INASIKITISHA! KIFO Cha RAMADHAN CHAACHA SIMANZI KUBWA KWA MKEWE, WATOTO, NDUGU na JAMAA…

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 111

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 3 ปีที่แล้ว +19

    Yote mema kwa Mungu japo ni maumivu makubwa sana kwa ndugu, lakin kila alipangalo Mungu mwanadamu hawezi kulipangua. Poleni wafiwa naimani Mungu atawakumbuka.

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 3 ปีที่แล้ว

      Inalilah poleni mama pole dada poleni watoto mungu kampenda zaidi baba tumuombee dua tu mungu amlaze pema usiomboleze nduguyangu

  • @kephaemmanuel4577
    @kephaemmanuel4577 3 ปีที่แล้ว +8

    Poleni sana,faraja ya Mwenyezi Mungu ikafunike mioyo yenu.
    Ramadhani ametutangulia ,Iko siku tutakutanae.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 ปีที่แล้ว +2

    Tushukulu kwa yote kila mmoja atarudi kwa baba utofauti ni Jinsi ya kurudi mungu awatie nguvu na uvumili ktk kipindi hichi kigumu🙏

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru mungu mm dada ndungu yangu tukipata tunapeleka nyumbani wakutengemeya ni mungu siyo binadam roho ya mungu akiamuwa muda wowote anachukuwa roho

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo hivyo hayo I mawaiza kwa tulio baki tusimtegemeemtu tumtegemee Mungutu

  • @aminamauhfoda9201
    @aminamauhfoda9201 3 ปีที่แล้ว +17

    Mungu yupo aliekuwa akimpa riski yupo halaliwala hasinzii😢😢

    • @aishaabdalla7624
      @aishaabdalla7624 3 ปีที่แล้ว +2

      Naam, swadaktaaaaaa
      Hy 5000 hakuipata kwa ujanja wake wala nguvu zake bali mtoaji ni m'mungu sie sababu tu

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aishaabdalla7624 kabisa Masha'Allah

    • @rahmaabdulla4949
      @rahmaabdulla4949 3 ปีที่แล้ว

      Swadakta

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 3 ปีที่แล้ว +4

    Masikini poleni sana Wafiwa wote Kwa kuondokewa na mpendwa wenu 😭😭😭😭

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +2

    Inalillah wainailahi rajuun Subuhanallah MUNGU Awape Subra Awape liziki kwauwezowako lnshallah

  • @z10jrtz47
    @z10jrtz47 3 ปีที่แล้ว

    INNA LILLAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN, TUVUMILIENI SANA JAMAN NDIO NJIA YETU SOTE..!

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah waina ilaih rajiun daah samia kazi kuuwa tuu sasa daah ndio mwanamke Wa Kislam huyu families zinahangaika na maisha anagalau wapate rizik yeye

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah waina lillah rajiun Allah atupe subra tunapopata misiba piah tulie bila kuomboleza Insha'Allah

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 3 ปีที่แล้ว +4

    😭😭🌚 Mungu akupumzishe mahala unapostahili .

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 ปีที่แล้ว +5

    Poleni sana wafiwa. Nyinyi mmeumbwa na M'mungu yuko pamoja nanyi . Riziki zenu ziko mbinguni. Rudin kwa ALLAH atawaongoza inshaAllah.

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 3 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭poleni familia mungu awatie nguvu inauma sana poleni

  • @mariamwito9078
    @mariamwito9078 3 ปีที่แล้ว +8

    Poleee sanaa kwa family hii ya Ramadhan...mungu awatie nguvu

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว

      Poleni sana Wana Familiya yote

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว

      Mama umenilinza 😭😭😭poleni Sana

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว +4

    Daah yaani huyu dada mtu mpaka umeniliza😭😭😭Kifo hiki jamani.Poleni ndugu zangu M/Mungu awape subra😭😭😭

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว

    Innalilla wainna Illayh rajiunah 😭hakuna msiba ambao hauhuzinish ndugu acha tuu

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 3 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillah wa inna Illah raj'un Allah amrahamu amsamehe amlaze pema peponi Amiin 🤲🤲🤲

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah inauma sana sana maskini. Pumzika kwa Amani kaka.🙏

  • @zakhianzuki9348
    @zakhianzuki9348 3 ปีที่แล้ว

    Haya basi mungu amlehemu ampe kauli thabiti.

