MIUNDOMBINU ya SERIKALI YAKAMATWA IKIHIFADHIWA KIWANDANI MKURANGA - RC KUNENGE ATOA ONYO KALI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 64

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni kwa kazi nzuri mliyoifanya naomba iwe endelevu

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 วันที่ผ่านมา +8

    Hao jamaa wanyongwe hawalitakii mema taifa letu 🇹🇿

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c วันที่ผ่านมา +6

    Hakuna mtu anaweza kuiba transfoma kama sio mfanya kazi wa tanesco muwachunguze hao

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakibanwa watawataja waliowauzia

  • @KoleYasini
    @KoleYasini วันที่ผ่านมา

    Kazi iendelee vizuri sana

  • @gabrielwence
    @gabrielwence 2 วันที่ผ่านมา +1

    Haya Magodown Yana mambo mengi sanaa.
    Inabidi iwe unafanyika ukaguzi kwa muda flani . Maana yanaficha mambo mengi sanaa

  • @Tango696
    @Tango696 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana serikali kwa kujizatiti.....good job our president samia

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mashaalalh anafanya kazi.kiya.kimya bila.kujisifu kwenye majukwaa Rais wetu Samia Saluhu Hassan

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 2 วันที่ผ่านมา +3

    Weka ndani chenzkabisa

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kaz nzur

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 วันที่ผ่านมา +2

    TAIFISHEN KIWANDA HICHO

  • @TheJovins
    @TheJovins วันที่ผ่านมา

    Uchaguzi tupoooo 😅😅😅

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 วันที่ผ่านมา +3

    Wareteni huku,saudia hao,washugulikiwe hadharani,wakate vichwa,hao wanatupa umazikini.. tanzania.wahuyujumu uchumi,walipe grama zote,hicho kiwanda,kufungwe.

  • @SungwaFrancis-sx1ls
    @SungwaFrancis-sx1ls 2 วันที่ผ่านมา +5

    Hao ndio wanaitwa wawekezaji!! Tanzania imegeuzwa kuwa shamba la Bibi.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 วันที่ผ่านมา

      Poor brain

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mjinga wewe unachojuwa kukosoa Serekali ya Mama Samai kisa udini wako mpuuzi wewe kajifunze kuchamba na kuoga janaba kwanza

    • @MAGARITanzania
      @MAGARITanzania วันที่ผ่านมา +2

      Wawekezaji hawa wa viwanda aliwaleta mzee baba leo analaumiwa mama samia, ukweli tunaujua mama kamata wote wababaishaji waliimgia wengi sana kujifanya wajenga viwanda.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 วันที่ผ่านมา

      @@MAGARITanzania maneno kunte kabisa

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 วันที่ผ่านมา +1

      @@MAGARITanzania Mama anachinjia baharini tu kisha kimya kimya kwa wajinga kama hao hajitangazi.kwenye majukwqa yeye anafanya kazi bila kutafuta sifa kwenye majukwaa

  • @victorramsey7244
    @victorramsey7244 วันที่ผ่านมา

    wapigwe risasi hao niwashenzi sanaaa

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา +1

    WEWE MAMA HUKO HAPO BY MISTAKE LAKINI CC ATUKUTAMBUI

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 2 วันที่ผ่านมา +1

    😊Kuna ushurikiano hapo...hata kichaa hawezi sogelea transformer

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 2 วันที่ผ่านมา +4

    Ndugu mwandishi nipe namba ya mkuu wa wilaya nimjaze moto vizuri hapo ni wakuwanyanganya kiwanda na kukiuza pesa zifidiwe kwa idara zilizo pata hasara halafu ni kodi za watanzania maana serikali Haina pesa bila sisi wananchi

    • @edithandunguru3405
      @edithandunguru3405 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Meipenda hii. Hakika wanastahili kunyonywa macho

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    WATANZANIA TUJIULIZE HUYU MAMA ANATUIBIA SANA ANAFANYA MAMBO YA HOVYO

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 วันที่ผ่านมา +1

    Wafanyakazi wa Tanesco ndiyo wanajua umeme upoje hapo kwenye transformer

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani วันที่ผ่านมา

    Yaani Hata sauti ya Hawa watu wa serikali inawaumbua hawaonyeshi hata uchungu kama ilivyokuwa kwa magufuli.
    Ila tu yule mhusika wa Tanesco alionyeaha kukerwa .

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 วันที่ผ่านมา

    Wanashirikiana na wafanyakazi wa tanesco
    Samia alishawapa ruhusa kuwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake 😢😢😢
    Inabidi samia ayafute hayo maneno yake kuiokoa nchi

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 2 วันที่ผ่านมา +1

    SERIKALI INATAKIWA KUONYESHA MFANO KWA ATAKAE HUJUMU UCHUMI....

