Kila mtu naheshimiwa nakunyekewa kwa nafasi aliyo nayo,lakini usiuchukue unyenyekevu wa mtu anaekunyenyekea kuwa ni mjinga nawe ukajiona unaakili kuliko wote.
Tatzo ww ni shabiki mandazi Ndo maana ney aliwaambia kamshabikien mamaako Hapo kaongelea had kina boko na wachezaji tofauti hayupo kishabiki kaongelea kiuhalisia
Mnasema hivyo Kwa kuwa hakuna mchezo wa Simba na yanga kwa Sasa,wacha mumtenge ila ikitokea mechi ya ngao ya hisani ni Simba vs yanga muende mkamuombe radhi tena
Hahahahahaah anamkataba uyo kwani shishimbi vp
sandeewe dj mafia
Jamaaa kaongea kwa nukta sana na kwa akili sana
Mwwnye hekima atakua kamwelewa
Nc bumbuli japo mm ni simba
Sawa kaka wew ni mtani hakika
Mimi ni simba lkn kwa kweli Bumbuli umejibu maswali kistaarabu. HONGERA SANA
Bumbuli hana chengachenga 🤠🤠
Kweli uyo kimorisoni asitusumbuwe
Kiende tuuuu
Mm nimemuelewa msemaji siaendee Kam vp
Bumbuli hongera umejibu vizuri sana,tuwakuze wachezaji wetu akina bocco na akina Junior tuachane kila Sikh kumzungumzia Morrison kwani yeye kama nani?
Safi sana
io👅👅
Yanga na Nugazi angekuwa kama huyu verygood
Alipanda mipira
Sasa anawapanda YANGA KICHWANI.
True mm simba lakin Kwa Morrison kaenda wrong xna mpira haupo hivy
Wew mshabiki sahihi
Aondoke uyo mbwa koko anakuwa kama malaya bana
Umeongea poa sana mkuu
tatizo morison alijua bongo niwajinga
Atanyooka sasa hi ndo bongo
Morison hawez kukaa kwenye timu hata ushirik wa kimataifa haiwez
et nyiny simarafk zake
Achen uwongo nyie mmeshindwa nakes msjipambe hapo
tutaona ssi kma hatasajil maneno yako yatakuponza
Kila mtu naheshimiwa nakunyekewa kwa nafasi aliyo nayo,lakini usiuchukue unyenyekevu wa mtu anaekunyenyekea kuwa ni mjinga nawe ukajiona unaakili kuliko wote.
Daima mbele nyuma mwiko, achaneni na machokoraa sajilini wachezaji wenye Nidhamu, Hakuna team inayohitaji mchezaji mpumbavu
Tatizo lenu mlimkuza sana, mpanda mpira, mpanda mpira sasa naona masikio yamezidi kichwa hahahhahahaah mtakoma mwaka huu
We nae mbona ukuwa tahira. Sasa unaongea nini
Hiyo mtakuwa mmenuna bro. leo hii mnamuona hafai ? JEE SIKU YA MACHI 8 C MLIPENDA NA KUMTUKUZA
Huyu dogo anatakiwa akae benchi miaka miwili hamna kuvunja mkataba. Baada ya mkataba kwisha ndio aondoke akiwa mzee
kweli
yule chiz
aliondoka kwa kpigo
Izo dharau ili bidi alete Messi mchezaji anaye lipwa pesa ndefu Duniani sio Morrison
Acha mapovu Bumbuli, mlizidi sana kumnyenyekea na mkamfanya ajione mkubwa kuliko club, sasa ndo matokeo yake ndo hayo.
Tatzo ww ni shabiki mandazi
Ndo maana ney aliwaambia kamshabikien mamaako
Hapo kaongelea had kina boko na wachezaji tofauti hayupo kishabiki kaongelea kiuhalisia
morson anatuabsimba nawaambia hvyo
Kwanza ameshatuboa Sana aondoke2
Wakimuacha yeye atakuwa mshindi. Anatakiwa akalie benchi mpaka bukta itoboke
Yanga maneno tu
Mnasema hivyo Kwa kuwa hakuna mchezo wa Simba na yanga kwa Sasa,wacha mumtenge ila ikitokea mechi ya ngao ya hisani ni Simba vs yanga muende mkamuombe radhi tena
Acha utahira kwani wakati mnatoa sare ya 2.2 uyo morison alikuwepo?
@@mataamiry6720 utahira ndio nn,Simba ndio walitoa droo au yanga
Amepanic akijumlisha na kipigo cha simba kiongongoz unasimama mbele ya vyombo vya habari unaimba taarabu
Mlikuwa mnasema mchezaji ana panda mpira sasahivi amewapanda kichwani kumbe kichwa kinauma pole watani zangu
Nendeni mukamuombe radii arudi hamuna la kumfanya
mmemkuza sana sio hamjamkuza
kazi ya timu ni kumkuza mchezaji ila mchezaji akishakuzwa nidham ni muhimu
Huyu mjinga hajui kwamba dirisha halijafunguliwa.
We we kuz huna akili sehem anaetaka asajiliwe dirisha lipo tayar
@@mandibrochuma9062 Sehemu hiyo unaijua wewe?Tutajie hiyo sehemu?Wacha kukariri!!
Inaitwa nyoko fyuziiiiiy huko magharib kwao
Dalili za ukichaa ni kuropoka.
Nyie nao mnatapatapa mnamtaka lkn mioyo inawauma Kama mnadaiwa asiseme
Na hao wachezaj wengine waonyeshe risit mlizowalipia maandaz nyie kenge kasoro mikia nyie
Anawapanda nyinyi sasa
Umemuon wazir junior tu wa mbao