Kuna jambo mimi siwaelewi ninyi mnaojiita wakristo, ni hivi, ukiona mtumishi wa Mungu labda kuna mahali amekengeuka na kufanya jambo ambalo haliendi na mapenzi ya Mungu, au anashambuliwa na wengi kwa tuhuma nyingi mbaya ujue huyo sio yeye anayepigwa bali linapigwa kanisa la Mungu. Na kanisa ni mimi na wewe ambao tunaomtegemea kristo, maana yake unapigwa wewe na mimi na huyo anayetuhumiwa maana huyo ameibeba dhamana ya kulitumikia kanisa. Hivyo acheni kusemana neno la Mungu linasema tubebeane mizigo yaani tuombeane na sio unaona mtumishi flani kafanya hiki basi na wew inakuwa faida kwako kwa kupigilia msumari kwa kuzidi kumsema vibaya....ombea kanisa la Mungu ili lisimame ili shetani asizidi kutupiga umapomsema vibaya mtumishi wa Mungu unaungana na shetani kulididimiza kanisa la Mungu kwa maana nyingine hata ww mwenyewe unajididimiza . Hakuna aliyemkamilifu mbele za Mungu hata huyo mtumishi wa Mungu unayemsema yuko kama ww tu,. Tujiulize ni kwanini Kristo alikubali kufa pale msalabani, ni kwa sababu sisi wanadamu letu moja, hatuwezi kusimama wenyewe bila Mungu. Hivyo niwaombe aheni haya
Kama mtu anapotosha hadharani lazima apingwe pia hadharani ili wale walio potoshwa na injili yake wasikie na warejee katika njia sahihi Kwa Mungu tunachojali ni roho ziokolewe haijalishi AIBU
Mtumishi Kapola ukiona hayo jua shetani anapata cha moto.wee nyuka pamba nunua na cheni za dhahabu vaa pendeza na mke wako. Hubiri neno watu wazima na vijana tunakupenda sana.KAZI YA MUNGU IENDELEE.
Natamani akina kulola wangerudi Duniani waone kinachoendelea!! Mmmhhh hatukuyaona haya walihubiri Yesu na Uweza wa Mungu lakini Leo sijui tunalishwa Nini hiki! Ee Yesu tusaidie
@@malkiarosemuhando3310 don't judge you will be ashamed when you see people possessing and remember Kila MTU ana Imani na Kila mtu Ako vitani ww jiulize YESU akija sasa utakuwa upande Gani, and the TYM you are talking to type use that TYM to tell GOD to change pastor kapola if you see he is not the true pastor
Brother kwa nn mnalaumu utumishi wa mwingine hivyo kwa nn usimwambie Yeye binafsi sasa unasema tena mtandaoni yaan brother unaonekana wew n mchanga San kiroho
Mungu akisema na mtu kwa ajili ya mwingine maana yake wewe uliyepewa kamwambie mhusika sio useme kwenye mitandao. Huo sio utumishi wa Mungu wa kweli. Halafu mbona unahubiri badala ya kumwambia aache?. Mnaongeza lakini hamuwaambii wahusika ?. Mungu snawapenda wote na hivyo huwakemea ili wapate kutubu sasa Mungu wenu huyo asiyerejesha Ila kuongea ubaya tu huyo ni Mungu anawaonyesha kweli. Hata wewe ni fungu hilo hilo tu. Mungu asikuonyeshe maisha yako anawaonyesha ya wengine tu. Mmmmh.
