ITAKUSHANGAZA JINSI MARTHA MWAIPAJA NA JOAN WALIVYOTUA NCHINI CONGO, JOAN AMUAIBISHA MARTHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @ÉliséRuth-b6p
    @ÉliséRuth-b6p 20 วันที่ผ่านมา +4

    Tumesijuwa Sisi ni wa congomani. Tunamupenda Martha 100 pourcent. Karibu tena dd yetu Martha kwetu Congo. Mungu azidi kukupatia ujasiri mkubwa n'a akuongezeye maisha marefu

  • @kjwachira
    @kjwachira 21 วันที่ผ่านมา +3

    Martha karibu sana Kenya. We love you so much.

  • @emmanuelamonique7308
    @emmanuelamonique7308 20 วันที่ผ่านมา +4

    Martha ni mwimbaji maarufu sana napenda sana nyimbo na hekima za martha

  • @euphrasietuyisenge5610
    @euphrasietuyisenge5610 20 วันที่ผ่านมา +2

    Daaa utajiri huu watembelea private jet na mama angu hapa anaokota makopo Mungu asinipee.....
    Joan na Martha Wana Mungu tofauti na Mungu tunaemujua

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 19 วันที่ผ่านมา

      Hiyo kweli ni atari sana Mungu wa kweli ana weza kumuruhusu mtu afanye uduma bila mtu kutengeneza na wazazi wake kweli Mungu atu sahidie sana

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 19 วันที่ผ่านมา +2

    WaTz acheni wivu. Huyu binti anaimba nyimbo kwa kumtaja Mungu, Bwana Yesu; sasa nyinyi yanawahusu nini?
    Kama anakosea, si anamkosea Mungu, yanawahusu nini?
    Kwani lazima kusikiliza tungo zake? Si upotezee tu!
    Mimi siku hizi baada ya vumi hizi za "wasanii" wa nyimbo za Injili, Najisikilizia Tenza za Rohoni.

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ufalme wa giza unadenda kazi sana, wanajifanya watu wa Mungu kumbe ni mawakala wa lusifa, wanaeneza kazi ya usagaji

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mather Mather Mather mwaipaja God be with you love from Zambia tunakupenda sana groly to God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amen and amen

  • @IsaacBenesia
    @IsaacBenesia 20 วันที่ผ่านมา +2

    Wanadamu acheni roho mbayo n mungu ndiyo anayejuwa hiyo familia y Martha, don't judge,mungu anajuwa Martha saidi Yako.

  • @kjwachira
    @kjwachira 20 วันที่ผ่านมา +1

    People of God in Tanzania devil will not attack one with nothing. Next thing judgement ni ya mungu Roman 2:1-3. What was the story Beatrice and mama did not tell you. Why did they choose social media. The enemy plan was to destroy Martha ministry. I say it's not gonna happen her ministry touches lives and we will support her. God bless you Martha mwaipanja and may He increase and favor you. More Grace. In your tribulations you lived what you preach sijipiganianji mwenyewe and nifundishe kunyamaza. Blessing

  • @neemangiliule6194
    @neemangiliule6194 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi sisemi kitu, ni rahisi kusema ya mtu mwingine lkn ndio maana Yesu alipopelekewa yule mwanamke kahaba aliwaambia ambaye hajafanya kosa awe wa kwanza kumpiga mawe,, kumbe nao walikuwa wahuni kabisa wakaondoka na dhambi zao but yule mzinzi alisamehewa palepale

  • @vicerocky
    @vicerocky 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hio sio kitu mama mzazi ndio kila kitu kulakiwa sio kitu kuna wenye wamekuja tu kum ona ju wanashanga mwana mziki maarufu kushagana

  • @Hellen-d6c
    @Hellen-d6c 19 วันที่ผ่านมา

    That my siz amekutengeneza huyu baba my dear still praying on you🎉

  • @jardineshighadiE4
    @jardineshighadiE4 21 วันที่ผ่านมา +1

    Love you Martha 🎉

  • @ALVIN-vs1ec
    @ALVIN-vs1ec 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hata kina diamond zuchu rayvan pia hupokelewa na magari na maua sio ajabu Kwa upande wa pili ndio style ila haonwasaganaji wangejua mungu huwa ni mvumilivu sana sana ila siku kikombe kikijaa wote tutaona

  • @LeahMisasi
    @LeahMisasi 20 วันที่ผ่านมา +3

    Jaman. Sio nguvu ya mungu fumbuen macho ya kiroho

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 19 วันที่ผ่านมา

      Wote ni vipofu kwa kweli awaoni ni atari sana

  • @Suzy-b1t
    @Suzy-b1t 20 วันที่ผ่านมา +2

    Matha una muumiza sana mama Yako acha kiburi , huna Hata aibu unaroho ngumu sana wew ,mama ni mama Hata hatukuon na mtoto wako akili Yako imechukuliwa Joan nidio rimot yako