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama pole mama mungu atakufanyia wepesi mama muombe tu alh atakutia nguvu

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atawafanyia wwepessi ndugu zangu

  • @assadatykhalledy7021
    @assadatykhalledy7021 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah mungu ampe kauli thabiti

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillah wainahy llah rajioun poleni sana Allah awatie nguvu

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mpokee mja wako innalilah na uipe faraja familia hii jamani 😭😭😭

  • @ruthnzota6427
    @ruthnzota6427 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana wanafamili,Sisi watanzania tumejawa na upendao tutakushika mkono

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 3 ปีที่แล้ว +1

    Kinachoonekana huyu Bwana alikuwa mkarimu sana katika familia yao na ndie kichwa cha family.

  • @jasminenjelekelaa6543
    @jasminenjelekelaa6543 3 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace Allahkabiir aitunze familia ya marehemuMohamad Mkongo

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 ปีที่แล้ว +2

    Inalilai walnalilai rajiuni poleni sana

  • @zuenaaliy1925
    @zuenaaliy1925 3 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana Allah ataleta kheri ina uma sana

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kazi ya Allah haina makosa

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah pole mama kullu nafsi dhaaikatul maut hakika kila nafsi itaonja umauti innallillah wainailaihi raajiun Allahuma ghfrillahu warhamhum waskanal subra na dua mama kwa mtoto wako inauma lkn wakhti umefika

  • @hddjdjdjdjd8077
    @hddjdjdjdjd8077 3 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana kwa familia Na marafiki 😭😭😭😭😭

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante babu Issa mnaly kwa taarifa

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape subra..RIP Ramadhan

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainailah rajioon poleni wanafamilia

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole Sana aiseeeee, nimeichukua namba tutasaidiana kwa chochote

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu inshaalah

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 3 ปีที่แล้ว +4

    Ss uwisilam huu niatar kizuka anaonekan mitandaon kam wakilisto jaman heda simchech duniy imeisha ss

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnaillah raj'uun.poleni sana

  • @missmrs829
    @missmrs829 3 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana wafiwa 😭😭😭

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว +5

    Inalilah waina ilayhirajeuun

  • @jamilamohammed2771
    @jamilamohammed2771 3 ปีที่แล้ว +5

    Innalilahi wainna illayhi rajiun

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 ปีที่แล้ว +11

    Mbna jmni mnafanya mambo kienyeji hivi?huyu Mama hakufaa kuonekana kwasababu ya Eda.mbna mcfate sheria za dini?nimakosa mno hv mnavyofanya

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwanza tu si utu kupost watu wakiwa katika hali hii ,kwa kweli tumepoteza sana utu binadamu

    • @MunaMuna-fv5jg
      @MunaMuna-fv5jg 3 ปีที่แล้ว +1

      Wamekosea sana

    • @Wardaskitchen1
      @Wardaskitchen1 3 ปีที่แล้ว

      kwelii kabisa jamani kizuka haifai kuonekana

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Kwakifupitu picha ni Haram

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 ปีที่แล้ว

      Mi nashangaa kwanza kulikua na haja gan wamuhoji mke na ana msiba nguvu za kuongea anatoa wapi kufiwa na mume jamani ni huzuni lakin hii yote ni kukosa kujua sheria za dini tumeruhusiwa kulia tunapopata misiba lakin kuomboleza ni dhambi yan kama wanavyofanya hawa ati cjui watoto watelelewa na nani cjui tutaishi vipi wallahy haifai tunafaa kushkur na kusema inna lillah wainna ilaihi raajiun

  • @aminaamiri7684
    @aminaamiri7684 3 ปีที่แล้ว +3

    Inna lillah wainna ilayh rajiun

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 3 ปีที่แล้ว +6

    Inna ilayh WA Inna ilayh rajiun 🤲

  • @hanifaabdallah7372
    @hanifaabdallah7372 3 ปีที่แล้ว +2

    Poleni Sana inauma

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu, lakini pia kwa yule aliyemgonga, kuwa na utu na uone hatia nenda kituo cha polisi ulipoti na ikiwezekana kawaone familia. Ni vyema kuomba toba na msamaha kuliko kujificha uko watu wanalia, malipo ni hapa hapa.

