NIMERUDI NIWAONE BY YOHANA ANTONY [OFFICIAL AUDIO]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 216

  • @christopheriwagati5194
    @christopheriwagati5194 3 ปีที่แล้ว +25

    Leteni likes hapa za Anthony yohana mtoto mdogo Sana mwenye nyimbo za injili

  • @evansbesa5903
    @evansbesa5903 3 ปีที่แล้ว +27

    Wakenya pia tuko hapa kwa Ndogo Yohana na hatutabanduka,,,wapi likes za +254

  • @innocentkalolo6053
    @innocentkalolo6053 3 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali mdogo wangu antony innocent kalolo kutoka ilemba miaka 100 yohana unatuwakilisha sumbawanga umekataa utumwa

  • @MwakaMwadzombo
    @MwakaMwadzombo 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mungu akubariki 🎉🎉❤nakupenda sanaaaaaa🎉🎉🤭🤭🤭🤭

  • @celestinealimasi4866
    @celestinealimasi4866 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli nyumbani ni nyumbani iwe mjini ata kijijini barikiwa sana

  • @michaelmusyoki7953
    @michaelmusyoki7953 3 ปีที่แล้ว

    Umefanya poa sana ,,,,wazazi ni wakuheshimiwa,,,,na baraka utoka kwao.

  • @bernardmuchiri758
    @bernardmuchiri758 3 ปีที่แล้ว +9

    Actually a young boy and very talented,Mtehelemezi amsaidie na aendelee kung'aa hata zaidi,God bless him a lot,Wapi likes zake Yohanna tafadhali

  • @paulinajohn5911
    @paulinajohn5911 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kijana wetu,Mungu aendelee kukutunza umtumikie ,

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue zaidi zaidi akupe kibali cha kupenya zaidi na zaidi

  • @carolynegwatonya8748
    @carolynegwatonya8748 3 ปีที่แล้ว +9

    East, west home is the best umenena ,ubarikiwe sana yohana🇰🇪
    Hats Kuwe Kunaka vipy ni nyumbani.

  • @waitkisinza5824
    @waitkisinza5824 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kijana wimbo mzuli ubalikiwe sana

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว +1

    Msahau mila yke ni mtumwa

  • @lucymwombe1794
    @lucymwombe1794 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mwanangu unanibariki sana

  • @valorinejepchumba5991
    @valorinejepchumba5991 ปีที่แล้ว

    Wooow nice one be blessed... true we are at home.. East West home is best

  • @abdulazizali7701
    @abdulazizali7701 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe BWANA aitunze hii sauti kwa jina la Yesu

  • @mercymutheu3194
    @mercymutheu3194 2 ปีที่แล้ว

    Wow barikiwa Sana kijana may the blood of Jesus Christ cover u all through

  • @abrahamtopot9660
    @abrahamtopot9660 2 ปีที่แล้ว

    KAZI nzuri Sana mungu awatie nguvu

  • @nancynyachama3760
    @nancynyachama3760 3 ปีที่แล้ว

    Nyumbani ni nyumbani kweli ujumbe nzuri

  • @madahanagracetdesabaz2453
    @madahanagracetdesabaz2453 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow napenda Mungu abariki kibali chako nyimbo zako zanibariki sana

  • @zakayokilumile
    @zakayokilumile 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe Sanaa mtumishi

  • @revivaltzonline476
    @revivaltzonline476 3 ปีที่แล้ว

    Good sana sijawah kuchoka kukusikiliza

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi 3 ปีที่แล้ว +31

    Yes yohana ujumbe mzuri Sana hongera 🤙🤙🙏

    • @mageembarikiwa2991
      @mageembarikiwa2991 3 ปีที่แล้ว +1

      Umekuwa mbig sasa dea son..sauti yako powah

    • @priscillakageha1689
      @priscillakageha1689 3 ปีที่แล้ว +1

      Abarikiwe

    • @judithkalondu6904
      @judithkalondu6904 3 ปีที่แล้ว

      I love the work.

