Makulutu,shai,shinda,shobo,maragori,weee,the kikuyu in that guy😂😂😂😂😂😂,sergent mawazo from tahamki😂😂😂😂😂😂,he used to make me laugh,but kwapo and chapuo were my favourite
Enzi za raha..waigizaji mahiri na kuonyesha uungwana mkubwa,wanaigiza bila kukejeli ama kutaja kabila lolote lile. Leo waogizaji wote hawaezi chekesha mpaka waige kwa kukejeli ama kudharau kabila flani.
Ndio, ni kweli! Enzi hizo waigizaji walikuwa na heshima kubwa na walijali sana maadili katika uigizaji wao. Tunahitaji kurudi kwenye zile mbinu za uungwana!
ohh really hii film ya mahoka ilinibamba saana doz dem days bla kusahau tahamaki at I nilikua nikiiogopa eti sometimes ilikua inatisha but siezi sahau kabisa jamani naiomba film zote za tahamaki na mahoka
Nimefurahi kusikia unakumbuka filamu za mahoka! Ni kweli zilikuwa na mvuto na hofu. Ni filamu ambazo zitabaki na sisi milele! Unfortunately sina copies
Makulutu,shai,shinda,shobo,maragori,weee,the kikuyu in that guy😂😂😂😂😂😂,sergent mawazo from tahamki😂😂😂😂😂😂,he used to make me laugh,but kwapo and chapuo were my favourite
ahaha. chiz kweli we jamaa
Old is gold. How wonderful those days were. This guys were top notch back then. My favourite program to watch back then
kweli yako
👋...mahoka God bless you .....all🙏 🙏 ❤ 💖 ♥ 💕 ✨
Thank you for your kind words! Wishing you all the best too!
Hi 👋 chapuo ,chapchap, mlachakee....!!!
Chapuo yuko Tz kwa sasa, na anaendelea vizuri. Shukran
I miss mzee kasri....so much 😢 😞 😪 😔 😫 😕 😢
Thank you for sharing your feelings! Mzee Kasri truly touched many hearts, and it's wonderful to see how much he is missed.
Miss tahamaki
mambo ya zamani
visaa athiim chapuo chepeo big legend
Chapuo chepeo mla chake
Thanks for your comment! It’s always great to see fellow fans of the legend!
Enzi za raha..waigizaji mahiri na kuonyesha uungwana mkubwa,wanaigiza bila kukejeli ama kutaja kabila lolote lile. Leo waogizaji wote hawaezi chekesha mpaka waige kwa kukejeli ama kudharau kabila flani.
Ndio, ni kweli! Enzi hizo waigizaji walikuwa na heshima kubwa na walijali sana maadili katika uigizaji wao. Tunahitaji kurudi kwenye zile mbinu za uungwana!
Apenda Sana...
hahahahaha
Kisa athiim
kabisa
ohh really hii film ya mahoka ilinibamba saana doz dem days bla kusahau tahamaki at I nilikua nikiiogopa eti sometimes ilikua inatisha but siezi sahau kabisa jamani naiomba film zote za tahamaki na mahoka
Nimefurahi kusikia unakumbuka filamu za mahoka! Ni kweli zilikuwa na mvuto na hofu. Ni filamu ambazo zitabaki na sisi milele! Unfortunately sina copies
Omg...i just saw my dad😀😀❤
Ooh my, you must be the son of SIR JAMES!!
Thanks for this, lakini wakati uki-rekodi haukuwa ume-clean head ya VCR, lakini poa hata hivyo. ''Chapuo Chepeo chap chap mla chake''
Haha, I guess the VCR head was having a lazy day! But hey, at least it still managed to capture some good moments.
Do you have nia panda, zingatia? This was when TV was TV...
vimeenda na maji. They were in old tapes which are now unreadable unfortunately
ojukuu oshojibo
It looks like you're excited! Can you share what you love most about "ojukuu oshojibo"?
hhahaa asanta mganga hassan morawa ..( simba marara aka sultwan wa pwani )
wacha story somo
Si mambo ya cleaning head, This was recorded over 30 years ago!
My daddy sir James (, john kinyanjui irungu) left too soon😭😭😭😭😭❤❤❤❤
May his soul rest in peace. I remember his episode in a mental hospital with chapuo n kwapuo
Sir James ni mgani?
I'm so sorry for your loss. It's never easy to say goodbye to someone so special.
weka tahamaki
Sins mpaka nitafute sana. Nikipata nitatundika hapa
no sina. but am being told those old programs are being shown in heritage TV and dstv
Kazi poa kaka,heritage always has sound problem.
😂😂😂
Visa athim
kweli yako
Heritage tv features these progs,but they fail us with their poor sound
You're right! It's like they want us to enjoy the visuals while playing a game of "guess what they said"-not exactly ideal for a good binge-watch!