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole mamang utasaidia Allah ametoa ametwaaa pia

  • @pamangel871
    @pamangel871 3 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana wafiwa

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว

    Hamida na kijana tokeni mkafanye Kaz hamida webado bint kabisa Kaz zipo nyingi toka ukajitafutie ridhiq maisha yakutegemea ndugu ni magumu saan akiondoka nishida

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Hee mtihani huo munaliya mpaka kufuru mungu ndiyo ameandika kifo chake huyo na siku imefika shukuru mungu musikufuru mm dada yangu amekufa na mika 38 tu mama yupo baba kapata ajali yupo kitandani na hospital muhimbili amepeleka na mpaka sahivi yupo nyumbani kaparalaiz

    • @samiasaidy4841
      @samiasaidy4841 3 ปีที่แล้ว

      Poleni Sana wafiwa Ni kweri inauma mnooooo9

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +2

    Inalillah wainaillah rajiun

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 3 ปีที่แล้ว +4

    Poleni Sana 😭😭😭

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 ปีที่แล้ว

    Inauma sana kwakweli

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +1

    Polee kwa familia yake pia

  • @azizahmwimbe8548
    @azizahmwimbe8548 3 ปีที่แล้ว +2

    Duu poleni sana

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว

    Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Poleni Ndugu,Jamaa.

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 3 ปีที่แล้ว

    Tuwe na Imani ya Allah mioyo ya Subra tusizungumze Maneno ya kufuru na Allah atawapa stara yake.

  • @maryumamapunda1989
    @maryumamapunda1989 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama

  • @maryambudoya6707
    @maryambudoya6707 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana.

  • @bahatihashimu5780
    @bahatihashimu5780 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnalillah Raji'uwn.

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว

    Pole mom weka number tumsaidie japo kidg

  • @shamilauledi4465
    @shamilauledi4465 3 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wa innalillah rajiun

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 3 ปีที่แล้ว +2

    Unyanyasaji wa mama samia na genge lake

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Sasa Mama Samia hapa anahusikaje?Au ndio mmiliki wa gari la ng'ombe?

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว

    Poleeeee sanaaa

  • @gmwanaabc7492
    @gmwanaabc7492 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭Haya aisha daah

  • @sikuzanjuma5960
    @sikuzanjuma5960 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona mkewe hajajistir km muislam

  • @omanss268
    @omanss268 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada

  • @rachelmikey8363
    @rachelmikey8363 3 ปีที่แล้ว

    Dah jamani😭😭poleni uwiih

  • @anitharichadi559
    @anitharichadi559 3 ปีที่แล้ว

    Pole wafiwa

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Vip habari zenu

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว

    Poleee mama

  • @lydiachembe9376
    @lydiachembe9376 3 ปีที่แล้ว

    Polen sn jaman mungu yuko pamoja na nyie

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip😭🙏

  • @dainesgebo6178
    @dainesgebo6178 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn jmn uwiiii kifo kifo

  • @fatmamohd3663
    @fatmamohd3663 3 ปีที่แล้ว +1

    Jina mbona linakuja saida rajabu

    • @rukaiyaahmadsuleiman3951
      @rukaiyaahmadsuleiman3951 3 ปีที่แล้ว

      Ipige hio sim kwanza uzungumze na huyo mtu kama unatakakutoa msaada

    • @fatmamohd3663
      @fatmamohd3663 3 ปีที่แล้ว +2

      @@rukaiyaahmadsuleiman3951 nimeongea nae maskini ni yy na ndo jina la tigo pesa..

    • @rukaiyaahmadsuleiman3951
      @rukaiyaahmadsuleiman3951 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmamohd3663 OK Vyema

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwazo kizuka umuoni kam hiv

  • @rehema2018
    @rehema2018 3 ปีที่แล้ว

    Alikua Mcongo?

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah amfanyie wepesi ndugu yetu ni safari.ngum sn kwasisi binadam Allah akupokee na akusamehee ulipokosea hp duniani

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 3 ปีที่แล้ว

    Numejikuta natokwa na machozi Duuuuuuuh

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏

  • @jojikeneth9024
    @jojikeneth9024 3 ปีที่แล้ว

    Muwasaidie sasa na nyinyi

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 3 ปีที่แล้ว

    Jmn MUNGU awape nguvu

  • @rahmaabdulla4949
    @rahmaabdulla4949 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nyie waandishi msiwe munamuhoji mke wa mnaake anaaehoji ni mwanamme nahatakiwi kuonyeshwa kwenye ma tv kwasababu huyo saivi yuko kwenye eda ya kufiliwa na mumewe mnapatisha zambi

  • @bintybweta9604
    @bintybweta9604 3 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainna ilahi rajiun

  • @sophiakadege1318
    @sophiakadege1318 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @chawalive
    @chawalive 3 ปีที่แล้ว

    Daaah 😪😪samia huyu

  • @mankamush5057
    @mankamush5057 3 ปีที่แล้ว

    Rlp

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 3 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainnaillahi rajiuon

  • @joookahjokah8430
    @joookahjokah8430 3 ปีที่แล้ว

    Innalillah Wainairah rajiun