WENJE ATOA ONYO "UKIMTUKANA LISSU UTAKUTANA NAYE", AKEMEA LUGHA CHAFU KWENYE KAMPENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 144

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 2 วันที่ผ่านมา +15

    Leo ndo umeongea point kuliko siku zote ulizoongea,Tuleteeni Mwamba TUNDU LISSU.😂😂😂😂😂😂

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 วันที่ผ่านมา +37

    Lissu akiwa mwenyekiti anayestahili kuwa makamu ni Heche au Lema.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 วันที่ผ่านมา +1

      Uko sahihi kabisa.

    • @MajaliwaYusuph-qb1xp
      @MajaliwaYusuph-qb1xp 2 วันที่ผ่านมา +1

      Upuuzi tu.wanastahili mbona hawachukui hata fomu hao wasaliti wakubwa wamekaa kimya wanangojea chama kife wahamie ccm.pumbavu kabisa

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา

      Ngumu hiyo

    • @saiddaji6342
      @saiddaji6342 วันที่ผ่านมา

      Imepita hiyo

    • @SaleheMsangi-y5r
      @SaleheMsangi-y5r วันที่ผ่านมา

      Hapo nimekuelewa sana

  • @Utalingolo
    @Utalingolo 2 วันที่ผ่านมา +9

    Good speech

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 2 วันที่ผ่านมา +7

    Umeongea pointi lakini tunamtaka LISU

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 วันที่ผ่านมา +5

    Asante sana mdogo wangu wenje

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 2 วันที่ผ่านมา +5

    Jamaa kaona lisu akipita taishije Acha nikae kati😂😂😂😂😂😂

    • @ValeriJummane
      @ValeriJummane 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 วันที่ผ่านมา

      Issue hapa sio Lissu kupita au lah lakini ukweli ni kwamba ukitaka wafuasi wako wakutose kabisa na uwe kiongozi wa CHADEMA usio na ushawishi kabisa hata kwa hao CCM wenyewe basi wewe jitolee kupambana na Lissu.
      Wenje kishaona waliokuwa wafuasi wake wanamuongea vipi alipojopambanua kupambana na Lissu, ukweli anatukanwa sana katika mitandao.
      Kitendo cha Lissu kutokuwaogopa kabisa kabisa CCM kimemtengenezea wafuasi wengi wa upinzani kuliko kiongozi yoyote wa upinzani.
      Lissu ni Mfalme katika siasa za upinzani na mpinzani ukitaka kujimaliza wewe muanzishie vita.

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 วันที่ผ่านมา +3

    Namuona Mbowe akijitoa kulinda heshma na wenje kaona Heche na lema wanapigiwa chapuo lasoma alama za nyakati ila inawezakuwa too late this is politics....

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 2 วันที่ผ่านมา +5

    Wenje apende asipende lissu lazima aingie,rushwa ulizokula utazitapika! Na huyo rafiki Yako mtoto wa Samia uende Naye huko

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 2 วันที่ผ่านมา +5

    Imani kwa wanainchi imekwisha na nakusii ucje kuhutubia wanainchi utapingwa mawe wenjee

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 2 วันที่ผ่านมา

      Mmefikia huko 😂😂

  • @KenonPeter
    @KenonPeter วันที่ผ่านมา

    Asante wenje ukosawa Wala unahuroo wa madaraka Mungu hakulinde

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 2 วันที่ผ่านมา +7

    Umeshapoteza imani kwa wanachama

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 2 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu jamaa ni mwijaku wa chadema😅😅😅haaminiki chawa pro wa siasa

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 2 วันที่ผ่านมา +7

    Kigeugeu lakini pia mnafiki

  • @GodfreyJ.GMasunga
    @GodfreyJ.GMasunga 2 วันที่ผ่านมา +7

    Tayari kapata taarifa mapema kuwa mbowe anajitoa kwenye kinyang'anyiro na atabaki kuchuana na odero.

    • @robbyman6213
      @robbyman6213 2 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅 huyu anataarifa zote 😅😅

  • @LusunguWatsonMgeni-gr8zt
    @LusunguWatsonMgeni-gr8zt 2 วันที่ผ่านมา +13

    CCM ndiyo wanamuogopa lissu kweli kweli 🎉🎉🎉

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu วันที่ผ่านมา

      CCM hawamuogopi Lisu hata kwa sekunde,wanachokiona kwa Lisu ni uendawazimu tu wa Akili mbovu na wanaojuwa kuwaleya watu wakorofi na sii Lisu tuu wapo wengi kama Lisu na CCM inawaangaliya kama Watoto wadogo kutumzwa na wazazi lijue Hilo,Mimi siyo CCM ni mtowa maoni Sina upande wowote.

