CLEMENT MADINDA MSHINDI UCHAGUZI UVCCM MKOA SHINYANGA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2022
  • Mkutano mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Shinyanga umemchangua Clement Osward Madinda kuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa huo baada ya kupata kura 240 huku akiwashinda washindani wake Pius Mwandu ambaye amepata kura 153 huku Jackiline Ndombile akipata kura 11.
    Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Lupakisyo Kapange amesema wajumbe walioshiriki katika uchaguzi huo walikuwa 413 kutoka wilaya za Kahama,Shinyanga na Kishapu walioshiriki katika kuwachagua viongozi hao.
    #shinyanga
    #habarizahivipunde #uchaguzishinyanga
    #ccm
    #uvccmtaifa
    #uvccm
    #ikulu
    #habari
    #uchaguzi

ความคิดเห็น •