@ Mariejo 123..hujui kitu na huna elimu juu ya mambo haya.Gozbert alipopiga magoti baada ya kupewa gari na Devi kumuwekea mikono began, pale bahati yake ndio imeondoka.
Hajaibiwa nyota na mtu yoyote, mwenyewe kajichanganya na wamataifa na anebadilika mwambie arudi kwenye madhabahu sahii. Msisingizie watu hau kutafuta kiki kuptia majina ya wanaojitajidi kimaisha na imani 😅😂😅😂

Kwanza jodevi achukuwe nyota ana nini jodevi yuko vizuri kimaisha
Hajaibiwa nyota na mtu yoyote, mwenyewe kajichanganya na wamataifa na anebadilika mwambie arudi kwenye madhabahu sahii. Msisingizie watu hau kutafuta kiki kuptia majina ya wanaojitajidi kimaisha na imani 😅😂😅😂
Acheni uhuni fanyeni kazi kulingana na usomi wenu kama haujasomea kazi fulani ishi kulingana na uwezo wako,nyota ni kitu gani na maisha ni nini?!!