AHMED ALLY BAADA YA MECHI AFUNGUKA YOTE, MI SIO MCHEKESHAJI, HAINIHUSU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 113

  • @scholastikakevela6279
    @scholastikakevela6279 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika tumefarijika sana na kiwango cha wachezaji sana hapo tuendelee na preseason yetu HONGERA KWA WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI MPO VIZURIIIII

  • @AzizaMayemba-td8po
    @AzizaMayemba-td8po หลายเดือนก่อน +7

    Wanasmba tusikate tamaa mda bado tuwape mda wachezaji wetu simba nguvu Moja ❤️❤️❤️❤️

  • @GodfreyMlay-n8p
    @GodfreyMlay-n8p หลายเดือนก่อน +13

    Dah nakuonea huruma mno kila wakati unapokutana na wenyewe nchi yao uchoki kuwaomba mashabiki wa simba msamaha vile vile kundelea kuwapa moyo bro wewe ni shujaaa kinoma tena jasiri kweli kweli

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @hemedrashid2921
      @hemedrashid2921 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @stewardlwimbo3944
      @stewardlwimbo3944 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli pole kwake

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน

    Kweli msemaji. Muda Bado hupo sana ❤❤❤❤🎉🎉

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s หลายเดือนก่อน

    Good 👍kamanda thanks for that 👍🙏

  • @getsonfungo4255
    @getsonfungo4255 หลายเดือนก่อน +3

    Unajitahidi Sana kuwafariji watu wako na utawafariji sanaaaa hongera kwa kipaji hicho

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 หลายเดือนก่อน

      Hilo jamaagan linatoa ulimi Kama mbwa hapo nyuma semaji

  • @markmakowa6154
    @markmakowa6154 หลายเดือนก่อน

    Shida kwa huyu Jamàa (Ahamed Ally) zimeanza tena Upyaaaaa!!!!

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 หลายเดือนก่อน +3

    Simba mmekuwa bora kwa kulinganisha kiwango chenu kibovu ila usilinganishe na Yanga.
    Mnawapigia makofi marefa wamewasevu.
    Endelea kuwazuga hao mabwege wasiojitambua.

    • @yusuphmdadike8758
      @yusuphmdadike8758 หลายเดือนก่อน

      Akili zako aziko sawa kila mtu kaona mpira kwa macho yake ubora wa simba umeonekana kiwanjani

  • @user-je2om4dp7c
    @user-je2om4dp7c หลายเดือนก่อน

    Umezungumuza vizuri sana msemaji kongole kwako semaji la caf

  • @hosealawrance219
    @hosealawrance219 หลายเดือนก่อน +4

    Dube amekaa hapo pembeni anasikiliza😂😂😂

    • @nicelawrance9667
      @nicelawrance9667 หลายเดือนก่อน

      Nimechekaaa sanaaaaaaaaaaaaaaaaa nkajikuta nakutana na chata ya dube

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Ahamed Ally

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 หลายเดือนก่อน

    Yaaani inaumaaaaaaaa

  • @salimhamad3878
    @salimhamad3878 หลายเดือนก่อน

    Hao mashabiki wa yanga hapo wamemzukuuka semaji inamaanisha ni washabiki zake wote. Semaji ni super star ktk haya mambo.

  • @alisteusarchard3656
    @alisteusarchard3656 หลายเดือนก่อน

    Alhamed Ally
    Muongo 😂😂 mr comedian unawadanganya
    Usemajo kazi😢😢

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo หลายเดือนก่อน

    Mmeshinda Leo

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 หลายเดือนก่อน

    Anapendeza kwenda kufanyia kazi kitui cha ushauri na Saa😂😂😂

  • @johnjilisha-et9bj
    @johnjilisha-et9bj หลายเดือนก่อน +1

    Hahaaaahaaa umeanza kutufaliji tena😂

  • @MohammedAbdallah-db6ed
    @MohammedAbdallah-db6ed หลายเดือนก่อน

    Deborah ndio man of the match

  • @charleznicholas416
    @charleznicholas416 หลายเดือนก่อน

    Respect Semaji 🫡

  • @snackmusic5956
    @snackmusic5956 หลายเดือนก่อน

    Sisi kama simba tunaamini wachezaji tunao wazuri nawaamini tena natamani mechi zianze kwa fraha niliyonayo ya kikosi kipya tena kizr

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo หลายเดือนก่อน

    Sikumbuki lini ameshinda dhidi ya yanga tangu amekuwa msemaji wa kolo.

  • @AishaPinda
    @AishaPinda หลายเดือนก่อน

    Ahaaa kumbe ni faraja imeisha iyo

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Semaji letu wamejitahidi sana tumpe maua yake.ila nauliza wapi Awesu?