Ulivo ona ndivyo ilivo nilioneshwa mambo yake nilishangaa sana kila kitu anachofanya ni feki hata hayo mabusu na mke wake ni feki hawako ivo ndani yao kuna siri kubwa
Huyu kijana sio kabisa ameiingia kwenye kundi la shetani, hubiri yake matendo yake (kubusiana) madhabahuni, uvaaji usiofaa kama mtumishi, manneno yake ukitafakari tu unajiwa huyu sio wa Mungu
PIGA INJILI KAKA, ACHANA NA WATUMISHI WA MUNGU. KAMA NI WATUMUSHI WA UONGO WAKO WENGI SANA, NA KITAKACHOWAOKOA WATU NI NENO PEKEAKE. KUWASEMA HADHARANI, HAKUFANYI WATU WASIENDE, NA HAKUFANYI KUMSHUSHA MTUMISHI WA MUNGU. Tutoke huko, Tupige injili kaka, tumeitiwa hiyo pekee. Marko 16 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹⁵ Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. ¹⁶ Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Nimeona nichangie nilicho kiona Mimi ilikuwa mwezi wa 10 niliota ndoto vijana wengi wamepanga mstari wakisalimiana na uyo tonny ila Cha ajabu walikuwa wanasalimiana Kwa kukisi alafu wote ni WA Kiume,nikawa nashanga a ,niljaribu kuwakataza wale wengine maana nilipata ufunuo umo umo kwenye ayo MAONO ya kwamba ukikubali hata kupeana mkono na kukisi utakubali tu , lkn wakawa awanielewi, yeye mwenyewe akawa anasema mbona ni jambo la kawaida tu. Nikastuka baada ya Siku 3 ndo nikaona mtandaoni msanii wa mziki Harmonize ameenda kanisani kwake. Ila nnapo Iona sura ya uyu JAMaa au namna anavyo ongea naisikia hasira Ndani yangu sio ya wivu bali roho mtakatifu anaugua Ndani yangu. NIMEISEMA HII NDOTO NI KWA SBB ULICHO ONA KINAFANANA NA NILICHO KIONA. WANAONA WIVU WAENDELEE KUAMINI KUWA NI WIVU ILA HABARI NDO IYO
Kuna jambo mimi siwaelewi ninyi mnaojiita wakristo, ni hivi, ukiona mtumishi wa Mungu labda kuna mahali amekengeuka na kufanya jambo ambalo haliendi na mapenzi ya Mungu, au anashambuliwa na wengi kwa tuhuma nyingi mbaya ujue huyo sio yeye anayepigwa bali linapigwa kanisa la Mungu. Na kanisa ni mimi na wewe ambao tunaomtegemea kristo, maana yake unapigwa wewe na mimi na huyo anayetuhumiwa maana huyo ameibeba dhamana ya kulitumikia kanisa. Hivyo acheni kusemana neno la Mungu linasema tubebeane mizigo yaani tuombeane na sio unaona mtumishi flani kafanya hiki basi na wew inakuwa faida kwako kwa kupigilia msumari kwa kuzidi kumsema vibaya....ombea kanisa la Mungu ili lisimame ili shetani asizidi kutupiga umapomsema vibaya mtumishi wa Mungu unaungana na shetani kulididimiza kanisa la Mungu kwa maana nyingine hata ww mwenyewe unajididimiza . Hakuna aliyemkamilifu mbele za Mungu hata huyo mtumishi wa Mungu unayemsema yuko kama ww tu,. Tujiulize ni kwanini Kristo alikubali kufa pale msalabani, ni kwa sababu sisi wanadamu letu moja, hatuwezi kusimama wenyewe bila Mungu. Hivyo niwaombe aheni haya
Kama mtu anapotosha hadharani lazima apingwe pia hadharani ili wale walio potoshwa na injili yake wasikie na warejee katika njia sahihi
Kwa Mungu tunachojali ni roho ziokolewe haijalishi AIBU
Sahivi ukitaka kutrend mtaje mtumishi WA Mungu kapola
wewee ni mtumishi kwelii
Mtumishi Kapola ukiona hayo jua shetani anapata cha moto.wee nyuka pamba nunua na cheni za dhahabu vaa pendeza na mke wako. Hubiri neno watu wazima na vijana tunakupenda sana.KAZI YA MUNGU IENDELEE.
