Ray Vanny amlipua Paula, amuambia ana 'domo kubwa', alichojibiwa ni balaa, aitwa 'Short Fat Guy'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 343

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว +63

    Ila Sky unavyoongea na kufoka utadhani we ndo wahusika 🤣🤣🤣🤣. SnS for life...... ni mimi shabiki mandazi wenu

  • @RichWise671
    @RichWise671 ปีที่แล้ว +74

    Labda Bongo wasanii washinde Grammy ya Dramma ila sio Music 😁😁😁😁

    • @noru9028
      @noru9028 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli n kiki😂😂

    • @KMatrix628
      @KMatrix628 ปีที่แล้ว +2

      Tazama kazii kalii mtu wangu
      th-cam.com/video/s8ZQFZWggxg/w-d-xo.html

    • @ireneisack6671
      @ireneisack6671 ปีที่แล้ว +2

      Kwa Kwel

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu kwa kuzaliwa Tz ningeyapata wap haya😂😂😂😂😂😂

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 ปีที่แล้ว +1

    Ningekua mamake Paula ningekua proud atleast anajua kujitetea but pia ningekua mamake nisingekubali achezewe na wasanii hawa watu niwaharibifu sana hawana mapenzi ya kweli watakuchafua na kukudhalilisha kwenda mbele hapa Kajala amefeli kweli

  • @bellauwase8908
    @bellauwase8908 ปีที่แล้ว +8

    Lmao I love her😂😂😍😍

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 ปีที่แล้ว

    Apa ndio napomuelewaga Diamond Platnumz kwanini anakaaga kimya😂😂😂😂pole Chui

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂 hiv walishawahii kuwaa wapenzi kweli😂😂😂😂😂😂 shikamo mapenzi

  • @hastatz
    @hastatz ปีที่แล้ว +6

    Nimechoka hizi habari za kipuuzi

  • @louangesid
    @louangesid ปีที่แล้ว +2

    Tuko vere🔥😂😂😂😂😂😂😂

  • @hildashalwa7634
    @hildashalwa7634 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Paula alikua bikra😂😂😂😂 kwahyo alivotoka na konde alimwekea puani au 😂😂😂 iz drama jaman

  • @thatforeign4590
    @thatforeign4590 ปีที่แล้ว

    Sky hiyo tone “mzee nmekuvumilia sana” 😅😅😅

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 ปีที่แล้ว +2

    Bikira maria 😂😂😂😂

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 ปีที่แล้ว

    Hiyo sio tabia fresh kabisa kuchezea watoto wa watu basi sina shaka na yeye atachezewa na huyo mke wake anaye sema

  • @nihadshighadi4095
    @nihadshighadi4095 ปีที่แล้ว +1

    Paula Paula nampendaga tu🔥🔥🔥🔥

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +1

    Duuh kumbe ray ndo aliokashindilia ubooo na kuharibu bikra ya Paula,aisee ni ray ulipata bahati sana hongera kwa hilo afu ingekuwa kwaivunja bikra yake ningekuwa kimya tu kujivunia kutoa bikra yake

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli ana bahati alaf Paula katolewa Bikra na mwanaume wa watu iwish ingekuwa marioo

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว

      @@chuchudorice8531 nakapenda sana Paula ila na yeye kwann atembee na mume wa mtu ?? Ka binti kazuri ,mdgo Mashallah 🤗🤗 Ray didn't value this poor girl

  • @leinaamos
    @leinaamos ปีที่แล้ว

    Haaaa kweli

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +2

    Paula ❤rayvanny ni malaya na usowake haujifichii😅😅😅

    • @moureennoelylucy
      @moureennoelylucy ปีที่แล้ว

      Muulize dogo janja kwann p funk alimshikia bastola dogo akakimbia studio na kuacha viatu😂😂

    • @ghadaalzuhari2739
      @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว

      @@moureennoelylucy kwanini 😂

    • @moureennoelylucy
      @moureennoelylucy ปีที่แล้ว

      @@ghadaalzuhari2739 dogo janja keshapita nae toka anasoma makongo uyo anakuja kudanganya leo ray kamtoa bikra

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 ปีที่แล้ว

    Marioo ajiandae na yeye na yeye ipo siku ataitwa red blue

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว

    Wa tz akuna mdogo eti alinfata na puwa lake

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 ปีที่แล้ว +1

    Paula is just stupid.Kwani hakujua Ray ana wife?

