ความคิดเห็น •

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 ปีที่แล้ว +5

    Imagine unamsomesha mtoto marekani alaf matumiz unamtumia matumiz kutoka tanzania. Kilo moja ya nyama ni zaid ya elf60, Noma

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 ปีที่แล้ว +3

    Maisha yetu Tanzania na afrika kwa ujumla ni mazuri sana uko marekani na nchi za watu weupe maisha sio mazuri wanakula vyakula vya viwandani sana yani sio halisi

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 ปีที่แล้ว +8

    nilikula chicken drumsticks mwaka mzima na mayai, na rice 🤣 weee college life nikomeshe. Nilikua nikifanya convention from dollars to tzshilling nasikia kichaaa 🤣🤣 11 years later tumesha adjust 😂 tume accept ndo maisha yetu ndo hali yetu

    • @jomugyabuso3073
      @jomugyabuso3073 2 ปีที่แล้ว +2

      Huko hakuna dagaa wa kigoma

    • @wilsonm.7376
      @wilsonm.7376 2 ปีที่แล้ว

      Duh! Kuku mwaka mzima mbona ulifaidi mkuu!

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh kweli huko maisha yako Juu Sana yani tikiti maji ni zaidi ya Tsh elf 14 wakati huku ni buku 3 tu sometimes unapata mpk elf 2 sio poa. Bongo sio nyoso man ukienda huko lazima upambane

  • @bokimmwamba2322
    @bokimmwamba2322 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 katika mazingira hayo hapo

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว +2

    Maembe ni bei rahisi dollar sita na nusu saa hv dollar 1 ni 2332.00 ..kwa leo trh 19 Aug 2022. kwahyo hapo ni zaid ya elf 12 . Wakat ni buku 2 au 3 hicho kimfuko kina jaa. Noma.

  • @FMercuryEA
    @FMercuryEA 2 ปีที่แล้ว +2

    In other words, if you can have the correct mindset and the correct skillsets, you are better in Africa. Otherwise, starve yourself, pay less in all aspects of your life and invest in Africa.

  • @Bless510
    @Bless510 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @johnkariakoo
    @johnkariakoo 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 ปีที่แล้ว +1

    NICE VIDEO KAKA

  • @itNeza
    @itNeza 2 ปีที่แล้ว +3

    Wapenda Kitimoto US wajikute 😂😂😂

  • @alloycemillinga1673
    @alloycemillinga1673 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bro mwaka huu lazima nije, nitakula sana kitimorotoo

  • @edwardmassawe9126
    @edwardmassawe9126 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kuujuza, endelea Ili tuwajue

  • @dennisatigara8463
    @dennisatigara8463 2 ปีที่แล้ว +1

    Some products are near Kenyan Shillings

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

    I love packaging

  • @Mazoea
    @Mazoea 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni kula vyuku tu kwa kwenda mbele

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      Kuku wa kisasa siyo wakuzoea sana mtu ananenepeana magonjwa nje nje

  • @leilaassey1726
    @leilaassey1726 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani nikifwatilia vidio zako najionaga kama na mimi nipo USA kumbe nipo zangu Lebanon uku napambana one day yes nami nitakuja inshallah

  • @mathiasmarco2676
    @mathiasmarco2676 2 ปีที่แล้ว

    Hahaah, kwa mm ntakula snaa nguruwe maana natumiaga,

  • @mohamedomari5389
    @mohamedomari5389 2 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ya huko ni ya juu

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 ปีที่แล้ว

    Mbon nguruwe ndio nyingi hapo uwiii

  • @mathiasmarco2676
    @mathiasmarco2676 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha, ety kuku wanatoa ngozi wakati kwetu tz watu wanapiga hadi utumbo wa kuku, hahahaa

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 7 หลายเดือนก่อน

    Mkuu tunasubil matokeo ya green card

  • @jimmylema8830
    @jimmylema8830 2 ปีที่แล้ว

    Katika mazingira hayo hapo

  • @edsonteri4489
    @edsonteri4489 2 ปีที่แล้ว

    Samaki hujaweka bei

  • @akashpalmino1629
    @akashpalmino1629 2 ปีที่แล้ว +1

    Yule jamaa wako wa trucking anaendelea vipi?.... Heri mtu akule kuku sasa

    • @danstanmgaya1251
      @danstanmgaya1251 ปีที่แล้ว

      Hata mm yule jamaa nina mpango nae aisee yule wa 🚛 🚛 wa iringa na wish nifanye process zote nihamie huko animegee pande na mm maana huku bongo ni nyoso

