China kuidhamini Zanzibar $56m kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- Serikali ya China imekubali kuidhamini Serikali ya Zanzibar fedha za kumalizia ujenzi wa Terminal III na maegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sheikh Abeid Amaan Karume, Zanzibar.
waondoke walipwe na Serikali..vizuri
Hongera mheshimiwa rais magufuli
Hana mchango hapo
kwa lipi?
mipumbavu hiii dah yani kwa serekali ya ccm bora umthamini mbwa yani kuliko ccm laaanatullah yani duu
Wameombewa na magufuli apo zenj ndo bas tena ishauzwaa
kwaio
Maa shaa Allah
Pemba jee
iombeeni na pemba jamani
kauwanja kama kibirit
hivi huko nn chendelea kwa kwl??
cool
Tayari airport ya zanzibar imepita airport zote duniani kwa ughali. Ubadhirifu wa mali na ukandamizaji wa ukweli uhalisia umesababisha fedha kuibiwa na ujenzi haujafika popote. Sasa million 56 dollar. Huu ni uwanja wa ndege au ni njia za kuiba tena fedha?. Sefu Ali atujibu maana yeye ndie muhusika mkuu.