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 20 วันที่ผ่านมา +4

    Kuna wapumbavu hapa,wanasema freemasno,inamaana freemasin kubwa kwenu kuliko Mungu?Yesu juuuuuu,Martha songa mbele,Mungu Ana nguvu na sio nguvu za giza,mwenzenu Hana tyme,ye anaita Yesu tu,ndio Ana nguvu,nyie iten Freemason wananguvu kuliko Mungu,kila mtu na upeo wake,

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 19 วันที่ผ่านมา

      Kipofu awezi kuongoza kipofu mwezie wote wata dumbukia shimoni

  • @ElizabethTinuga
    @ElizabethTinuga 20 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu anajibu kwa wakati wake hakika mungu amlinde matha

  • @vicerocky
    @vicerocky 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani kuna nini fiche yenye hauwezi acha Joan ni vile bibi hawezi acha mke

  • @MwanaidiMsilimu
    @MwanaidiMsilimu 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu..si...mwanadam..anaehukumu.asichojua

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 20 วันที่ผ่านมา

    We love Martha ❤️ 😍 💖 ❣️ 💕

  • @JosiaswemaMumberevagheni
    @JosiaswemaMumberevagheni 21 วันที่ผ่านมา +1

    Martha karibu Sana butembo WE Love you

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna siku Mungu atawaaibisha na adhabu yao Mungu anayo, hapo wanafanya hivyo ili kuwapoteza watu waseme wao ni wa kweli, hao ni mawakala tu , hapo tu shetani mtupu

  • @ShubiraCostac
    @ShubiraCostac 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu wangu mama yake Mungu ampe uvumilivu👏

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 20 วันที่ผ่านมา +1

    Msizani kuimba ni kwenda mbunguni mbinguni ni bali sana si wote wataenda binguni

  • @ghislainekyubwa1643
    @ghislainekyubwa1643 20 วันที่ผ่านมา +7

    Mimi ni mkongo na ninahuzunishwa n wanainchi wanao upokeya kila uchafu ulio tupwa na wenyeji. Inchi yangu imekuwa kama jalala la kutupia kila uchafu. Hao wanawake wa Tanzania wengi wao sio watumishi wa Mungu, wanajua wanaomtumkia. Mpaka sielewi hawa wanatafuta nini Bunia. Alikuja kwanza Christina na hivi ni huyu Mwaipaja. Naililia inchi yangu ya Kongo, Mungu aturehemu.

    • @EllyElly-r9q
      @EllyElly-r9q 20 วันที่ผ่านมา +1

      Acha upungufu wa akili na ungechaguliwa kuwa rahisi uko na elimu ya kuongoza kweli vile unaakili punguvu na chuki

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 20 วันที่ผ่านมา

      Ni jibu !!!wewe Ni msafiii?!?!

    • @ALVIN-vs1ec
      @ALVIN-vs1ec 20 วันที่ผ่านมา +1

      Na inawezekana shusho ndie kamuunganishia hii ili kiwaonyesha watu .... Hakunaga ujanja Kwa Mungu nasikia huruma

    • @elizabethjames5538
      @elizabethjames5538 20 วันที่ผ่านมา

      Roho mbaya itawatesa sana​@@ALVIN-vs1ec

    • @sunmona6823
      @sunmona6823 19 วันที่ผ่านมา +1

      Auna mkongo. Kongo zima iko nyuma na mbele ya Martha. Tume mupenda saaaaana. Eleza mjomba yako shetani ya kuwa Martha ana roho takatifu teleeeeeeeeee

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani nyinyi mulijuwa mkimkataa ndo kila mtu atamkataa? Acheni Mungu aitwe Mungu
    Akika Mungu ajawahi shindwa na chochote kwakweli martha anaye Mungu kba ❤❤❤❤❤

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p 20 วันที่ผ่านมา +4

    Usimlaumu mtu kwa kitu usichokijua.

  • @GloryRuben
    @GloryRuben 20 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu? Dhidi kuonekana tamalaki kwaajili yao tunavunja nguvu za giza tunasambalatisha na kubomoa! Tunakata macho mabaya hila mbaya mukutano 😮 huu ukawe wa balaka

  • @SarahAstariko-n4c
    @SarahAstariko-n4c 20 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo ndo shetani zile fujo ndo kuinuka kwake amemuwakilisha vizuri shetani naye amemtunuku

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa huyo solange Anavaa nini 😂😂😂

  • @tulianyota7040
    @tulianyota7040 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna chanabii hana heshima kwao wa Congomani hawaja jua habari zake kua nimu sagaji yee na Joan Kwanini hakurudia pale alipo fumaniwa?

  • @Suzy-b1t
    @Suzy-b1t 20 วันที่ผ่านมา +2

    Wakongo mtafuteni Mungu wakweli sio Muna mpa kiburi mtu anayemkataa mama yake hapo Kongo akili zenu zipo wap?