Natamani akina kulola wangerudi Duniani waone kinachoendelea!! Mmmhhh hatukuyaona haya walihubiri Yesu na Uweza wa Mungu lakini Leo sijui tunalishwa Nini hiki! Ee Yesu tusaidie
@@malkiarosemuhando3310 don't judge you will be ashamed when you see people possessing and remember Kila MTU ana Imani na Kila mtu Ako vitani ww jiulize YESU akija sasa utakuwa upande Gani, and the TYM you are talking to type use that TYM to tell GOD to change pastor kapola if you see he is not the true pastor
Nendenizenu uko na wivu na huduma ya wenzenu!!kazi ya hukumu niya Mungu pekeake!!mweye ni Wivu na husda inawaja sana
Sema kaka ,Hawa wachungaji wanajikutaga sana ni wamarekani ukiwauliza eti wanasema mungu anatazama roho na si mwili
@@JamaRamadhan 𝙒𝙖𝙣𝙖𝙨𝙖𝙝𝙖 𝙆𝙪𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙉𝙞 𝙃𝙚𝙠𝙖𝙡𝙪 𝙇𝙖 𝙍𝙤𝙝𝙤 𝙈𝙩𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞𝙛𝙪
Brother kwa nn mnalaumu utumishi wa mwingine hivyo kwa nn usimwambie Yeye binafsi sasa unasema tena mtandaoni yaan brother unaonekana wew n mchanga San kiroho
Mungu akisema na mtu kwa ajili ya mwingine maana yake wewe uliyepewa kamwambie mhusika sio useme kwenye mitandao. Huo sio utumishi wa Mungu wa kweli. Halafu mbona unahubiri badala ya kumwambia aache?. Mnaongeza lakini hamuwaambii wahusika ?. Mungu snawapenda wote na hivyo huwakemea ili wapate kutubu sasa Mungu wenu huyo asiyerejesha Ila kuongea ubaya tu huyo ni Mungu anawaonyesha kweli. Hata wewe ni fungu hilo hilo tu. Mungu asikuonyeshe maisha yako anawaonyesha ya wengine tu. Mmmmh.
@@KusayaDismas-d8d 𝙋𝙪𝙣𝙜𝙪𝙯𝙖 𝙈𝙖𝙝𝙖𝙗𝙖 𝙆𝙬𝙖 𝘽𝙞𝙣𝙖𝙙𝙖𝙢𝙪 𝙇𝙚𝙤 𝙉𝙞𝙢𝙚𝙨𝙞𝙢𝙖𝙢𝙖 𝙆𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙉𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝘼𝙣𝙜𝙪𝙠𝙖 𝙈𝙪𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙉𝙖 𝙈𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝘼𝙣𝙖𝙮𝙚 𝙆𝙬𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙎𝙖𝙬𝙖 𝙉𝙖 𝙉𝙚𝙣𝙤 𝙇𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙏𝙖𝙩𝙞𝙯𝙤 𝙉𝙚𝙣𝙤 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙨𝙤𝙢𝙞 𝙃𝙖𝙩𝙖 𝙈𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝘼𝙣𝙖𝙥𝙤𝙠𝙬𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙉𝙟𝙚 𝙔𝙖 𝙉𝙚𝙣𝙤 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙟𝙪𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙔𝙖 𝙆𝙪𝙠𝙤𝙨𝙖 𝙐𝙛𝙖𝙝𝙖𝙢𝙪 𝙒𝙖 𝙉𝙚𝙣𝙤 𝙇𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙎𝙞𝙨𝙞 𝙏𝙪𝙢𝙚𝙢𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙃𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙈𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙃𝙚𝙠𝙞𝙢𝙖 𝙉𝙖 𝙐𝙛𝙖𝙝𝙖𝙢𝙪 𝙒𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙆𝙪𝙩𝙪𝙡𝙞𝙠𝙤 𝙉𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙆𝙖𝙢𝙬𝙖𝙢𝙗𝙞𝙚 𝙃𝙞𝙠𝙞 𝙏𝙪𝙡𝙞𝙘𝙝𝙤 𝙎𝙚𝙢𝙖
Kama ivyo ndivyo Bwana amonavyo bisi tupige nini na kama sivyo bwana aonavyo basi bwana. Mwenyewe na. Alipige mwenyewe
Mbingu ni kazi tutaingia kwa neema Mungu ayupo kama mimi Mungu ni WA rehema san
@@carolinamponji4294
𝙈𝙗𝙞𝙣𝙜𝙪𝙣𝙞 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙞𝙣𝙜𝙞𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙉𝙚𝙚𝙢𝙖 𝙏𝙪𝙣𝙖𝙤𝙠𝙤𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙏𝙪 𝙆𝙬𝙖 𝙉𝙚𝙚𝙢𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙈𝙗𝙞𝙣𝙜𝙪𝙣𝙞 𝙏𝙪𝙣𝙖𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙆𝙬𝙖 𝙈𝙖𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙈𝙚𝙢𝙖
Kama mungu alikuonyesha mbona ukuenda kumuelezea yeye kama ananjia za giza leave him alone God will judge him not you
Wewe ndiyo kubwa Acha uongo wewe ndiyo maana unatetemeka
Ukosawa kabisa sasa kama mungu anaona tofauti na wanadamu,BC hatawewe unavyo muona nitofauti na mungu anavyo muona
What is this???????
