  • @rocksilva1943
    @rocksilva1943 3 ปีที่แล้ว

    Aqui no Brasil nos ouvi seu louvor

  • @janettabu4135
    @janettabu4135 2 ปีที่แล้ว

    Æää
    Åtta

  • @veronicaaron4880
    @veronicaaron4880 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa mnoooo na nyimbo zako babaaa🙏🙏🙏🙏