    • @lemsonkauzeni2778
      @lemsonkauzeni2778 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunakupenda sana wanasumbawanga mungu azidi kuinua kipaji chako

    • @victoraduma7647
      @victoraduma7647 3 ปีที่แล้ว +1

      Ujumbe mzuri mtoto yohana,,kibali chema......unatubariki sana hongera yohana

  • @lilylastborn3317
    @lilylastborn3317 3 ปีที่แล้ว +2

    Lots of love mtoto Yohana from +966

  • @marykmusiq8442
    @marykmusiq8442 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mtamu wow yohana umembarikiwa

  • @sarahm316
    @sarahm316 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow may God bless you wimbo wenye baraka wacha wema na Fadhili sikufuate maishani mwako yote

  • @hadhiroufakihi539
    @hadhiroufakihi539 ปีที่แล้ว

    Kweli moina hakika mzourissana sana

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 ปีที่แล้ว

    Honger San mtoto mzuli nyimbo nzuli San jamani

  • @lemsonkauzeni2778
    @lemsonkauzeni2778 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue tunakupenda sana wanasumbawanga

  • @reginahmbithe919
    @reginahmbithe919 3 ปีที่แล้ว

    Big up yohana kazi safi

  • @stephennjuguna7388
    @stephennjuguna7388 3 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations yohana ina hit sana God bless you....

  • @atufigwegeisilaeli5258
    @atufigwegeisilaeli5258 3 ปีที่แล้ว +2

    Ogela San dog mungu akubalik kwa kaz yako

  • @erickmtonyole-MTONYOLE
    @erickmtonyole-MTONYOLE 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana, Mungu akubariki

  • @lydiakemuntookindo7254
    @lydiakemuntookindo7254 3 ปีที่แล้ว

    Hongera naona umegrow yohana

  • @valariekundu3412
    @valariekundu3412 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera yohana

  • @zedinamohammed1878
    @zedinamohammed1878 3 ปีที่แล้ว

    Ameen Mwanangu Mungu akubariki na azidi kukupa mafunuo

  • @moureenkibomuek6050
    @moureenkibomuek6050 3 ปีที่แล้ว +15

    Another ones hit,,,hongera Yohana be blessed 🙏🎹🎸🎤🎧🎶🥁🎻🎺much love for Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @robinantony1016
    @robinantony1016 3 ปีที่แล้ว +4

    A nice song @Yohanna. Ubarikiwe sana

  • @dogovenastv8445
    @dogovenastv8445 3 ปีที่แล้ว

    Sawa mwanitu mungu Azidi kukuinuwa

  • @fadhiliomary8517
    @fadhiliomary8517 3 ปีที่แล้ว

    Mwane wetu uli na kipaji leza wane aku saidie mwane wetu

  • @mwitacharles6358
    @mwitacharles6358 3 ปีที่แล้ว

    Kazi kubwa sana yohana 🤞

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 3 ปีที่แล้ว +20

    Wow dogo keep burning, God bless you forever much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @rosedzuya1485
      @rosedzuya1485 3 ปีที่แล้ว +2

      Afike pia kenya

    • @ressaokeybyiswonderfulsnot7810
      @ressaokeybyiswonderfulsnot7810 3 ปีที่แล้ว +1

      Thank u yohann god bls you

    • @josephmathayo5139
      @josephmathayo5139 3 ปีที่แล้ว

      Hongera dogo Yohana kwa ujumbe mzuri kutukumbusha kuwa nyumbani kwako ni kwako tusijali mazingira yake. Mungu akubariki uwe mwimbaji wa kimataifa.

  • @younisojambogiribet
    @younisojambogiribet 3 ปีที่แล้ว +2

    Too MUCH LOVE FROM me too young boy Yohana team Saudi Arabia i like this song

  • @chanzoninini6818
    @chanzoninini6818 3 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa xana yohana

  • @susankasyoka853
    @susankasyoka853 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na kukuinua zaidi

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen.................tunabarikiwa....sana....amen...mtoto yohana.....................🙏🙏🙏🙏

  • @ednahkwambokah9677
    @ednahkwambokah9677 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa yohana from Kenya

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mdgo wetu

  • @leticiamwambiji1160
    @leticiamwambiji1160 3 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaa mungu akubarik sana

  • @falajalameck306
    @falajalameck306 3 ปีที่แล้ว

    Hongera.kazi zur

  • @peninnahwanza6304
    @peninnahwanza6304 3 ปีที่แล้ว +2

    Waaoh kweli umetoka mbali Yohana,,,tena umegrow glory to the most high God!!much love from Kenya.Ameen.

