Fr Dkt Kamugisha: Tumia matope wanayokutupia kujenga/misalaba unayoipata sio nukta/Msalaba unaongea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @GodfreyKeraka
    @GodfreyKeraka 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana umenitia nguvu vya kutosha

  • @adelitusleonce5256
    @adelitusleonce5256 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante father mwenyez mungu azid kukulinda

  • @modestampoma2765
    @modestampoma2765 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba Kamugisha kwa mafundisho manzuri

  • @hildahenry5455
    @hildahenry5455 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba paroko,

  • @johnbanzi2037
    @johnbanzi2037 3 ปีที่แล้ว +1

    Fr.Kamugisha ukipata nafasi ya kuja Dar tutembelee Parokia ya Vikindu utuhubirie. Nafarijika na kujifunza kupitia homilia zako. Mungu akubariki. Una kipaji cha ajabu.

  • @philibertlwiwa297
    @philibertlwiwa297 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @vickymlatie8313
    @vickymlatie8313 23 วันที่ผ่านมา

    Amen Baba 🙏🙏🙏

  • @herimbinguni9384
    @herimbinguni9384 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mpendwa ubarikiwe

  • @ladwickmangowi5922
    @ladwickmangowi5922 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Father

  • @christinachilolelo9683
    @christinachilolelo9683 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi father