Karamu ya mafunza siye...mambo yazidi kuwa matamu kwao...bonge la bibi kimeletwa..njooni huku tulimege...wembaba;mabasmati ni watamu sana.....😂😂😂😂 Allah azidi kukurehemu sheikh Bado tuna tunu uliotuachia.Allah akuzidishie kupitia Kwa tunu hii..... Ameeeeeeeeeen
Alhamdulilah nimefaidika fii dunia wal Akhera.Allah akujaze Kheir.
Allah akupe Nuru kaburini na akuzidishie sadaka Kwa Kila anaesikiza mawaidha yako
Alhamdulilah umeacha athari namuomba Allah ajaliye iwe ni sababu yakukuridhia
Pumzika Kwa amani shekh nyundo.
Ya Allah mrehemu shehe nyundo Ameen
Ameen
Alla alitie Nuru kaburi la shekh nyundo
Allah akulaze mahala pema shekhee nyundo
Aameen
Allah akurehemu
Allah Akurahamu akusamehe madhambi yako
Bonge la meneja...njooni 😂😂😂😂😂😂
Allah akurehemu sheikh.
Nathamini sana mafunzo yako hata Kwa mauti yako.
Allah akurehemu shekh nyundo 🤲
Amiin yarrab
Allah akujalie kauri thabit sheikh Nyundo
Mungu tusamehe makosa ytu
hujatosheka na hiyo ngoma🤕🤕🤕🤕
Karamu ya mafunza siye...mambo yazidi kuwa matamu kwao...bonge la bibi kimeletwa..njooni huku tulimege...wembaba;mabasmati ni watamu sana.....😂😂😂😂
Allah azidi kukurehemu sheikh
Bado tuna tunu uliotuachia.Allah akuzidishie kupitia Kwa tunu hii..... Ameeeeeeeeeen
Hakika dada unamfatiliy sana sheikh Nyundo Allah akulipe heri na akujaalie uwe unafata mafundisho ya dini ya kiislam
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu
Maashallah jazakhumallah
Allah kupe pepo
Allah akurehemu 😅
Ameen
Hakuna kama ww
Inalihi wainalilah rajiuni
Mungu tusamehe makosa ytu