  • @iHeizar
    @iHeizar ปีที่แล้ว +1

    Konde boy yuko na popcorn 🍿😂

  • @leilaachmed9271
    @leilaachmed9271 ปีที่แล้ว +2

    Kwani ulipokuwa nae hukumwona kama ni fat guy alipokuacha acha upuzi pamoja na mamako

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 ปีที่แล้ว

      Kwani ye ray hakumuona kama ana domo kubwa au😢we sikiliza tu picha ila usimtete yyte

  • @ikentertainment3145
    @ikentertainment3145 ปีที่แล้ว +1

    I mean she kinda has point tbh 😂😂

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 ปีที่แล้ว

    Minasubiri mwijaku, babalevo,jumalokole aya najua washapata chaii😂😂😂😂

  • @Kiendeprinces7688
    @Kiendeprinces7688 ปีที่แล้ว +2

    Mambo imechemka Kenyans

  • @DorineShoo
    @DorineShoo ปีที่แล้ว

    Mbona una mahusiano yako we nyokoo c ukae kimya acha kutuvuruga bana we sema unampenda rayvanny mbona ye katulia na familia yake maku tu ww rayvanny komaa na fayma wako achana na uyo andaz

  • @abdulsintoro5797
    @abdulsintoro5797 ปีที่แล้ว

    Mnyaqusa kachamba kisomi sana…yaani kwa musio jua…Ray hapo kazungumzia domo la chini ya kitovu…ndo kubwa…chezea toto ya kajala wewe…uwezi kuta kitu tight …😂😂😂

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 ปีที่แล้ว

    Wamekutana wote na marriooo wote wanamidomo mikubwa😁😁😁😁😁

  • @yuniasha9259
    @yuniasha9259 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂silent killer redbull tena

  • @Sppah697
    @Sppah697 ปีที่แล้ว

    Sasa, Marioo achukuwe tafadhali! Maana kama Rayvann anatukanwa hivyo kesho ni yeye!

  • @MajibuCredit
    @MajibuCredit ปีที่แล้ว

    Bikra ya nyokwe😂😂😂😂

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 ปีที่แล้ว

    Nafikiri SASA wanatuhadithia maungo Yao ya ndani

  • @zahertanzanian8583
    @zahertanzanian8583 ปีที่แล้ว +2

    mapenzi ni mavi acha nikale zangu kachumbali

  • @ghadaalzuhari2739
    @ghadaalzuhari2739 ปีที่แล้ว +1

    Washa jibizana uko😂😂

  • @freddiemwela708
    @freddiemwela708 ปีที่แล้ว

    Domo gan ni kubwa!?

  • @silverman6930
    @silverman6930 ปีที่แล้ว

    She needs to go school …

  • @noru9028
    @noru9028 ปีที่แล้ว +15

    Instagram ya moto😂😂Uku Zari n Fantana uku Paula ,ray na fayhma😂😂Wambea tunakaushwa damu😂😂

  • @DeBeasts66
    @DeBeasts66 ปีที่แล้ว +10

    MUKE WA BIKRA HAONGEII IVOO HUYO WALA ANA BIKRA CHOCHOTE PUMBAVU HUYOO😶‍🌫️😶‍🌫️😶‍🌫️🤢

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli ปีที่แล้ว +34

    Paula awanyoshe TU pumbavu Sana Awa van na mwanamke wake ! Usimuone Kobe kainama juwa ana Tunga Shelia Pala nip na w ewe mkono Kwa mkono adi peponi wamekuchokoza wenyewe Awa watu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +8

    Yani stor akiisimulia sky, utajuta, yani anaelezea kama alikuwepo nyuma yao 😅😂😂😂nakupenda bure Bro sky, Mungu akupe umri mrefu na Afya NJEMA 🙏

  • @teklajuma2093
    @teklajuma2093 ปีที่แล้ว +13

    Ile ukweli mi nampenda paula 😂😂😂😂😂

    • @hanifaidrisa
      @hanifaidrisa ปีที่แล้ว +2

      Hata mimi nampenda saaana paulaa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

    Ila jmn mapenz yakifika mwisho huwa shubir dah😅😅😅😅😅😅😅

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +5

    Mi mtazamo wangu,,,sitaki kuikosa episod two. Niko hapa nasikilizia😂😂😂😂

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 ปีที่แล้ว +4

    Namsikitikia Msichana mdogo kuharibika kias hiki duuuu Mungu linda vizaz vyetu umalaya tyuuu kutumika tuu cha maana hatuon huyu kakimbilia ukubwa tena mkubw kuliko wakubwa wenyewe ila dunia itakufunzaa tuuuu Age hii kugombania mabwanaaaa dah😢anajiona mwamba upumbavu ila Mungu awasaidie tyuuu