  • @senziashwaibu3219
    @senziashwaibu3219 2 วันที่ผ่านมา +12

    Mbona leo umebadilika ghafla akati ulipokua unahojiwa ulisema kuwa Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa chama

    • @stewardlwimbo3944
      @stewardlwimbo3944 2 วันที่ผ่านมา +3

      Ndo ushangae ndg mwanadamu

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 2 วันที่ผ่านมา +3

      Kasoma hali ya hewa upepo wa uchaguzi unambeba lissu!

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 2 วันที่ผ่านมา

      @@lusajomwaipopo5042 Lissu hawezi kushinda asilani abadani

    • @Darian2550
      @Darian2550 วันที่ผ่านมา +1

      Asante umenisemea na Mimi, wanasiasa ni hatari kuliko mabomu ya Nuclear.....

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 2 วันที่ผ่านมา +2

    Very speech

  • @EdwardJohn-xz5oi
    @EdwardJohn-xz5oi 2 วันที่ผ่านมา +6

    Sisi tunamtaka Lema au Heche kwenye hyo nafasi ww tumesha kujua na unduwilakuwili haueleweki hauaminiki kwa sasa.

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 วันที่ผ่านมา +5

    Ndugu Wenje umeishapote uhalali wako wa kuaminiwa na wafuasi wa Chadema. Binafsi nilikuamini sana Wenje lkn kwasasa hauna tofauti na akina Zitto na kitila Mkumbo.

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 2 วันที่ผ่านมา +6

    Hapo nakuelewa ukiwa upande wa lisu unakua upande wa Mungu

    • @kazimotomaswi9700
      @kazimotomaswi9700 2 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe unaakili au ndio upofu ya kimawazo!

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 วันที่ผ่านมา +1

      MUNGU yupi? Sababu wako wengi.
      Ile huyo mungu wakweli aliyeumba kula kitu huyo tumwache pembeni hahusiki na hizi janjajanja zenu za kisiasa.
      Leave God alone.

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 2 วันที่ผ่านมา +4

    Lisu 🎉🎉🎉🎉

  • @MichaelMwamanda
    @MichaelMwamanda วันที่ผ่านมา

    Safiiii✌️✌️✌️

  • @johnnyKawemba
    @johnnyKawemba 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ooooh! Kumbe umeanza kukubali

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 2 วันที่ผ่านมา +4

    Wenje acha mbwembwe wew sio chadema acha kuuzia watu kwenye gunia

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 2 วันที่ผ่านมา +6

    Wenje Leo umeongea vzr

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 วันที่ผ่านมา +2

    Umeongea vzr leo

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ok Twende na LISU

  • @venancemartin6734
    @venancemartin6734 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hii nchi bhn kila mtu na bodyguard 😮

  • @SaimonWiliam
    @SaimonWiliam วันที่ผ่านมา

    Wenje kwa hapo nimekuelewa siyo watu wanatukana viongozi wao hovyo.

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 2 วันที่ผ่านมา +5

    Leo umeongea Vema maana ya Democraia siyo kuweka Constraints kwa wengine .
    Acha Democracy ichuwe nafasi yake .
    Asante sana .

  • @SulePonda
    @SulePonda 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa mjanja sna😊

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 วันที่ผ่านมา +5

    Kwa hiyo Wenje anatembea na upepo sio naona kaanza kubadili mtazamo

    • @Joppa555
      @Joppa555 2 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 วันที่ผ่านมา +5

    Wenje kabadili gia angani 😂

    • @bilid4128
      @bilid4128 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @PeterJackson-uh2ik
    @PeterJackson-uh2ik 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akili imeanza kukukaa sawa😂
    Hiyo ndoto ya kununa ni the coming truth. leo umeanza kuelewa.

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 2 วันที่ผ่านมา +2

    Umeonge mkuu sawa sawa

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli lisu ni kiboko na Sasa msiye mpenda kama lisu ndo chaguo letu

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 2 วันที่ผ่านมา +1

    Usalama wa ccm na taifa ndio watukanaji wa kwenye mtandao 😂😂😂

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila unapo jitaidi kuongea point lakini huwezi kumaliza bila kualibu Leo unaona kuwa watu wa mitandao hawana maana ambao wanafikisha hujumbe kwenu hivi bila hao husiowajua kwanini kipindi cha kampeni unaenda kuwaomba kula ?......
    Je?
    Hunawajua wote wakati hulisha wapuuza kwenye mtandao haijalishi katumia jina gani cha Msingi kaongea Nini ndio cha kutazama wewe unataka huongozi au tayari humeshakuwa kiongozi then unawazarau watu wa mitandao jitasimini hupya
    Na inawezekana hio spich Kuna mtu kakusaidia lakini humeachana na spichi humeweka maneno yako hona hulivyo haribu.