  • @annasannas6210
    @annasannas6210 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri saaana🙏

  • @tabithashimenga4742
    @tabithashimenga4742 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto Yohana, what a nice song. Recognizing your grand people. May God bless you👍🙏🌹💐🇰🇪

  • @faithkwamboka7483
    @faithkwamboka7483 3 ปีที่แล้ว +1

    Faith from Kenya nice song

  • @johnmenda9264
    @johnmenda9264 3 ปีที่แล้ว +12

    Hongera sana dogo mungu akulinde❤️

    • @eucadate2542
      @eucadate2542 3 ปีที่แล้ว +1

      Napenda huyu mtoto sana hongera sana keep up with the spirit of Jesus Christ

  • @elizabethkhayasi8422
    @elizabethkhayasi8422 3 ปีที่แล้ว

    Home is best. Karibu nyumbani.

  • @rosebabala195
    @rosebabala195 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina Asante Sana Kwa Wimbo Nzuri Sana Ubarikiwe

  • @edinaaming4039
    @edinaaming4039 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri mungu akubariki

  • @michaelnzyungu9255
    @michaelnzyungu9255 3 ปีที่แล้ว

    Siwezi sahau nilikotoka barikiwa YOHANA🙏🙏

  • @rosebabala195
    @rosebabala195 3 ปีที่แล้ว +5

    Ninaupenda Sana Wimbo Huu

  • @faidaalimasi2017
    @faidaalimasi2017 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana wimbo nzuri

  • @Deyy7372
    @Deyy7372 3 ปีที่แล้ว +1

    I'm from Haiti l love your song my son

  • @magekata7229
    @magekata7229 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mwanangu 🙏🙏🙏🙏

  • @celestinealimasi4866
    @celestinealimasi4866 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo nzuri sana Yohana barikiwa

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 3 ปีที่แล้ว +1

    Dogo kazi nzuri San hii

  • @dorahzacharia2549
    @dorahzacharia2549 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU azidi kukuinua YOHANA atukuzwe BWANA akupae kuendelea.

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana toto

  • @jemimawanjala4718
    @jemimawanjala4718 3 ปีที่แล้ว +6

    Wow, an amazing song,,,keep it burning Yohana

  • @godfreynghwasa6467
    @godfreynghwasa6467 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongela Sana Yohana kazi zako zote njema

  • @celestinealimasi4866
    @celestinealimasi4866 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina barikiwa sana Kaka wimbo nzuri sana

  • @stargod7384
    @stargod7384 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana dogo lake MUNGU akuabariki kwa ujumbe wako pia kukumbaka home hakika umenifanya hata mm kukumbuka nyumbani geita lazma nirudi kuwaona

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว +1

      Tupo weng hata mm mwaka wa pl sasa npo kenya lazm nrud 🇹🇿🇹🇿 niwaone

    • @stargod7384
      @stargod7384 3 ปีที่แล้ว

      @@sarapaulo4718 rudi home dada mda wa kurud

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว +1

      @@stargod7384 nkwel ila colona inazinguwa

    • @stargod7384
      @stargod7384 3 ปีที่แล้ว

      @@sarapaulo4718 daah pw sie tupo hapa kwet dar tunapga kazi A.E.A na mtumishi Annoint karib sana nashukur nmepewa rikizo ya kwenda kusalimia home kwa mama yangu

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว +1

      @@stargod7384 nenda kawaone ndg

  • @rosenafula2757
    @rosenafula2757 3 ปีที่แล้ว +3

    Haleluyaaaaa 🙏🙏🙏🙏Congratulations babyboy for powerful gospel songs I really like you songs 👏👏👏👌👌👌👊👊💪💪🙏🙏🙏

  • @felistapetro802
    @felistapetro802 2 ปีที่แล้ว

    Funja rekodi mtoto Yohana

  • @KelvinBoniphase
    @KelvinBoniphase 3 ปีที่แล้ว

    Wow 👏👏👏 honger dogo

  • @naddysimiyu1726
    @naddysimiyu1726 3 ปีที่แล้ว

    Uishi miaka mingi sana ufanye kazi yamungu young boy God bless u

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 3 ปีที่แล้ว +6

    Amen........small..brother mungu akuinuwe...mtoto wetu....I love your song wow......glory to God mungu akuinuwe..sana............💕💕💕💕🙊🙊🙌🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