Ulivo ona ndivyo ilivo nilioneshwa mambo yake nilishangaa sana kila kitu anachofanya ni feki hata hayo mabusu na mke wake ni feki hawako ivo ndani yao kuna siri kubwa
Hiyo ni kweli kabisa,q watumishi feki, we angalia tu hata matendo yake, unachekelea tu kumbe unaingizwa chaka
Huyu kijana sio kabisa ameiingia kwenye kundi la shetani, hubiri yake matendo yake (kubusiana) madhabahuni, uvaaji usiofaa kama mtumishi, manneno yake ukitafakari tu unajiwa huyu sio wa Mungu
Unaharibia watu bundles
PIGA INJILI KAKA, ACHANA NA WATUMISHI WA MUNGU.
KAMA NI WATUMUSHI WA UONGO WAKO WENGI SANA, NA KITAKACHOWAOKOA WATU NI NENO PEKEAKE.
KUWASEMA HADHARANI, HAKUFANYI WATU WASIENDE, NA HAKUFANYI KUMSHUSHA MTUMISHI WA MUNGU.
Tutoke huko, Tupige injili kaka, tumeitiwa hiyo pekee.
Marko 16 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
¹⁶ Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
@@ministerpetermchalo8079 𝙉𝙞𝙢𝙚𝙠𝙪𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙆𝙖𝙠𝙖 𝙞𝙡𝙖 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙬𝙖𝙨𝙚𝙢𝙞 𝙃𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙆𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙔𝙖 𝙆𝙪𝙩𝙖𝙠𝙖 𝙆𝙪𝙬𝙖𝙗𝙖𝙙𝙞𝙡𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙄𝙡𝙖 𝙏𝙪𝙣𝙖𝙬𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙆𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙔𝙖 𝙒𝙖𝙡𝙚 𝙒𝙖𝙣𝙖𝙤 𝙒𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙒𝙖𝙠𝙞𝙙𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙆𝙪𝙬𝙖 𝙉𝙞 𝙒𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙒𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙞𝙡𝙞 𝙒𝙖𝙟𝙪𝙚 𝙆𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙃𝙖𝙤 𝙎𝙞𝙤 𝙒𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙒𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙞𝙡𝙞 𝙒𝙖𝙨𝙞𝙟𝙚 𝙆𝙪𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙠𝙪𝙟𝙪𝙖 𝙒𝙖𝙡𝙖 𝙃𝙖𝙩𝙪𝙠𝙪𝙖𝙢𝙗𝙞𝙬𝙖
@MOTOWAINJILITV Amina Mtu wa Mungu.
Yesu azidi kukutumia katika utumishi wako.
@ministerpetermchalo8079 𝘼𝙢𝙞𝙣𝙖 𝙆𝙖𝙠𝙖
Kwani wewe pastor wewe ni una jiona upo perfect sana au?