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    MAMA SAMIA AKUNA ATA SIKU MOJA KACHANGISHA. KAMA JPM

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    KWA NINI JPM ALIKUA ANAPITISHA KIKAPU NA MAENDEREO TUNAYAONA TUNATOA NA CC TUNSPATA LAKINI HUYU MAMA AFANYI KWA SABABU YA MWIZI

  • @johncamara-bp2lv
    @johncamara-bp2lv 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bila sheria kali uwizi utabaki pale pale

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    WANAIBA TUU HASA YULE MAMA ANSJISIKIA HAIBU KWA WIZI ANAOFANYA

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 วันที่ผ่านมา

    Watanzania kwa vizi ni kiboko jamani.

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 วันที่ผ่านมา

    Serekari iweke utaratibu wa kukagua kira godouni yaripo tanzania yanafanya kazi gani nawaingie kwa nzani Wataonamambo mengi

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    AWA CCM WANAJIFANYA WAJANJA GODAUNI LAO ETI NDUGU ZETU

  • @jamesmtewa-g8s
    @jamesmtewa-g8s วันที่ผ่านมา

    Nizalau kubwa sana kwataifa watu kuiba mbaka wana jenga viwanda veranda vina

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    RAIS ATUMTAKII FISADI KIPINDI CHOTE HAMKUONA? GODAUNI LENU HILO

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kila jambo linamwisho wake

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 วันที่ผ่านมา

    Wafungwe mpaka wafie jela shenzi zao

  • @KoleYasini
    @KoleYasini วันที่ผ่านมา

    Tatizo utasikia ushaidi hujakamilika.

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 วันที่ผ่านมา

    Kiwanda kitaifishwe kama magari yanayo beba wahamiaji haramu

  • @memesnamatukiomuhimu8453
    @memesnamatukiomuhimu8453 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ya viwanda😂😂😂

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    WATANZANIA TUAMKE TUNAONGOZWA NA WEZI MAJAMBAZI MAFISADI

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    WEWE MAMA ULICHOIBA KINATOSHA ENOUGH TUPISHE TUMCHAGUE MWINGINE UNATULAZIMISHA TUKUPENDE

    • @edithandunguru3405
      @edithandunguru3405 วันที่ผ่านมา

      Una ushahidi kuonyesha ni mama? Kwanza mama yupi? Isijekuwa tunazungumzia mama wawili tofauti

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    WEWE WENZENU GANI? WAKATI GODAUNI LENU,

  • @shabansalum1848
    @shabansalum1848 2 วันที่ผ่านมา

    Anzenikuchunguza mafundi wenu mwanachi wa kawaida hawezi kuiba mafundi walipwe..vzri wasiwena tamaa ya kuiba

  • @twahahamisi9924
    @twahahamisi9924 2 วันที่ผ่านมา

    Ukisikia transfoma limibwa wooote tunajua alie iba ni tanesko wenyewe

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona ilo eneo la libinafishwe hapo Kuna zaidi ya billion 3 za wizi kwa picha iliyopo ni Bora kiwanda kibinafishwe rasmi

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    ETI KIPINDI CHA UCHAGUZI NDIO WANAONA

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakamatwe, washitakiwe kwa uhujumu uchumi, wafilisiwe. Aidha, wawataje wanaowauzia hivyo vitu. Suluhisho zifungwe camera za kutosha katika miundombinu hiyo yote pia wanajeshi waingie katika ulinzi. Tumechoka kubenbelezana eti ni wawekezaji kumbe ni washenzi wamekuja kutuhujumu!! Hao kwao huwa wanawaua

  • @ThekingBuddar
    @ThekingBuddar วันที่ผ่านมา

    GODAUNI LENU HILO WACHENI UJANJA

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 วันที่ผ่านมา

    SASA APO SEREKARI TUNAWAOMBA UYU AWE MUFANO KWA WENGINE

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 วันที่ผ่านมา

    Waliuziwa na nani kama sio watumishi wa uma wanao wauzia kamateni hao na watumishi wote wa serikali wanao husika katika ofisi zote ambazo zinahusika katika vifaa nyote vilivyo hapo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 วันที่ผ่านมา +2

    hao ni wahujumu uchumi,jpm angekuwepo wangejuta!!

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 2 วันที่ผ่านมา +2

      YANI NAPATA HASIRA YANI ANGEKUEPO SIJUI KWA KWELI MUNGU MREHEMU WATU WAMEJISAU SANA

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 2 วันที่ผ่านมา

      @@kilimanjarotv255hamna wanajizima data tu

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 2 วันที่ผ่านมา

      Hawa wanaupole wakipumbavu sanaaa.

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 วันที่ผ่านมา

    Utafutwe.mtandao wote maana hakuna wizi mkubwa kama huo bila kushirikisha watu wa vyombo vya usalama hivyo pia kuna baadhi ya wasimamizi wa Nchi si waaminifu wanashirikiana na hao wahujumu uchumu

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 วันที่ผ่านมา

    Serikali ya Tanzania. Ndo chanzo cha watu kuiba miundombinu. Tuna madini ya copa kila sehem shida hamtoi vibari watu wakachimba. Ndo mana wanaiba