WAVUVI WAPEWA VYETI BANDIYA HUKO YUNGU TERRITOIRE YA FIZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #subscribe #like #comment #share

ความคิดเห็น • 12

  • @KWAYATV
    @KWAYATV 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kwa wavuvi kuhuziwa vyeti bandiya,

  • @william.GMJ3887
    @william.GMJ3887 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wavuvi poleni sana

  • @Shabaleyfb
    @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kwa huo utapeli wa vitambulisho vyauongo na ninafikiria siyo hiyo service tu

  • @Shabaleyfb
    @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

    na wewe ulie namoyo waku saidia matatizo ya kwenu tuma mzigo wako ataikiwa niwembe utahiona nakusema fulani ndio ametuma.

  • @Shabaleyfb
    @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

    chanal yetu inatembelea vijiji mbali mbali tarafani fizi ukihitaji uone kwenu kwa asili, manyumba ulio jengesha,mashamba,nakazalika utayaona.

  • @user-fk7rt6rz4i
    @user-fk7rt6rz4i 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni ku edit studio za uongo , fanyeni vitu vya uhalisia huko mlipo hamna jengo lipo hivyo

    • @MmungaMLTV
      @MmungaMLTV  2 หลายเดือนก่อน

      Studio 🎙 haina tatitzo yoyote,na haiwezi zuhiya mtu kufanya anachotaka kufanya.
      Kwahiyo kile ambacho unataka ukione utaonyeshwa nakile kinacho hitaji studio 🎙 yetu kitafanyika ndani ya studio kama unavyo hiyona hapo.
      Hata zile studio za PRESSE zingine zote wana editi,usifikiri unavyo ziona ndivyo zilivyo hapana.
      Wewe tekeleza kile unacho fikiria kusaidia ndugu zako.
      Asante sana kwa moyo mwema wakufikiria jamii yako studio isiwe kizuhizi cha kukuzuhiya hapana.
      Asante sana nduguyangu na MUNGU akubariki.

  • @user-fk7rt6rz4i
    @user-fk7rt6rz4i 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nawapenda lakini mkianza uongo uongo hivyo eti studio yenu iko hivyo, Mimi niliguswa na video yenu ile ya shule ambayo Haina paa ya juu, hivyo nilitaka kuamisisha watu huku USA tufanye angalau tunachoweza ili angalau tupate bandari kazaa za mabati ili watoto wasome mahali salama ila nimegundua nyie ni waongo waongo tu

    • @Shabaleyfb
      @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana mtazamaji wetu kwaku fatilia Channel yetu M'munga ML TV swahili. kama unania yakusaidia kwenye shule au cho chote.kutoka kwetu fizi kitafika bilashida.

    • @Shabaleyfb
      @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

      yote utakayo ya hona nikweli tuko Congo ubembe fizi kazimia atuta kuonyesha hata sikumoja kitu cha uongo.

    • @Shabaleyfb
      @Shabaleyfb 2 หลายเดือนก่อน +1

      na ukituma atawembe Yako kwenye ML TV tutakuonyesha naku sema fulani ndio ametuma.iyo nimambo ya utahalmu baba hamasisha ndugu zetu wasaidie walio manyumbani. sapoti Yako itatusogeza mbele asante. Mtangazaji wako shabaley.