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 ปีที่แล้ว

      they are playing with akilizenu dada usijitie jasho bure ,ameharibika kesho anapata dili la kutangaza brand analipwa pesa ya kama yule aliesoma na madegree au zaidi

  • @kimah9855
    @kimah9855 ปีที่แล้ว +24

    Ray kiherehere😂😂Paula amesema ukweli yake😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +6

    Inaumaje kutolewa bikra na short fat guy! 🤣🤗 we paulaa weeeE ebu tupe ubuya mana kwa clip ile alikuwa anajichekesha chekesha tyuu.. Dadeq Chui #sfg! Huyo ndo Paula sasa

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +20

    Hahaha Fat guy kapatikana asante Paula kwa kunichambia watu 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥

    • @sophiahmedza929
      @sophiahmedza929 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂Umesahau adjective short

    • @EMILYRehema-e7x
      @EMILYRehema-e7x ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂Mpaka raha jamani

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      @@EMILYRehema-e7x 🤣🤣🤣

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

      Fat wkt kalalwaaaaa mpk kalalwaaaaa Tena Baada ya kushiba Ndo unatapika wkt vitu vinesha kwendaaaaa

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

      ​@@EMILYRehema-e7x 😂😂😂😂

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 ปีที่แล้ว +18

    Rayvanny mpumbavu sana alianza kumla mtoto wa watu akiwa mdogo what's is he yapping now..shurrup Rayvanny kenge ww

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 ปีที่แล้ว +11

    Sawa na pua lake kubwa alikufata ungekataa angekulazimisha pesa ndio zilikuponza mwee

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂mnapenda drama sana 😂😂😂jamani ..si muachane na amani😂😂

  • @imaculateromulus7047
    @imaculateromulus7047 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 eti bikra mwenye bikra wala hajitangazi jamn khaa labda bikra ya sikio

  • @jookhanjoram1770
    @jookhanjoram1770 ปีที่แล้ว +2

    Kwasisi wanaume hap kweny kuvunjwa ubikila Rayvanny inabidi achukuwe kombe 🤣🤣🏆💪 atakama Paula uchambe vip hatujal bana

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi wanatiana awakuonana vituko mpk wameachana ndio wanatuambia uyu anadomo kubwa na uyu anakijimboro kifupi

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 ปีที่แล้ว +1

    Chui siku zote ana tamaa ya kula nyama 😂😂😂 cezea chui alafu kunakiboko cengine kwakupenda nyama niatari zaidi kinacoitwa simba😅😅😅😅

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini ปีที่แล้ว

    TuliosoMa cuba, DOMO kubwa haijamaanisha MDOMO kama tunavyojua😂
    HIP HOP wise

  • @rhodamorara1235
    @rhodamorara1235 ปีที่แล้ว +20

    Not she revealed rayvanny took her virginity 😢😂😂😂. Her mama failed her. She's pretty but by just speaking you can realize her head is empty.

    • @dorcasnasimiyu9002
      @dorcasnasimiyu9002 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 this is the comment, her head aki no brains, malezi mabovu,

    • @louangesid
      @louangesid ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @cutecutie1411
      @cutecutie1411 ปีที่แล้ว

      I always saying this..her momma failed her long time ago.

    • @irenepaul3110
      @irenepaul3110 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @Zilizopendwa_60s
      @Zilizopendwa_60s ปีที่แล้ว

      Virginity which🤣🤣👈

  • @mamajd269
    @mamajd269 ปีที่แล้ว +25

    😳😳😳 mtoto anachamba alaaaaa 🙆🏽‍♀️

  • @FatumaMamlo-st8pj
    @FatumaMamlo-st8pj ปีที่แล้ว

    Kama namuona harmo. anavyochungulia you. Tob vile 😅😅😅😅😂😅😂 vita vya Burundi. Vyawenyewe kwawenyewe walijifanya mzalilisha leo kibano kimewarudia kama hawana akili safi wanatajana kavile wamelishwa ndele 😂😂😂😂 sikuhizi hakun mahaba mapenzi ya mkataba nafs yahamo inasema bira ampende aliechitoholi to mambo yakulia tena yamemtokaa😅😅😅😅😅 Upwiru watu wanahahanao. Umewakaba rohoo