𝙐𝙠𝙞𝙤𝙣𝙖 𝙏𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙈𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙃𝙖𝙯𝙖𝙡𝙖𝙣𝙞 𝙐𝙟𝙪𝙚 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝘼𝙢𝙚𝙧𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝙏𝙪𝙨𝙚𝙢𝙚 𝙏𝙪𝙣𝙖𝙘𝙝𝙤𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙃𝙪𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝘼𝙢𝙚𝙢𝙪𝙤𝙣𝙮𝙖 𝙎𝙖𝙣𝙖 𝙆𝙬𝙖 𝙉𝙙𝙤𝙩𝙤 𝘼𝙪 𝙃𝙖𝙩𝙖 𝙆𝙬𝙖 𝙆𝙪𝙢𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙒𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙒𝙖𝙠𝙚 𝙄𝙡𝙖 𝙈𝙪𝙝𝙪𝙨𝙞𝙠𝙖 𝙃𝙖𝙚𝙡𝙚𝙬𝙞 𝘼𝙥𝙤 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝘼𝙣𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 𝙒𝙖𝙩𝙪 𝙒𝙚𝙣𝙜𝙞𝙣𝙚 𝙄𝙡𝙞 𝙒𝙖𝙢𝙬𝙚𝙠𝙚 𝙃𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙉𝙖 𝘼𝙠𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙒𝙚𝙠𝙬𝙖 𝙃𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖𝙣𝙞 𝘽𝙖𝙨𝙞 𝙐𝙟𝙪𝙚 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝘼𝙣𝙖𝙩𝙖𝙠𝙖 𝘼𝙠𝙪𝙤𝙠𝙤𝙬𝙚 𝙒𝙚𝙬𝙚 𝙐𝙣𝙖𝙮𝙚 𝙈𝙪𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙄𝙡𝙞 𝙐𝙟𝙪𝙚 𝙃𝙪𝙮𝙤 𝙎𝙞𝙤 𝙈𝙩𝙪𝙢𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙒𝙖𝙠𝙚 𝙄𝙡𝙞 𝙐𝙞𝙤𝙠𝙤𝙚 𝙍𝙤𝙝𝙤 𝙔𝙖𝙠𝙤 𝙆𝙬𝙖 𝙆𝙪𝙟𝙞𝙩𝙚𝙣𝙜𝙖 𝙉𝙖𝙮𝙚 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝘼𝙬𝙖𝙗𝙖𝙧𝙞𝙠𝙞 𝙎𝙖𝙣𝙖
Nimeona nichangie nilicho kiona Mimi ilikuwa mwezi wa 10 niliota ndoto vijana wengi wamepanga mstari wakisalimiana na uyo tonny ila Cha ajabu walikuwa wanasalimiana Kwa kukisi alafu wote ni WA Kiume,nikawa nashanga a ,niljaribu kuwakataza wale wengine maana nilipata ufunuo umo umo kwenye ayo MAONO ya kwamba ukikubali hata kupeana mkono na kukisi utakubali tu , lkn wakawa awanielewi, yeye mwenyewe akawa anasema mbona ni jambo la kawaida tu. Nikastuka baada ya Siku 3 ndo nikaona mtandaoni msanii wa mziki Harmonize ameenda kanisani kwake. Ila nnapo Iona sura ya uyu JAMaa au namna anavyo ongea naisikia hasira Ndani yangu sio ya wivu bali roho mtakatifu anaugua Ndani yangu. NIMEISEMA HII NDOTO NI KWA SBB ULICHO ONA KINAFANANA NA NILICHO KIONA. WANAONA WIVU WAENDELEE KUAMINI KUWA NI WIVU ILA HABARI NDO IYO
@barakasoso1614 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙒𝙖 𝙈𝙗𝙞𝙣𝙜𝙪𝙣𝙞 𝘼𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙚 𝙆𝙪𝙠𝙪𝙛𝙪𝙣𝙪𝙡𝙞𝙖 𝙕𝙖𝙞𝙙𝙞 𝙉𝙖 𝙕𝙖𝙞𝙙𝙞 🙏