    • @irinenanciebarasa5566
      @irinenanciebarasa5566 3 ปีที่แล้ว

      Mtoto wa mungu yohana mbatizaji....unanibariki na wimbo zako sana...cute baby nikija kenya nitafika Tanzania kwa neema yako nabarikiwa kwa you tube mungu akubariki..............sana.................i love you so much the way God love you.....cute child of God...the blood of Jesus cover you...in Jesus name

    • @mercylinohchogo4416
      @mercylinohchogo4416 3 ปีที่แล้ว

      Pongezi,, may God continue to
      shower u wth devine grace,, light,,,from kenya

    • @marysichinsambwe7708
      @marysichinsambwe7708 3 ปีที่แล้ว

      Mungu Akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💕💕❤️💕💕

  • @philimonsinkamba6072
    @philimonsinkamba6072 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ongera

  • @maureenkwoba8204
    @maureenkwoba8204 3 ปีที่แล้ว

    Ongera yohana 🙏🇰🇪🇰🇪

  • @truthgospelchurch8700
    @truthgospelchurch8700 3 ปีที่แล้ว +13

    Hongera!! tena, Yohana👏👏👏 Neema ya Mungu iwe nawe kwa wingi.Tembea hapo Kenya

    • @dorcasndunge8612
      @dorcasndunge8612 3 ปีที่แล้ว +1

      Tumemkaribisha kabisa,,, much love from Kenya

  • @friminitv5589
    @friminitv5589 3 ปีที่แล้ว

    Nice song yohana...

  • @rumonaodera472
    @rumonaodera472 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amekutoa mbali

  • @paulomwalimu6731
    @paulomwalimu6731 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Sana yohana mdg wangu

  • @peterongeri2233
    @peterongeri2233 3 ปีที่แล้ว

    God bless you young man imekua blessing to me

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you forever yohanna muc love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dominicmokaya8811
    @dominicmokaya8811 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow nice song be blessed

  • @medyvugutsa7678
    @medyvugutsa7678 3 ปีที่แล้ว +4

    I really luv this song,,be blessed young boy,mungu azidi kukupa nguvu👏

  • @rosedickson8202
    @rosedickson8202 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa ujumbe kakaaa

  • @KhadijaKhadija-uc2uw
    @KhadijaKhadija-uc2uw 3 ปีที่แล้ว

    Mtoto umekuwa mashaallah

  • @loicemwatete6193
    @loicemwatete6193 3 ปีที่แล้ว +1

    nyimbo nzuri be bless yohana

  • @leticiajibungile2370
    @leticiajibungile2370 ปีที่แล้ว

    Nimelud niwaone

  • @gichambatimatinde3507
    @gichambatimatinde3507 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations young man,mwacha kwao mtumwa.

  • @juliusndungu6801
    @juliusndungu6801 3 ปีที่แล้ว +2

    Woooow nice after a long time celebrating 100k subscribers ni uwezo wake Mungu baraka

  • @eunicewavinya244
    @eunicewavinya244 3 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪salute Yohana...Mungu azidi kukuinua na kukutenda wema.

    • @marysichinsambwe7708
      @marysichinsambwe7708 3 ปีที่แล้ว

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍

  • @rosemwemba3801
    @rosemwemba3801 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations young boy

  • @yohanakivuyo4261
    @yohanakivuyo4261 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe yohana

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 3 ปีที่แล้ว

    Umefanya poa sana

  • @euniceyalledy1745
    @euniceyalledy1745 3 ปีที่แล้ว

    Waooooooooh jamani nakupenda mtoto mzuri Mungu akubariki Sana uzidi kukua katika maadili hayo ya kumucha MUNGU ♥️♥️♥️

    • @euniceyalledy1745
      @euniceyalledy1745 3 ปีที่แล้ว

      @@yohana_antony ameeeeni msalim baba na mama na nawapongeza kwa marezi bora kwa watoto wao wote ikiwemo wewe MUNGU awawekee ulinzi nyote🙏♥️

  • @Chesco-gv8pl
    @Chesco-gv8pl 4 หลายเดือนก่อน

    mambo❤❤

  • @naomm3153
    @naomm3153 3 ปีที่แล้ว

    Ongera sana baby boy

  • @giftblessings77777
    @giftblessings77777 3 ปีที่แล้ว +2

    Good tune, I like 🤗💫🌈🎉🎊👏🌟🌟🌟🌟🌟

  • @جانيتكينيا
    @جانيتكينيا 3 ปีที่แล้ว

    Watching from Qatar