  • @ClaudeMichaely
    @ClaudeMichaely หลายเดือนก่อน

    Team yako ya zamani ni yanga bado unanafasi ludi ahmedy ali aucho ludi kwako simba itakukondesha moyo😅😅😂😂😂

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 หลายเดือนก่อน

    Hivi hao watu wanaopenda kujazana uko nyuma huwa wanafanya nn na awahojiwi waoo😂😂km sio waizi

  • @user-vo6pn6bd4r
    @user-vo6pn6bd4r หลายเดือนก่อน +3

    Tulikua tunampigia makofi refa .sio wachezaji mm simba ila refa tumshukuru pia wachezajiwetu walikata moto dkk ya 30 tu nilihisi sisi ndio wazee aaahh inaniuma sana debora alichoka hakabi haendi aaadaaa

    • @Monica-i5x
      @Monica-i5x หลายเดือนก่อน

      Hv unajielewa wew au w n yang

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 หลายเดือนก่อน

    Uzoefu na Umri sema 😂😂😂 umbwa weeee

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 หลายเดือนก่อน

    Unajisikia fahari kufungwa mara 3 2024😀 we mwehu kweli hata hao walioachwa ni bora kuliko hawa mpaka kumuombea radhi hajji manara

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน

    Timu ipooo

  • @blandinafransis3366
    @blandinafransis3366 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru safari bado sana ndefu kila la kheri simba

  • @user-ph4ch9qx5p
    @user-ph4ch9qx5p หลายเดือนก่อน

    Ahmed Ally anakarama ya kufariji na Mimi kwa vile navomfuatilia kuanzia Leo naomba nimwite FARAJA Ally🎉

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 หลายเดือนก่อน

      FARAJA ALLY watakuwa wawili maana yule anaemtomba mama yako mzazi anaitwa FARAJA ALLY

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

      ​@@laninjeje8290we mpumbavu matusi yanakuongezea nini huo ni mpira jinga wewe hujui maana ya matani

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g หลายเดือนก่อน +1

    Tulikubaliana tuna timu ya vijana, kapombe akawa wa kazi gani tena, mnatuchosha

  • @rashidakida3742
    @rashidakida3742 หลายเดือนก่อน

    Hilo topolo LA yanga linalojilamba lips kama jimama linataka kuonekana kwenye clip AU limbukeni

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha หลายเดือนก่อน +1

    😂ila mmejitahid kutoka 5 adi 1ila mshukuruni refa mana 4 xilikua kambani

  • @joancymuila272
    @joancymuila272 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa sasa SIMBA sio tena mtani wa yanga. Kwangu mimi SIMBA ni club ya kawaida sana kama club zingine.
    Naitwa Kévin Ndume nipo lubumbashi RDC

    • @flova7022
      @flova7022 หลายเดือนก่อน

      Akili zaako zaa ovyo...wkaakti yanga anakosa ubingwaa 4× uliwah sema yanga ni timu ya kawaaida...akili kisoda..

    • @HusnaSimbila-ig7ks
      @HusnaSimbila-ig7ks หลายเดือนก่อน

      Sikushangai kwasababu mpira umeanza kuufatilia juzi

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 หลายเดือนก่อน

    Maelezo mengiiii😢😢😂

  • @user-kx1rz7qg4u
    @user-kx1rz7qg4u หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwege na si ubwela tena dadeki😂

  • @edisonkatunzi
    @edisonkatunzi หลายเดือนก่อน

    Lazima uwatie moyo mashabiki wako maana na hapo tulikuhurumia

  • @maruhe1958
    @maruhe1958 หลายเดือนก่อน

    Mtaendelea kufarijiana mpaka lini jamani, mlicheza na timu mnayoijua huku wao pasipokuwajua sasa wamewajua kazi mnayo

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu หลายเดือนก่อน

    Mdomo koma kabla hamjacheza ulikuw a unaongeaaaa ooo wamesajili wazee m ambo mengiiiii timu nzuri mbona haijafu nga hovyoooooo

  • @mwanahidsimba
    @mwanahidsimba หลายเดือนก่อน

    Hii ndio timu tuliyokuwa tunataka ngoja ligi ianze

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน

    Hebu kwanza ncheke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @alisteusarchard3656
    @alisteusarchard3656 หลายเดือนก่อน

    Umekutana na kocha naye walewale😅

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u หลายเดือนก่อน

    Tuiache Simba etu ikae pamoja mdawa wahata mwez mmoja tutafrai naamini Simba nguvu moja

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni mechi ya simba na yanga kuna ahadi zaidi ya pesa subiria ligi ianze mtatwambia

  • @EdinaSamwel
    @EdinaSamwel หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl หลายเดือนก่อน

    Hivi Tanzania ni chuo Cha kufundisha wageni,kwanini tusijisifie vijana wetu hapo na kumbuka mziki wa mchakamchako majishi ya kukodiwa na makaburu

  • @allymtumwa4225
    @allymtumwa4225 หลายเดือนก่อน

    B

  • @PendoMorice
    @PendoMorice หลายเดือนก่อน

    Kwn Misri mlienda kufanya nn? wiki 3 mpaka Leo wachezaji hawajaelewana?