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว

    I love Paula so much 😍 but kwan hakujua kua Ray ana mwanamke wake?? tamaa jaman mbaya alikufata ndiyo na gari lake kwann usinge kataa ?ona sasa binti mzur mdgo unajisemesha mbele ya media kua umetolewa.......na Ray ☹️☹️☹️☹️ for a Man ukiandika hivyo ndo anaonekana Mwamba then wewe ndo unaonekana cheap ☹️☹️anyways we all learn through mistakes keep chasing your dreams 🤗🤗🤗😍😍

  • @OmaryRajabu-bq5hb
    @OmaryRajabu-bq5hb ปีที่แล้ว +1

    Paula akuwa bikra alikuwa kashatolewa kitambo na mr beneficial tuliosoma nae tunamjua bikra ilikuwa ishatolewa kitambo

  • @KuntukumuSadam
    @KuntukumuSadam ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅😅😅 oya kumbe rayvany ndo alifungua mzigo mpya wa paula

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc ปีที่แล้ว +1

    Huyo bint awe kmy kwan mamake yupo wap jomon anajidharirisha hv ww akatai anatoka na rayvany mamake c alisema pau co mdg

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 ปีที่แล้ว +15

    Paula kajala ravnnyn anamupenda zana Paula kajala 🐅♥️♥️

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 ปีที่แล้ว +3

    Nilikuwa sikuelewi paula xaxa naona nakuelewa ilove paula

  • @reymekay1
    @reymekay1 ปีที่แล้ว

    Heheh, yani mtu kakudinyaa weeee, kukalamba weee, ilo domo na pua hkuliona, uo ufupi sjui unene hkuuona au?? Wanawake bana hawafkiri kbsaaa😂 ..... kama paula anaona kasoro zte hzi kwa ray why alimkubali?? No logic

  • @maidamwaipopo9603
    @maidamwaipopo9603 ปีที่แล้ว +4

    Vimeachwa vimebaki kulialia tu mama analilia kushoto mtoto kulia yaani ni msiba mzito huu tuwaombee tu

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 ปีที่แล้ว +3

    Mnaposoma majibu ya Paula tone aisee tone inafurahishaaaa😂😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Watoto Wakike Awagombei Rayvyann Wanagombea Pesa Akuna Upendo Apo Wadada Wanapiga Pesa2 Kutoka Kwa Wajinga Wa Mjini Wajinga Wa Warembo

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Ulijichezea mwenyewe na mama akachukulia poa, bikra ziko zakuuzwa tutajuaje ilikua feki, bikra ndo nn bhana, badilika usishindane namwanaume

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +1

    WABONGO mnapeeenda izo ngumbalu 😃

  • @naimamkude4997
    @naimamkude4997 ปีที่แล้ว

    Wote hawajielewi hasa huyo anaeitangaza bikira yake ndo anazidi kupoteza uanamke wa kiafrika ..angenyamaza angepata heshima zaidi...namkumbusha bikira hairudi akae kwa kutulia

  • @officialidakeys
    @officialidakeys ปีที่แล้ว +2

    I Like You Paula🥰🥰🥰🥰 zidi kumwaga Mchele mana wame washa moto wenyewe sasa ngoja washuhudie Show yako🤣🤣🤣🤣

  • @RichMediatz
    @RichMediatz ปีที่แล้ว +5

    Nawakubali sanaa

  • @klcmedia2503
    @klcmedia2503 ปีที่แล้ว

    Wanatafuta kick kuboost reality show yao, ingekuwa kweli wasingebishana hadharani

  • @rosejoely4518
    @rosejoely4518 ปีที่แล้ว

    Chui huyo alikua mwanamuke wako ww nyamaza mapenzi yanazunguka utakuja uludi pale pale namnavyo jibishana bado mnapendana mwanaume wenye hakili timamu haingilii ugovi wa wanawake zake weka hakiba ya badae

  • @HappyFrontal
    @HappyFrontal หลายเดือนก่อน

    Mmmh unajua kutangaza vp unalipwa we kijana mbona una Domo kubwa vp my brother

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 ปีที่แล้ว

    Upuuuzi hawa walivotakana kumsifu miaka 20 mule mule leo ooo huyu nae anashangaaa ujingaaaa mtupuuuu 😊😊😊

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv ปีที่แล้ว

    Sky walker huo usomaji veeepee 😂😂😂😂 unavaa uhusika kama lufufu umetisha sana

  • @mauwaishara7351
    @mauwaishara7351 ปีที่แล้ว +1

    Watu baada yakuwa wakweli munakimbilia ushabiki fayvanny ajasema vibaya kwanini asinge mtumikisha mtu wake

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +1

    Bikra tena nimestuka jmn bikra gan au ya nyuma?