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 19 วันที่ผ่านมา

      Wote ni vipofu tu wata dumbukia shimoni na ange muacha huyo mtoto wake join ange pokelewa hivyo kwa sababu huyo ndiye anaufunguo na ndomana join alisema Martha aki muacha yeye join ana chenye ata poteza lakini Martha ata poteza zana nahiyo ni kweli awezi muacha

  • @ElizaMakaranga
    @ElizaMakaranga 17 วันที่ผ่านมา +1

    Shetani ameeda kumuinua congo

  • @neemangiliule6194
    @neemangiliule6194 20 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hawezi kumuacha Joan

  • @perufamily6941
    @perufamily6941 19 วันที่ผ่านมา

    Private Jet mama anaokota makopo anatembeza juice??😮😮 Sishangai maana hata sisi kwa familia tunaye wa hivyo

  • @MarryKimaro-m9k
    @MarryKimaro-m9k 20 วันที่ผ่านมา +1

    Umeenda na Joan ili mkapate nafasi ya kufanya yenu.Unashindwa kwenda na mumeo au mwanao wa kumzaa unaenda na Joan?

    • @EastherEmmanuel
      @EastherEmmanuel 20 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe akili yako imejaa mawazo machafu tu ukimwona mtu ana huyo J unawaza chobingo tu

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 20 วันที่ผ่านมา

      Kila neno utatoa hesabu utajibu vizuri uliyayasema maana ilishawakuta ktk u hafu huu

    • @elizabethjames5538
      @elizabethjames5538 20 วันที่ผ่านมา

      Kuongea tu hivyo inaonyesha humjui hata mungu Wala huna hofu yake,

  • @winfredmundali5441
    @winfredmundali5441 20 วันที่ผ่านมา +1

    this what los angels was doing it’s not new

  • @JanetMwenda
    @JanetMwenda 20 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @KinyumeAdele
    @KinyumeAdele 20 วันที่ผ่านมา

    Ma shetani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @perufamily6941
    @perufamily6941 19 วันที่ผ่านมา

    Mafanikio ya kishetani

  • @DeborsJoseph
    @DeborsJoseph 19 วันที่ผ่านมา

    Martha songa mbele achana na kelele za chura

  • @KinyumeAdele
    @KinyumeAdele 20 วันที่ผ่านมา

    Bongo sensibilisation ya franga🇨🇩🇨🇩🇨🇩 . Tuko nguvu ku polémique

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 20 วันที่ผ่านมา +1

    Msagaji amekua nabii Tena

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 18 วันที่ผ่านมา

    Tunaamini c ufalme wa giza akazane sana mshenzi kabisa

  • @mmangasalum2195
    @mmangasalum2195 20 วันที่ผ่านมา +1

    Suruali tena hiyo ni balaaa

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t 20 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini vipi kuhusu hizo suruali

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 20 วันที่ผ่านมา

    Kwanza Congo wanamshangaa hawana Shida nae

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hana jeuri ya private jet

  • @EdwardOtieno-j6f
    @EdwardOtieno-j6f 20 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia upenda wakwao

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 20 วันที่ผ่านมา +2

    Huku mamako analialia njaa kama msukule mikataba ya kuzimu freemason mapepo wachafu nyie toka kwa jina la Yesu

  • @RizikiShabani-f8f
    @RizikiShabani-f8f 20 วันที่ผ่านมา +1

    💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🤐🤐

  • @FlorenceAseru-rj1fv
    @FlorenceAseru-rj1fv 20 วันที่ผ่านมา

    Earth is hard!!

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 20 วันที่ผ่านมา +1

    Huenda akawa free mason

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 20 วันที่ผ่านมา +1

    SHETANI ANAMSIMAMIA.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 20 วันที่ผ่านมา

    Bado sijashawishika.Bado kiroho yupo nyuma.

  • @joshuamatagane
    @joshuamatagane 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ujinga mtupu, kwa hiyo ukiwa na umati wa watu ndiiyo una Mungu?? Hivi umtelekeze Mama yako useme una Mungu??
    Muda utaamua....

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hatushangai. ndiyo kawaida ya FreeMason na wafuasi wao.

  • @EstherCharo-lc3md
    @EstherCharo-lc3md 20 วันที่ผ่านมา

    Sasa amevaa nini surely

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna Mungu hapo. Mbona hata Stephen Kanumba alizikwa hivyo hivyo. Mimi nilihudhuria mazoshi ya Kanumba Leaders Club na nikasikia sauti ondoka hapa kwenye msiba. Nikaondika leaders. Baadaye sana nikasikia Kanumba alikuwa FreeMason. Na waliohusika kuchukua Kanumba wapi Sasa wameokoka mfano Mchungaji Amiel Katekela aliyekuwa akiiahi kuzimu. Fuatilieni shuhuda zake Promover TV

  • @philip788
    @philip788 20 วันที่ผ่านมา

    Propaganda zipo nyingi kwenye hii dunia.

  • @FrolideNiyomwungere
    @FrolideNiyomwungere 21 วันที่ผ่านมา

    Hatujamukataa wakwetuo

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 20 วันที่ผ่านมา +2

    Msagaji amekua nabii Tena