Pamba washukuru tu wiki ijayo tuna mechi ya kimataifa wala wasijisifu kucheza vizuri kipindi cha pili kwa sababu game plan ya fadlu kuamua kuwatoa baadhi ya wachezaji na kuwapumzisha
Unyama viongozi wetu mzidi kuwaimala na timu yetu maana madui niwengi sana wakiona musimamo yani wanaotuwazia tupoteze waanze wao nawashindwe tuzidi kupambana simba nguvu moja mwanzo mwisho
Pamba wakati huo ikiitwa TP Lindanda.. Pamba ya akina Hussein Marsha, Juma Amiri "Maftah", .Nico Bambaga, Mao Mkami, James Washokera, Alphonce modest, Bitta John, magadula, fumo felician, sikumbuki kama Mbuyi Yondani Aliwahi chezea pamba baada ya reli??, Simba na Yanga zilikuwa zinalowa siku zote..!
Vikoro vinalialia sana utafikiri vitoto vilivyolelewa na bibi mda wote tunahujumiwa tunakamiwa maadui ni wengi nyokonyoko na kubebwe mmebebwa watoto walishafunga refa wa maelekezo kakataa eti faulu kipa hata hajaguswa..
Simba tubadilike Jaman. kufunga tunafunga Kwa shida hii sio Timu ya kufunga goli Moja Tena Kwa Penat Jaribuni kushut hata mkiwa mbali mbona wengi wanaweza Yani kupiga mpira Hadi muwe karibu na goli Tunataka tuone On target na Off Target Ziwe nyingi piga mpira mapema hata ukiwa mbali
Mpira wa bongo umebadilika sana,ligi yetu imekua ngumu kuliko hata clab bingwa na shilikisho ko tushukuru hata hizi point tatu tunazo pata.hizi clabu sinakamia sana
Eti matukio mhimu ya pamba hamuoneshi inaonyesha jinsi gani bado hamjakomaa kisoka kwani kuna lipi la ajabu kutoonesha matukio mhim ya pamba kama sio ushoga hata kama mmebebwa C ni kawaida yenu shida ipo wapi
Hayo matukio muhimu ya pamba watayaweka kwenye channel Yao na sio kwenye channel yetu ya Simba, alafu uache shobo wewe kwenye hii channel unatafuta nini😂
Kwanini amna anaesema kuhusu kiwango cha Awesu Awesu kwenye mechi muhimu
Maestro mwamba kabisa uyu🦁
Asante MUNGU tumepata ushindi Simba nguvu moja naipenda milele ♥️🦁🇹🇿 forever 🙏🙏
Wakwanza jamani nipeni like zangu
Simba ubaya ubwela cha msingi tupambane angalau tuvunje rekodi ya yanga final jaa bless simba 🙏❤️
Uwanja wenyewe mbovu lakin tunashukuru tumepata ushindi Simba nguvu moja 💪💪💪💪
kikubwa pt 3 mungu imbariki simba ❤❤❤
Simba bingwa 🏆🏆🦁💪💪🙏🙏
Good
Pamba washukuru tu wiki ijayo tuna mechi ya kimataifa wala wasijisifu kucheza vizuri kipindi cha pili kwa sababu game plan ya fadlu kuamua kuwatoa baadhi ya wachezaji na kuwapumzisha
Atebaaa
ni huruma za BWANA simba hatuangamii
Alhmdhulillah❤
Ewaaah tunataka highlights ndefu kama hizi co unatuwekea dakika 10
Ahsante my team ❤❤❤
Mkuu wa mkoa 😂😂😂😂😂😂
Simba tumejipanga kwalolote
Simba 1 mkuu wa mkoa 0
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama viongozi wetu mzidi kuwaimala na timu yetu maana madui niwengi sana wakiona musimamo yani wanaotuwazia tupoteze waanze wao nawashindwe tuzidi kupambana simba nguvu moja mwanzo mwisho
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💥
Ubaya ubwela
Duu mungu ni mwema tunaburudika hapa
Huyu mtoto wa anda twenty awe anaingia tukiwa tumeishapata ushindi mno kuanzia goli tatu hata huyu okejefa Mimi kiukweli hajawahi nibariki kabisa
sis tumelelewa na tabora mukarambishw asali mpk mukaham na uwanja tabor ndo wametulea sis
Nyie wachezaji wa pamba msiwe mnacheza mpaka mpewe ahadi ya hele huo sio uanasport
Tunasonga mbele❤❤
Bado tunaendelea kukaa kileleni ubaya ubwela
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Mtangazaji acha maneno ya shombo
Sijui huku kukumbatia wameambukizwa na uto
LAZIMAA TUSAJILI MAWINGA WABUNIFU NA WENYE UWEZO WA KUFUNGA, PIA NA NAMBA 10 MZURI
Kazi mnayo bado amjasema mwaka wetu
Mbona hamjaonyesha goli la mchongo pamba Jiji😆😆😆
❤❤❤
Pamba wakati huo ikiitwa TP Lindanda.. Pamba ya akina Hussein Marsha, Juma Amiri "Maftah", .Nico Bambaga, Mao Mkami, James Washokera, Alphonce modest, Bitta John, magadula, fumo felician, sikumbuki kama Mbuyi Yondani Aliwahi chezea pamba baada ya reli??, Simba na Yanga zilikuwa zinalowa siku zote..!
