Dah😢😢 Yeni brother unacheza kivyako mziki kivyake🙄Sio kwa ubayaa lekin mujitahidi kuvaa pia location ziwe nzur Yangu nihayo tuuu🏃🏃Mungu awatanguliee❤❤🤔😢
Mkasijuma ulikuwa wataka atingishe matako ndio aende sawa na Ngoma? Yeye hivo Yuko sawa sioni kasoro kwake, labda hao wanawake ndio wamepoa sana kucheza.
Fanya bidii ulete y **mpnz mwanaidi**
Asante nlkuwa natafuta sana hii nyimbo
Aye mambo ya zam izo jamani❤❤
Dah😢😢 Yeni brother unacheza kivyako mziki kivyake🙄Sio kwa ubayaa lekin mujitahidi kuvaa pia location ziwe nzur Yangu nihayo tuuu🏃🏃Mungu awatanguliee❤❤🤔😢
2013 ulikua wapi bro. hii ni video ya huo mwaka anyway shukran sana kwa support yako na marekebisho tunayatilia maanani
Na hyo miguu humo vitini hujaiona mwenzangu😂😂😂😅
@@rukiamashaka7577 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wallah Nimechekaa kheee Achaa tu
Mkasijuma ulikuwa wataka atingishe matako ndio aende sawa na Ngoma? Yeye hivo Yuko sawa sioni kasoro kwake, labda hao wanawake ndio wamepoa sana kucheza.
Kabsa ushasema mwanamume anatakikana acheze taratibu sio kutigisha mauno kama jike❤