Tafuta Daima Utakatifu- Tenzi Na 13 Instruments

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Tafuta Daima Utakatifu- Tenzi Na 13 Instruments na lyrics.
    Tafuta daima utakatifu
    1. Tafuta daima utakatifu;
    Fanya urafiki na Wakristo tu;
    Nena siku zotena Bwana wako,
    Baraka uombe kwa kila jambo.
    2. Tafuta daima utakatifu;
    Uwe peke yako ukimwabudu;
    Ukimwangalia mwokozi wako,
    Utabadilishwa kama alivyo.
    3. Tafuta daima utakatifu;
    Kiongozi wako aew Yesu tu;
    Katika furaha au huzuni
    Dumu kumfuata Yesu Mwokozi.
    4. Tafuta daima utakatifu;
    Umtawaze Roho moyoni mwako;
    Akikuongoza katika haki,
    Hufanywa tayari kwa kazi yake.
    #instrumental #taketimetobeholy #sunday #god #gospel #trending #tz

ความคิดเห็น •