  • @frbm1729
    @frbm1729 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hili jamaa la Hovyooo sana. Lipiga dili Fulani.

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 วันที่ผ่านมา

    Wewe sema tu lakini ,hivi vyama vya siasa ni Mali ya wananchi ,twende na Lisu kipindi hiki

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 วันที่ผ่านมา

    Wewe Ni mnafiki hueleweki LISU ndio kila kiti

  • @KenonPeter
    @KenonPeter วันที่ผ่านมา

    Wanafiki wote sijui huyu Asikofu katoka wap hakisema Mbohe kamtukana Lisu Mm nimeshindwa kumwelewa huyu Asikofu

  • @datiusmartin6040
    @datiusmartin6040 วันที่ผ่านมา

    Lissu twendenaye wakati huu!

  • @herrykyomo4885
    @herrykyomo4885 2 วันที่ผ่านมา +1

    Akili kubwa

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 2 วันที่ผ่านมา

    Wenjeee😅😅😅😅 unajifanya sungura subiri viboko kutoka Kwa wakunja ngumi watu wanahamu na ww 😅😅 utafurahishwa ngoja siku zifike. 😅😅😅😅😅

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 วันที่ผ่านมา

    Lisu ndio mwenyekiti tunae mtegemea atakae tuvusha. Wewe wenje bwabwaja tu wewe unanjaa Kali sana

  • @ufunuo97-g
    @ufunuo97-g 2 วันที่ผ่านมา +1

    Msenge kaongea point😂😂😂😂

    • @Joppa555
      @Joppa555 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @de-solenza5218
    @de-solenza5218 2 วันที่ผ่านมา

    U turn kaliiiiii 😂😂😂😂😂

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @ferezaisaack9836
    @ferezaisaack9836 2 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo unahitaji kumtukana mtu je akipita kuwa mkt utaushije na umeshamchafua sanaaa

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 วันที่ผ่านมา

    Kwa hio Mbowe akifa CHAMA kinakufa???

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu วันที่ผ่านมา

    Lisu anatukana hadharani usimtetee huyo hata malezi yake yanamgogoro,Mbowe hatukani na kama mnajirudi chungeni midomo yenu mwambieni Lisu apige mswaki asubuhi ili mdomo wake uwe msafi unanuka ili maneno yake yawe masafi.

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 2 วันที่ผ่านมา +2

    Umechelewa maana wewe ndio uliyemtukana na kusema uongo wa kumdai😂

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hufai kabisa , hapo unahonga wajumbe tu

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 2 วันที่ผ่านมา

    John heche uko wapi ndg chukuwa fom makamu mwenyekiti

  • @ElinaMbura-h7w
    @ElinaMbura-h7w 2 วันที่ผ่านมา

    Tupo na Mhe Lissu n mtu safi mwenye msimamo hana mawaaaaa,,,,

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota วันที่ผ่านมา

    Jamaa amesoma upepo mapema

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 วันที่ผ่านมา

    Ndio kusema nafasi ya makamu wagombea hamna ? Wenje kaisha thamani hadi sasa

  • @Valerianshad
    @Valerianshad 2 วันที่ผ่านมา

    Hapo sasa ukoo vizurii chamsingi unajua kusoma upepo hapo wala sina shida tatizo ulianza kujichanganya sasa tutakuambia tunakupa jimbo la Rorya 😅😅😅😅😂😂😂😂

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 2 วันที่ผ่านมา

      Kwan jamaa ni wa mara

    • @mbesinghabi1994
      @mbesinghabi1994 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Juma-e8lluo

  • @kennycathles
    @kennycathles 2 วันที่ผ่านมา

    CHADEMA Bara?...au CHADEMA Tanganyika?🤔

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 วันที่ผ่านมา

    Leo Wenje umeupiga mwingi

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 2 วันที่ผ่านมา

    Eti hooo ameanza kubadilika hawa watu wana akili ya siasa sio oya oya kama wa lisu na mdude wao

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani kama ni gari limekata kona ya kushitukiza

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa amesoma alama za nyakati

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 2 วันที่ผ่านมา

    Ww eleweka chagua upande

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 วันที่ผ่านมา

    Wenje wewe ni mnafiki simamia kauli zako acha kuwa kigeugeu.
    Juzi tu ulimshambulia Lisu mpka ukamsimanga kwa pesa ya matibabu na msaada uliyompa wakati akiwa mgonjwa kitendo ambacho hata Mungu hapendi

