Waziri Mkuu atembelea mradi wa SGR Dodoma atoa ufafanuzi kuhusu behewa za SGR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA MOROGORO - MAKUTUPORA
    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Morogoro - Makutupora katika jengo la stesheni kuu ya SGR jijini Dodoma, Novemba 24, 2022.
    Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kutembelea miradi ya kimkakati kwa lengo la kuona maendeleo ya utekelezaji wake ambapo pamoja na kutembelea jengo la Stesheni ya SGR ambalo ujenzi wake umefikia 32%, Mhe. Waziri pia ametembelea jengo la ofisi ya makao makuu linalojengwa jirani na jengo la stesheni.
    “Watanzania wenzangu naendelea na ziara za kukagua miradi yetu nchini na mradi huu wa SGR ni mmoja kati ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini, kupitia ziara hii watanzania watajua mradi wao mkubwa umefikia hatua gani” alisema Waziri Mkuu

ความคิดเห็น • 17

  • @humphreyjosephat5002
    @humphreyjosephat5002 ปีที่แล้ว +1

    Zingatieni hapo kwenye kichwa

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 ปีที่แล้ว

    Asante sana waziri mkuu kwa ufafanuzi mzuri

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb ปีที่แล้ว

    Kushukuru Ssrikali sio lazima ni hiari.... "Ni hiari kuishukuru Serikali ....."

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo kolea wanachangamoto

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ufafanuzi Mheshimiwa.

  • @saidissa2851
    @saidissa2851 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @vitalressgalus6738
    @vitalressgalus6738 ปีที่แล้ว

    Lushwa nyingi koliko kazi hupati kazi mpaka utowe pesa

  • @RioIpo
    @RioIpo ปีที่แล้ว

    Mhe: Kassim kama ndio yale hapana kwa kweli

  • @vitalressgalus6738
    @vitalressgalus6738 ปีที่แล้ว

    Mh...wazili mkuu mbona iyo cumpuny ina mambo ambayo sio mazuli yahani wabongo wamehalibu xana kiukweli kazi hakuna

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 ปีที่แล้ว

    Mabehewa ni mabaya kama DSM za Kule Feli miaka ya 2000 uko nendeni Morocco kule Casablanca mukaone Behewa Za SGR Zilivyo

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 ปีที่แล้ว

      Morocco kwa kweli is something else, kwa Africa ndio yenye kasi zaidi na ni ya kisasa kweli kweli sio masihara

  • @htx1873
    @htx1873 ปีที่แล้ว

    Mabehewa Mvuto vipi???? Mbona kama hazivutiii ??

  • @nusaania2950
    @nusaania2950 ปีที่แล้ว

    Mabovu kwelikweli

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 ปีที่แล้ว

    6

  • @humphreyjosephat5002
    @humphreyjosephat5002 ปีที่แล้ว

    Zingatieni hapo kwenye kichwa