  • @davidmpulumba4039
    @davidmpulumba4039 2 ปีที่แล้ว

    Kitimoto hata kwa huku china ni bei rahis nguruwe na nyama ya kuku ni bei rahis

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว

    Marekani sehemu gani sasa maana maeneo yote maisha hayawezi kufanana

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Kitimoto kitaniua usa

  • @ramadhanhemed9931
    @ramadhanhemed9931 2 ปีที่แล้ว

    Sasa naelewa kwanini wakulima wa huko ni matajiri

  • @maulidkamundi6095
    @maulidkamundi6095 2 ปีที่แล้ว

    Nafasi ya wakulima na wafugaji ujatuonesha

  • @nicklyanga7044
    @nicklyanga7044 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani hakuna sehem wanayouza vitu bei rahis.huko I mean kama tandale ivi huku kwetu...inaonyesha hapo ulipoingia ni pa gharama sana

  • @vom84
    @vom84 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijaona parachichi huko

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 2 ปีที่แล้ว +1

      zime jaa kibao, zinatoka mexico huku au california

    • @leecode6135
      @leecode6135 2 ปีที่แล้ว +2

      Yapo ni import from south América Brasil Equador yaaah

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 2 ปีที่แล้ว

    very expensive???🙂🙂🙂🙂🙂

  • @berryprince5591
    @berryprince5591 2 ปีที่แล้ว

    Uko mgumu wakutowa pesa

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 2 ปีที่แล้ว

    Wadau wa Mazoezi mpo! Pita hapa subscribe channel yetu

  • @magangakiyabo3429
    @magangakiyabo3429 2 ปีที่แล้ว

    Jamani France maisha kwa vyakula ni bei poa sana

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 ปีที่แล้ว

    Kaka una roho ya kipekee huna uchoyo

  • @abiollashayo5698
    @abiollashayo5698 ปีที่แล้ว

    hacha nifie bongo tu

  • @jacquelinepalangyo412
    @jacquelinepalangyo412 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hamna masoko ya changanyikeni aisee mpk supermarket?kuishi ulaya NI stress full.

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      Na mihogo hakuna!!! Wale wazee wa pass ndefu mihogo mingi maji

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 ปีที่แล้ว +1

      Yapo maduka ya wa Asia wanauza kila kitu kama uko nyumbani vile

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 2 ปีที่แล้ว +1

      @@highzacknnko9685 mihogo ipo ila kwenye maduka ya wa Asia ndounapata vitu kama vya kinyumbani Tanzania kila kitu wanacho tena mihogo yao mizuri sana

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli maembe yao sio matamu kama yetu uku africa

  • @lukelopatrick3187
    @lukelopatrick3187 2 ปีที่แล้ว

    NI mwendo wa kitimoto tu

  • @jacksonchiwalanga4817
    @jacksonchiwalanga4817 2 ปีที่แล้ว

    Izo nyanya dollar 4 ni tenga mojaa auu??

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 2 ปีที่แล้ว

      😀😀😀

    • @jumamofu9573
      @jumamofu9573 2 ปีที่แล้ว

      Tenga moja ungesema labda dollar 20 hv hapo sawa sasa dollar 4 si ni km elf 8 tu Tenga unapata wapi kwa elf 8

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 2 ปีที่แล้ว

      😂

    • @amosicronery7730
      @amosicronery7730 2 ปีที่แล้ว

      Hapo kwanza nchekee

  • @NS-ru1yf
    @NS-ru1yf 2 ปีที่แล้ว

    Yaan nanunua naendakuondoa mwenyewe,mbwembwe nchi za watu zinafilisi...nirud Tz na kingereza tuu...no,no,no!

  • @algoforex1239
    @algoforex1239 2 ปีที่แล้ว

    Balaaaa Bei ya nyama ni sawa na mshahara wangu wa mwezi.😂😂😂😂😂😂

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว

      Unafanya kazi gani? Maana nyama ya bei ya juu ni Dora 31,dora 1 haizidi 2500Tzs, hivyo 2500x 31=77,500,kama unalipwa 80,000 natamani kujua hiyo kazi.

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 2 ปีที่แล้ว

      Endelea kujifunza forex kama lilivyo jina lako, utaijua na kupata hela

  • @castoshayo2625
    @castoshayo2625 2 ปีที่แล้ว

    Kuishi huko ni masifa ambayo ni stress tu

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว +3

      Hapana maisha marekani ni gharama ya chini sana kazi kwa lisaa unalipwa $25-$30 Massachusetts

  • @dweq6249
    @dweq6249 2 ปีที่แล้ว

    HII NI NJIA NYINGINE YA KUFIKA UGHAIBUNI
    th-cam.com/video/DuKunlznmfA/w-d-xo.html

  • @dweq6249
    @dweq6249 2 ปีที่แล้ว

    NJIA NYINGINE YA KUFIKA UGHAIBUNI 👇👇 👇 th-cam.com/video/DuKunlznmfA/w-d-xo.html

  • @dweq6249
    @dweq6249 2 ปีที่แล้ว

    NJIA NYINGINE YA KUFIKA UGHAIBUNI 👇👇👇👇 th-cam.com/video/DuKunlznmfA/w-d-xo.html

  • @bigboys016
    @bigboys016 ปีที่แล้ว

    Du mdudu yupo halafu bei poa hivo