Barakallahu fikoum Shukran Sheikh Othman kwa pamoja na akhuna Twalib kwa kutupa dawa za nyoyo. Ndugu Twalib anapendeza Masha Allah kwa sauti na ukarimu wake na unyenyekevu usio fichika.
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh BISMILLAH MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH MWENYEZI MUNGU awahifadh vijana wetu wote na awaongoze katika ilmu ya Dini yetu
Sheikh Othman - MaashaaAllah. Hii sauti ya Rast napenda sana unapoisomea Qur'an katika Mawaidha yako.
Hata mm naipenda sana
@@abdillahkassim5400 maashaAllah.
Kk hata mm uwa naipenda mno...
@@kihamehassan8385 Maa Shaa Allah
Masha'Allah, inapendeza sanaaa
Mashallah sauti inapita nyoyon
Allah barik awape afya njema akhii twalib na Othman maalim na waislam wote kwa ujumla
Dah 😭😭😭 Swallu ala nnaby S.A.W mashallah mashallah
Barakallahu fikoum Shukran Sheikh Othman kwa pamoja na akhuna Twalib kwa kutupa dawa za nyoyo. Ndugu Twalib anapendeza Masha Allah kwa sauti na ukarimu wake na unyenyekevu usio fichika.
Mashallah tabaraka Allah. Shekhe Othman. Allah akupe uzima na umri wenye manufaa. Ameen Allahuma Ameen
Bismillah maishaallah
Allahumma Swali Wasal'li maaley Wallahi ametuhathiri Sanaa,Nakupenda MTUME wangu
Masha Allah masha Allah jazak Allah kheri mi naomba mungekuwa mwarikodi mana si wengine twapenda qaswida km hizi masha Allah
our beloved prophet Mohammad sallallahu Aleiyhi wasallam
Shukuran sana shekh wangu kwani nakupenda sana kwa ajili ya mwenyezi mungu alhamdulillay na mwenyezi mungu akuifadhi apa na dunia na ahera
Allah akuhifadhi sh. Othman maalim... NAKUPND KWA AJILI YA ALLAH..
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh BISMILLAH MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH MWENYEZI MUNGU awahifadh vijana wetu wote na awaongoze katika ilmu ya Dini yetu
Amiin
Allahumma Amiin
MashaAllah MashaAllah masheikh wety twawapenda kwa ajili ya ALLAH ❤
Na mwenyezi mungu akujalie umri mrefu ili uzidi kutupa elimu Amina rabbi allamiin
MASHALLAH MAY ALLAH BLESS UMMA TUL ISLAM AND HALE
Mwenyezi mungu atufaidhie shekh wetu kipenzi cha watu Amina rabbi allamiin
Nakupenda sana Othumani kwa jili ya Allah akulinde nashari ❤
MashaAllah TabaraqaAllah 💖💫🥰...
MASHAALLAH
البخيل لا يصلو على النبي ❤
Mashallah Allah Subhana Wataala.atupe wingi baraka za Mtume Wetu.
Masha Allah I love to hear your voice it melodic...