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 2 วันที่ผ่านมา

    Umekula pesa za abduli

  • @mtangag774
    @mtangag774 2 วันที่ผ่านมา

    Wa kwanza yaan

  • @jerome3143
    @jerome3143 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida watanzania kuzarauliana

  • @RajabuMussa-h5n
    @RajabuMussa-h5n วันที่ผ่านมา

    Kumbe unakuaga na akili hapo uko sawa umeogea ukweli

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota วันที่ผ่านมา

    Ameona asifungamane na upande wwte

  • @jovinwatae1376
    @jovinwatae1376 2 วันที่ผ่านมา +2

    Umetuaibisha kama wana Rorya tunashindwa ata kijitambulisha mbele za jamii zingine yan mnatuambia kunjeni ngumi Makamanda kumbe nyie mnakunja mkwanja tu Duh!!

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      Dah! Inatia uchungu sana

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 2 วันที่ผ่านมา

    Ina maana kikao hakikuwa na chai

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi 2 วันที่ผ่านมา

    Sikuamini tena mzee we ni mpiga dili tuu

  • @NanyoropookiniTugugwa
    @NanyoropookiniTugugwa 2 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni matako tu

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje viongozi wenzako kanda ya ziwa wanampenda Lissu,ni Wewe pekee uko kwa Mbowe, rushwa tu inakusumbua.

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 2 วันที่ผ่านมา +3

    Wenje mdogo was mbowe kaa pembeni

  • @igulug5450
    @igulug5450 2 วันที่ผ่านมา +1

    Upenpo upo kwa lisu bwana sema tu ukweli

  • @henryludath3139
    @henryludath3139 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaaa hana mvuto atoke

  • @chagulaniadams3965
    @chagulaniadams3965 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe mwenyewe ni Mpambe

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa hana mvuto kabisa, hii ninafasi nzuri kwa heche au lema haki vile

  • @kazimotomaswi9700
    @kazimotomaswi9700 2 วันที่ผ่านมา

    Hiki chama ni kizuri iwapo kitaacha kutumika

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dalal wewe ukiwa mjumbe sasa ukiwa makam.sindo lais utauza chama tu.peleka huko uko uwongo

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dalali kastukia upepo

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 2 วันที่ผ่านมา

    Wengi ni santander wala hawapigi kura

  • @cmfacademy
    @cmfacademy 2 วันที่ผ่านมา

    Tested or tempted?

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbuka juzi kwenye press conference yako ulisema lissu ni mtu muongo sana ! Weka hakiba ya maneno kua na kumbukumbu

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 2 วันที่ผ่านมา

      Anaenda na upepo😂😂

  • @thekillertz1290
    @thekillertz1290 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ulu ihaha wayomba nyagosha, wenje

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje ni mnafiki

  • @onlythestrong8659
    @onlythestrong8659 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwana kaona jinsi watu walivyoegemea kwa Lisu sehemu zote, nae kabadili upepo. Dalali

  • @fedrickmwailinga7819
    @fedrickmwailinga7819 2 วันที่ผ่านมา

    anaongea vizuri kuwa jenga hoja kama unanikubali ila sio kumtukana mgombea mwingine. sasa mbona hawa CDM huwa ndio wanatukana viongozi ili wao waonekane ni wema, hasa LISSU huwa ni rahisi sana kutoa maneno ya kashifa kwa wagombea wengine...

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 2 วันที่ผ่านมา

    Uyunae nijpu kubwa

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kamdomo.

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje bure kabisa, mla rushwa bumbavu.

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje ni hivyo kabisa

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 2 วันที่ผ่านมา

    Chadema mmekwisha

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 วันที่ผ่านมา

    Kuna kitu hakipo sawa naona mbowe amekua mpole ameamua kumwambia wenje atulize ghasia wajifanye wanamaneno matamu tuwaamin

  • @ibrahimbaila7764
    @ibrahimbaila7764 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa kumeanza kuja .

  • @jaffarmfaume
    @jaffarmfaume 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wacha kuongea uongo, tumeshamsikia sana LISU akimtukana MBOE yeye mwenyewe mitandaoni, na wewe mwenyewe kuitwa DALALI na huyohuyo LISU, na wewe mwenyewe ukawa unatoa majibu ya ubabaifu. Usituchezee akili zetu sisi ni watu wazima na tunafahamu kinachoendelea kwenye nyumba yenu ambayo inafuka moshi na muda mfupi tu ujao ITARIPUKA.