Hivi hata pamba ni watoto wa GSM!😢😢😢😢😢😢
Vinatoka vifaa vinaingia vifaa
Vikoro vinalialia sana utafikiri vitoto vilivyolelewa na bibi mda wote tunahujumiwa tunakamiwa maadui ni wengi nyokonyoko na kubebwe mmebebwa watoto walishafunga refa wa maelekezo kakataa eti faulu kipa hata hajaguswa..
😂😂😂😂bado haujasema ndugu sisi haooooooooo😂😂😂
Sio shida zetu pasuka utiwe ufe mwana harm weweeee
Ubayaaaaaaaaaaaaa ubwelaaaaaaaaaaaaaaaa
Ata diara, alifungwa na kibu, kengold, coastal union, singida lakini refa alikataa😂
We kundu wa jangwani umesahau wewe na kenigold vp na coastal Ile offside mbona hatuongelei au unataka kutuamxha mavuzi yetu xio😂🎉🎉
Sato ameliwa gizani pamoja ana miba
Ubaya ubwela 🎉🎉🎉😢😢
Kuna ushindi gani hapo?
Mnyama mkali lazima amkande mtuu
Wengi wao humu naona hawajui mpira cjaona koment ya maana
Mpaka mvue hiyo nembo bila hivyo mtashuka daraja
Kumbe na hawa ni ma gsm
Simba tubadilike Jaman. kufunga tunafunga Kwa shida hii sio Timu ya kufunga goli Moja Tena Kwa Penat Jaribuni kushut hata mkiwa mbali mbona wengi wanaweza Yani kupiga mpira Hadi muwe karibu na goli Tunataka tuone On target na Off Target Ziwe nyingi piga mpira mapema hata ukiwa mbali
Mpira wa bongo umebadilika sana,ligi yetu imekua ngumu kuliko hata clab bingwa na shilikisho ko tushukuru hata hizi point tatu tunazo pata.hizi clabu sinakamia sana
@@tambilainvestmenthdNi kweli ndgu angu
Bado ni UBAYA UBWELA
wasenge nyie mmekata goli la pamba
Kaliweke wewe kwani wewe sindio refa?
Kila la kheri lunyasi
Acha matusi mpira siyo vita kama ni kubebwa mbona nyie yanga/utopolo mlishabebwa sana acha fujo zako wewe?
Eti matukio mhimu ya pamba hamuoneshi inaonyesha jinsi gani bado hamjakomaa kisoka kwani kuna lipi la ajabu kutoonesha matukio mhim ya pamba kama sio ushoga hata kama mmebebwa C ni kawaida yenu shida ipo wapi
Hayo matukio muhimu ya pamba watayaweka kwenye channel Yao na sio kwenye channel yetu ya Simba, alafu uache shobo wewe kwenye hii channel unatafuta nini😂
umeitwa kwenye account ya simba 😀
Kayaonyeshe kwako kaangalie na familia kwani umelazimishwa kuangalia channel hii mfyuuuuu😢😢😢😢
@@LastbornMhengaNdo hapo ushangae anafata Nini huku na hatujamwita sisi
😂😂😂😂ubaya ubwela watajutraaaa
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Machezaji yapamba ni lafu ayajui kucheza mpira