  • @edisonkatunzi
    @edisonkatunzi หลายเดือนก่อน

    Mmekutana na pira chokonoa

  • @swedywamba5535
    @swedywamba5535 หลายเดือนก่อน

    Namba tff mech yetu iwe ya kwanza tucheze na madunduka tuwapge tena mana hawaamini kama team young ilikua iko vizur na team ya yanga ndio kipimo sahihi cha preseason sio mnacheza na timu ubweche afu mujifanye mna timu

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 หลายเดือนก่อน

    Toka Simba Wewe Ndio Nukhsi Kwa Simba..
    Furaha Yakusaidiwa Na Refa Mgoli Matatu Kayapunguza...

  • @user-ir4fk4cs7k
    @user-ir4fk4cs7k หลายเดือนก่อน

    Mchekeshajii mjingax2 huyoo falaa

  • @NemessiJoseph-cl6xl
    @NemessiJoseph-cl6xl หลายเดือนก่อน

    Tatizo ulivaa kimasai wakati ww huna dam ya kimasai kingine. Mm shawahi kuona masai ana ingia uwanjani. Ndo maan walikua wanalka kimasai tu

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 หลายเดือนก่อน

    Wachezaji wa simba wengi ni level ya chini, level za akina balua niza mitulinga tu, tumia wachezaji wenye akiri ya mpira, otherwise itatu cost

    • @Monica-i5x
      @Monica-i5x หลายเดือนก่อน

      Huna akili wew unavohic wew uliv n baluwa yupo hvhv hv ujauon mpila wew

    • @cesaryaudax6647
      @cesaryaudax6647 23 วันที่ผ่านมา

      @@Monica-i5x acha matusi leta hoja, wewe unajihisi kuwa na akiri sio!

  • @SephaniaPaul
    @SephaniaPaul หลายเดือนก่อน

    Hahahahahaha umekuwa mradi tena mara hiiiii

  • @user-zj6hp6ju3w
    @user-zj6hp6ju3w หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwege

  • @emanuelchizumi
    @emanuelchizumi หลายเดือนก่อน +2

    Simba hata akifungwa 10 kwa 0 na yanga, bado huyo yanga ana kazi Kumuondoa simba nafasi ya sita kwa ubora africa

  • @abdallahncabukoroka3202
    @abdallahncabukoroka3202 หลายเดือนก่อน

    dube yuko nyuma yako anasikiriza akapereke umbea🤣🤣🤣

  • @c.e.okariakoondogo9720
    @c.e.okariakoondogo9720 หลายเดือนก่อน

    Hao Jamaa wamevalishwa jezi 😅😅

  • @user-sj9ob8vb3s
    @user-sj9ob8vb3s หลายเดือนก่อน

    kira siku utakuwa wa huzuni mpaka mkiri maan gem ra jana mrikamia sikuwa tim yenu ni nzuri ubovu uko pare pare

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂ubaya ubwelaaaaaaaa

  • @HajiJuma-oy1jy
    @HajiJuma-oy1jy หลายเดือนก่อน

    Oh mtakuja kulia na kulalamika😏

  • @edisonkatunzi
    @edisonkatunzi หลายเดือนก่อน

    Hacha uongo furaha hamna kabisa

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndo alisema ubaya ubwela kumbe ubaya ubwege

  • @tabusalumu1061
    @tabusalumu1061 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni wateja wetu tuuuu mpka msemee

  • @ClaudeMichaely
    @ClaudeMichaely หลายเดือนก่อน

    Huyu JAMAA nuru ya uso wake inapotea kwann asiludi kwenye team yake halisi kuliko kuwa huko na kutumia nguvu nyingi hadi 😅😅😅

  • @nkilatv6307
    @nkilatv6307 หลายเดือนก่อน

    Bado haujasema

  • @AliAli-b4j4n
    @AliAli-b4j4n หลายเดือนก่อน

    Nyinyi simba mbovu hamuwaji la kusema mumekuwa kama vichaa

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga หลายเดือนก่อน

    Mpizani wako namba moja niazam, sema mpinzani wako tu, mshushe azam ndio useme mpinzani wako yanga.

