House girl/Episode 324/swahili animation2024/katuni za kiswahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 12 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba siya apate nfanya kazi kiboko atakaye mnyosha namakofi😢😢

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar 10 วันที่ผ่านมา

    Sia punguza dharau unamwita mbwa mfanyakazi wako ikisha mbwa huyo huyo akufanyie kazi zako mwenyewe zimekushinda daa wadada wa majumbani wanakutana na mitihani mizito majumbani .

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mansun kipenzi hapo sasa naona hataa kuongea umeanza kubadilisha basi Mwangi kazi nzuri heko kwako 😂❤😂

  • @annboke4979
    @annboke4979 12 วันที่ผ่านมา +1

    Linda hicho kiburi utalia n huyo mwanaume ata kusariti

  • @damarisjacob2297
    @damarisjacob2297 11 วันที่ผ่านมา +1

    Sia apewe talaka mbwa huyu

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 12 วันที่ผ่านมา

    And call your aunt latifa

  • @annboke4979
    @annboke4979 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sia ushindwe kabisaa

  • @EuniceAmisi-z7w
    @EuniceAmisi-z7w 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mansun ati mayai yatakauka😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 12 วันที่ผ่านมา

    Frank maraba unacheka 😂😂😂😂😂 Mungu ni mwema

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 12 วันที่ผ่านมา +3

    Sia utabadilika lini mamaa mtu azikwi na mali wala viti jamani 😂😂😂

  • @annboke4979
    @annboke4979 12 วันที่ผ่านมา

    Sia unavuka mipaka wewe

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 12 วันที่ผ่านมา +1

    No moja

  • @emmariontabu254
    @emmariontabu254 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Daa Tina kwa Muendelezo, chukua mau yako mummy 🎉🎉❤.

    • @emmariontabu254
      @emmariontabu254 12 วันที่ผ่านมา

      Sia Una roho mbaya kuliko shetani ila nausubiri mwisho wako. Unaringa na pesa zenye hujui kuzitafuta, umesahau na wew ulitoka kwenye ukoo wa kimasikini mbwa wew.😂

  • @mwanamisiomari8189
    @mwanamisiomari8189 11 วันที่ผ่านมา

    Huyu linda kiburi na dharau ndo nyingi

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 11 วันที่ผ่านมา

      Kichaa cha dada kimerudi kwake😂

  • @faithmusyoka6439
    @faithmusyoka6439 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sia si agongwe na gari akufe,mama sindi akuje apo nyumbani?anatreat uyu dada wa kazi vibaya😢😢

    • @elizabethnafula9588
      @elizabethnafula9588 12 วันที่ผ่านมา

      Asikufe akuwe paralyzed ndio ashikwe na adabu

    • @patriciachangawa1754
      @patriciachangawa1754 12 วันที่ผ่านมา

      Asikufe lakini achike ama mama sindy Arudi do hiyo jeuri umuishe mumbwe huyu😂😂

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @queensiku
      @queensiku 12 วันที่ผ่านมา

      @@elizabethnafula9588sasa munaombea katuni mabaya jamani 😂😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 11 วันที่ผ่านมา

      Sijui kwann hapewi talaka akajifunze

  • @annboke4979
    @annboke4979 12 วันที่ผ่านมา

    Da tinaaaaaaaaa asante 🫂🫂🫂🫂🫂🫂🫂🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 12 วันที่ผ่านมา

    Craudete, don't stay quiet. Tell your brother Robert and your father frank. Sea, she's always bad to other people