ความคิดเห็น •

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART วันที่ผ่านมา

    Kwani yy ndio alimuuwa,hebu wa mwache African princess wetu,hivi watu wasifanye yao,kila mtu atakufa 😢

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq วันที่ผ่านมา

    WaTz tuache hayo. Nandy naye ni mtafutaji alishaingia mikataba na gharama za hii shughuli muda mrefu. Maisha yanaendelea jamani. Kwa nini mnamvaa Nandy mnamuacha Diamond na wengine ambao hawakuwepo msibani. Wivu unawatia hasira na utawapandisha presha na sukari. Kuwa msibani ni majaliwa. Haiwezekani kila mtu aache kila kitu kuhudhuria misiba.