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mtoto angeenda shule haya yote angeyakwepa

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 ปีที่แล้ว

      walisemahivyo kwa LULU ,kwamba amefeli maisha ataozea jela lakini tofauti shule bongo waliosoma hata bando lamatano linawashinda

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 ปีที่แล้ว +1

    Paula amehonja vidudu vya Bongo Fleva
    harmonize, Diamond ,Rayvanny,Marioo,😀😀😀

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 ปีที่แล้ว +2

    Najua Ray itamuuma sana lakini wanaume tier wavumilivu, Ray asiendelee na kadhia hii as AS MAN , @ Dr Mkk 🇬🇧

  • @7evenlyrics154
    @7evenlyrics154 ปีที่แล้ว +10

    Sasa napenda vituu sambuli hii.... wa bongo mpooo lov❤ 🇰🇪

  • @dukakigogo4527
    @dukakigogo4527 ปีที่แล้ว

    paula wape dozi yao tena wanaume kama hao hawafai kabisa paula ulianzaje kua na mtu kama huyo unavyo mpa ukweli wake unamungia ha kwenye unyayo ww ni mzuli bwana

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf ปีที่แล้ว +2

    Bongo hatujambo kwa reality shows. Nchi nzima tuko vizuri. Hata sisi humu tuko kwa reality ila camera ziko busy tuu hazijatufikia😂

    • @louangesid
      @louangesid ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @Zuchu11
      @Zuchu11 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @huguettelutumika7125
    @huguettelutumika7125 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe zile mambo za zima taa ilikuw niuongo sasa🤨konde Ali zushiwa

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 ปีที่แล้ว +2

    Duh kwa kweli huyu Paula ashakuwa kubuhuu ,,,si mtoto tena ,😁😁😁😁

  • @beatricefredilick1646
    @beatricefredilick1646 ปีที่แล้ว

    Umaarufu sio mpaka utukanwe Fanya kaz binti wanaume ndo walivyo

  • @officialidakeys
    @officialidakeys ปีที่แล้ว +3

    Paula Twende Kazi Mama 🤣🤣🤣🤣

  • @KMatrix628
    @KMatrix628 ปีที่แล้ว +1

    Tazama kazii kakiii mtu wangu
    th-cam.com/video/s8ZQFZWggxg/w-d-xo.html

  • @konde_gang_familly.5107
    @konde_gang_familly.5107 ปีที่แล้ว

    Salamaa yake vany kondee saivi nae kamoveee on bila I've tungeludiii Tena policy kwa kumtowa bikra kumbee Basi harmo mlizulia hakukulaaa bwana hakuzima taaa mkongaa ulikujosaa😅😅😅😅🤣🤣🤣

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 ปีที่แล้ว +1

    Kama urikuwa bikra rayvanny alikufunga kamba si we mwenyewe mchezo uliutka na unavyosema rayvanny a nafanya uonekne ajatulia mbona ajatulia bas baada ya kuachana na rayvanny acha kujitia aibu sku zte mwanamke ndo anazaririka kwani ukikaa kimya utabomoka

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

    Mwanamke bikra sky aongei hivyo .. paula tunakujuwa vizuri sema tumekaa kimya huyu van ndo anajulikana kwenye media na yule dad uliyekuwa unadate naye mpumbavu ... Bikra ya wa wapi .. na vay ni mjinga mmoja tamaa ndo zimesababisha mpaka unaoneka mwanaume suruali una bolo ..

  • @ElenneKabwit
    @ElenneKabwit ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว

    huyu ray aache ujinga wake, alipokuwa na paula hakuona hayo, pumbavu na huyu anaejifanya mume wng atarudi alikotoka si alijifanyaga hachitiwi huyu, mbona alibwagwa kweupe

  • @deogratiusjacob5658
    @deogratiusjacob5658 ปีที่แล้ว +2

    Huku mondi kule vann soon konde anakuja na lake hiio ndo bongo bhana

  • @jaysonny3
    @jaysonny3 ปีที่แล้ว

    Uyo choko asiongee sana maan ameshatatuliwa biashara yake imeisha 😂😂😂😂 kilichobaki ni wahuni kujipigia TU na kupita kushoto😭😭😭

  • @starzone0458
    @starzone0458 ปีที่แล้ว

    Bonny na clyde Kuna nini?? mmeweweseka wenyewe??au mmejipiga shooti mkafa

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว +1

    hakila kumbe kuna mda huna rayvanny sasa weye si uli choot ukijua. video itatoka