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH 😍❤💙💕💖
الشيخ عثمان معلم انت اسطورة😍🙏
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظكم جميعا
MashaAllah the voice inapta mpaka moyon
Najikuta tuuu wallh natabassam Alhamdullh Allah awape furaha daima na mwisho mwema
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allahumma Swalli Wassalim Wa Baarik Ala Sayyedna Muhammad Swalallahu Alayhi Wassalaam
REHMA NA AMANI ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE MTUME WETU KIPENZI MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
ماشاء الله تبارك الرحمن ،
اللهم صلِّ وسلِّم وبَارِك على حبيبنا وسيَّدنا وشفيعنا محمَّد وعلى آلِهِ وصحبه أجمعين
Jazaaqakumu llaahu kulla khayr
Dah love you . My sheikh
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Maashallah, maashallah Allah Akbar
Naam Ametuathir bwana Mtume (SAW)
Masha allah nawapenda nyote kwajili ya Allah ❤❤
SHUKRAAN NA SIFA ZOTE ZIMUENDEE MUUMBA MBINGU,ARDHI NA VOTE VILIVOMO NDANI YAKE ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
Huwezi Mpenda Allah bila kumpenda Mtume صلى الله عليه وسلم
الله يعطيك العافية اخوي الغالي ربي يحميك
MashaAllah MashaAllah MashaAllah,
Manshallah ❤❤❤❤
Shekhe Othman. Allah akulipe kheri nyingi
اَللَّهُمَّ صَلِّ وَسَلِّمْ وَباَرِكْ عَلىَ سَيِّدِناَ وَمَوْلاَناَ مُحَمَّدٍ
ههههههههههههههههههههههhaya sheikh Othuman kibao chako Mashaallah 👂👂👂👂👂
Masha Allah hii qswida mwenye anajua anambie jmn
Nitakupa
MaashaaAllah. Huyu sheikh Twalib. Ni hodari sana. MaashaaAllah. Anatoka kenya? Mola awahifadhi.
Mashallah
Maa Shaa Allah baaraka Allahu fiikum
اللهم صلي وسلم عليه❤
Masha Allah km mapacha
Mbona mnafanana sana mashaallah
Mashaaallah qaswida nzuri na massacring yake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Mashaallah kipaji kukbwa sana allah ampe kla la kheri atusomee na qur-an
Maa shaa Allah mmenigusa masheikh wangu vitu vyangu hivyo
Mashaallah barakallahu fii
mtume wetu Mohammed sallallahu Aleiyhi wasallam
😊 Mashallah
MashaAllah mashaAllah
Kwakweli mnapendeza Allah awalinde popote mlipo mashaallah
Duuuh
Mashaallah mashaallah mashaallah
Masha'Allah, swalu alaa nnabiy
MashaaAllah
Amiin Amiin Amiin yaa sheikh
Mashaallah Allah Allah akupe umri mrefu sheikh othman maalim
Mashallah shakh wetu
الله يزيدك النعيم 🙏
Mashaallh allahu baarik aleyh
Mashaallah
Mashaalah Mashaalah. Sauti 👌. M mngu akuzidishie 🇰🇪
Mashallah Mashallah
Kheir inshallah
MAASHA ALLAH na combination hio MWENYEZI MUNGU awazidishie kipaji
Naomba Jina la qaswida please
یا سلااااااااااام
Mashaallah elm maqamat imefahamika vyema
Sheikh langu nakupenda kwa ajili ya Allah
Nice💕
Yaa salaam
Maa shaa Allah tabarakallah
Masha'Allah Masha'Allah
Can someone please tell us more about this wonderful Nasheed artist brother Twalib?
Is he from Kenya?
Zanzibar Tanzania
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Ma shaa Allah ❤
Allahuma ammmn
Waalkm salaam warahmatullah wabaraqatuh
Mashaallah barakallahufiki
Maa shaa Allah
اللهم صلى وسلم عليه
اللهم صل وسلم عليه
ما شاء الله
Jifunze quran kusoma na kuandika gusa picha yangu hapo
Mashallah allah awabariq sanaaa
Naomba kufaham Jina la hiyo qaswida please
Hayazuiliki nyoyoni
Maalim ilikuwa vittah kubwa sana maalim Othman kama maalim Koba siyo kwa Rasti hiyo vitta kubwa sana
🥹🥹masha Allah
اللهم صلي على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم,,, khataar maqamaat hiyo
👍❤️❤️
👍
,,🤲🤲🤲🤲
Hhhhhhhhh mashallah ♥
Allah Allah Allah!!! maqam gani hiyo?
Bayaat
Sheikh sauti yako ni saprano🤗🤭
@agatha kinuthia 😅✌️
Hii kaswida mbona naitafuta siipati