104 strokes uuuf madness na kwani nani alikula ana count hizo viboko hangeweza kusaidia huyo mtoi, hao walimu wengine wa hiyo shule walikua wapi,like it doesn't mek sense walikua Wana watch tu spectators mtoi akiuliwa ama ,alafu wanajua ku deal na aftermath,huyo mtoi ameumia all round be it physically psychotically name it ,watu wengine cjui ni akili wako nazo ama ni decorations zko tu ndio mwili ukue complete,huyu c mwalimu huyu ni assassin bana 💔🤯
Na by the way ndo achape huyu mtoi 104 strokes,walimu wengne walkuwa wapi!!!!yani nobody saw him!!!!ama that school hivo ndo hao hutreat watoi!!!! something ain't right in that school...
104 Stokes to a 9yr old.. that's Cruel man 😢😢..
104 strokes uuuf madness na kwani nani alikula ana count hizo viboko hangeweza kusaidia huyo mtoi, hao walimu wengine wa hiyo shule walikua wapi,like it doesn't mek sense walikua Wana watch tu spectators mtoi akiuliwa ama ,alafu wanajua ku deal na aftermath,huyo mtoi ameumia all round be it physically psychotically name it ,watu wengine cjui ni akili wako nazo ama ni decorations zko tu ndio mwili ukue complete,huyu c mwalimu huyu ni assassin bana 💔🤯
Omera mwalimu..teach and go home...which word is ambiguous hapa
Huyo ni mchawi
Watu hubeba shida zao za nyumbani wanapeleka shule. Funga yeye.
Fungeni yeye.hii sio
Anyongwe huyo
😮 huyu kwani Hana watoi coz 9yrs surely hizo strokes zote ....angekuwa wangu angeona wazimu
Na by the way ndo achape huyu mtoi 104 strokes,walimu wengne walkuwa wapi!!!!yani nobody saw him!!!!ama that school hivo ndo hao hutreat watoi!!!! something ain't right in that school...
Teachers like these ones are supposed kushughulikiwa na mob kidogo,wamchape uchi kumfunza lesson,nkt
Afungwe ata bila trial shenzi sana
Let's learn to contain and manage our anger issues,now see what has happened,sad
Kidogo sanaaa😂😂😂😂
Afungwa kabisa
Afungewe license yake na asifunge school
ATA huyo c mwalimu ni muuwachi
Not normal
Wicked world😢
Mwalimu nae ??
Angekuwa wangu Mimi na wewe double stokes
😢😢😢😢😢😢 😢
Issues at home maybe 🤔
Hii ni Ile story ya riangombe?shame on him
104 STROKES?!?!?!?!?! DUYUM
😢😢😢😢😢😢