  • @user-hh6lj3hb1o
    @user-hh6lj3hb1o หลายเดือนก่อน

    Uoni aibu ww Toka umeanza kuisemea Simba hakuna inachokifanya iachie Simba ww

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 หลายเดือนก่อน

    Simba saizi yake ni Coastal Union sio Yanga Wala Azam

  • @user-jc4mm7vs9x
    @user-jc4mm7vs9x หลายเดือนก่อน

    KWA USAJIRI UPI, KIUKWELI KAPOMBE, MZAMIRU NA NGOMA HAMTOBOI , KAPOMBE, MZAMIRU NA NGOMA UWEZO WAO NI MDOGO ,

  • @FrenkAshell-gj4jw
    @FrenkAshell-gj4jw หลายเดือนก่อน

    Mbn semaje uvaangi jezi ww ni mukosi TU ufai kuwag semaje

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx หลายเดือนก่อน

    Mtaishia kujipa moyo nabfagaja,tunataka mshinde wapya waweke dukani badi fyuuuuu haaah mbanapua huyooooo

  • @suleimanmachano1098
    @suleimanmachano1098 หลายเดือนก่อน

    HICHO UNACHOFANYA NI KUJIFARIJI TUU.....MWISHO WA UBAYA NI AIBU

  • @user-vd4og8md3v
    @user-vd4og8md3v หลายเดือนก่อน

    Wape maneno matam tusha yazoea ayo unataka waungane kwan wao mpira hawaujui tangia waje

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 หลายเดือนก่อน

    Semaji atukupata W aje tutakuwa na furaha

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks หลายเดือนก่อน

    Simba hii ndo mbovu kuliko ya mwakajana yakina saido ,chama na kanute hata goli la offside hawana uwezo wa kufunga hawa

    • @deevanbhe7239
      @deevanbhe7239 หลายเดือนก่อน

      Jitathimini bro

  • @gavethhans5242
    @gavethhans5242 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyie mlitegemea kushinda kweli kwa timu yenu mbovu zaidi mnachotakiwa kushukuru tu cz hazikuwa nyingi

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA หลายเดือนก่อน

    Unapiga kelele tuuuuu mbele za watu

  • @NathanielNdimbo
    @NathanielNdimbo หลายเดือนก่อน

    Ubwela upo wapi? 😂😂😂

  • @allymnyama1386
    @allymnyama1386 หลายเดือนก่อน

    Nyie ngogwe supu fc chongeni tu hamjielewi ila kwa simba mpya hii mtajua hamjui

    • @josamjoel2079
      @josamjoel2079 หลายเดือนก่อน

      Lini sasa tutajua hatujui??

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo หลายเดือนก่อน

    Ahmed Alyy Wape habari hii (1) Manila hatumtaki tena Ombi wachezaji Wawe makini hasa ktk ukabaji wasiwe wanajiachia Timu iko vizuri Simba kwa sasa ni timu yenye heshima timu ni ya kujivunia

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION หลายเดือนก่อน

    Mouth never play football tatizo ngebe

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx หลายเดือนก่อน

    Jiuzulu wewe tafuta shamba Jaime hixonguvujjnazopeteza na muda watotowako watakuja kukutoa kucha bila ganzi😂😂😂

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE หลายเดือนก่อน

    pumbavu huiwez

  • @FaridaHamisi-k6i
    @FaridaHamisi-k6i หลายเดือนก่อน

    Kocha mnae ila msije kumfukuza tuu

  • @ndakiezekiel2341
    @ndakiezekiel2341 หลายเดือนก่อน

    Hata shule huwa hazifungwi kila siku

  • @rosehusein
    @rosehusein หลายเดือนก่อน

    Nendeni nyie mebebwa na refaa kwa nn asitoe penalty washenzi tuu yanga na uyu bugatti lenu Ahmed ally anajielewa ww

    • @BeatusNgereza
      @BeatusNgereza หลายเดือนก่อน

      Kabra ujaongea jitafakari,goli ngapi za yamga zilikataliwa?

  • @suleimanmachano1098
    @suleimanmachano1098 หลายเดือนก่อน +1

    UKWELI HAUPINGIKI WEWE SIO MSEMAJI BALI NI MCHEKESHAJI TU.

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 หลายเดือนก่อน

    Ahmed waambie ukweli mashabiki wako...
    Mwaka jana unasema mlikuwa na timu "mbovu" na mkachukua ngao 🙄🙄
    Mwaka huu unasema una timu nzuri saaaana, Sasa hiyo timu nzuri inakuwaje inakosa ngao, au hata naibu bingwa wa ngao, mnaangukia Mwakatatu kama mlivyo maliza kwenye ligi 😭😭
    Simba mmeshindwa hata kuweka mpira wavuni na refa akalikataa 🤣😂
    YANGA wameweka bao mbili saaaaafiii na refa kazichinja 🙄
    Leo mlikuwa mnoshwa nne kavu.,
    Mpeni zawadi refaaaa

  • @GeorgeKivo
    @GeorgeKivo หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