Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat Subhannallah. Allah swt anatisha na atatisha Sana siku ya kiyama Tuwe wema na waadilifu hata Kama huamini basi kuwa mwema utaiokoa jamii Inayopotea na kutegemea wazazi wawalishe Kwani hata taifa linaumia kwa utovu wa maadili yalivoharibika Nijukumu letu kuongozana katika mema daima
Mwenyez mungu atusamehe wajawake, yaani account ina subscribers elfu 26100 lakni mpaka sasa hvi ina views 731 na ina siku 1, duh eeh! Allah tusamehe waja wako
Acha kumtangulia mungu ghaibu ww unamzidi mungu ilimu kunawatu utafutaji wenu pesa mnuvuka mipaka mambo hayo Ni Siri yake Allah hata mtume alifichwa akuambiwa alofunuliwa baadhi ya mambo ww unaetowa move muogope Allah utakwenda kuulizwa
Miongoni mwa dalili za kiama ni kwely kabisa juwa litatoka magharib kwenda masharik, na kwely wtaaipenda sana dunia uzinifu utakithiri kwely hata mbagala rangi3 wamejaa hao wazinifu, buguruni kimboka ple kuna wahaya yaani mtiani
@@hamadKhamis-p6k nikwambie kitu ujui ulitendalo, hayo majibu yako unajipa moyo ila haitakusaidua chochote…. Bora ukubaliane na ukwel uweze kubadilika. Mwenyezi Mungu anasema afanyi jambo pasipo kutujulisha
Amin mng atusameh makosa yetu
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat
Subhannallah. Allah swt anatisha na atatisha Sana siku ya kiyama
Tuwe wema na waadilifu hata Kama huamini basi kuwa mwema utaiokoa jamii
Inayopotea na kutegemea wazazi wawalishe
Kwani hata taifa linaumia kwa utovu wa maadili yalivoharibika
Nijukumu letu kuongozana katika mema daima
Allah atuingize Jannah
Subhannallah Ole yang mm tunakuomba Mwenyezimungu mtukufu utughufilie madhambi yetu,uturehemu na utupe mwisho mwema INSHALLAH
Allah atupe mwisho mwema tuma na hijabu Sija imaliza sidii hazipatkani
Mwenyez mungu atusamehe wajawake, yaani account ina subscribers elfu 26100 lakni mpaka sasa hvi ina views 731 na ina siku 1, duh eeh! Allah tusamehe waja wako
Khataree angekuwa diamond pletnamba M1 chap
Hatarii
@@Mmenga_junior allahumma ameen 😭🤲😰🙏
Mwenyezi mungu atuletee wepesi yaraby siku hiyo
Amiiin
Subhana LLAH, jama ni , hiyo siku simchezo, waislamu wenzangu, tujiandae kwa ajili yahiyo simchezo hutapatanafasi ya kutubiatena,
Mjomba Yani sisi binaadamu hatuelewi ila tutakujajuwa kwa hakika ALLAH Hana Hadi za uongo tunachukulia maxhara
Allah atuswamehe waja wake😢
WALLAH ni mtihani mkubwa
😢😢😢😢😅 ooooh allah tupe mwisho mwema kuliko mwanzo tujaliye tuwe miongoni mwa wenyenye kupata tauba kutoka kwako
subhan llah
Allah atujaalie mwisho mwema yaa rabb
Allahumma ameen 🤲😰😢
Allah atupe mwisho mwema 😢
Allah atuswamehe
Acha kumtangulia mungu ghaibu ww unamzidi mungu ilimu kunawatu utafutaji wenu pesa mnuvuka mipaka mambo hayo Ni Siri yake Allah hata mtume alifichwa akuambiwa alofunuliwa baadhi ya mambo ww unaetowa move muogope Allah utakwenda kuulizwa
Allah atulinde
Amiin
Yaarabi tupe mwisho mwema
Mbona huendi mbele unarudia rudiatu anco, wevipi.
Subhanaallah
Miongoni mwa dalili za kiama ni kwely kabisa juwa litatoka magharib kwenda masharik, na kwely wtaaipenda sana dunia uzinifu utakithiri kwely hata mbagala rangi3 wamejaa hao wazinifu, buguruni kimboka ple kuna wahaya yaani mtiani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mjomb tunaomba kisa cha nabii suleiman
Inshallah tutakifanyia kazi subscribe tu usipitw
Sawa usisahau kusubscribe channel yetu tutaituma muda wowote
خنتل فردوس
Nyingine hii hapa chini ya Hassan
th-cam.com/video/tp12uqnoTg8/w-d-xo.htmlsi=I3zIdWU1PKXe2RW3
mtuletee muvi nyingi za dini jamani
Usisahau kusubscribe usipitwe
Toeni historia na visa vya mitume na maswahaba sio kutoa siku ya kiama hakuna anaejua siku hio
@@hamadKhamis-p6k nikwambie kitu ujui ulitendalo, hayo majibu yako unajipa moyo ila haitakusaidua chochote…. Bora ukubaliane na ukwel uweze kubadilika. Mwenyezi Mungu anasema afanyi jambo pasipo kutujulisha
Yani wewe ni hatari ulijuwa aje yatayokuja? Muogope Allah.
Quran imeeleza kwani husomi Quran
@@HassanNdarama mbn unachekesha ww au mkristo